Makovu ya maandamano Nairobi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
- Familia kadhaa za waliofariki kwenye maandamano ya kushinikiza kuondolewa kwa mswada wa fedha na uongozi bora zinaondoa maiti katika makafani ya City hapa jijini Nairobi kw amaandalizi ya mazishi. Willy Lusige yuko katika hifadhi hiyo ya maiti na sasa anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi
Familia ipokee pole sana kutoka kwetu kama wakenya 😢 it's so sad indeed.
May the Lord give strength to the berieved families
😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu simama na family ya hawa watoto ruto utakufa vibaya kama ubwa 😭😭😭😭😭
Ruto HAUTAKUFA mwenye wivu ajinyonge
A boy from didmus barasas county 😢😢😢.. What a shame of an MP
@@nancy9306what if you are the one who've lost a son or brother!!!..The same God will judge all of us and our self centered intentions!!!
Pole sana. May your sacrifice for the country not be in vain. 😢
Eee Siz God gives you more strength with your family at this difficult time 😥😥
Poleni sana. Nawaombea Mwenyezi Mungu awafariji.
Poleni sana ndugu na marafiki
Ruto's true colours! Sad. Ogopa serikali iliyosimika kichwa kanisani.
Pole kwa familia....a very special talented young man gone😢😢...so 😭 😭
Pole kwa familia
RIP our heroes
Makiwa Kwa familia
Comfort to the family 😢😢it's a real trying moment to the families,poleni sana
Safe journey mashujaa
Polen ndugu zetu 😢😢wa kenya inauma sana😢😢😢
Poleni sana🕊️🕊️ R.I.P 🕊️🕊️my brother😢😢😭😭
Poleni sana very painful
Poleni sana Wana familiar 😢😢😢😢 mungu awafariji kipindi hiki kingumu 😢😢
Poleni sana
My heart breaks for you. May the Lord comfort you all ❤
Mungu arehem familia 😭😭😭
Mungu n mtetezi wa wanyonge,
Poleni sana Mungu awape nguvu
You deserve to be the governor of bungoma county..ulijenga daraja kule mirurii kibingei ward,sai ndo huyu unasaidia familia iliofiwa...mungu akubarikii bwana Zacharia Baraza
❤❤❤😢😢 oooooh my goodness. That's painful. May Jehovah give the family peace. ❤❤ Nice one sister.
Very painful
Mungu na awape nguvu
Pole sana kwa familia
Poleni ndugu zetu 😢😢😢😢😢
Willy lusige really knows how to conduct himself ❤... may God Almighty console all the bereaved 😢😢
Aky pole
So painful, may his soul rest in eternal peace
So.painful..
Rest in peace bro😢😢😢
Waah 😢😢😢my condolences to the family
Aky poleni
Poleni
What? President call gen z to talk miguna miguna said to them not to do so 😮
Poleni sana kwa familia zote,,
May God comfort you.
Poleni familia mungu awafariji
Poleni sana ,,very painful indeed
Poleni sana...rest in peace my son😢
Neno lamungu linanena yule hallie hatsa kutabuka neno lamatamano hikiwa nimusazi kwa hutumuwa wavijana kuhatamana nakuhuliwa huwomuziko wamafaa kwa matamano niwake kwa sababu neno lamungu liko nalinatukana neno matamano hatusitaili hutumishi wake kutumika kwetu hiyo nikufuja hamuri zamungu naniteyari halie hatsa matamano halifuja hamuri zamungu kwa mahuwaji kwake yamatamano
Poleni sana kwa familia
Sister mzuri,pole aki
Poleni sana RIP ruto are you happy now?
Heroes
Kenyans will pay even more tax repairing & building all what was destroyed by the unruly demonstrators. God bless Kenya.
Poleni wenzetu
This is why the fight against impunity should not stop until Ruto steps down.... We must continue!!!
This is very painful 😢
Very painful haki ,poleni sana
Wisdom
Poleni sana family
Pole sana.mungu awape nguvu
There should be no negotiations with a killer, ICC where are you for God's sake! You are our only hope🙏🙏🙏
Don't your hope in Icc, put your hope in God
@jeptookotos3347 speaking of the truth mnaekelea mungu vitu zingine hazifai, a police with no heart should face the harsh decipline.
Rip Wilson Sitati my cousin
Those police officers that shot those heros nothing will be done to them in 21days the bill will become a law and thats Ruto for Kenyans the altar Nation of Africa
Hizi ni consequences za mucocezi babu owino ashikwe ama next maandamano auliwe
Bure KBS
Wewe mjinga sana!
Kalejinga
Wacha wakufe walisema wako tayari!! 😂
Poleni sana Mungu awape neema na awape faraja kila kitu utendeka kwa wema it is so sad😢😢😢😢😢😢😢
Rlp brother
Pole sana
😢😢😢😢 Pole Sana sister
It's so hurt breaking for for the family may almighty God be with them
Heartbreaking
Pole sana familia.
Very sad,very hurting
Fly to Jesus, our fallen heroes, may our almighty grant your souls rest and peace.❤
Gteat sorry for the bereaved families,may Our good Lord restore Peace in your hearts ❤ though it's painful 😢.RIP Y'all remain our legends in our hearts.
Kenya bwana! Kwa sababu ya kutoa makafaa kwa shetani wanakua chanzo cha damu kumwangika kila mara! 2002 , 2007, 2017 , 2022 now 2024! Wazazi wawe na nidhamu kufundisha watoto wao kutojiingiza ktk maovu anaoletwa na wanasiasa , wanasheria na wanaTH-cams wapumbafu.
😭😭😭my God please
Mbona mlituma mzigo siku ya maandamano
Poleni sana watu wngu wa Gen z
Pole kwa familia waliofiwa na watoto wao police hao wenye waliua hao watoto pia wao watakufa
Laanatu llahi
Hakuna njia ya kukaa na Ruto kuzumza Ila ni maandamano
who wrote that head line,it should be" makovu ya polisi"
Akh pole kwa familia
Poleni snaa
😢😢😢Why
May the souls of our hero's rest in peace ❤❤
Pole sana,so sad .
Sio machafuko polisi ndo walitumia nguvu kwa waandamanaji na nguvu za polisi ni kufyatua risasi kiholela holela
Pole Sana Kwa familiar
Pole sana kwa famiy
RIP our heroes we salute you all😢😢
It's sad my condolences
Pole kua family
Dance with angels baby boy
Poleni Sana familia
Pole 😢
My condolences 😞😞😞
rest in peace brother😭
so sad bro(R.i.p)
Lahilahillah lahilahahilala inalilahi waina lilahi rajiun 😢😢😢😢😢😢😢
Poleni sana 😢😢
So heartbreaking
And Duale has the audacity to say its election hangover, gen Z did you see that interview with by Jeff.
It very painful to is parents
Rip our heroes 😭😭
How comes family members wa marehemu wanajua hakua Kwa maandamano na hakuwapigia simu kwenye alikua na alikua anafanya nini,walipata aje info kwamba hakua Kwa protest
Ruto must go
Nani aliwatuma kuvamia parliament... congratulations to the police ❤❤❤
Kifo iko ata penye wewe uko my friend
Makiwa Kwa familia