| BI MSAFWARI | Ni sawa kuhifadhi kumbukumbu za mpenzi wa zamani kama picha?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2020
  • | BI MSAFWARI | Ni sawa kuhifadhi kumbukumbu za mpenzi wa zamani kama picha? #BiMsafwari

ความคิดเห็น • 10

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 ปีที่แล้ว +1

    Wengine si picha ukutani, mpaka watoto wa mama wa zamani wametenganishwa na huyo baba. Bull sheet potelea mbali.Maneno ya mkala ni sawa kila kitu kibadilishwe mpaka watoto wasilete tabu kwa baadae.

  • @aminalibondo7507
    @aminalibondo7507 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaa baba angu.mun alikufa toka 06na baba akasema siowi na lea wanangu na kw hl nashukru kwn baba tumeishi nae kwa amani na mum alikua ameacha mtoi wamiaka 2yrs ila alituambia sioni kaa naweza pata mke akaa mum yenu so siowi

  • @sylviemugeni1887
    @sylviemugeni1887 4 ปีที่แล้ว

    Mama ubalikiwe kweli

  • @aminalibondo7507
    @aminalibondo7507 4 ปีที่แล้ว

    Swadakta mawaidha mazuri

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 4 ปีที่แล้ว

    Mada hii nziri saana. Imenipa fundisho saana

    • @assiajuma4988
      @assiajuma4988 4 ปีที่แล้ว

      Hongereni sana mola akupeni kheri inshallah

    • @sylviemugeni1887
      @sylviemugeni1887 4 ปีที่แล้ว

      Mama natamani nija unifunze

  • @mariamjuma1096
    @mariamjuma1096 4 ปีที่แล้ว

    Mawaidha mazuri

    • @rogeliovalentino3826
      @rogeliovalentino3826 2 ปีที่แล้ว

      i know im asking randomly but does any of you know a way to get back into an Instagram account?
      I somehow forgot the account password. I love any assistance you can give me!

  • @Qadar-vx4gj
    @Qadar-vx4gj 4 ปีที่แล้ว

    Shekh Juma
    B Mswafari
    Malaysia
    Rashid
    Lulu
    Napenda Kipindi Hiki