Dear Ndacha, you are greatly blessed. I am glad that those Islam lost human beings, who have been manipulating the gospel, have got their rightful match. Keep well my brother.,
Yuko fresh pastor huu. Kwasababu mashetani na ujadi wote uislam tu. Waislam ni warabu na Muhamad alikuwa mwarabu. Yesu alikuwa mwafrika. Sote tunayajua tukikuwa
Falling down is part of the Gospel in spiritual life getting back up is living and 🏆winning the spiritual life 🙏🏼Take heart sir Ndacha we are behind fighting this battle together with you in prayers
Acheni kupotosha watu. Hiyo Aya ya 163 sura ya 7, haianzi na "waulizeni" kama munavyosoma, imeanza na "waulize" hiyo ni amri amepewa mtume Muhammad siyo wewe na mimi. Musipotoshe maneno ya Mwenyezi Mungu kama mulivyopotosha injili aliopewa Yesu.
Sabato ilivunjwa na kitabu cha hosea 2:11 ambayo inasema ; tena nitaikomesha furaha yake yote, na sikukuu zake na siku zake za mwandamo wa mwezi na sabato zake na makusanyiko yake yote yaliyoamriwa " haiwezekani Mungu aahidi jambo halafu lisitokee, hili ni andiko la biblia na ili andiko litimie basi sabato lazima ifutwe ili andiko litimie, na kama andiko hili halikutimia basi fahamu Mungu wa biblia ni Muongo
Jesus is cominghtoiss for the church a (person having been cleased by the blood and following the word of God) not seventh day Methodist Baptist or what?
The true church is the church of Christ which is all that believe in him and Sabbath is for everyone according to the Bible including people that are not in the church
@@davidgaruc8330 Na sio kama hasa hawajui ukweli ulivo bali hutaka tu kupotosha jamii kwa sababu wao binafsi hawautaki huo ukweli na kuamua kuupinga kwa nguvu zao zote.
God's Daughter kama unavyokiita/wanavyokuita huelewi na kibaya huelewi kama huelewi na cc ww 2 Wakristo wengi bado mmelala/mmefia ktk UKRISTO mmepotea. DINI ni muongozo/njia/mpango alotuwekea cc binadamu tupite/tufuate ktk maisha ya dunia kuelekea marejeo Akhera. Hivyo Mungu umepanga utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kuabudu vile atakavyo Mungu, utaratibu huo ndo kuitwa dini na endapo mwanadamu akajipangia mpango wake wa kuabudu hiyo itakuwa ni.DINI yamtu binafsi hata kama utaliona unatenda baadhi ya mema lkn bado utakuwa hujamtii MUNGU maana umejipangia sheria na kanuni zako binafsi na ukadharau utaratibu wa Mungu. Tunaona leo hii watu wameanzisha vyama vya Siasa, Taasi na Serikali mblmbl lakini wanalenga sheria zao na kuzitii lkn sheria za Mungu wanazipuiza! Mfano Serikali haina dini lakini raia wake wana dini! Hii unaingia Akilini?! Taabu Ikiwa mjengoni ruhsa kutete kilevi/pombe izalishwe, iuzwe na kunywa ilimradi ipate Nataka as Serilali (TBA nk kadhalka kamali, uzinifu (ngono)Ila vaa Condom udini kwa Usslama, haki za ninadamu zinatetea haki za mashoga laki hali za Mungu ruhsa zivunjwe/zikiukwe nk ktk Ukristo mnaamini utatu kwamaana kuna MUNGU watatu na ndomaana mnatumia neno."GOD" wingi wake ni Gods wakati MUNGU ni mmoja tu; hakuzaa wala hakuzaliwa (hanamwana)na wala hana mshirika. Yesu mnamfanya MUNGU mkuu mnamuabudu wakati Yesu ni kiumbe wa Mungu kama mm na ww nk. Mmezidi kufuru huyo Mnaemfanya Mungu mamkashifu kwa kumdhalilisha mmebuni picha na kuiweka msalabani akiwa uchi! Hivi msingeamini kwa kusema kafa msalabani mpaka muweke picha akiwa amefuga uwinda/upati?! Kwanza zamahizo hapakuwa na Camera! Huu ni uzushi na mnazidi kudanganywa na kujipangia manabii na mitume wa uwongo na mmezusha dini uwongo kibao ili tu muipinge dini ya Mungu! Baada ya kuelewa kwamba dini ndo njia utackia "dini haimpeleki mtu mbinguni" ! Hata hiyo Serikali ya binadamu inamwongozo/sheria zake (katiba)huwezi kusema kwavile mm ni mTz nfuata katba yangu inawezekana kujiamulia hivyo?! Kama haiwrzekani kwanini Dini ya Mungu muipuuze na kutunga dini zenu?! Someni kwa makini wacheni kudanganywa na shetani.
Mwana wa mungu dacha naomba namba yako ya hwatsap kwasababu mm ni wa Kristo tangu nime zaliwa rakini bado nina maswali mengi kuhusu sabato tena ww naona unaweza kuni elewesha kwakuwa huubili dini🙏
Achen kudanganyana mbona clip mmeweka ya upande mmoja? Ok iko hivi! Mungu aliweka utaratibu wa ibada kuwa siku ya jmos bt wayahud wakaivunja siku hiyo ya sabato kwa kutega samak siku ya ijumaa jion kisha asubuh ya siku ya jmos wanaenda kumalizia kuvua ambayo ndiyo siku ya sabato, kwa hilo Mungu alikasilishwa na hilo soma qur: 2:65 na 66 kisha malizia na hiyo aya aliyoanza nayo mchungaji hapo juu yaan qur 63:9 sasa Mungu alianza na jmos kisha akaibadili ikawa ijumaa kwa utaratibu mwingine na mchungaji ameanza na ijumaa akarudi nyuma jmos sasa kati ya Mungu na mchungaji mnamfuata nani
Hawana hoja hawa wasakatonge kwanjia ya kufanya Ushirikina wanajifanya wanafufuwa watu wakati hawanauwezo wa kumfufuwa hata mbu. Gwajima New kaishiwa hoja anawalaumu Wakristo wemzie na wa Ulaya kwa luwaruhudu Waislamu kuishi Ulaya na makundi kwa makundi ya Wazungu wanasilimu na makanisa yao wanayabadili wenyewe watatafanya kuwa Misikiti bila ya kulazimishwa! Wamezowea propaganda who Waislamu tunawalazimisha wasokuwa Waislamu waingie ktk UISLAMU kwa lazima wakati huu ni uzushi na uzushi ni upotevu na kula mwenyekupote kwa uzushi ataingia motoni. Wafanue touba haraka kabla milango ya touba haijafugwa maana dalili zinajionyesha kwa kasi kubwa watu kusilimu kwa kasi inakarbia kufungia milango ya touba na ni ishara Kiama kipo karibu. InshaAllah Allah atuhifadhi atufishe tukiwa Waislamu kadhalka atufufuwe tukiwa Waislamu na atuingize sisi, wazazi wetu, vizazi vyetu na jamaa zetu ambao ni Waislamu Allah atuingize ktk Pepo ya Fildausi . ***AAAMINA***
Hata mtoto mdogo angeuliza majibu ya upande Wa pili ili ajue wameshindwa. Sasa nyie mmetuekea clip moja halafu mwahitimisha. Hii ni sawa na kujitekenya nakuchka mwenyewe
Waislamu na wakristo nani wamechanyikiwa? sometimes mnasema yesu ni Mungu Mara mtoto w Mungu Mara ni dawa Mara ni Simba Wa yuda Mara n kondoo saaasa hii sinikuchanganyikiwa kushinda mnyama
Uongo ni haramu ktk uislamu, Lakini kuna baadhi ya sehemu maalum umejuzishwa,kama vile ilivokuwa kula nguruwe ni haramu kwa waislamu Lakini pia imeruhusiwa kula nguruwe ktk sehemu maalum, Kama vile kuokoa Maisha pindi Itakapokuwa mtu ana njaa kali NA hana chakula chengine Ila ni nguruwe, basi karuhusiwa kula kwa kadri ya kuokoa uhai wake. Hii Ndio dini ya kislamu haijaja kuwatia watu ktk uzito, Bali dini ya kislamu inachunga hali za waja.
Only the blood of Jesus Christ can save us from our sin, since I was born until I got to where I am I have never here that Muhammad's blood can save people
Hiyo qur-ani *16*aya 124*Inaanza na herufi tatu za kiarabu ( م،ن،ا)hakika hiyo sabato waliiweka wale ambao walio khitalifiana ktk hayo yake. Na kwahayo mola wako mlezi bila ya shaka atawahukumu baina yao siku ya kiyama ktk yale waliyo kuwa wakikhitalifiana.!!!(Qur-ani *16*aya 128*Inaanza na herufi mbili(ن،ا)Hakika mwenyezi mungu yupo pamoja na wale ambao wenye kumcha yeye. Na hao ni ambao wenye kufanya mema. Mfn:vitabu vina shudia mungu aliomba ardhi na mbingu ktk siiku sita je huwo mwaka mnaujuwa au huo mwezi. (AD 2021)NI HESABU YA WAROMI ITALY
Quran 5:117 na 3:55 inaonesha pia kuwa yesu alikufa ingawa waislamu wanasema hakufa. Hii ya sabato pia ipo kwenye Quran lkn wao wanapinga wakati kitabu chao ndo kimeandika.
Muislamu hawezi shindwa na swali la kafili, sema hii ni channel yako ndio maana umeshindwa ukaikata vida ukaweka, mbona hujaweka majibu yake?, ungeweka penye Muislamu amekujibu, hila ulijua Muislamu kajibu maswali yako vizuri
Huyu jama ako sawa kabisa.Mkubali ukweli na hata Quran ndio amwtumia mandiko kuwafungulia ukweli wa mambo.Unapo sikiliza huu ujumbe Mungu ana sababu wewe ukausikize ili siku isije ikafika ukasema hukuhubiriwa wala hukupewa mandiko ukaelimika.Jifikirie mara ya pili.ujumbe ushaupata na maswali utajibu
Ikiwa huyu jamaa anafundisha siku ya sabato ktk Qur'an, hii ina maana mungu alieleta Injili ndie alieleta Qur'an Kwa hivyo inayofaa kufuatwa ni Qur'an aliyoileta mwisho na ile ya mwanzo imeisha muda
Alexander Mullison umetoka andiko soma Quran Sura ya 62 eye ya 62:9 Sura ya Al Jumu'a hata mtoa mada ameielezea au ulikuwa umelala?!. Vilevile kumbuka ktk Uislamu jambo jema lolote ni ibada hata biashara ni ibada kama utaifanya kwa kuzingatia maelekekezo na matakwa ya Mungu, Sala ndo ibada kuu (Sala kama mkapo/kibebeo cha kubeba kubeba amali njema) kama husali amalizako njema zitasambaratika/zinakosa kibebeo. Mungu ameibadisha SABATO kutoka jmosi na kuwa Ijumaa nyie mnang'anga'ania Sabato jmosi kwani nyie Waislael?! Wengine Sabato Wakaifanya j2 hawa wamerudi ktk Upagani (wanaabudu Mungu Jua /siku ya Mungu Jua/Sunday)! Ijumaa ni cku ya Sabato kwa walioamini na kumguata MUNGU wa ukweli. Jmosi(ilikuwa cku ya Sabato) Mungu amebadisha na kuifanya iwe Ijumaa. Soma Surrat Mum'a Sura is 62yote aya namb'1- hadi ya mwisho (mwanzo-mwisho)utaelewa MUNGU anamaana gani hao wachungaji wanazikata baadhi ya aya wanabadilisha wanachukuwa zile zenyemanufaa yao binafsi ili kuwapotezeni.
Yaan hawa wakristo Allah awaongoze wajua njia ya haki maana wao kila kitu wadanganywa. 1. Wanasoma aya hawalizii ili ujumbe ukamilike. 2. Wanaunganisha unganisha aya bila kujua kila aya ina makusudio yake . 3. Wameweka clip moja watu wasijue majib yalotolewa. Generally wakriato wanapenda kubadili mambo ili yaendane na matakwa yao ndio maana kila cku biblia yao inabadilishwa. Saivi kwao ndoa ya jinsia moja sawa, ushoga sawa, pombe, nguruwe nk. Yaan Hawa watu sijui wakoje!
Nyinyi wote muko no makosa. Mnafuata calendar wa Nani? Ijumaa, na jumamosi ilitengenezwa na MTU moja ambaye no Gregory ndiyo calendar ikaitwa Gregorian calendar. Someni hapa mkaelewe saidi www.worldslastchance.com
Kama ukristo ni ukafiri, mbona waisilamu munalipua watu kwa kutumia vilipuzi na kufanya mashambulizi kwa watu wasio na hatia? Usikane. Maana ukweli huonekana. Je umeokoka? Kubali yesu awe mwokozi wa maisha yako. Usikuje kujuta ukisema laiti ningelijua mwishowe ukiwa jehanamu ukilia na kusaga meno.
Ndivyo walivyo hawa makafiri,kuna ki channel cha umbea uchukua vipande vya hawa makafiri wenzake akaweka na kichwa cha habari tofauti, ukiona ivyo walikua wameshindwa,watawapotosha hao kondoo waliopotea jangwani
Read Quran 5:117 and 3:55 it shows Jesus died on the cross. But Muslims do not accept this claim though it is from their own. Again they dont acknowledge the Sabbath from their own book.
Mhubiri huyu amashinda wote niliowasikia wakimtetea Kristo. You made my day mtumishi wa Kristo!
Dear Ndacha, you are greatly blessed. I am glad that those Islam lost human beings, who have been manipulating the gospel, have got their rightful match. Keep well my brother.,
Ndacha wewe ni noma
Yuko fresh pastor huu. Kwasababu mashetani na ujadi wote uislam tu. Waislam ni warabu na Muhamad alikuwa mwarabu. Yesu alikuwa mwafrika. Sote tunayajua tukikuwa
Endelea kujitathmini ukijithibitishia uko sahihi kila la kheri
Igree pastor ndacha God keep you always amen
Asante Yesu Kristo kwakuniokoa
For the first time a person who can challenge a Muslim by the fact of knowing the Quran.
Hakika huyu ndio haijui kabisa quran😂
Barikiwa Sana Mwalimu Ndacha
Tukopamoja! 👋 Mwalimu Ndacha you are indeed East African Christian Prince (CP)
Iam a new subscribe jx following this Episode from Santa Monica California American
Mwalim wangu naomba unisaidie kufafanua kwenye wagalatia 3:1,wale makafili wasiomwamini YESU wanatumia huu mstari
Hio inaeleza wazi kuwa,kuna walioona Yesu amesulubiwa kisha wanarudi nyuma
Hii ni msiba kubwa, hamna lolote ujualo mungu akusamehe, hauna elimu hata kidogo rudi ukasome
Falling down is part of the Gospel in spiritual life getting back up is living and 🏆winning the spiritual life 🙏🏼Take heart sir Ndacha we are behind fighting this battle together with you in prayers
First round kuona mwalimu Ndacha na karatasi kwa mkono,Barikiwa sana
Saa hii hatumii kila kitu imeingia akili
Acheni kupotosha watu. Hiyo Aya ya 163 sura ya 7, haianzi na "waulizeni" kama munavyosoma, imeanza na "waulize" hiyo ni amri amepewa mtume Muhammad siyo wewe na mimi. Musipotoshe maneno ya Mwenyezi Mungu kama mulivyopotosha injili aliopewa Yesu.
Kwa Yesu ni raha.hakuna mtu hulazimizwa ni kwa hiyali yako ikisikiya neno na pumzi ya mwenyezi mungu.
Ukristo dini ya kweli. Hakuna njia nyingine ya wokovu bila yesu kristo
Yesu no Bwana
Sabato ilivunjwa na kitabu cha hosea 2:11 ambayo inasema ; tena nitaikomesha furaha yake yote, na sikukuu zake na siku zake za mwandamo wa mwezi na sabato zake na makusanyiko yake yote yaliyoamriwa " haiwezekani Mungu aahidi jambo halafu lisitokee, hili ni andiko la biblia na ili andiko litimie basi sabato lazima ifutwe ili andiko litimie, na kama andiko hili halikutimia basi fahamu Mungu wa biblia ni Muongo
Kama wangekataa kutubu angeikomesha ila kwasababu walikubari kutubu hakuikomesha...... Bado ipo. Haijavunjwa
ndio maana wanafuga majini awa jamaa
Blessed servant of God.
Great love ndacha tetea yesu
Seventh Day Adventist is the true church,The Bible is clear,Blessed is he/she that reads and understands.
VICTOR KIPLETING hilo kanisa limetajwa ktk kitabu gani ktk bible? kanisa ni mpango wa mwanadamu wokovu ni mpango wa Mungu
Jesus is cominghtoiss for the church a (person having been cleased by the blood and following the word of God) not seventh day Methodist Baptist or what?
@@apostolicpowerdemonstratio6247 kwel kabisaa
Assalamnlam anlayicoum
The true church is the church of Christ which is all that believe in him and Sabbath is for everyone according to the Bible including people that are not in the church
Matusi na pia aumalizi ayah
Hahaaa....Amani iwe nanyi ndugu waisilamu.made my day
Ubarikiwe mchungaki
Amen n Amen.❤
MWALIMU NDACHA NI PIRITON YA UKWELI KABISAAAA
Dah hii full doz siomchezo waislam lazima wakae watake wasitake mbalikiwe Sana watumishi wa Mungu
Hamna ishu nyinyi, kazi yenu ni kudanganya watu tu na kuiharibu tafsiri ya Qurani. Wahubiri wapo kwa ajili ya hela tu basi na kupotosha wenzao.
Tangu lini mtu asiejua kiarabu ataweza kutafsiri Qurani, na kiarabu ndio lugha yenye utajiri mkubwa zaid duniani wa maneno na misamiati.
@@amevuai8724 sasa we umejuaje kama hajui
@@davidgaruc8330 Mm ni muislamu nina uwelewa kias wa dini ya kiislamu
@@davidgaruc8330 Na sio kama hasa hawajui ukweli ulivo bali hutaka tu kupotosha jamii kwa sababu wao binafsi hawautaki huo ukweli na kuamua kuupinga kwa nguvu zao zote.
God's Daughter kama unavyokiita/wanavyokuita huelewi na kibaya huelewi kama huelewi na cc ww 2 Wakristo wengi bado mmelala/mmefia ktk UKRISTO mmepotea. DINI ni muongozo/njia/mpango alotuwekea cc binadamu tupite/tufuate ktk maisha ya dunia kuelekea marejeo Akhera. Hivyo Mungu umepanga utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kuabudu vile atakavyo Mungu, utaratibu huo ndo kuitwa dini na endapo mwanadamu akajipangia mpango wake wa kuabudu hiyo itakuwa ni.DINI yamtu binafsi hata kama utaliona unatenda baadhi ya mema lkn bado utakuwa hujamtii MUNGU maana umejipangia sheria na kanuni zako binafsi na ukadharau utaratibu wa Mungu. Tunaona leo hii watu wameanzisha vyama vya Siasa, Taasi na Serikali mblmbl lakini wanalenga sheria zao na kuzitii lkn sheria za Mungu wanazipuiza! Mfano Serikali haina dini lakini raia wake wana dini! Hii unaingia Akilini?! Taabu Ikiwa mjengoni ruhsa kutete kilevi/pombe izalishwe, iuzwe na kunywa ilimradi ipate Nataka as Serilali (TBA nk kadhalka kamali, uzinifu (ngono)Ila vaa Condom udini kwa Usslama, haki za ninadamu zinatetea haki za mashoga laki hali za Mungu ruhsa zivunjwe/zikiukwe nk ktk Ukristo mnaamini utatu kwamaana kuna MUNGU watatu na ndomaana mnatumia neno."GOD" wingi wake ni Gods wakati MUNGU ni mmoja tu; hakuzaa wala hakuzaliwa (hanamwana)na wala hana mshirika. Yesu mnamfanya MUNGU mkuu mnamuabudu wakati Yesu ni kiumbe wa Mungu kama mm na ww nk. Mmezidi kufuru huyo Mnaemfanya Mungu mamkashifu kwa kumdhalilisha mmebuni picha na kuiweka msalabani akiwa uchi! Hivi msingeamini kwa kusema kafa msalabani mpaka muweke picha akiwa amefuga uwinda/upati?! Kwanza zamahizo hapakuwa na Camera! Huu ni uzushi na mnazidi kudanganywa na kujipangia manabii na mitume wa uwongo na mmezusha dini uwongo kibao ili tu muipinge dini ya Mungu! Baada ya kuelewa kwamba dini ndo njia utackia "dini haimpeleki mtu mbinguni" ! Hata hiyo Serikali ya binadamu inamwongozo/sheria zake (katiba)huwezi kusema kwavile mm ni mTz nfuata katba yangu inawezekana kujiamulia hivyo?! Kama haiwrzekani kwanini Dini ya Mungu muipuuze na kutunga dini zenu?! Someni kwa makini wacheni kudanganywa na shetani.
Samahani Kiongozi /Viongozi. Qoruan. Imetafsiriwa Miaka Mingi Hakuna Tafsiri Mpya Inshallah
Mbna mjadala ni waupande mmoja
Quran 62:9
Mwana wa mungu dacha naomba namba yako ya hwatsap kwasababu mm ni wa Kristo tangu nime zaliwa rakini bado nina maswali mengi kuhusu sabato tena ww naona unaweza kuni elewesha kwakuwa huubili dini🙏
Namba zangu za hwatsap ni, +255744831019
I love this 👆👆👆👆👆😀😀😀
Amen
Achen kudanganyana mbona clip mmeweka ya upande mmoja? Ok iko hivi! Mungu aliweka utaratibu wa ibada kuwa siku ya jmos bt wayahud wakaivunja siku hiyo ya sabato kwa kutega samak siku ya ijumaa jion kisha asubuh ya siku ya jmos wanaenda kumalizia kuvua ambayo ndiyo siku ya sabato, kwa hilo Mungu alikasilishwa na hilo soma qur: 2:65 na 66 kisha malizia na hiyo aya aliyoanza nayo mchungaji hapo juu yaan qur 63:9 sasa Mungu alianza na jmos kisha akaibadili ikawa ijumaa kwa utaratibu mwingine na mchungaji ameanza na ijumaa akarudi nyuma jmos sasa kati ya Mungu na mchungaji mnamfuata nani
Hawana hoja hawa wasakatonge kwanjia ya kufanya Ushirikina wanajifanya wanafufuwa watu wakati hawanauwezo wa kumfufuwa hata mbu. Gwajima New kaishiwa hoja anawalaumu Wakristo wemzie na wa Ulaya kwa luwaruhudu Waislamu kuishi Ulaya na makundi kwa makundi ya Wazungu wanasilimu na makanisa yao wanayabadili wenyewe watatafanya kuwa Misikiti bila ya kulazimishwa! Wamezowea propaganda who Waislamu tunawalazimisha wasokuwa Waislamu waingie ktk UISLAMU kwa lazima wakati huu ni uzushi na uzushi ni upotevu na kula mwenyekupote kwa uzushi ataingia motoni. Wafanue touba haraka kabla milango ya touba haijafugwa maana dalili zinajionyesha kwa kasi kubwa watu kusilimu kwa kasi inakarbia kufungia milango ya touba na ni ishara Kiama kipo karibu. InshaAllah Allah atuhifadhi atufishe tukiwa Waislamu kadhalka atufufuwe tukiwa Waislamu na atuingize sisi, wazazi wetu, vizazi vyetu na jamaa zetu ambao ni Waislamu Allah atuingize ktk Pepo ya Fildausi . ***AAAMINA***
Toa andiko ya kudhibitisha
Toa andiko iliwekwa ijumaa na sio Sunday
Hamis Hamis , the truth is, the Bible is a true word of God. Islam is a religion of the lost, led by the devil himself.
Ukweli nishindano ni chungu lakini dawa ikiingiya unapona.
Ukiristo n din ya paulo.. cio dini ya yesu..hafai kamwe yesu kua mkristo ..bal paulo alimzulia uongo yesu..
Asante soen roho
Hujui ulitendalo Allah akusamehe mchungaji
Allah Ni jiwe Jeusi tu hansuru kitu naeshimu tu Jehovah,
Nyie waislamu hamna chenu
Chetu gani
@@madrasaturahmasec3496 waislamu wamechanganyikiwa
Hata mtoto mdogo angeuliza majibu ya upande Wa pili ili ajue wameshindwa. Sasa nyie mmetuekea clip moja halafu mwahitimisha. Hii ni sawa na kujitekenya nakuchka mwenyewe
Waislamu na wakristo nani wamechanyikiwa? sometimes mnasema yesu ni Mungu Mara mtoto w Mungu Mara ni dawa Mara ni Simba Wa yuda Mara n kondoo saaasa hii sinikuchanganyikiwa kushinda mnyama
@@madrasaturahmasec3496 ni kulingana na kutoelewa kwenu
Uongo ni haramu ktk uislamu, Lakini kuna baadhi ya sehemu maalum umejuzishwa,kama vile ilivokuwa kula nguruwe ni haramu kwa waislamu Lakini pia imeruhusiwa kula nguruwe ktk sehemu maalum,
Kama vile kuokoa Maisha pindi Itakapokuwa mtu ana njaa kali NA hana chakula chengine Ila ni nguruwe, basi karuhusiwa kula kwa kadri ya kuokoa uhai wake.
Hii Ndio dini ya kislamu haijaja kuwatia watu ktk uzito,
Bali dini ya kislamu inachunga hali za waja.
Mwalimu Ndacha unatisha
Only the blood of Jesus Christ can save us from our sin, since I was born until I got to where I am I have never here that Muhammad's blood can save people
WAISLAAM KAMA MAANDIKO YAMESEMA HAKUNA HAJA YA KUBISHA
Abssalom Kakoyo kweli 💯🙏
amina
Waislamu wote njooni kwa YESU KRISTO nyie ni watoto wake Ishimael yule mtoto wa mwilini
Huo niuono wakristo hamna hoja yakuahinda waislam
Hiyo qur-ani *16*aya 124*Inaanza na herufi tatu za kiarabu ( م،ن،ا)hakika hiyo sabato waliiweka wale ambao walio khitalifiana ktk hayo yake. Na kwahayo mola wako mlezi bila ya shaka atawahukumu baina yao siku ya kiyama ktk yale waliyo kuwa wakikhitalifiana.!!!(Qur-ani *16*aya 128*Inaanza na herufi mbili(ن،ا)Hakika mwenyezi mungu yupo pamoja na wale ambao wenye kumcha yeye. Na hao ni ambao wenye kufanya mema. Mfn:vitabu vina shudia mungu aliomba ardhi na mbingu ktk siiku sita je huwo mwaka mnaujuwa au huo mwezi. (AD 2021)NI HESABU YA WAROMI ITALY
😂😂😂😂 ndacha anabadlisha aya nikama mfa maji anatapa tapa
KAZI IPO
Quran 5:117 na 3:55 inaonesha pia kuwa yesu alikufa ingawa waislamu wanasema hakufa. Hii ya sabato pia ipo kwenye Quran lkn wao wanapinga wakati kitabu chao ndo kimeandika.
Ww ndacha jiandae na adabu ya Allah kwa kuhadah na kuwadangnya makafiri wenzako eti ukristo ni dini
Kina wauma eeee
Subuhanaallah
😂😂😂 ww ndo huskii
😂 muslim lost
Muhammad Ali Na ndacha
Hamna sku waislamu wanapiga kelele wakiomba ila nyinyi mnapiga kelele kanisani
Hadi ngoma,na makelele
Amina!!.
wanatafuta kiki takbriii
Waislam warudi katika mapito ya samani la sivyo joana 8.21.24
Pasta Mungu akuinuwe zaidi
Hoja zenyewe Zakuunga unga! hakuna hata poent ya msingi.
Good pious
Habari wamepata
Wakiristo watupu wendeachia apande kidume wakiisla one ukweli
Hapo wamekalishwa kabisa
Injili inaenda
Wanafiki wanatusumbinna speaker msikitini Kila saa alaa wakbari kwani hawajui saa ya kwenda kusali lazima wait we? Ahhh
wasabato ni shida aiseee
Wanyooshe haoo
Hamuwezi kuigeuza Quran ya Allah katu
Quran ni kitabu ya uongo
quran 7:133
Muislamu hawezi shindwa na swali la kafili, sema hii ni channel yako ndio maana umeshindwa ukaikata vida ukaweka, mbona hujaweka majibu yake?, ungeweka penye Muislamu amekujibu, hila ulijua Muislamu kajibu maswali yako vizuri
Mohammad alimsilimisha shetani katika kitabu hiki hapa hasiri ya majini ukurasa was 20
Huyu jama ako sawa kabisa.Mkubali ukweli na hata Quran ndio amwtumia mandiko kuwafungulia ukweli wa mambo.Unapo sikiliza huu ujumbe Mungu ana sababu wewe ukausikize ili siku isije ikafika ukasema hukuhubiriwa wala hukupewa mandiko ukaelimika.Jifikirie mara ya pili.ujumbe ushaupata na maswali utajibu
Ikiwa huyu jamaa anafundisha siku ya sabato ktk Qur'an, hii ina maana mungu alieleta Injili ndie alieleta Qur'an
Kwa hivyo inayofaa kufuatwa ni Qur'an aliyoileta mwisho na ile ya mwanzo imeisha muda
Ndacha need to protected
quran 116 l
Alexander Mullison umetoka andiko soma Quran Sura ya 62 eye ya 62:9 Sura ya Al Jumu'a hata mtoa mada ameielezea au ulikuwa umelala?!. Vilevile kumbuka ktk Uislamu jambo jema lolote ni ibada hata biashara ni ibada kama utaifanya kwa kuzingatia maelekekezo na matakwa ya Mungu, Sala ndo ibada kuu (Sala kama mkapo/kibebeo cha kubeba kubeba amali njema) kama husali amalizako njema zitasambaratika/zinakosa kibebeo. Mungu ameibadisha SABATO kutoka jmosi na kuwa Ijumaa nyie mnang'anga'ania Sabato jmosi kwani nyie Waislael?! Wengine Sabato Wakaifanya j2 hawa wamerudi ktk Upagani (wanaabudu Mungu Jua /siku ya Mungu Jua/Sunday)! Ijumaa ni cku ya Sabato kwa walioamini na kumguata MUNGU wa ukweli. Jmosi(ilikuwa cku ya Sabato) Mungu amebadisha na kuifanya iwe Ijumaa. Soma Surrat Mum'a Sura is 62yote aya namb'1- hadi ya mwisho (mwanzo-mwisho)utaelewa MUNGU anamaana gani hao wachungaji wanazikata baadhi ya aya wanabadilisha wanachukuwa zile zenyemanufaa yao binafsi ili kuwapotezeni.
Ndacha, ni makosa kuwasalimia waislamu, waislamu hawarudishi salamu kutoka kwa makafiri.
Kafiri ni Allah na Muhammad
Quran 18:5.Almighty said`They know nothing except lie´best example is this pastor.
Kwani huyu pastor anabishana na nani he knws nothing he is jst making fun of himself nonsense
Prove it.
@@ahmedwako7732 umekasirishwa sana bro, relax and learn, don’t be regid
Yaan hawa wakristo Allah awaongoze wajua njia ya haki maana wao kila kitu wadanganywa. 1. Wanasoma aya hawalizii ili ujumbe ukamilike. 2. Wanaunganisha unganisha aya bila kujua kila aya ina makusudio yake . 3. Wameweka clip moja watu wasijue majib yalotolewa. Generally wakriato wanapenda kubadili mambo ili yaendane na matakwa yao ndio maana kila cku biblia yao inabadilishwa. Saivi kwao ndoa ya jinsia moja sawa, ushoga sawa, pombe, nguruwe nk. Yaan Hawa watu sijui wakoje!
Kama since binadamu wao nini
Ulishindwa wewe mbona huwwonyeshi walivyokujibu vidume kuwandanganya wakristo wenzako tu fundi lakin si waislamu hutoweza
quran 16 watu wacha mungu wanaitwa Israel
Post full video wcha kupost zamu zaki tu
Je umeokoka? Kubali yesu awe mwokozi wa maisha yako ili mwishowe usimalizie jehanamu kwa moto wa milele.
Alishindwa ndiomana hawako yote
Uyo pastor ni kama ako mavitu na mwenye alipost hii video Pia alikua anatafauta comments acha to tumpatie ju Sisi waislamu atukuagi wachoyo
Naona hawajaixoma Quran wakaielewa
Kali sana
wamengeuza maneno ya qu'ora ijo kitabu wakichunguze vizur loooo
Mbona hamalizii aya 😂 huyo mchungaji hajui
Kujeni kitale muone
Nyinyi akuna kitu
Elimu yenu ni duni kujeni kitale
Uislamu ni dini ya kishetani
Hiyo habari umetoa kwa kitabu gani...
Sasa mbona uyo SHETANI kiti chake kiko kanisani?
Na mbona nyinyi mnapenda kuimbaimba na wake Wa watu makanisani kisha mnasema dini y Mungu iyo si ninoma
Uislamu ndo Dini ya ukweli hata mkipiga porojo zenu kiasi gani wakiristo duniani wazidi kusilimu n kusalimika n wizi n ungo w kanisa
@@princejeybinsule7539 fuck ndo dini yako
wakrsto wacheni kugeuza maneno.
Wew kaullizwa maswali n ukashndwa kuyajibu...pili,mlirecod video zako ila zake mlidanganya kuwa camera inasumbua..
Safi sana mchungaji
Nauliza kuna andiko lolote yesu aliingia kanisani Siku ya sabato?????
Kanisa ni nini?
Lack of comprehation
Reason being, you understand the Bible through the lens of your satanic book... Quran.
Nawe kupata number za muibili Ndaca kama inawezekana
Pastor wapi mbona hatusikii pande ya pili ilivyoshindwa? Au ulishindwa wewe?
ahhh kweli kabisa aya zake zinaishia nusu
th-cam.com/video/d4_S3CZQwkU/w-d-xo.html
Haji harun
Alishindwa yy ndio mana anaongea sana bila majibu
@@tips2take104 ndio kawaida ya mnafik
11
Mashindano ya wakristo an waeslamu haitahisha mpaka mwisho wa ulimwengu.
Nyinyi wote muko no makosa. Mnafuata calendar wa Nani? Ijumaa, na jumamosi ilitengenezwa na MTU moja ambaye no Gregory ndiyo calendar ikaitwa Gregorian calendar. Someni hapa mkaelewe saidi www.worldslastchance.com
Mdahalo ulikua wa dakika chache namna hiyo,acha woga weka na clip ya Waislam tuone walivyokumanua...ukristo ni ukafiri
Kwakuwa Ukafili Wako Umeuweka Mifukoni. Acha Kujipotosha.
Weww ndio kafir
Kama ukristo ni ukafiri, mbona waisilamu munalipua watu kwa kutumia vilipuzi na kufanya mashambulizi kwa watu wasio na hatia? Usikane. Maana ukweli huonekana. Je umeokoka? Kubali yesu awe mwokozi wa maisha yako. Usikuje kujuta ukisema laiti ningelijua mwishowe ukiwa jehanamu ukilia na kusaga meno.
Tuachane na madini ya kigeni hayo hakuna uislam wala ukristo let's go back to our culture turudi kwenye uafrica hayo yote no madini ya kigen
Na hiyo culture ilitoka wapi n walikua wakiabudu vipi
Tumia akili yako vizuri,hivi wewe umejileta hapa duniani au umeletwa? Waweza kuimiliki nafsi yako au umemilikiwa?tafakari.
Mbona kama unasema ukweli hukutupatia nafasi ya kusikia sauti y mashekhe wakiislamu wakikijibu
Ndivyo walivyo hawa makafiri,kuna ki channel cha umbea uchukua vipande vya hawa makafiri wenzake akaweka na kichwa cha habari tofauti, ukiona ivyo walikua wameshindwa,watawapotosha hao kondoo waliopotea jangwani
Kweli kabisa hoja inajibiwa kwa hoja lakni wao hawakutoa full video
@@fatumamwalimu5765 ni kweli dadangu hata wakificha ukweli Allah ashadhihirisha n mamilioni wanasilimu alhamdulillah
Read Quran 5:117 and 3:55 it shows Jesus died on the cross. But Muslims do not accept this claim though it is from their own. Again they dont acknowledge the Sabbath from their own book.
Ndacha toka ktk ukafiri huko unapotea ndgyang achakuwadanganya wakristo Kwan hii ni dunia tu