VIJANA TANZANIA WATANGAZA MAANDAMANO YA KUMTAKA RAIS SAMIA AFANYE HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

ความคิดเห็น • 694

  • @lucylight9341
    @lucylight9341 หลายเดือนก่อน +9

    Oh kumbe kasamuel kaskazini wenyu ni huyu ...wow lazima vijana muamke mpiganie ukweli na haki ....hongera vinjana ❤️❤️❤️💪💪💪👏

  • @shantalclaryboteku9710
    @shantalclaryboteku9710 หลายเดือนก่อน +33

    Excellent 🤝vijana wa Tanzania tuamke sasa,nchi inaendeshwa kama watanzania tumelala kumbe tunajitambua na kujielewa,Mimi naunga mkono maandamano hayo tumechoka aisee

    • @user-hb5zt3zw3y
      @user-hb5zt3zw3y หลายเดือนก่อน

      Kuamka atuwezi bdo xna

    • @user-hb5zt3zw3y
      @user-hb5zt3zw3y หลายเดือนก่อน

      Kuamka atuwezi bdo xna

    • @ManaseJohnson
      @ManaseJohnson หลายเดือนก่อน +1

      True brother tumechoka

  • @carolinenaliakanaliakacaro8919
    @carolinenaliakanaliakacaro8919 หลายเดือนก่อน +8

    Huyo ni Eric Omondi wa Tanzania 💪💪💪💪

    • @fatmasaiid4889
      @fatmasaiid4889 หลายเดือนก่อน

      Ni kasamuel mcoure 😂😂😂wa Tz

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 หลายเดือนก่อน +46

    Ukitaka kujua hilo jambo ni gumu, angalia vyombo vya habari vya Tanzania kama vimesapoti😂😂😂😂 nchi hii tuna safari ndefu sana😂😂😂

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 หลายเดือนก่อน +1

      anza kuwa tayari kuanzia comment yako

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm หลายเดือนก่อน +1

      Itawageukia wao. Ccm haiku milele na itatoka madarakani. Hapo ndipo watakapojitambua.

    • @shantalclaryboteku9710
      @shantalclaryboteku9710 หลายเดือนก่อน

      Kipi kikuchekeshacho?

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 หลายเดือนก่อน +1

      😅Kwa hiyo mnatakavkuandamana mkale ubwabwa ikulu 😅kenge nyie jaribuni kufanya fujo mmeona Magu kaondoka ndo kila mtu sharubu kaa kambale hovyo kabisa mbwa nyie

    • @Revelation1412.
      @Revelation1412. หลายเดือนก่อน

      😅

  • @user-qc9jf6rn7u
    @user-qc9jf6rn7u หลายเดือนก่อน +19

    Vijana msitumike vibaya. Nchi hii haina tatizo la kuzua taharuki kwa wananchi. Amani isiwafanye kuwaza yasyofaa. Historia yetu ni tofauti na nchi zingine jirani. Hili jambo mnalolipanga si zuri, acheni.

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 หลายเดือนก่อน

      Mna haki vijana kuandamana. Lakini hiyo ndio itawapa upinyo wa maadui (neocoloniasmus) kuharibu maendeleo tuliyoyafanya kwa kipindi hichi kifupi) madaraja, Barabara na viwanda watakuja wazungu kuvivunja kwa kumtumia mtu mweusi kama ilivyokuwa 🇱🇾 LIBYA. So vijana sio kwamba ninawaogopesha au kuwakatiza tamaa; la sivyo ila jipangeni vizuri sana. Msikubali kutumiwa na wazungu. Naomba Serikali ifunge mipaka
      Hakuna mtu kuingia au kutoka nje ili kumjua mchawi ni nani na kumkamata.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน

      ​@@joycelinelyimo-fenske8745kuna watu wako nyuma siyo bure...

    • @BarakaOmaryy
      @BarakaOmaryy หลายเดือนก่อน

      We kalale bado una usingizi

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 หลายเดือนก่อน

      @@BarakaOmaryy asante

    • @wilsonandlea8614
      @wilsonandlea8614 หลายเดือนก่อน

      Sisi Kama watanzania wenye nchi yetu Leo hii wanasiasa ndoo wapango bajeti yatanzania wao wanajipagia bajeti yao nzur ila sisi wapiga kura ambao ndoo watanzania wenyewe tunaishi maisha magum na isitosho mgen akija anaishi Kama mfarume tena hao wanasisa ndoo nakaa meza moja washenzi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +10

    Hongereni sana vijana.mimi niko nyuma yenu.Nawaunga mkono mia kwa mia.

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 หลายเดือนก่อน +1

      Mh unataka watu wafe au na ww uchekelee

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi หลายเดือนก่อน

      Kaa mbele sio nyuma😂

    • @sadih5333
      @sadih5333 หลายเดือนก่อน

      Ungeandamana kipindi cha pombe magufuli kama unamachungu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@sadih5333 Ile kauli tu ya wao kutaka kuandamana itawafanya watawala wajisahihishe kwa kuongeza ufanisi zaidi na kupunguza ufisadi .sasa kama ww hujui faida ya maandamano,jitambue.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +1

      @@sadih5333 sasa magufuli yeye yuko wapi?

  • @HassanJambia
    @HassanJambia หลายเดือนก่อน +12

    Ukitaka kujuwa watz n hovyo angalia kment

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl หลายเดือนก่อน +1

      Nimeziona ndg. Tuko wa hovyo mno

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm หลายเดือนก่อน

      Angalia majina ya kiislam ni Wazanzibari hao siyo WaTanganyika fungukeni nyie.

  • @PatrickJulius-uy3yb
    @PatrickJulius-uy3yb หลายเดือนก่อน +16

    Safi sana vijana kuanzia sasa kizazi cha wajinga kinaelea kuisha haasa wanao coment uoga hivi ndivyo tunavyo weza kujikomboa kama vijana taifa ra reo

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 หลายเดือนก่อน

      kabisa uko sahihi

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 nikona mmetimiza nitawaani ila najua ni kiki tu maana hata anayetoa hiyo taarifa anatetemeka

    • @abdallahmagomba4022
      @abdallahmagomba4022 หลายเดือนก่อน

      Huyo kijana mzazi wake ndio mjinga na hajui alitendalo

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 หลายเดือนก่อน

      ​@@ndogoroedson199😅😅😅😅 ukiiga ujinga lazima utatetema2😊

    • @malikeyndotopopote
      @malikeyndotopopote หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahmagomba4022wazee kama nyie ndio kirusi cha taifa letu. Kwaza mmetuibia sana.

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 หลายเดือนก่อน +8

    wacheni hashuo wacheni kuiga hizo nguvu wekeni 2025 kama kweli mmechoshwa na govnt hii

  • @DanielYusuph-071
    @DanielYusuph-071 หลายเดือนก่อน +3

    Big up bro 🙏🙏

  • @JamalKanani
    @JamalKanani หลายเดือนก่อน +6

    Mfanye maandamano ya amani mkimaliza mkakojoe mlale

  • @ZainabMilanzi
    @ZainabMilanzi หลายเดือนก่อน +5

    Nawatakia safari jema vijana wa kitanzania mungu awabariki

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii หลายเดือนก่อน +12

    Kijana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,Tanzania undezi unaoutaka hatuutaki,kafanye kwingine

    • @EmanuelJophet-pp8qs
      @EmanuelJophet-pp8qs หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mpuuzi na sio mpuuzi tu wewe ni mshenzi.

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 หลายเดือนก่อน

      Omba yawe yanatoka kwajiran yako2

    • @partio__2023
      @partio__2023 หลายเดือนก่อน

      Umetumwa wewe tunaweza

    • @jafarysoahsoah8530
      @jafarysoahsoah8530 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu kabisa 😂

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri หลายเดือนก่อน +4

    JARIBUNI HAWO WANAO WADANGANYA WAYAPELEKE KENYA SISI WA TANZANIA HATUYATAKI NJAA ZAWO NATAMA ZAWO WASITULETEI HUKU

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      Waache waandamane ili mradi waandamane kwa amani.Maandamano ni njia mojawapo ya kuwafanya watawala wajirekebishe.Hata kuandika tu hujui elimu uliyoipata imekuongezea ujinga badala ya maarifa.Badala ya kuandika zao ,umeandika zawo.Hii inaonesha ww ni maiti inayotembea.

    • @SaimoniKamwaki
      @SaimoniKamwaki หลายเดือนก่อน

      we c umeshibaaa​@@MathewNathan-yb2bz

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน +2

    KUWENI makini Tanzania sio Kenya.

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ kweli atuna ata mda wakupeana joto tunaishi na wasiwasi adi mzee ainuki 😢😢😢😢😢 Mungu Baba tupe nguvu tuweze

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 25 วันที่ผ่านมา

    Karibuni Road ma-brother wangu.... Hii nchi sio Kenya Kabisaa....

  • @TOBIASMWANJA
    @TOBIASMWANJA หลายเดือนก่อน +2

    Hiii ni uonga mingi sana tare 26/08/2024 ni mbali sana mngesema kesho bwana ama Monday next week

  • @LochaFranklocha
    @LochaFranklocha หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea vizurii sana ila umekera kwenye luga

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr หลายเดือนก่อน

    Safi sanaaa vijana naunga mkono tuamke wa tz tuondoe uwoga

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli Tanzania inamambo mengi na mengine yanaumiza Sana
    Ninacho kiamini ipo cku Dunia itashangaaa kwasababu hakuna marefu yasiyo na ncha
    Watu wengi wanatembea wakiwa na maumivu makali Sana moyoni time is now😭

  • @karolinchimani5316
    @karolinchimani5316 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe ni mtanzanis kweli?
    Don't panic,.......
    Tunataka amani Tanzania, umwagaji damu hatutaki

  • @MohammedMtoza
    @MohammedMtoza หลายเดือนก่อน +2

    Uko sawa kabisa

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 หลายเดือนก่อน +3

    SAFI VIJANA MNAJITAMBUA

  • @user-hd7gs5by4s
    @user-hd7gs5by4s หลายเดือนก่อน +2

    ❤ good tuamke

  • @PendoSamwel-vc4eg
    @PendoSamwel-vc4eg หลายเดือนก่อน

    Safi sanaa naomba Mungu awatangulie wakati umefika wakuamka tumechoka na uonevu huu

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 หลายเดือนก่อน +5

    Utakuwa ushanyakuliwa kabla ya hiyo tarehe 26 kijana!

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 หลายเดือนก่อน

      Ukweli kabisa nchi/ Serikali imekithili kwa utekaji

    • @amaniilomo1632
      @amaniilomo1632 หลายเดือนก่อน

      Zitapita wiki 2 hatujui aliko

  • @AmosiSisangu
    @AmosiSisangu 4 วันที่ผ่านมา

    Nyie sio watanzania watanzania wamelelewa na adabu na hawawezi kuwakaripia viongozi wao

  • @juniorinyanda9527
    @juniorinyanda9527 29 วันที่ผ่านมา

    Freedom must come African

  • @Victor-im7uw
    @Victor-im7uw หลายเดือนก่อน +2

    Je nikweli muwe 😢😮😊siriasa maana serikali ya tz mbaya wako tayari kuwa ili wabaki madakani Kumi maelfu mjipange vizuri vijana

  • @user-nc6rm9xt5h
    @user-nc6rm9xt5h หลายเดือนก่อน

    4:38 4:39 4:39 4:39 4:40 4:40 4:40 4:41 4:41 4:41 4:42 4:42 4:42 4:42 4:43 4:50 4:43 4:43

  • @Boeing_engineer
    @Boeing_engineer หลายเดือนก่อน +2

    Acha kupotosha watu,tumbafu nchi yetu haikupata uhuru kwa maandamano,vita au mapinduzi,weka hoja zako,na tumia lugha isio na kashifu,matusi au uchochezi kwa wakuu itasikika,kusema maandamano nchi nzima ni uchochezi ,alafu jichanganyeni mtajua mko kenya au Tz

    • @MohammedGayoye
      @MohammedGayoye หลายเดือนก่อน

      Wewe endelea kukariri tu hizi sio enzi za nyerere

  • @huyu1993
    @huyu1993 หลายเดือนก่อน +2

    MTU akishiba hamjui mwenye njaa hebu jaribuni tuone

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza nawapongeza hawa Gen Z wa Tanganyika kwa kuamka, hongereni sana, ila ni haki ya kikatiba mtu kuandamana, tumekua tukitishwa sana tunakosa haki zetu za kimsingi, kuna mambo mengi sana ya kurekebishwa lakini haya waliyoyataja ni muhimu sana mengine yatafuata

    • @BoazDillu
      @BoazDillu หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @ShabanZuber-m4k
    @ShabanZuber-m4k หลายเดือนก่อน

    Safi sana vijana mim kama mzee nawatakia kazi njema mim nimzee siusiku umu

  • @PeterKisiongo
    @PeterKisiongo หลายเดือนก่อน

    Mungu atangulie n vijana wetu wa Tanzania yetu

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t หลายเดือนก่อน +3

    Tutafika kaka adi akieleweke tumechoka.

  • @evangelicalmiraclesfellowship
    @evangelicalmiraclesfellowship หลายเดือนก่อน

    It's about time

  • @TuntufyeBrayson
    @TuntufyeBrayson หลายเดือนก่อน

    Life is not such simple this is Tanzania

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 หลายเดือนก่อน

    GEN Z wake up ndio wakati wenu

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati หลายเดือนก่อน +1

    Mi mwenyewe mdogo wangu huko mwanza ilisemekana kakamatwa na jeshi la police lakini hadi sasa miezi mitano hajaonekana sehem yoyote...haonekani polisi magereza au mochwari..ndg wamezunguka sehem zote bila mafanikio..vijana tupiganie nchi yetu.

  • @newtonnyembe8228
    @newtonnyembe8228 หลายเดือนก่อน +4

    Tusifanye mambo kwa kuiga, tuwe makini sana hasa kwenye kuulinda na kuheshimu amani iliyopo isije ikanyakuliwa.
    Tusihamasishane kulazimisha serikali kufanya jambo haraka kumbe linahitaji kufanyika kwa kufuata taratibu zake kisheria.
    Tuwe makini tusiige tu ya wezetu majirani ambao pia wamepoteza wezao kwa ajili ya kulazimisha serikali kuandamana pasipo na ulazima Wananchi wa Tanzania tuendelee kudumisha Amani tuliyonayo
    Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.

    • @stivinshedrack7841
      @stivinshedrack7841 หลายเดือนก่อน

      Una aman au utulivu😂😂😂

    • @akimAkimuWA-m3t
      @akimAkimuWA-m3t หลายเดือนก่อน

      Watuwasitekwe

    • @EstherDamian-xo2fz
      @EstherDamian-xo2fz หลายเดือนก่อน

      Ndugu😂😂😂😂

    • @shantalclaryboteku9710
      @shantalclaryboteku9710 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe itakuwa hujazaa au hujazalisha maana huna uchungu wa watoto wanaouwawa na serikali haitoi tamko lolote,kukemea uhalifu usiendelee na kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya wauwaji
      Amani iendelee huku watoto wanapoteza maisha hapo Hakuna amani bora ijulikane moja amani itoweke Tanzania tumechokaaaaa

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab หลายเดือนก่อน +1

    Mahandamano Ni Sawa Na Msafala Wa Mamba Kenge Watakua Ndani Yake2

  • @user-ln3jp8cu8u
    @user-ln3jp8cu8u หลายเดือนก่อน +3

    Nami nakuja safi sana

  • @user-ku6ww8zv9d
    @user-ku6ww8zv9d หลายเดือนก่อน +7

    We mjinga huwwezi kuamrisha raisi kama unavosema kua na adabu

    • @abdulmutabuzi6206
      @abdulmutabuzi6206 หลายเดือนก่อน +3

      Mjinga ni wew

    • @Ambwene
      @Ambwene หลายเดือนก่อน

      Mjinga mamaako na babaako Kuma wewe

    • @AllyYunus
      @AllyYunus หลายเดือนก่อน +1

      Usimuamrishe vipi sasa wakati sisi ndo mabosi zake we vipi kijana mbona akili fupi izo

    • @shantalclaryboteku9710
      @shantalclaryboteku9710 หลายเดือนก่อน +1

      @@Ambwenesafi sana ongeza tusi lingine nina vocha yako hapa

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite หลายเดือนก่อน +1

    One peace one love TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mamenmudi9828
    @mamenmudi9828 หลายเดือนก่อน +3

    Amani na utulivu tuliyonayo ni muhimu zaidi kwetu kuliko hizi harakati zenu za kisiasa

    • @suzysam6002
      @suzysam6002 หลายเดือนก่อน

      Hujakutwa na jambo

  • @mrokana6493
    @mrokana6493 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi twara nasubiri kwa mkp tr 8 nikaandane na wananchi yanga damdam😮

  • @TonyclouzyNeliven-c8i
    @TonyclouzyNeliven-c8i หลายเดือนก่อน +1

    NAYA UNGAMKONO màandamàño tuciogope wa TAnzanià

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 หลายเดือนก่อน

      Mwamba maandamano xio powa mbona raix wetu yupo powa tuu

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro หลายเดือนก่อน

    We support from kenya

  • @lovenesshadracklove4350
    @lovenesshadracklove4350 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman tusikubali kununuliwa Bado tunaaman angalie nchi kama Kenya Uganda na Nigeria uingereza watu wanateseka tulinde aman yetu jaman,

    • @mecknaika4260
      @mecknaika4260 หลายเดือนก่อน

      Kenya hatuteseki tuko sawa, wacha porojo

    • @lucylight9341
      @lucylight9341 หลายเดือนก่อน

      Kenya Iko imara punguza ndomoooooo weweeeee

    • @kamaustephen7726
      @kamaustephen7726 26 วันที่ผ่านมา

      wanateseka kuna mmoja.hura.kwa.mama yako waogo njoo tukurishe ukomae

  • @Ufalme1
    @Ufalme1 หลายเดือนก่อน +2

    TANZANIA TANZANIA TANZANIA NCHI YANGU IMEPOTEZA MWELEKEO , HATUONI TUNAENDA WAPI KAMA NCHI ,,,,,,,,NAONA HURUMA SANA......KUONA HAKI ILIVYOSUKUMIWA MBALI.

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 28 วันที่ผ่านมา +1

    Waislam acheni kukumbaza watanzania

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 28 วันที่ผ่านมา +1

    Waislam acheni kulaliza watanzania

  • @MwandoAlexis
    @MwandoAlexis หลายเดือนก่อน

    Big Clap Tanzanian Gen Z

  • @innocentbalahoza1491
    @innocentbalahoza1491 หลายเดือนก่อน +2

    Tz tunakulana wenyewe kwa wenyewe, angelikuwa mwijaku au Ba levo wangejazana na mic

  • @FaustineLuanda
    @FaustineLuanda หลายเดือนก่อน +2

    Pa1 sana

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso หลายเดือนก่อน

    Dah poleni sana vijana wengi wakibongo wako busy na kushabikia mpira wa simba na yanga wako kwenye usingizi wa pono

  • @mohamedally6992
    @mohamedally6992 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂NACHEKA NAWAONEA URUMA SANA KAMA MMETUMWA JITAFAKROON SANA SANA TANZANIA AJAFIKA HUKO.

    • @IsanHomi
      @IsanHomi หลายเดือนก่อน

      We Shiba ugali wako tuliza komwe huko

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 หลายเดือนก่อน

      Pumbavu wewe

  • @khasabasalumu8244
    @khasabasalumu8244 หลายเดือนก่อน

    Ukijiona unakula ugali dagaa kwa amani shukuru mungu kwa hari hiyo usitake maisha ya bakharesa mungu ndio anapanga ridhk ya Kila mtu na hakuna inchi hata Moja duniani matajili tupu lazima maskn wawepo ndio mpango wa mungu ili tuweze kutumana ,na ikitokea wote kua matajili hakuna wakulima hapo mtakufa kwanjaa wote acheni izo

  • @JosephMollel-s8m
    @JosephMollel-s8m หลายเดือนก่อน

    Gez zwefind for our country

  • @franklaizar
    @franklaizar หลายเดือนก่อน

    Thanks vijana

  • @JumaMambo-iu3lt
    @JumaMambo-iu3lt หลายเดือนก่อน

    Ongeleni vijana pambanen

  • @LukumanHabibu-f3j
    @LukumanHabibu-f3j 17 วันที่ผ่านมา

    Safi sana naunga mkono nitakuepo

  • @HasanooTozzy
    @HasanooTozzy หลายเดือนก่อน

    MUNGU IBARIKI TANZANIA 😢

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 หลายเดือนก่อน +1

    👏👏👏💯

  • @emmanuelmatowo2434
    @emmanuelmatowo2434 หลายเดือนก่อน +2

    Heavenly father, look upon your children and touch the body of the person reading this with healing and peace...
    Touch their finances and open new doors, and make them to know you more, may them to be at peace with you, and whatever that may have hurt them to stay away from them, Lord heal them in Jesus name. Amen.❤️
    Bless my day with a like.

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 28 วันที่ผ่านมา +1

    Njooni Kenya mjionee

  • @Ushashi26
    @Ushashi26 หลายเดือนก่อน

    Goma lisha Anza asantn Sana vijn wenzangu

  • @bongo39
    @bongo39 หลายเดือนก่อน +6

    Choko tutolee ushamba wako na suti yako kama ni mwanamme kweli ingia mtaani halafu uone

    • @Ambwene
      @Ambwene หลายเดือนก่อน

      Mkundu wako utafirwa choko babaako na mamaako mbwa wewe

    • @nasibuathumani7705
      @nasibuathumani7705 หลายเดือนก่อน

      Sawa watt wa viongoz. Mna kunya serikari mna kula serikar. Mna someswa serikar

    • @walker-96
      @walker-96 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni kuma unatombwa

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 25 วันที่ผ่านมา

      Kwani humuoni kama mwaume kweli na pia aone nini nyingi ndio watekaji eerh mnaonantz ni yenu

  • @ramadhanimwinyi-7445
    @ramadhanimwinyi-7445 หลายเดือนก่อน +2

    We lete maskhara tu kuharibu utulivu ,.wanchi halafu huna adabu na aliyekutuma,.mtagongwa nyinyi ohoooooooo haya bhana

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m หลายเดือนก่อน

      Wee bado mtoto...hujui nchi inakoelekea. Utakuja kulimbia ukihisi Luna askari wa kukulinda ...omba vijana wasiamue

  • @user-rw9bl5je4d
    @user-rw9bl5je4d หลายเดือนก่อน

    Wapo hata huku znz wametulia watu kwa hao watu wasojulikana ..

  • @MakameJumaa-f2y
    @MakameJumaa-f2y หลายเดือนก่อน +2

    Mimi simo kijana wewe kandamane kaka halafu unasuti nzurii eee

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 หลายเดือนก่อน

    Mungu Anajibu kwa sasa nivizuri Kwa Sasa watanzania wamekumbuka Shuka na Kumekucha .tunawaunga Mkono kwa Maana Inchi kwa Sasa inaenda pabaya

  • @ZainabuHabib-b7e
    @ZainabuHabib-b7e 27 วันที่ผ่านมา

    Amiin

  • @jeromejosia-zp7gr
    @jeromejosia-zp7gr หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania tunashindwa na taifa la kenya tumekuwa waoga

    • @BoazDillu
      @BoazDillu หลายเดือนก่อน

      😢😂😂

    • @BoazDillu
      @BoazDillu หลายเดือนก่อน

      Bend shujaa tuko nyuma yako kukuzika😂 😂 kwa upuuzi wako

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mjinga sana kamata atafuruga amani subiruni uchaguzi

    • @JumanneShambi
      @JumanneShambi หลายเดือนก่อน

      Hakika 😂, tunapenda kula ugali aloo bora wali nyama kwenye amani

    • @fadhirimarko7427
      @fadhirimarko7427 หลายเดือนก่อน

      Siungi mkono maandamano na pia siungi mkono kutekwa

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbukeni TANZANIA ndiyo nchi pekee Africa yenye kikosi kinaitwa FFU TANZANIA Hakuna police service hapo huyo anayeongea anaonekaana Ni kama YATIMA hana wazazi mwenye wazazi akaandamane mtawapa msongo wa mawazo wazazi wenu

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo Wakenya walioandamana ni Yatima, hujitambuwi.

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน

      @@JesusJesus-ny1sm yesu wa mxhongo Kenya siyo TZ

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm หลายเดือนก่อน

      @@aediayumgo8546 Wewe ni Mpumbavu hujitambuwi, hao ni Wanasheria wanafahamu sheria !!!! Kwa nini una comment wakati unajuwa kabisa hauna shule !???

  • @PULKERIAIZIDORY
    @PULKERIAIZIDORY หลายเดือนก่อน

    Mungu uttusaidie juu ya maandamano haya vijana wana uchungu mkubwa tumuombe Mungu atulize hasira zao

  • @RamadhaniMsilagi
    @RamadhaniMsilagi 25 วันที่ผ่านมา

    Xio Kwa siasa ya bongo nchi inasiasa ngumu xana hii😅😅😅

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 หลายเดือนก่อน

    Sisi km wananchi tunatakiwa kulinda yote yametokea maana watekaji ni wananchi wauwaji ni wananchi uzalilishaji ni wananchi tena ni vijana kabisa badiliken jaman

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 หลายเดือนก่อน +6

    Unatafuta umalafu dogo mbona Mimi ni kijana na sijatekwa tumieni vizuri uhuru mlionao

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 หลายเดือนก่อน

      shida yako sio kutekwa shida ipo hapo karibu na uso wako juu kwenye kufanya interpretation au kutafasiri mambo

    • @walker-96
      @walker-96 หลายเดือนก่อน

      Acha ushoga mbwa wewe ww kama unatombwa si utulize mkundu wewe

    • @EmanuelJophet-pp8qs
      @EmanuelJophet-pp8qs หลายเดือนก่อน

      Wewe inaonekana unajinsia mbili halafu inayofanya kazi ni hiyo ya nyuma.

  • @EmmanuelMwambaji-g9s
    @EmmanuelMwambaji-g9s หลายเดือนก่อน

    He has been inspired by kasmuel.Even the outfits says alot🫡

  • @reinfridlipili5666
    @reinfridlipili5666 หลายเดือนก่อน +1

    Igeni tu😅😅, Ngoja tuanze kupasha sasa😋😋😋

  • @rosejohn6603
    @rosejohn6603 27 วันที่ผ่านมา

    Mumebugi kwa Tanzania bado sana huo usanii wenu ngoooo😂😂😂

  • @barakajoseph-e8b
    @barakajoseph-e8b หลายเดือนก่อน

    Vijana tuishi katika viapo vyetu vya JKT ,Tutamlinda na kumweshimu MWESHIMIWA Rais wa Jàmuhiri ya MUNGANO wa TANZANIA .

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wengi wanaililia amani.
    Wanaoishi sehemu hakuna Amani ndio wanajia umuhimu huo.
    Duniani watu watahangaika kutafuta viongozi wanaowataka wao kwamwe hawatatokea, huo anaowalaumu viongozi apewe yeye uongoxi tuone atafanya nini.
    Muhimu sisi wananchi kwanza tubadilike sisi basi Allah atatubadilishia viongozi bora.

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 27 วันที่ผ่านมา

    Viongozi mna makosa kwa Nini msikosolewe!? Pia mjue mpo wachache sikilizeni watu

  • @TonyclouzyNeliven-c8i
    @TonyclouzyNeliven-c8i หลายเดือนก่อน +1

    Tusiwewaoga tuna hitaji mabadiliko

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 หลายเดือนก่อน

    Miaka ijayo Tanzanian itakuwa balaa,viva tanzania

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 25 วันที่ผ่านมา

    Tuko pamoja kijana mwenzangu ... mwendo wa ngiri

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 หลายเดือนก่อน +3

    Safi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +1

    Mm langu jicho👀

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 หลายเดือนก่อน

    ❤❤kweli vijana tumechoka jamani

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 หลายเดือนก่อน

    TRUTH TO BE TOLD ❤

  • @JanethSamwel-t3u
    @JanethSamwel-t3u หลายเดือนก่อน

    Nakuunga mkono kaka angu hongera

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani na mimi naunga mkono CCM yatoke matekaji haya

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj หลายเดือนก่อน +4

    Gz wa Tanzania mpoo?mkumbuke baadae ya taifa letu inategemea mwamko wenu.

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq หลายเดือนก่อน

    Safi sana jmn kaziii hiindeleeee tunamtaka makondaaaaaa

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 หลายเดือนก่อน

    Muandamane na Baba zenu na wake zenu nawatoto we nu, ndio mtaijua Tz.