VIJANA WAKIWASHA WIZI WA FEDHA ZA UMMA | UTEKAJI | NGORONGORO | KATIBA MPYA | WATANGAZA MAANDAMANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #TANZANIA: VIJANA WATANGAZA MAANDAMANO
    Vijana watangaza maandamano nchi nzima, moja ya sababu zao ni watu kutekwa na wenye mamlaka wanatoa kauli za kuudhi badala ya kutoa kauli za kukemea pia sababu nyingine ikiwa ni ugumu wa maisha.
    Zaidi: • VIJANA WAKIWASHA WIZI ...
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 607

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 หลายเดือนก่อน +12

    Hawa ndo vijana sasa sio hao wanaoshinda kutwa nzima wakifuatilia Ali kiba na Diamond. Mungu awatangulie👏👏

    • @BahatiRamadhani-i8f
      @BahatiRamadhani-i8f หลายเดือนก่อน +2

      Na mpira Simba n yanga huwambii ktu

    • @BraxedaDomina-xn4zc
      @BraxedaDomina-xn4zc หลายเดือนก่อน +2

      Wanamfatilia manara anavyokatika na mkewe

  • @yusuphkichawele1009
    @yusuphkichawele1009 หลายเดือนก่อน +22

    Nice,good job Soka✌️✌️✌️

  • @user-us5xl4zu3r
    @user-us5xl4zu3r หลายเดือนก่อน +10

    Asanteni sana vijana kwa kuliona hili,nyinyi ndio wenye nchi hii,tunawaunga mkono kwa maamuzi yenu.

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 หลายเดือนก่อน +5

    Fanyeni kama Kenya vijana wizi ni mkubwa Kwa viongozi wa CCMliamsheni Dude tupo nyumayenu

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 หลายเดือนก่อน +7

    Mama Samia ajiuzulu hatumtaki kabsa mm ni ccm lakn cjawah kumwelewa mama kizmkaz

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj หลายเดือนก่อน +12

    Samweli mbwambo safi sana vijana msirudi nyuma mungu awabariki tuwatoe hawa wezi

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 หลายเดือนก่อน +6

    Pamoja sana.
    Good move.
    It's about time.
    Tumechoshwa na wizi wa wazi wa rasilimali za nchi hii.

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 หลายเดือนก่อน +9

    Samia must go

    • @juliusnyerere5393
      @juliusnyerere5393 หลายเดือนก่อน +2

      Na mama yako na mkundu Wako pia must go stupid

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 หลายเดือนก่อน +15

    WAJUKUU ZANGU, MUNGU AWALINDE 🙏🏽🤲

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 หลายเดือนก่อน +7

    Halafu huwa nakufananisha na Omondi wa Kenya, aisee broo umefanana nae sana, nahisi mmefanana hata misimamo, broo nakuahidi utafika mbali sana

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +12

    Hongereni vijana.Nyinyi ndio wenye nchi,ipiganieni nchi yenu ila muwe wabunifu kujibunia ajira.Ufisadi,rushwa na ubadhirifu unaitafuna sana nchi yetu.

  • @EdgarLema-g6f
    @EdgarLema-g6f หลายเดือนก่อน +5

    Ayo ni mambo ya msingi piga uwa haki yetu wataitoa...watuteke wote Sasa tujue moja

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 หลายเดือนก่อน +8

    Mbona aura zao zinaonekana kama waoga kabisa.I don't think of they are real serious with what they are planing to do.But I appreciate they have done an excellent initiative to open up their minds.

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน

      😮

    • @ulimbagakipole3971
      @ulimbagakipole3971 หลายเดือนก่อน

      Msisahau kuwa kutakuwa na vitisho vya Polisi mmejiandaaje kwa Hilo?.

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 หลายเดือนก่อน

      The aura is tense..😂😂wanafanya kuigiza ya Kenya

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 หลายเดือนก่อน

      ​@@ulimbagakipole3971😂😂

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi ni ccm Ila umeongea vyema sana Mdogo wangu✅

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana vijana sisi ndiyo wa kulijenga taifa letu tupambane Kwa ajili ya maisha yetu na wajukuu wetu

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa kila siku na uliżą vijana mko wapi nashukuru Mungu mumetambua Hilo Mungu awalinde na kuwapigania
    Wajukuu zangu big up kabisa maana nchi hii ni yenu navizazi vijavyo msirudi nyuma hata kidogo

  • @eliudurassa8996
    @eliudurassa8996 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana kwa kuliona hili na Mungu wa mbinguni atakuwa upande wetu vijana, wakoloni weusi wa ccm na familia zao wanaogelea kwenye wizi na ubadhirifu wa kodi na rasilimali za taifa

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 หลายเดือนก่อน +11

    Safi sana mbona mechelewa sana

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 หลายเดือนก่อน +19

    Vijana Amkeni

  • @user-fw6xu8gn2q
    @user-fw6xu8gn2q หลายเดือนก่อน +4

    Safi sanaaa vijana tutawaunga mkono nasi watumishi tupo nyuma yenu tumechoka ccm imetunyanyasa vyakutosha hasa stahiki zao bado kikoktotoo hata hiyo asilimia 7 iliyoongezwa ni siasa tupu hakuna aliyelipwa hadi leo

  • @norahfrank
    @norahfrank หลายเดือนก่อน +3

    Ninawapongeza sana vijana.hakika ss mmeshajitambua. Mungu Awabariki sana na Azidi kuwatumia.kuondoa haya mawazo ya kandamizi ya miaka nenda rudi

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri หลายเดือนก่อน +4

    Mungu awalinde na mtashinda kabisa (Zaburi 60:12)

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 หลายเดือนก่อน +9

    Safi sana

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 หลายเดือนก่อน +3

    Hatutaki koment za kisenge. Humu ndani vijana wanawazo siriazi tunataka viongozi wasiokuwawabazi!! T🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @KundaMlaki
    @KundaMlaki หลายเดือนก่อน +7

    Safi sana vijana tuko pamoja

  • @CharlesMulaki-j8h
    @CharlesMulaki-j8h หลายเดือนก่อน +5

    Big up vijana

  • @ernestmillinga7116
    @ernestmillinga7116 หลายเดือนก่อน +1

    I love to hear this..keep foing gen z🙏🙏

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน +17

    Ni ufisadi tu kwa hii😂 awamu ya sita, RIP JPM

    • @juliuszakayo6771
      @juliuszakayo6771 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mwizi mvunja katiba manamsifia nn

    • @eliassabbath2480
      @eliassabbath2480 หลายเดือนก่อน

      ​@@juliuszakayo6771matako wewe alivunja katibaa ya mama yako

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana wajukuu zangu tuko pamoja 👏👍

  • @CharlesMulaki-j8h
    @CharlesMulaki-j8h หลายเดือนก่อน +4

    Ongera sana majenz wa Tanganyika hii nchi ni yetu sote

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera vijana fight for your future Gen z TZ hoyeeee

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 หลายเดือนก่อน +8

    vijana wa kitanzania ni waoga sana na chakushangaza bado wahajaelewa kua wao ndiyo wahanga wakubwa

    • @zephanialuangwaeliatosha9723
      @zephanialuangwaeliatosha9723 26 วันที่ผ่านมา

      Nikweli ila njaa huondoa huo uoga 😅maana hali yakiuchumi mtaani nitete watu Wana Kula mlo mmoja halafu wachache ndio wanakula mema ya nchi

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana vijana inshaallah

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 หลายเดือนก่อน +12

    tuandamane tuuu .kama mbwai na iwe mbwaiiii

  • @user-mn2et2pf6z
    @user-mn2et2pf6z หลายเดือนก่อน +6

    Namkumbuka sana jpm.mzarendo kuliko hii mizigo.

    • @abdalaomari8430
      @abdalaomari8430 หลายเดือนก่อน +1

      Alitoa ajira kiasi gani au unakumbuka kwa lini ?

    • @ColinMhema-ne3lz
      @ColinMhema-ne3lz หลายเดือนก่อน

      Kwa lipi

    • @timothymoshi5800
      @timothymoshi5800 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdalaomari8430Aliwabana vilivyo mafisadi, alipambana na waajiriwa hewa, na wanafunzi wasiokuwa na sifa za kusoma vyuo vikuu lakini waliokuwa huko. Alishughulikia mikataba mibovu nk.

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akawatete upande ule Sasa mabunduki tuombe mukawalinde sio kuwatisha haya maisha kweli watu wanatia huluma wamama tuombe tusizimie mioyo

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 หลายเดือนก่อน +6

    Ni kweli kabisa vijana mmepiga penyewe hasa, ahsanteni sana Mungu awabariki sana vijana. Inasikitisha sana..😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @RestutaLeo-xq7rf
      @RestutaLeo-xq7rf 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wamewateka wamezima ndoto zao jmn.😢😢

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน +4

    Well said

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa kila siku na uliżą vijana mko wapi nashukuru Mungu mumetambua Hilo Mungu awalinde na kuwapigania
    Wajukuu zangu big up kabisa maana nchi hii ni yenu navizazi vijavyo

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 หลายเดือนก่อน +1

    Hongela saana,, saana vijana mko vizuri saana,,sio libunge halina hata aibu ,,eti nipo bungeni miaka 15,,:;nipo bungeni miaka 20. Na baado jimbo hilo anadai maaji na barabara vituo vya aafya huo ni ubepali,,kaa pembeni waachie wengine wagombee ili tupate mabaadiliko,,kataaeni vijana huo ni upuuzi wakulinda. Matumbo yaao binafs kataeni

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu awabariki na kuwalind

  • @japhethcharles5791
    @japhethcharles5791 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki❤

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน +5

    Hongela mungu atusaidie

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 หลายเดือนก่อน +2

    Tusimame na vijana wetu ktk taifa hili kwa kuwajengea misingi mizuri ya haki, bora na imara

  • @user-wz3ne2kc3o
    @user-wz3ne2kc3o หลายเดือนก่อน +4

    Hapo sasa mnakujakuja gen z

  • @Ambwene
    @Ambwene หลายเดือนก่อน +2

    Umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu Pamoja tunaweza vijana 💪 💪 💪 💪 💪 😢😢😢😢

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman หลายเดือนก่อน +13

    Hongeren vijana wachadema

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน

      CCM hovyo

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 หลายเดือนก่อน +1

      Hili vuguvugu liendelee na lisambazwe nchi nzima, hata mbuyu ulianza hivi!😊

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน

      Kumbe ni vijana wa chadema, nilidhani ni vijana wa Tanzania

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 หลายเดือนก่อน

      Usicheze na hisia za wananchi

    • @user-fc3op5zp8g
      @user-fc3op5zp8g หลายเดือนก่อน

      Mbona hawajajitambulisha kama ni chadema au ndo umeaamka

  • @MakunyanziPeter
    @MakunyanziPeter หลายเดือนก่อน +6

    Mungu awatangulie katika maandamano yeni mna haki ya kufanya hivyo

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u หลายเดือนก่อน +2

    VIVA GEN Z TZ.....WATANZANIA TUNAWAELEWA VIZURI SANA....MNAZUNGUMZA UKWELI MTUPU....TUNA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO NA WATU WACHACHE WANAOISHI 'PARADISO' NA MAMILIONI YA WATANZANIA NI MASIKINI WA KUTUPWA.

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov หลายเดือนก่อน +12

    Pambaneni vijana tumewasomesha Ili mtukomboe MUNGU Ni mwema 🙏

    • @RaymondKilomeye
      @RaymondKilomeye หลายเดือนก่อน +1

      Co vijana Kila m2 inamuhusu

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 หลายเดือนก่อน

      Watoto wangu Mama yenu Niko pamoja nyie tukomboeni

  • @angelaangela5805
    @angelaangela5805 หลายเดือนก่อน +3

    Masauni ni nani? Ni nchi gani????? Na ni kwa nini awe wasiri Tanganyika???? Yeye ni Mzanzibari Sio Mtanaganyika

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 หลายเดือนก่อน +1

    Big up vijana wanaharakati, huku ndiko kupaza sauti kunakostahili,vijana wengine acheni kubet,kunywa viroba na kulalia chips na vichwa vya kuku na pilipili nyingi,pigeni kibarua,kuleni kushiba,muamke kuungana mkono juhudi za kupigania haki zenu. Leo hivi tunambiwa na wafanya biashara tufanye manunuzi mapema kabla ya tar.08/08/20224 bei ya tyles na bidhaa za ujenzi zitapanda maradufu!,lakini hatusikii mafisadi wamewajibishwa vipi. Bei kupanda kunatukatisha tamaa mno sisi wazazi wenu tunaohangaika na maisha kama watumwa,huduma za msingi hakuna,kikokotoo kinatukokotoa,vijana wetu wasomi tunao majumbanì,kila kitu bei juu loh! Twafa...

  • @user-yz1xq8xo8s
    @user-yz1xq8xo8s หลายเดือนก่อน +5

    Aaha nimekusikia kijana upo vizr sana Ila kitaeleweka2

  • @user-xh8kd9ze7o
    @user-xh8kd9ze7o หลายเดือนก่อน +2

    Saf, Sana vjana tuko pamoja tupambane nchi Ni yetu.

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeren sana vijana kwakujitambua kudai haki na kutetea nchi yetu

  • @JuhudyMachete
    @JuhudyMachete หลายเดือนก่อน +2

    Vijana safi vijana tupo pamoja tuamke tunachelewa

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 หลายเดือนก่อน +4

    Nikweli kabisa msemalo,ila watawasikiliza,kweli,maana wameziba masikio,,wanainchi wanaishi Kama watoto wakambo kwenye inchi Yao.

  • @angelaangela5805
    @angelaangela5805 หลายเดือนก่อน +3

    Tunashangilia mabaya kuliko mazuri.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน +12

    Big up sana vijana

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 หลายเดือนก่อน +6

    MUNGU AWABARIKI

  • @tonysadick5338
    @tonysadick5338 หลายเดือนก่อน +17

    Huwezi kupata ajira wakati mtu anae staf anapewa Tena KAZI na vijana wapo

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂kweli nilimuona mwalimu wa mtu amepewa kazi na alisha staafu

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman หลายเดือนก่อน +4

    Kielimu nakuungeni mkono sana elimu yetu ya tanzania unaweza ukamaliza form 5 huwezi kuajirika unaambiwa huna vilification ya kazi unayo iomba 2 wizi ni kweli nimwingi kwa wafanyakazi wa serikali ila mengine amejitahid ilo lazima nisema ukweli mengi amejitahidi

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana vijana.
    Mnatakiwa muungane muende Mahakamani kuipinga hiyo Sheria.

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 หลายเดือนก่อน +2

    Confident guy Safi sana

  • @norahfrank
    @norahfrank หลายเดือนก่อน +2

    Kweli CCM. Mungu Atawaumbua mchana kweupe.kwa matendo yenu

    • @norahfrank
      @norahfrank หลายเดือนก่อน +1

      Ee Mungu.ninaomba ufute hiki chama ktk ulimwengu wa roho na ktk uhalisia wake. hakifai tena.hasira yako Mungu iwake ss

  • @zephanialuangwaeliatosha9723
    @zephanialuangwaeliatosha9723 26 วันที่ผ่านมา

    Hapa ndipo serekali iweze kuona uwelewa mpana wa vijana wakizazi hiki wanao kiongoza 😊ipo haja ya wao kuyafanyia kazi hayo maoni yote yaliyo kosolewa kwenye mambo mbali mbali ambayo hayapo saawa

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 หลายเดือนก่อน +7

    Made in genz from Tanzania

  • @PatrickKindole
    @PatrickKindole หลายเดือนก่อน +2

    Moto umeanza toka kenya Uganda sasa tz yangu macho

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj หลายเดือนก่อน +4

    Tutawaunga mkono hauliwi mtu hapa safari hii ni jino kwa jino

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni mengi niliyokuwa siyajui hongereni sana vijana kwa ufafanuzi , kwa hiyo kura zimeanza kuharibika hatujaanza kupiga kura makubwa

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 หลายเดือนก่อน +11

    Vijana Umoja Wetu ni Nguvu Yetu ......Tumeshachoshwa na hawa Wazee wa CCM ...Taifa Letu sijui wanalipeleka wapi

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 หลายเดือนก่อน

      Hebu mfikirie Kinana anatoka halafu uamwingiza Wasira au Pinda au Bulembo halafu unategemea kushinda mechi ya kusimama ujenzi wa uchumi wa nchi.

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 หลายเดือนก่อน

    Congratulations Sana Gez wa Tz nikweli kabisa Usemavyo sahihi God bless Tanzania Sisi vijana kama hatutaweza kupambana basi Ila kwa wakati tulionao sasa ni wakati sahihi kabisa.

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r หลายเดือนก่อน +2

    Amina 🙏

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k หลายเดือนก่อน +2

    Kweli wakati umefika bila kujali vyama udini ukabila vijana muwe jasiri watawatisha ila msirudi nyuma viongozi na watoto wao wanaendelea kutumbua nchi amkeni vijana serikali ya ccm ni dhalimu sana

  • @CyprianSapi-tq7qj
    @CyprianSapi-tq7qj หลายเดือนก่อน +2

    Vijana tukiamua tunaweza kuleta mabadiliko.Tusimame vijana kamavijana uchama tuweke mbali.tuaze kuamshana.Afrika moja, Africa huru

  • @johnboscontirandekura6010
    @johnboscontirandekura6010 หลายเดือนก่อน +1

    Amukeni vijana wa African

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 หลายเดือนก่อน +1

    Vijana mumechelewaaaaaa,haraka chukueni hatma yenu toa hii mijizi

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere หลายเดือนก่อน +1

    Vijana fanyeni kweli tupo pamoja

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg หลายเดือนก่อน +1

    Sema kodi ipo juu sana, mazao ya mkulima yapande,

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 หลายเดือนก่อน +7

    Mpo vizuri chadema mwenyezi Mungu awasimamiye tupo pamoja inshaallah

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 หลายเดือนก่อน

      Ndugu, hawa sio CHADEMA

    • @user-ul7jc8ll4n
      @user-ul7jc8ll4n หลายเดือนก่อน

      ​@@gidongailo7174andamaneni tuu,mama ni msikivu,mtatulia .

    • @gusimilemidia731
      @gusimilemidia731 หลายเดือนก่อน

      Kumbe ni chadema nilijua G nzi Tz

    • @gusimilemidia731
      @gusimilemidia731 หลายเดือนก่อน

      Pia Hana poiti huwezi hata kidogo kuangea mambo mengi kwa wakati mmoja angeingilia kwenye ufisadi na ukosefu wa ahila

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa ni chadema kivuli

  • @ShukuruNzenzule
    @ShukuruNzenzule 27 วันที่ผ่านมา

    Safi sana vijana sote tuungane kudai katiba mpya

  • @AbduliKombania-ob8us
    @AbduliKombania-ob8us หลายเดือนก่อน +1

    Mimi maoni yangu ni ivi tukiwa tuna andamana inatakiwa tufanye kwa vitendo kama south Africa siyo kama ya chadema yaliopita yakutembea tu inatakiwa pawake kwelikweli wanazalau sana viongozi wa fis m

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน +8

    Mwigulu kapandisha bei ya vitu,mafuta,gesi,vocha,mafuta ya kula, ufisadi kila siku, RIP JPM

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน

      Raia tumekubali kupandisha Kodi,Kwa kutumia wabunge wetu. Si mchemba.

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa หลายเดือนก่อน +2

      ​@@GodfreyOswardwabunge wenu wapi? Kodi nyingi lakin maendeleo hakuna. Zinaishia tu kwenye ufisad

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน +1

      @@Mosmwampa utaratibu ulifuatwa ndio ukweli. Kama zinakusañywa tunabugia hilo ni tatizo jingine. Mfano njaa, tuliuanzisha wenyewe miaka ya 1990. Mzee Msuya alisema kila mtu ababe mzigo wake. Na mzee mwingine akasema kula urefu wa kamba yako. Kardinal Pengo akauliza. Tunao sema ufisadi kweli au nasi tumekosa nafasi za kufisidi?. Tz siku wakichukia ufisadi hakuna kiongozi ataiba pesa ya umma.

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa หลายเดือนก่อน

      @@GodfreyOsward kama zinakusanywa afu zinabugia Kwa ushauri wako unafikiri watz tufanyeje

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 หลายเดือนก่อน

      Hongera Sana Mr. Soka,Hongera Sana vijana wa Tanzania, nafurahia kuona mwamko wa vijana mnaojitambua Kama wewe Soka, inatakiwa moto huu uendelee mpaka tupate Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na mpaka mama Kizimkazi ajiudhuru arudi Kizimkazi! Ccm inatakiwa iondoke madarakani kwa namna yoyote ile!
      Mungu awalinde nyote na awafanikishe katika harakati za kulikomboa Taifa letu Tanganyika yetu, Wananchi amkeni tuikatae ccm uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, vijiji, mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, msiwachague hawa mashetani wauza rasilimali za Tanganyika! Ccm haitakiwi kupata hata mwenyekiti wa mtaa! Asanteni vijana tunawaunga mkono.

  • @yoramtango2470
    @yoramtango2470 หลายเดือนก่อน +1

    Bora vijana Sasa mmeamka

  • @rithaurassa
    @rithaurassa หลายเดือนก่อน +4

    Umetumiwa kalime MWENYEWE mvua Iko wap pembejeo ziko juu.

  • @sulemanmadahatv1691
    @sulemanmadahatv1691 หลายเดือนก่อน +1

    Hata uwezo wa kifikili umeshuka sana. Hamjiulizi kwanini Kila kona Duniani hali ya kimaisha ni ngumu? Mwapotea kwakuwa hamjui wakati tulionao ni wakati wa mwisho. Geukeni tuandamane kinyume na dhambi, tukatae kuwa chini ya utumwa wa shetani. Mpokee Yesu

    • @saruni5673
      @saruni5673 หลายเดือนก่อน

      Chawa huyu

    • @sulemanmadahatv1691
      @sulemanmadahatv1691 หลายเดือนก่อน

      Chawa wa mbinguni. Ushauri wa wokovu hamtaki mnataka mshauliwe kubet

  • @shld7508
    @shld7508 หลายเดือนก่อน +2

    Namsubiria mropokaji wa Dasalama atasema nn kesho

  • @IbrahimHangira
    @IbrahimHangira หลายเดือนก่อน +4

    Mbona wamekata sauti?

  • @WilsonLuchwele
    @WilsonLuchwele หลายเดือนก่อน +1

    I salute you Gen Z wa Tanzania,ni nyie wa kutukomboa vijana tuko nanyi,songa mbele kwa moyo mkuu 49:08

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +2

    Safi vijana mmeamka 🎉🎉🎉

  • @stevenbico5913
    @stevenbico5913 หลายเดือนก่อน +1

    Niiiice

  • @OlosekiLokoy-sy6qg
    @OlosekiLokoy-sy6qg หลายเดือนก่อน +2

    Mdogo wangu ccm ilishakufa kitambo sana miaka 50 iliyopita

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani mkifanya kweli nchi itapona

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 หลายเดือนก่อน +2

    ABADAN 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @flavianmushi
    @flavianmushi 20 วันที่ผ่านมา

    Nimefrahishwa sana na Hawa vijana maana ukiizumzia serikali ni umeamua kuweka maisha Yako rean KWAMBA Muda WOWOTE unaweza kuwajibishwa BILA kujali LENGO la kijana huyu alikuwa na ANAWEZA nini. NICHI YETU INA WASOMI WENGI AMBAO WENGI WAO HAWAJA WAHI KUITUMIA ELIMU YAO KUWA AKILI WAMEBAKI NA ELIMU BILA FAIDA YA KUISAIDIA TAIFA LETU

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 24 วันที่ผ่านมา

    Good

  • @LebooOloumu
    @LebooOloumu หลายเดือนก่อน +1

    Tuko tayar ❤❤❤😊

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 หลายเดือนก่อน +1

    Mko sawa nawaspoti vijana mkomboe nchi yenu

  • @AbdallahShaabani
    @AbdallahShaabani หลายเดือนก่อน +1

    Wanakula Bata wanainchi wako hoi alafu wanasema tumepata uhuru hivi Nini maana ya uhuru Bado najiuluzaga sana kwa nchi kama yetu🫣

  • @user-ti8fn1wn1w
    @user-ti8fn1wn1w หลายเดือนก่อน

    Asante🎉🎉🎉

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 หลายเดือนก่อน +7

    GEN Z😂😂