SOMO. DALILI ZA KURUDI KWA KRISTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @marymgeji
    @marymgeji 5 หลายเดือนก่อน +5

    Amen amen baba MUNGU akubariki sana natamani sana uniambukize na Mimi roho iliyopo ndani yako

  • @Trifnaasifiwe
    @Trifnaasifiwe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kazi njema ya injili

  • @thomaskasubi3126
    @thomaskasubi3126 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze mtumishi wa Mungu wa kweli hubiri kweli umeniponya umenisaidia sana narudi kwenye kweli

  • @madopriyan6576
    @madopriyan6576 3 หลายเดือนก่อน +1

    Injili ni uweza uletao wakovu amen MUTUMISHI WA KRITO YESU

  • @MaryLoko-y2o
    @MaryLoko-y2o 5 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki mtumishi usichoke kunena ukuu wa muumba mbingu naendelea kubarikiwa AMINA.🇰🇪

  • @josephnyanje7488
    @josephnyanje7488 5 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana baba! Tutakupata vizuri na kujengeka Lungalunga -Kenya

  • @EMANUELAKSANTIhatunaShakanaMun
    @EMANUELAKSANTIhatunaShakanaMun 4 หลายเดือนก่อน +1

    ubarikiwe baba Mungu akutiye nguvu baba tuko tayari kabisa kwa lolotte Mungu atu wezeshe tusi fanane n'a kizazi hiki ili tufanane n'a Christo yesu wetu aliye ishinda mauti nasisi tuta shinda.

  • @mahirmohd1931
    @mahirmohd1931 5 หลายเดือนก่อน +2

    Injiri kama hizi zimekuwa hadim sana.. MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISH akuite nguvu uendelee kufanya kazi yake🙏

  • @mariajuliusjoseph
    @mariajuliusjoseph 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidii kukuinua hallelujah

  • @fredykiluka6606
    @fredykiluka6606 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana ❤❤❤❤❤❤

  • @yustinalegembo901
    @yustinalegembo901 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @NeemaLulu-i9k
    @NeemaLulu-i9k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu akutunze, nabarikiwa sana.

  • @neemakameka3631
    @neemakameka3631 2 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @lydiabenjaminmgalula6189
    @lydiabenjaminmgalula6189 2 หลายเดือนก่อน

    Amen baba🙏🙌

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana baba

  • @kevinMwiva
    @kevinMwiva 4 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubariki Mtumishi Abiudi wewe ni mkweli

  • @bonfacekenga1074
    @bonfacekenga1074 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nikweli kabsa lazima injili yakweli ihubiriwe barikiwa baba

  • @JacintaOnoka
    @JacintaOnoka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe mzuri ila sauti haikua sawasawa

  • @GodfreyMushi-kn3nb
    @GodfreyMushi-kn3nb 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unajihusisha na kweli ya MUNGU kweli mapambo hayakemewi hamna tofaut ya mkristo na mtu wa tamaa malaya

  • @mariamgaya4206
    @mariamgaya4206 5 หลายเดือนก่อน +7

    Injili hii Ni injili halisi isiyoghoshiwa na kwa nyakati hizi za mwisho ndio injili inayotakiwa kuhubiriwa Mtumishi wa MUNGU,MUNGU aishiye aendelee kukutunza na kukuonekania ili watu wake waokolewe kwa wingi kupitia wewe.

  • @JuliusKiua
    @JuliusKiua 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu wa MUNGU si upange mkutano mmoja wa inje utuletee uhuo uamsho hapa makueni kenya

    • @EMANUELAKSANTIhatunaShakanaMun
      @EMANUELAKSANTIhatunaShakanaMun 4 หลายเดือนก่อน

      salamu kwako mwenzangu. ata n'a Sisi kongo twa muitaji maana kabisa ana gusiya abari za uamusho kabisa ii ndiyo maubiri inayo itajika Siku izi

  • @fredgonga
    @fredgonga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mahubiri uyarudie tena tena

  • @LuqmanNyoka
    @LuqmanNyoka 22 วันที่ผ่านมา