Agent gani mzuri wakukuleta USA? Na bajeti ya kuanzia maisha USA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 36

  • @RachealKariuki-x7x
    @RachealKariuki-x7x ปีที่แล้ว +1

    Bro thats great we hunipa motisha sana siku nitakayo kuja usa nitakutafuta

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 ปีที่แล้ว +3

    Safi dogo.mimi napambana.bado Kuna vizingiti vingi dah.mwanangu inataka moyo!!

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  ปีที่แล้ว +1

      Naelewa mm pia nilipitia hvyo! Bongo sio mchezo inataka kutokata tamaa

    • @InformationMarketer007
      @InformationMarketer007 5 หลายเดือนก่อน

      Je hadi sasa umefikia hatua gani na kipi basi hujakamilisha na je Ds-160 form ushajaza au bado

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 วันที่ผ่านมา

    Majibu yake hayatii moyo sana anawaonyesha katoka shopingiiii

  • @AmanBilula
    @AmanBilula 2 หลายเดือนก่อน

    Nahisi kama sijaridhika na majibu haya.
    Nashauri uandae video nyengine kuhusu vitu vifuatavyo;
    1. Exact budget from bongo to USA (naamini unafahamu) especially kwa non-immigrant visa eg. Visitor visa
    2. Namna ya kupata invitation letter kutoka kwa host na namna ya kumpata host mwenyewe.
    3. Gharama ya kuishi ndani ya USA for at least 1month.

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 ปีที่แล้ว +2

    mimi nataman kazi ngum

  • @husseinmkoka4251
    @husseinmkoka4251 ปีที่แล้ว +2

    Kaka samahani na vipi kuhusu fulsa ya Madini ya viwanda na Vito uko USA Brother 🙏

  • @petermusomi09
    @petermusomi09 ปีที่แล้ว +2

    mzee baba tunakuelewa sana isipokuwa sauti yako iko chini sana bro alafu ni video zako zote

  • @AbduliThimosi-mr2iu
    @AbduliThimosi-mr2iu ปีที่แล้ว

    Appreciate San kaka

  • @viviankiwale2212
    @viviankiwale2212 ปีที่แล้ว +4

    Ungeshauri approximately kwani ww hujui maisha ya mtu wa kawaida? Waeleze vijana wenzio hujajibu vizuri unarukaruka tu ☹️☹️

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว +1

    Unaeleza ukwel ila kiukweli wengi atunapesa kwa hy utushauri na sisi Unga Unga mwana kama kila siku natuma application nafatisha diaspora wanao tuelekez kwa hy usichoke kutusupport kwa video kama wengi tuna ndoto mzee Adi vitabu tunavyo mchawi update kama hizi tu

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa uangalizo mdogo wangu.tunajipanga!!

    • @allyshomari7417
      @allyshomari7417 ปีที่แล้ว

      Nataka kuja mwanangu. Umri wangu ni miaka 48. Nina Gani ya foko.lifti. na skaveta hizi. Bado napambana. Nimeshazika wazee wangu wote wawili. Nataka kujaribu kutafuta maisha ughaibuni. Nakufuatulia sana.mungu akupe moyo huo huo. Tuombeane. Duwaa. We belong together!! Kaka mshana.mimi ni mfuasi wako.!! Follower.wako.niliwahi kuishi cape town kule South Africa.

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nataka kuja. Ni operator wa forklift. Na motor glader!!

  • @FredrickMuba
    @FredrickMuba 8 หลายเดือนก่อน

    Good bloh

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว +1

    Nana nambo yako mkuu mtu muhimu Sana ww

  • @RachelRachel-zx6dx
    @RachelRachel-zx6dx ปีที่แล้ว

    Kwani mdomoni huwa unaweka nini b

  • @charlesjohn9893
    @charlesjohn9893 7 หลายเดือนก่อน

    Saf san ndgu yang nimekuelewa kwa kina mkuu

  • @irenemichael
    @irenemichael 2 หลายเดือนก่อน

    Unaonekana shule ulikua unakula hovyo darasan 😂

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 ปีที่แล้ว

    ❤2👂

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA ปีที่แล้ว +1

    Namba yako tafadhari

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 ปีที่แล้ว +1

    Mjinga Wewe, tutolee upuuzi wako hapa

    • @frankkataraiha607
      @frankkataraiha607 ปีที่แล้ว

      Kaongea upuuzi upi kwan?

    • @irenemichael
      @irenemichael 2 หลายเดือนก่อน

      Kaa makubwa

    • @ZuenaSharifu
      @ZuenaSharifu หลายเดือนก่อน

      Yan jaman tusikurupuke tu sasa huyu kafanya bayagani hata mm sjaona ujinga hapa 😂

  • @thobiassisti4633
    @thobiassisti4633 ปีที่แล้ว +1

    Maswali hujui kujibu, uko shallow bro.. angalia Kwa kina ebm wanavyojua kuelezea jambo..

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 ปีที่แล้ว

    Upuuzi mtupu

    • @frankkataraiha607
      @frankkataraiha607 ปีที่แล้ว

      Kaongea upuuzi upi kwani

    • @ZuenaSharifu
      @ZuenaSharifu หลายเดือนก่อน

      Upuuzi wakati upo bongo unasota Yan wabongo bwana 😂 tunakurupuka tu kutoa matusi kibando wenyewe Cha jero km hutaki kuskia funga data hajalazmishwa mtu😂