Jinsi ya kununua nyumba USA 🇺🇸 au kukodi chumba, Google Streets. Huhitaji kwenda eneolatukio.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @josiahonesmo800
    @josiahonesmo800 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri

  • @christophenkurunziza7208
    @christophenkurunziza7208 ปีที่แล้ว +3

    I m pastor Christopher from Uganda ninakufatiliya sana Asante sana

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka apa umemalizaaa ..No dalali✅

  • @hassanali-vt4lw
    @hassanali-vt4lw ปีที่แล้ว

    Kaka tunakuelewa

  • @CrescentPaul-mv6rj
    @CrescentPaul-mv6rj ปีที่แล้ว +1

    Kaka ungekuwa unatuelekeza namna ya kupata host marekanii

  • @saidimtengo3745
    @saidimtengo3745 ปีที่แล้ว +2

    Brother mshana naomba
    Email yako kuna kazi 2 zinahitaji watanzania wanaoishi America wanaoongea kiswahili na kiingereza vizuri nikutumie ucheki kama kuna watu wanaweza omba wajaribu deadline ni tarehe 18 Augost hii broh

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  ปีที่แล้ว

      Ni DM Instagram tafadhali hapa kwenye comment siwekagi kwasasa, ila pengine mbeleni nitafanya hvyo

  • @benjaminibanigwa5361
    @benjaminibanigwa5361 ปีที่แล้ว +2

    Nikija marekani kufungua biashara naweza kuomba green card nikapata?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  ปีที่แล้ว

      Ndio ila uwe na kibunda kweli kupewa Green card ya kuwekeza

  • @deusmbassa9749
    @deusmbassa9749 ปีที่แล้ว +2

    Kwn naweza nunua nyumba nikiwa Tanzania na ukiwa ata kama huna visa?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  ปีที่แล้ว

      Ndio unaweza, ukiwa na kibunda Kamili kama sio mkazi au raia wa US.

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni dereva wa mshirika hapa Tanzania,by profesional, naweza pata namna ipi ya mimi kupata kazi America?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  ปีที่แล้ว +1

      Jaribu kuapply kazi indeed kazi zinazotoa visa au nitaangalia kama nitazipata niwatengezee video

  • @Fredrickbenjamin
    @Fredrickbenjamin ปีที่แล้ว

    oi bro kama huto jari nirikua naitaji mawasiriano na wewe i need you you help

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 ปีที่แล้ว

    Swali langu n hili....MFANO NMEKODI NYUMBA MIJI YA BEY RAIS MFANO HYO OHIO JE KM N MBALI NA KAZINI INAKUWAJE.....MFANO WA DAR NA TUNDUMA...MFANO HAPO INAKUWAJE..CHUMBA N DAR KAZI TUNDUMA