yaan no one lyke kiba jaman kama ingewezekana wasanii wangine wangekuwa na mfano kaa wa king kiba wallah wangefika mbal sema tatzo wanapenda kikii kitu chake anataka mpka na dunia ijue kah..... diamond iga mfano kutoka kwa kiba
"Hawatoridhika mayahudi na manaswara mpaka mzifuate mila zao" tayar wametuweza kiukweli kaka zangu mmekwisha kuchukua jukumu na mtaulizwa kuhusu ilo mwisho wa cku tahadharini binaadam hakuna mkamilifu ila iyo csahihi mwanamke wa kiislam kuwa kichwa wazi namna iyo mbele za watu niukumbusho tu kila la kheir
jamani mm sijapenda ni mngekaa kama wakenya mshatuharibia AMINA wetu saa majivuno tz mnajua kupamba kweli karbuni kenya mfundishe kupamba msifanye vitu na kick pole amina mradi ulifanyiwa nyumbni harusi tamu san
Ni masikitiko makubwa.watu wanaojitafsiri ni waislam harafu ama kusudi au hawaujui.kumuweka mwanamke uchi mbele ya kadamnaasi ya watu.Kwa kifupi ni madhambi makubwa kabisa.mwanamke kuonyesha mapambo yake mwili wake.sasas hawa ukiwaangalia wameiga umagharibi kuliko uislam wao.tena kuna madrassa ngoma zikipigwa.
Natizama iloziwa lilosifiwa majuzi kati hanaga abdu kiba na mkewe hakiyamungu tena sio wivu lkn huo ndio ukweli wivu wani nahali wala siwajuwini ila sisi niwashabiki tu lkn ukweli ukweli ndio huo
Jaman Jaman acha niseme ukweli nimependa vaz la mke wa Abdul kiba lipo smart manshallah. Mm maryam nipo muscat
Nimependa veli la mke w Abdul Kiba liko smart sana MashaallAh 😍😍😍😍😍😍
MARIAM HAIDARI JAMALI usmart gani na kama ni mgomgo wote upo wazi ?
MARIAM HAIDARI JAMALI
Anae soma comment Kama Mimi agonge like hapa
gudlaki
yaan no one lyke kiba jaman kama ingewezekana wasanii wangine wangekuwa na mfano kaa wa king kiba wallah wangefika mbal sema tatzo wanapenda kikii kitu chake anataka mpka na dunia ijue kah..... diamond iga mfano kutoka kwa kiba
Mabrook,wa kwetu kapendeza zaidi😍😍😍team kenya oyeeee....
Wow!!!!!! King Kiba nimeipenda xna hongera xna sayz @ ritha rutechura
Amina nimempenda tokea shingoni hadi usoni na kichwani.
Mashallah mashallah mabrook nyoteeeeee maharusi
Gauni la mombasa mpka alivopambwa alipendeza sana.lkn gaun ya dar miziwa yte wazi.wanaume walifaidi kwa kutizama...amina na kiba mashalaah
Good luck brother ali kiba
Jmn Amina unahaya pk watetemeka anyway u r beautiful MashaAllah
umecheki,
innalilah wa iley rajuun huu nizaidi ya msiba
Wallah
Kwani alie kufa nanii.
Hongereni sana Allah barik ndoa
Didnt know the both got married at the same day👏❤
King kiba mmependeza sana mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏
zulfa kasim
mamb
Maswala ya kuvikana pete kwenye dini hakuna hiyo ni mila ya mayahudi
Abdu kiba na mkewe wamechangamka sana
uyu WA Zanzibar ana smile vzur na aibu na mapenz kwa mtoto anamtzma vyema
She was expecting diamond 💍 but had to accept the gold poor lady ali kiba could have done better
Weeding Rings uwa Bibi na Bwana wana chagua together poo
Ada songs
Congratulation allah awajaalie
Kiukwel hii niaibu katika dini.hii niwakristo ama waislam.kisha wanaume wakiislam mkohumo ndani mkifurahia.tunaelekea wapi
Umeona cku iz din ilimrad2 mtu mwislam lakn hatufat sheria alizotuambia mtume wetu Allah atunusuru na atupe mwisho mwema
Huyu Amina sijui kwanini wanamvalisha mshono wasinderela mzigo,mwenzie mke wa Abdu gauni yake imetulia
Mahija Masukuzi yani mpaka aibu mititi yote ipo nje.
" Joho, jogoo letu la Pwani, Sultan, Liwali, sufri, sufri Wahed, & a man of the umma, nani mwengine kama wewe!!
Hongereni sana tena sana
Mama Masha Allah full happiness
Samira Mrabu 😂😂nimeuona eee👍
Leo ni vipande tu .mnazingua
wamependeza sana mungu awatangulie katika ndoa yao
Congrats kiba na Amina
Hongera sana King kiba
"Hawatoridhika mayahudi na manaswara mpaka mzifuate mila zao" tayar wametuweza kiukweli kaka zangu mmekwisha kuchukua jukumu na mtaulizwa kuhusu ilo mwisho wa cku tahadharini binaadam hakuna mkamilifu ila iyo csahihi mwanamke wa kiislam kuwa kichwa wazi namna iyo mbele za watu niukumbusho tu kila la kheir
Bin Shaeeb kivipi-yani-sijakuelewa-harusi-ulitaka-wajifunike-kanga
Aswaa
Bin Shaeeb kwel kabisa
Bin Shaeeb tuna nyingine
Duh jaman mavaz gn haya muogopen mwenyezi mungu jistrin bas jmn
Mimi sina usemi nasoma comments tu
Mamb vp
Bibi wakiba mwasema ana miaka 23 urongo sura yendamrama hiyo
Ulipasuka wewe ukamzaa ndo maana wajua umri wake nimesoma nae am 22 she is 23 jinga
Nice mashallah
Navajo mapambo gains kosa
Hongereni
la mariée est très belle
Mashallaaa
jamani mm sijapenda ni mngekaa kama wakenya mshatuharibia AMINA wetu saa majivuno tz mnajua kupamba kweli karbuni kenya mfundishe kupamba msifanye vitu na kick pole amina mradi ulifanyiwa nyumbni harusi tamu san
Emma Bays ni ukweli kwetu kulikuwa kuzuri kulipendeza
mashallah
Title ya hio ngoma inachezwa waki vishana rings 👌👌
Eeh n mofaya Abdul na king baraka zilioje jamn sawa basi
Они мусульман и.как.красиво.почему.ятам.неродилась
Ni masikitiko makubwa.watu wanaojitafsiri ni waislam harafu ama kusudi au hawaujui.kumuweka mwanamke uchi mbele ya kadamnaasi ya watu.Kwa kifupi ni madhambi makubwa kabisa.mwanamke kuonyesha mapambo yake mwili wake.sasas hawa ukiwaangalia wameiga umagharibi kuliko uislam wao.tena kuna madrassa ngoma zikipigwa.
mnavyosema waislam awavai uchi nani kakudanganya
Mwinyi Madenge hatufiririye Akhera tumependa dunia sanaa Allah atuwongoze kwa ukweli
kumbe ukristo unavitu vizuri!waislam na mashela WAP na wp?
Mashaallaah jmn
Mashaallah
alikib nini sasa kaswid nzr il wanawak zenu mmewavish ujing mtup
mamb
Ooh jamani hilo jicho alivyompa huyo mtoto
maryam ali umeona?
iv we unaitwa muislam alf unakaa mbele zawatu na nguo io maziwa nje mh. mtihan
يارية تنزلو الترجمه ...العروس رهيبه
Yehgijdrihgoodgheogri
Hiyo make wa kina hata tabasamu hamna utadhani kalazimishwa mume kajitahidi make kweka wa mbuzi ka nini sijapenda
Ndoa za kihistorua duniani
مشالله+974🇶🇦🇶🇦
Nmetaman ndoa bt nkifikiria waume wakupiga wacha ikae
Huyomke Wa kiba sio MTU mapenzi kama vile dharau.
Asia kheir Sijui kwanini huwa hachangamki
Asia kheir nadhani yuwaona haya huyu ddaetu tusimjudge vibaya
Asia kheir ndio hiyo dunia wenzangu leo hiyi tumependekeza mila zawatu wasio mcha Allah
Yan Ah , hao wameivaa sana dunia
Yan Ah sijawaona waarabu kamahao Wenda uchi
azam live iko wap bwana
nice kiba
Huyu event planner wako hamna kitu. Bora sherehe ya Mombasa
مبارك
Alafu kambe vile nimemuona Joho wetu
Samantha Ali yes yupo kweli daa nimemuona pia mm
Samantha Ali yko gava wtu ametulia
Samantha Ali hatàŕim
اعتقد هذي حفله خطوبه لان البنت اليمين شفت لها فيديو زواج مع نفس الشخص صراحه جدا راقي 😊
من اي دوله؟؟؟؟ كانهم عرب
هاي حماها بس الثانيه است. منها يستر يارب
tuna angaika watu uku mtandaoni
Elia Richard mi Pia nahangaika hapa Yan wametuweza Leo
mbona amina matiti nje
Pwahahaha
Mtoto wake alikiba kawaangalia jamani
Magauni ya harusi
دلہن اتنی زیادہ بےپردگی میں جو بالکل ٹھیک نہی ہے
😘😘😘😘😘😘😘
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: th-cam.com/play/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7.html
mke wa abdu kiba anamdomo mlefu sana
Edina S Mkoko
Это африканцы?
Chanchan
Jamani mbona siipati yote .... Diamond yupo wapi?????
Razia Jolie unazingua
Razia Jolie hahahaaaaaa anatunga nyimbo
ongera sana kiba
Janet Moraa kkkk waniua nakicheko ddangu
Huo mkono nimedhani nyoka
Dabang
mtihan huo jaman Pete?
Upuzi mtupu
Hahahaaa
Natizama iloziwa lilosifiwa majuzi kati hanaga abdu kiba na mkewe hakiyamungu tena sio wivu lkn huo ndio ukweli wivu wani nahali wala siwajuwini ila sisi niwashabiki tu lkn ukweli ukweli ndio huo
Ajbu
kwan nyie wakristo wachen kuiga watu