Singida Black Stars 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 28/12/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 323

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica หลายเดือนก่อน +7

    Didn't know, Tanzania league is so tough like this.
    Congratulations Simba for the big win.from Cameroon

    • @gabrielnybala2165
      @gabrielnybala2165 หลายเดือนก่อน

      Welcome my friend Tanzania is your second home say ubaya ubwela in advance 😂😂😂😂

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 หลายเดือนก่อน +4

    Hongereni Sana Azam-Youtibe.
    Mko fasta sasa kupandisha Highlights. Biiig BIGUPS... 👍

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 หลายเดือนก่อน +1

    Camara❤❤❤❤❤ Simba player❤❤cocher Fadu thank you so much❤❤❤

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 หลายเดือนก่อน +2

    Aksante sana Mungu Kwa zawadi ya ushindi wa timu yangu pendwa Simba SC ❤❤❤❤❤

  • @JilaxBrown
    @JilaxBrown หลายเดือนก่อน +6

    Daah.. ila camara amejitahidi sana kudaka.. daah hadi raha.. simba nguvu moja.. ❤❤

  • @4revertv523
    @4revertv523 หลายเดือนก่อน +103

    Usilike comment yangu maana nimemfanyia singinda ubaya ubwela

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 หลายเดือนก่อน +5

      😅😅😅 unini?

    • @Tina-xr9lr
      @Tina-xr9lr หลายเดือนก่อน +2

      Ubaya ubwelaaa 🦁❤️

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn หลายเดือนก่อน

      Ubaya ubwela❤❤

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c หลายเดือนก่อน

      @@allymwashambwa5920uyanga

  • @MseyaMayuki
    @MseyaMayuki หลายเดือนก่อน +2

    SIMBA ni jeshi la mtu mmoja,hongereni wachezaji wetu endeleeni kupambana hivyo hivyo❤❤❤#SIMBA nguvu moja

  • @DanielChacky
    @DanielChacky หลายเดือนก่อน

    Ubaya Ubwela Tunamaliza 2024 Tukiwa Namba 01. Kwenye NBC Premier League ❤❤

  • @JUDITHELISHA-h1y
    @JUDITHELISHA-h1y หลายเดือนก่อน +17

    Ande kofi alichokifanya kwa kibu Denis ni makusudi na kitendo cha kipuuzi sana,tunawaomba sana wachezaji wampira watambue kuwa ukimsababishia mwenzio majeraha ya makusudi unaigalim timu na family ya huyo mtu mana mpira ndo kazi yake ,sjapenda kwakwel

    • @ThekraJanga
      @ThekraJanga หลายเดือนก่อน +1

      Mchezo wa mpira ni mchezo wa kugomgana,kwa walio cheza mpira wanaelewa hilo..kuna vitu vingine vinatokeaga na bila shaka huwez kuviepuka..uwanjan kuna vitu vingi

    • @ebraniacosmosy2072
      @ebraniacosmosy2072 หลายเดือนก่อน

      Afu hilo sio drafti

  • @Jton-u1h
    @Jton-u1h หลายเดือนก่อน +4

    Camara man of the match

  • @DavidAbellJunior-jc2vm
    @DavidAbellJunior-jc2vm หลายเดือนก่อน +3

    Spider man pin pin mussa Kamara❤

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya ubwelaaaa❤❤❤❤❤

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan หลายเดือนก่อน +1

    This is 🦁💪

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m หลายเดือนก่อน +5

    Alhmdhulillah

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน +2

    Jaman ongera vijana,Hakika mwaka huu wetu.❤❤❤🎉🎉🎉🪴🌹

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi หลายเดือนก่อน

    SIMBA 5 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @VeronicaNyakyoma
    @VeronicaNyakyoma หลายเดือนก่อน +3

    🕷 man kamara ❤❤❤

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 หลายเดือนก่อน +1

    Ubayaaaa ubwelaaa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ModouTop-h3g
    @ModouTop-h3g หลายเดือนก่อน +3

    Simba is the best team ❤️⚪❤️

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 หลายเดือนก่อน +2

    🦁❤

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z หลายเดือนก่อน +7

    Gori kipa wa Simba yetu apewe maua yake❤❤❤🪴🌹🏂🌺🌺🌺🪴

    • @Lyricslibrary-s9v
      @Lyricslibrary-s9v หลายเดือนก่อน

      KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    • @MohamedMalik-j2b
      @MohamedMalik-j2b หลายเดือนก่อน

      Goli kipa

    • @mariyamsalalah8204
      @mariyamsalalah8204 หลายเดือนก่อน

      Kabisa mpenzi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @MohamedMalik-j2b
      @MohamedMalik-j2b หลายเดือนก่อน

      @@mariyamsalalah8204 asante love you

    • @BraisonHamis
      @BraisonHamis หลายเดือนก่อน

      🎉❤🎉❤

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 หลายเดือนก่อน +3

    Singida walisahau kwamba Mo alikuwa mbunge wa Singida na kuna sadaka alitoa hawatamfunga simba maisha yao yote wakiwa Singida

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi หลายเดือนก่อน

    SIMBA 5 🖐️ LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi หลายเดือนก่อน

    SIMBA 5 🖐️LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 หลายเดือนก่อน +8

    Singida hawakuwa na nidham ya mpira, kisa milioni 50 , wangetulia wangeweza hata sare lkn akili zilikuwa zinawaza ahadi na ndugu Yao utopolo

  • @HussenErick-k4k
    @HussenErick-k4k หลายเดือนก่อน +1

    Simba laha saana kweli

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi หลายเดือนก่อน

    Dada LOVE Babo

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 หลายเดือนก่อน +8

    Kuna timu ya wachawi inateseka baada ya shoga yake kupigwa na Mnyama

  • @tarrustv6403
    @tarrustv6403 หลายเดือนก่อน +2

    Pinpin 🙌🙌💥

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi ndivyo Tunataka Mussa Camara Awe 💪
    Congole nyingi sana Kwa Makanda wetu Hawa Wa Simba sc"
    Simba Nguvu Moja.

  • @JacksonMgisha-j6w
    @JacksonMgisha-j6w หลายเดือนก่อน +1

    Simba maua yenu mpewe ❤

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 หลายเดือนก่อน +6

    Kama unateseka na matokeo haya wee lichawi 😂 hii ndo Simba Sc ya ubaya ubwela

  • @MartineHusein
    @MartineHusein หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 หลายเดือนก่อน +3

    Mabeki wa Simba sio Wazuri sana

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu awasaidie wazidi kuimarika.

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 หลายเดือนก่อน

      Wanaruhusu Kross pembeni kipumbavu sana aiseee

    • @TallTallest-e2v
      @TallTallest-e2v หลายเดือนก่อน

      Lete wako buas😂😂😂

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน +1

    Singida ndogo sana

  • @PaschalPius-b6s
    @PaschalPius-b6s หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉 Niubaya ubwela 2

  • @Burange666
    @Burange666 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa Singida nendeni mkanywe supu ya mbwa halafu mkacheze na Utopolo

  • @RehemaKusana
    @RehemaKusana หลายเดือนก่อน +4

    Anafungwa singida anaumia yanga😅😅😅😅

  • @AminaFadhili-qe3et
    @AminaFadhili-qe3et หลายเดือนก่อน +5

    👈👈 ukimnyosheya mwenziyo kidole kimoja 👈👈 kumbuka wewe vimekugeukiya 4. Utapomuombeya mwenziyo baya. Lazima litaanza kukufika mwenyewe 😂😂😂.

  • @HamisiMafinga-f3m
    @HamisiMafinga-f3m หลายเดือนก่อน +5

    wana simba tunanenepa tu

  • @edsonrutakoba3994
    @edsonrutakoba3994 หลายเดือนก่อน +4

    Nami nakubaliana na wanaosema rafu ya makusudi aliyofanyiwa KIBU iangaliwe na kamati ya saa 24, na mchezaji aadhibiwe kadri ya makosa aliyotenda. Alistahili KADI NYENDU

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @AishaLwiva
    @AishaLwiva หลายเดือนก่อน +4

    Hata mimi nashangaa sana,,!! kufunga nimfunge singida,, eti wanaoumia yanga,, hahaa nabado huu ndiyo ubaya ubwelaaa

  • @AbdalaMzava
    @AbdalaMzava หลายเดือนก่อน +7

    Fabric luamba ngoma umetuufanya tupateraha mung u akulinde jembe

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 หลายเดือนก่อน +6

    KULIWA AMELIWA CHUI.. UCHUNGU ANASIKIA CHURA...

  • @BraisonHamis
    @BraisonHamis หลายเดือนก่อน +1

    Kimya ww huogopi hio ndo simba❤

  • @khalfanmasoud1514
    @khalfanmasoud1514 หลายเดือนก่อน +3

    2 - 0 la kibu wamepewa yanga

  • @ZahiriAlly-ej7nc
    @ZahiriAlly-ej7nc หลายเดือนก่อน +1

    simba nguvu moja

  • @EditherGregory
    @EditherGregory หลายเดือนก่อน +2

    Kapigika vizurituu

  • @ecostats51
    @ecostats51 หลายเดือนก่อน +5

    Simba ni ya kawaida mnoooooo.🟢🟡

    • @ce-08
      @ce-08 หลายเดือนก่อน +2

      Kuruka ruka kwa maharage ndyo kuiva kwake ww tulia dawa ikuingie

    • @AminaFadhili-qe3et
      @AminaFadhili-qe3et หลายเดือนก่อน

      Mwambiye uyo 🐸🐸

    • @BraisonHamis
      @BraisonHamis หลายเดือนก่อน

      😂

  • @MinskBelarus-il2tl
    @MinskBelarus-il2tl หลายเดือนก่อน +3

    Chezea Simba wewe......,leo amepiga Kasia ziwa SINGIDANI😅😅😅

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ilikuwa ni kusema singida ni sawa na zanzibar tu, kote tunapiga kasia!

    • @JoyceNelsonkessy
      @JoyceNelsonkessy หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 หลายเดือนก่อน +6

    Hivi singida black stars leo walikuja kucheza mpira au kuchezea mpira na kumchezea mwamuzi kitu kidogo wanamkimbilia refa utadhani ni malast born simba sc nguvu moja ubaya ubwela from kenya 🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂

  • @PeterManda-h1w
    @PeterManda-h1w หลายเดือนก่อน +1

    Hii simba mwaka huu sio poaa

  • @hyman2188
    @hyman2188 หลายเดือนก่อน +8

    KAPIGWA CHUI KILIO KWA VYURA WA JANGWANI😅😅😅

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 หลายเดือนก่อน

      Kama alivyopigwa Dodoma kilio Kolozidad.

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 หลายเดือนก่อน +4

    Songa mbele twende chama langu

  • @allyabdalah9410
    @allyabdalah9410 หลายเดือนก่อน

    Metacha🔥🔥🔥

  • @Mangekimambitv-p3l
    @Mangekimambitv-p3l หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza

  • @morisgonzalo
    @morisgonzalo หลายเดือนก่อน +2

    Kuna watu wanateseka sana walijua watafunga mwaka wakiwa juu ila mda huu wanaumia wakiwa choon

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 หลายเดือนก่อน +4

    Congratulations Simba, but Chemolon Fondo bado anafanya makosa mengi

    • @Abdul-q6p
      @Abdul-q6p หลายเดือนก่อน

      Mengi mno an natamani hata aanze benchi mechi tatu atie akili

  • @emanuelnyabuke19
    @emanuelnyabuke19 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moja wameonesha ukubwa wao kila mechi

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula หลายเดือนก่อน +2

    Singida furaha yao ni kufungwa na Yanga ila wakiliwa Simba wanaugulia maumivu kweli😂😂😂

    • @YamunguMatamya
      @YamunguMatamya หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @BraisonHamis
      @BraisonHamis หลายเดือนก่อน

      Kwani hujui hao ni kitu kimoja na yanga? Poleni wa na yanga

  • @DanielChaula
    @DanielChaula หลายเดือนก่อน +4

    Ubaya ubwela kama wote tmekubali

  • @leahfanuel254
    @leahfanuel254 หลายเดือนก่อน

    Na huyu rupia tutasajiri simba 😂

  • @timonleo9720
    @timonleo9720 หลายเดือนก่อน

    ❤tumejipigia, my wetu. Sema hawa jamaa hawakuja kucheza mpira walikuwa vitani

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน

      Ahadi ya milioni hamsini waliyotoa uto ndio unaona wancheza hivyo ngoja wacheze na vibonde wenzao utacheka mpira wao hutaamini hawa ndio waliowasumbua Simba..!

    • @mamaa746
      @mamaa746 หลายเดือนก่อน

      Waache watusaidie kuimarisha timu yetu ​@@hassanmfaume4522

  • @judithkombe1644
    @judithkombe1644 หลายเดือนก่อน

    Simba safi

  • @shamounali6970
    @shamounali6970 หลายเดือนก่อน +3

    Tujifunze kwa wenzetu wanavyochambuwa kabumbu zao tuache kuhemkwa na matukio ya uwanjani tukaacha kuchambua mifumo na mbinu za walimu na ufundi wao

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 หลายเดือนก่อน +2

    Singida ahadi .imewapozaa.ubayaaa.ubwelaaaa.Wambie haooooop

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz หลายเดือนก่อน +2

    Sisi siyoo milima tutakutana tukiwa kama people tutaonana usijisahaulishe my wetu una point 3 zetu 😂😂😂

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c หลายเดือนก่อน

      Ata nyie mna 3 zetu mtajua hamjui

  • @GatesMakoi
    @GatesMakoi หลายเดือนก่อน

    Babo Justine SIRITO MAKOI LEO Dada VAI MAKOI LOVE Babo Dada LUCY MAKOI LOVE Babo SIMBA 5 LEO ✈️✈️🛫🛫🛬🛬🚍🚍🇹🇿🇹🇿🚔🚔🇹🇿🇹🇿🚘🚘🇹🇿🇹🇿🚖🚖🇹🇿🇹🇿🚢🚢🛳️🛳️⛴️⛴️🚁🚁⛪⛪ 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi

  • @juliusmalunde9636
    @juliusmalunde9636 หลายเดือนก่อน +4

    Singida mmushukuru kipa la sivyo mlikuwa mnakula nyingi

    • @abbassalum6824
      @abbassalum6824 หลายเดือนก่อน

      We huna akili na kamala amefanya sevu ngapi za singida

    • @juliusmalunde9636
      @juliusmalunde9636 หลายเดือนก่อน

      @abbassalum6824 matusi ya nini sasa ndugu, unapata faida gani sasa wewe mwenye akili

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c หลายเดือนก่อน

      @@abbassalum6824we ndo huna

  • @athumanially7823
    @athumanially7823 หลายเดือนก่อน +2

    ila kipa wa mnyamaaaa😂 apewe maua yake jamani anaupiga mwingi❤

  • @Mariah-r1o
    @Mariah-r1o หลายเดือนก่อน +3

    Kazi kuikamia tu na rafu

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed หลายเดือนก่อน +4

    Hawa washambuliaji wetu kuna mda wanabadilika wanacheza ovyo yani mpk mtu uelewi

    • @TallTallest-e2v
      @TallTallest-e2v หลายเดือนก่อน

      Game ya jana ilikua ni jihad,,,,kwenye jihad ufundi hufichwa

  • @charlzlyimo1982
    @charlzlyimo1982 หลายเดือนก่อน

    yeee wameshenetwa😂😂😂

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed หลายเดือนก่อน +2

    M100 mtugawie nusu make tumeshinda 😜🤣

  • @PakatJames
    @PakatJames หลายเดือนก่อน +6

    Ile kibu Denis kuvutwa mkono kuanguswa kwenye penalt box alafu mchezaji wa singida akamkanyqga kwa makusudi yaani maamuzi ya hovyo kuwahi kuyashuhudia kunako kuangalia kwangu mpira. Simba wanapaswa kuandikia bodi ya ligi malalamiko kuhusiana maamuzi haya hovyo. Singida sijui kitu gani walichokuwa wakilalamikia kila wakati kwa mwamuzi?

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 หลายเดือนก่อน +1

      Red card

    • @mwinukalucia5894
      @mwinukalucia5894 หลายเดือนก่อน +1

      Mnapenda penalty, jiandaeni kung'olewa kibabe mlipo hapoooo😅😅

    • @godifreymunisi
      @godifreymunisi หลายเดือนก่อน

      ​@@mwinukalucia5894tuliza kinyeo hicho 😂😂😂 unaongea kwa uchungu sana na bado manina zenu

    • @sabrisaleh1767
      @sabrisaleh1767 หลายเดือนก่อน

      Fact mpira unaharibiwa sana watu wanashindwa kuplay fair sio kitendo cha kimpira na hakukua na haja yakufanya vile kwasabb mpira alikuwa kashauondosha kwenye hatari kama muamuzi angeliona lile kutoa penalti na direct wengesema wanaonewa

    • @PakatJames
      @PakatJames หลายเดือนก่อน

      @sabrisaleh1767 kabisa ila siamini kama mwanuzi msaidizi hakuona lile tukio kwa sababu sio tukio la ghafla mpira ulikuwa unachezwa eneo lile kwa Dakika kadhaa. Tinu ya waziri wa serikali na wapambe wake wana ushawishi kwenye maamuzi ya mpira pia.

  • @PendoJoram
    @PendoJoram หลายเดือนก่อน +4

    Simba mbere nyuma mwikoooo

    • @RahabuMwashilinde
      @RahabuMwashilinde หลายเดือนก่อน

      Weee sisi n nguvu Moja mwiko nyuma n utopolo

    • @jumamangombe6493
      @jumamangombe6493 หลายเดือนก่อน

      Wadada wanaovamia mpira, hawajui hata itikadi za timu. Hapo utakuta anashabikia rangi tu ya timu iliyoko uwanjani. Uliwahi kusikia wapi mnyama anatumia maneno ya kishogashoga hivyo?

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa washukuru hata kumaliza mechi wakiwa wote 11

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs หลายเดือนก่อน +3

    Ila leo simba amezurumiwa penaty

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 หลายเดือนก่อน

      Tena mbili na kadi nyekundu moja kwa singida ila 🐸FC hawataliona hilo

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs หลายเดือนก่อน +1

      @mauamshindo2558 ndo hivyo ila kikubwa point tyuuuuu

    • @mauamshindo2558
      @mauamshindo2558 หลายเดือนก่อน

      @MahaSaeed-hf3gs Kweli kikubwa point tatu tu familia❤️🦁

    • @MahaSaeed-hf3gs
      @MahaSaeed-hf3gs หลายเดือนก่อน

      @@mauamshindo2558 ingawa maneno mengi Sana ila mungu ni mwemaa maana mm tumbo lilikuwa la Moto Leo toka Saa tisa

  • @JUDITHELISHA-h1y
    @JUDITHELISHA-h1y หลายเดือนก่อน +6

    Tunaomba kamati ya saa 72 itazame lafu ya makusudi ya andekofi

    • @Maradona2857
      @Maradona2857 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli. Hajaonyesha uungwana kabisa.

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 หลายเดือนก่อน +3

    Ila kuna namna maloni apatiwe mapumziko

  • @daudymathayo-i4r
    @daudymathayo-i4r หลายเดือนก่อน +4

    Wanao amini kuwa wamuzi wanapewa rushe gonga like apa😅😅😅

    • @Mottadaniel854
      @Mottadaniel854 หลายเดือนก่อน +2

      Hata like 5 hujapata😢

    • @Mottadaniel854
      @Mottadaniel854 หลายเดือนก่อน +1

      Hata like 5 hujapata pole😢

    • @luluray2115
      @luluray2115 หลายเดือนก่อน +2

      Jifunze kuandika

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Mottadaniel854😂😂😂

    • @MaimunaHamisi-i4i
      @MaimunaHamisi-i4i หลายเดือนก่อน +1

      Hakiki maneno yako kwnza kbl hujaanza kuisema team yet

  • @robertcharz518
    @robertcharz518 หลายเดือนก่อน +3

    ila rupia ni mtu na nusu ingawa mambo ni ubaya ubwela leo

  • @frida-oi6kw
    @frida-oi6kw หลายเดือนก่อน +2

    Makolo bhanaa😂😂😂😂....hio point moja tutaipata tukikutana tena kiulaini kabisa😂😂😂😂😂.....tambeni pande zenu ...pande zetu hamtambi😂😂😂 mara nne mfululizo fanya mchezo nini...enewei Hongera penalt fc

  • @AbdallahIsmail-vh1tb
    @AbdallahIsmail-vh1tb หลายเดือนก่อน +2

    Metacha mipira ya kutenga hajui target ya kudaka 😂

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed หลายเดือนก่อน +1

    Hizo M100 mtugawie nusu yake 🤣

  • @Namtumbo
    @Namtumbo หลายเดือนก่อน +2

    Utopolo anateseka mkiwa wapiiiii

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน +4

    Simba bingwa hakuna timu yakuizuia

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 หลายเดือนก่อน +7

    Kuliwa aliwe chui, maumivu apate chura 😂
    Ni wivu tu 😏

  • @AlexShirima-k4m
    @AlexShirima-k4m หลายเดือนก่อน +4

    Ubwela mwingi

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 หลายเดือนก่อน +2

    Kipa analalamikia nini sasa, ni ujinga wake wa kutokuufikia mpira

  • @Yonabangilidaniel
    @Yonabangilidaniel หลายเดือนก่อน +3

    mimi ni simba damdam hii ipo wazi kuwa hatunabeki kabisa

  • @PhatySalim-u9q
    @PhatySalim-u9q หลายเดือนก่อน +2

    Simba nguvu1

  • @PakatJames
    @PakatJames หลายเดือนก่อน +2

    Goli la simba lilokataliwa ni halali kabisa haya maamuzi kama vile waamuzi hawaoni kabisa. Mchezaji wa simba alicheza mpira ule wa kichwa kabla ya kumgusa Metacha Mnata.

  • @MWATANOMOTEE
    @MWATANOMOTEE หลายเดือนก่อน +1

    Kikubwa ni points 3

  • @joshuanyonyi3313
    @joshuanyonyi3313 หลายเดือนก่อน +7

    Hamna mpira wote wanarukaruka..
    Simba linabebwa sana

    • @FinahMussa
      @FinahMussa หลายเดือนก่อน

      Bebwa na wewe chura wewe😂😂

    • @eliudmwaipasi7732
      @eliudmwaipasi7732 หลายเดือนก่อน +1

      kunya mavi atazoa alikamwe😂😂

    • @EmmanuelMandela-f7k
      @EmmanuelMandela-f7k หลายเดือนก่อน

      Teseka mwaka huu maumbwa wote

    • @ShairaniAdam-s3o
      @ShairaniAdam-s3o หลายเดือนก่อน +2

      Panuaa mwiko uingiee huoo

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 หลายเดือนก่อน +1

      kubebwa kuna aina nyingi .. unaweza ukaamua "kuukalia mti" vile vile ukabebwa au kupakatwa..!

  • @maharagendondo
    @maharagendondo หลายเดือนก่อน +2

    HAO NI WASHAMBA TU WANAMSAKAMA REFA TATIZO LA NN WACHE USHAMBA GOLI HALALI TU

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉😂😂❤❤

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz หลายเดือนก่อน +1

    Ubaya ubwela uhendeleee

  • @HusnaRashidi-ox7zk
    @HusnaRashidi-ox7zk หลายเดือนก่อน +1

    Waliahidiwa milioni 100 lakini wapi