Ushauri mzuri lakini siami hao watawala baadha watakuwelewa ila watawala walioshiba jeuri watachukulia poa Sana, lakini hiyo ni message send. umeleweka vizuri Sana mungu akubariki kwa maono ya mbali Kaka.
Nyakati zimebadilika Sana Kuna Jambo Mungu analifanya ulimwenguni Mara baada yakuona ukatili na unyanyasaji vimeikumba dunia.Hivyo kila mwenye mamlaka ya uongozi ajiangalie sana,kwakuwa Mungu atalitenda Jambo ambalo kila mtu mwenye utimamu wa akili hata amini .Maonyo ,ushauri havilisaidii taifa viongozi wanafanya walio yapanga wao .Mungu hawezi kushindana na mwanadamu hata Mara moja.
MAKONDA NI KIJANA SAFI ACHENI KUMCHAFIA ATALETA MABADILIKO TUNAYOYATAKA TULIUMIA SANA ALIPOKUWA NJE YA MFUMO, TUKAMWOMBEA MUNGU AKATUSIKIA ACHENI KUMCHAFUA ATEYEE WANYONGE
Ni maneno kuntu sana kutoka kwa musomi wetu huyu yaani aisee hizo ndizo njia za ovyo zinazotumiwa na hawa viongozi wetu haw wasakatonge bravo man umetoa somo muhimu sana kwa hawa akina zilongwa mbali na zitendwa mbali!!
Mama samia kumteuwa makonda hukukosea ata kama hana elimu lakini kuongea anaweza kwa kazi anayoifanya ashawateka watanzania asilimia 60 mwaka 2025 kura utapata tu
Sasa kama kila mmoja ana upungufu unawezaje kutoelewa wanaomkosoa kiongozi ambaye ana upungufu unaodhuru maisha ya watu? 😆 😂 😆 Kwamba anao, ni sababu tosha ya sisi kusema haya. Ndiyo haki yake. Asingekuwa kiongozi, tusingesema. Simple!
Hata madikteta wanafaida zao kwasababu iddi amin alipenda sana Uganda ibebwe uchumi kwa waganda wenyewe sio wageni nenda kampala angalia maduka makubwa ni waganda hamna muhindi hata mmoja labda kama wamekuja hivi karibuni kwahyo Amin alikuwa na faida zake pia tumekalia kusema mabaya na kingine taswira ya Tanzania na Uganda kiuongozi iko tofauti sna na Uganda hayo mawazo yako siamini kama yanaweza yakatendeka hapa ni vigumu sana
Hata huyo mchambuzi wapo wanaomtuma kwa manufaa yao ,acha broo achape kazi taifa linahitaji watu kama Makonda maana biashara inaishia hapohapo.hao wanaojidai wasomi ndiyo waluolifikisha taifa letu pabaya.Chapa kazi Makonda Tunakukubali.
Brth bora uende jifunza mambo ya dini uwe muhubiri wa dini kulikoni kua mfitina mkubwa ktk Taifa aisee muogope mungu wako dogo kulikoni kuwa fatani mkubwa ktk taifa
Makonda akienda kwenye mikutano maneno huyazungumza mkutanoni sasa ni yapi hayo yatakayoleta madhara kwa nchi wacheni kutisha watu bhana embuwew toa CV yako watu wakujue yawezekana wew ni mmoja kati ya wasiotakiwa mbele ya jamii !
Ni haki ya kikatiba kutoa maoni, "Hayo ni maoni yako" Mimi naunga mkono uteuzi wa Makonda, Charamila na wengine wenye misimamo isiyo ya kinafiki. Kumbuka Rais aliwahi kusema nanukuu" Mimi na Magufuli tofauti yetu ni Jinsia tu!
Wakianguka ndio vzr maana hua waambiliki tumedai katiba miaka Sasa tangu enzi za nyalali hakuna katiba mpya Ni danadana sizizoisha mara kikosi kazi mara mswada bungeni lakina katiba ya warioba imefungiwa makabatini yetu macho
Huyunimakonda wachama chamapinduzi siowachadema anawahusunini wakimbianchi machawa wawazungu Sabaya mmemuu dianjama iliafungwe mbowe apate kugombea ubunge hai yotetunayajua Makusanya wafanyabishara wasionanianjema wauza uwanja vayaserkali na yataass kamabakwata vilivyoko mbolea na Sabaya inawaunga sana tunajua lakini sikuzote haki hupatikana kwa Mungu watuwakiomba Sabaya kaombewanawatuwengisana wahai kwa Mungu na Mungu kasikia kajibu Sabaya kaachiwa mlaumuni Mungu aliyepokea duazawatuwahai wapenda haki msilaumu mahakama kudadeki mtakutanacho kijibacharoho
Huyu mama hana leadership... Wananchi wamechoka ila inabidi watanzania wachukue maamuzi magumu.... Huyu mama atafanya chochote ili abakie madarakani...
Tatizo wasomi weng tunasoma kwa kublashiwa kwahy tunakua na elimu za kukaririshwa ambazo zinasababisha tunakosa maarifa.Ww huenda n msomi ila hujielew inchi imekuwa na hali ngumu lakin hamkumkutoka kusema chochote sahv amakuja mtu wa kutetea wanyonge ndo mnajifanya kukosoa kwa maslah yenu binafsi wasenge nyny .Mnatuchukulia wote na darasa saba acha makonda apige kaz, jembe la kaz hatutak viongoz wadhaifu ....hay mamb ya idd amin yenyew nd historia za mchongo tu hazina facts zozote tunakaririshwa tu madarasan.choko ww
Uko sahihi kabisaa makonda yuko na tamaa ya madaraka yupo tayar kumpindua mama tusubiri tuone maana mda haujawahi kudanganya.. Amekuwa mwiba kwa viongozi wa serkal hasa Waziri mkuu, wakuu wa mikoa na walaya pia angalia hata katibu wa chama Chongoro mpka amejiudhuru kwa mambo kama haya haya angalia hata spika wa bunge japo makonda hakuwa mwenezi ila unaona kabisaa joto lililopo ndani ya chama.
Kwa kipindi kile ilikuwa ni vyepesi kufanya mapinduzi kwa Uganda na hivyo kwa Tanzania hiyo sahau kwamba wanaoteuliwa wanaweza fanya mapinduzi hata ndani ya JW hakuna uwezo huo,wateule wote wanafuatiliwa mpaka chooni
Mm binafsi nampa pongezi mheshimiwa rais kumridisha makonda maana sisi wapenzi wa magufuri tumefurahi ,acha awanyooshee,mama hongera malizia kujenga miferejii daraja la mwinyi mburahati magomeni
Hapana hiyo dhana ya kufikiria tuwapinzani mnahofia nini Kwa makonda kua kiongozi.mama ameamua kufanya kazi na kundi zote ndani ya ccm.hasa nyinyi wapinzani kutomheshimu pamoja na kuonyesha njia zote za maridhiano
Acha maneno ya uchonganishi...Makonda ni kiongozi bora ambaye kwa kumtazama yeye tu bila kusikiliza wakosoaji wake ndo utamwelewa ni makini kiasi gani. Na hiyo ni sifa ya kila kiongozi na kila binadamu makini. Naomba uache uchochezi na yeyote anayeipenda nchi hii asimuone vibaya makonda.
Tuache ubinafsi Makonda anapitia kwa wananchi na yote anqyouliza kwa mawaziri yanatoka kwa wananchi ndio anachukua jukumu la kupiga simu husika. Sioni mipaka aliyovuka. Nauliza huwa tunaambiwa ukiwa na tatizo piga namba hii ya waziri au katibu au Rpc nakadhalika huwa inamaqna gani? Hapigi simu kumtukana mtu anapiga simu kutaka kujua kwa waziri husika kitu ambacho ni haki ya kila mtanzania . Tukkwa km wananchi wa kawaida tunashindwa kuwagikia maana namba zao huwa hazipokelewi za mawaziri tuwape kero zetu. Kwa fikra yangu ndogo. Wenye uelewa mkubwa msinishambulie wakuu. Asante
Ushauri mzuri lakini siami hao watawala baadha watakuwelewa ila watawala walioshiba jeuri watachukulia poa Sana, lakini hiyo ni message send. umeleweka vizuri Sana mungu akubariki kwa maono ya mbali Kaka.
Umeona mbali mkulu. Ipo shida na itakuja kweli kweli
Darasa lako ni 👍
Hii makala naitazama mara ya 10 Sasa, Hongera sana mzee wangu kwa uchambuzi mzuri. 🏆
Hakika sijajua historia hii. Asante mchumbuzi wetu Ngurumo
Asante , wewe ni mtu muhimu sana kwenye nchi yetu
Nyakati zimebadilika Sana Kuna Jambo Mungu analifanya ulimwenguni Mara baada yakuona ukatili na unyanyasaji vimeikumba dunia.Hivyo kila mwenye mamlaka ya uongozi ajiangalie sana,kwakuwa Mungu atalitenda Jambo ambalo kila mtu mwenye utimamu wa akili hata amini .Maonyo ,ushauri havilisaidii taifa viongozi wanafanya walio yapanga wao .Mungu hawezi kushindana na mwanadamu hata Mara moja.
Mungu akulinde na akubariki
Comment za wasio na mwelekeo zinaonekana wazi.Ni matusi tu na kashifa.
Mungu azidi kutuangaza tuujue ukweli.
Ubarikiwe kaka.
Ahsante kwa taarifa nzuri.
MAKONDA NI KIJANA SAFI ACHENI KUMCHAFIA ATALETA MABADILIKO TUNAYOYATAKA TULIUMIA SANA ALIPOKUWA NJE YA MFUMO, TUKAMWOMBEA MUNGU AKATUSIKIA ACHENI KUMCHAFUA ATEYEE WANYONGE
Mungu akupe maono makubwa kama hayo
Makonda. Ni wale wasiojulikana
Ni maneno kuntu sana kutoka kwa musomi wetu huyu yaani aisee hizo ndizo njia za ovyo zinazotumiwa na hawa viongozi wetu haw wasakatonge bravo man umetoa somo muhimu sana kwa hawa akina zilongwa mbali na zitendwa mbali!!
Asante sana kwa tarifa za kweli
Wazidi kubariwa katika kuabudu
Mungu aendelee kukuweka baba uwaone washupaza shingo jmn ata mm niic jambo hli jap siasa siijui
Kweli nchi tusipoangalia nchi inaenda pabaya mungu atusaidie
MKUU HUYO NI MUONGO NA MNAFKI, ACHANA NAYE
@@mohammedimpemeuongo upi hapo unatuon sis mazombi kam ww
Tafadhali chambua huko uongo wake tujue@@mohammedimpeme
Hii channel ni kwaajili ya watu walio pevuka kiakili 😁 Hongera Ndg. Ansbert kazi nzuri ✅
Thanks Ngurumo nimejifunza historia muhimu sana hapa
ILA NI MUUNGO
Naona hekima yako mchambuzi , asante sana kufumbua macho wananchi.
Ngurumo haipendi CCM hampendi kipenzi wetu makonda anapenda chadema tu basi asubiri sindano imuingie Viva makonda
LAIT UNGEMSIKILIZA VIZURI USINGETAMKA HAYO. KIFUPI ANAMAONO MAKUBWA. NA ANAMSHUTUA KIONGOZI WETU.ISIJE IKATOKEA KAMA ILIVYOTOKEA UGANDA
Namwombeai mama yetu kipenzi amludie mungu ili ampe macho ya kuoma hali halisi ya nchi ili tz isizame mikononi mwake
Mama samia kumteuwa makonda hukukosea ata kama hana elimu lakini kuongea anaweza kwa kazi anayoifanya ashawateka watanzania asilimia 60 mwaka 2025 kura utapata tu
Asante. Sana kwa maono
Ubarikiwe!
Wimbi rakimbizi ni kwerii wewe unahonaje Kuna kwerii Dani yake uteuzi wamuku wa uhamiyaji nikwerii au ni Maboo ya siyasa
Kila
Mwanadamu ana mapungufu yake muacheni Makonda apige kazi
Sasa kama kila mmoja ana upungufu unawezaje kutoelewa wanaomkosoa kiongozi ambaye ana upungufu unaodhuru maisha ya watu? 😆 😂 😆
Kwamba anao, ni sababu tosha ya sisi kusema haya. Ndiyo haki yake. Asingekuwa kiongozi, tusingesema. Simple!
Nime kusikiliza vizuri sana na nime kuelewa vizuri zaidi hapa kwa uteuzi huu Kuna tatizo kubwa sana
Malyamungu alikuwa Mungu pale Uganda. Lakini Leo Dunia imemsahau. Kifo ni Njia ya haki
Unakosea sana bro kumfananisha Makonda na Jambazi Nduli Iddi Amini.
Kuna watu Uganda wanasema Amin alikuwa shujaa wao! THINK!!
Jinugutie mwenyewe makonda piga kazi
Nakupenda sana kiongozi hoja zako zmetulia
Nakuelewa
Wewe ni mpiga domo kama wapiga domo wengine...alichokiamini hata hayati usikitie kasoro hata kama utaambiwa kina kasoro hadi uone mwenyewe.
Habu ni share kabisa. Hongera sana bro
hakika joto la uchaguzi linamtesa mama amepanic
Mama anapenda madaraka ila hajui kuyalinda 😢
Kila aliekuwa hampendi Magu kamwe hatompenda Makonda,, dunia iko hivi, Hautawafurahisha wote wala kuwachukiza wote
Tell him
Sehemu ya kumbe wa sauti ni wapi
Hata madikteta wanafaida zao kwasababu iddi amin alipenda sana Uganda ibebwe uchumi kwa waganda wenyewe sio wageni nenda kampala angalia maduka makubwa ni waganda hamna muhindi hata mmoja labda kama wamekuja hivi karibuni kwahyo Amin alikuwa na faida zake pia tumekalia kusema mabaya na kingine taswira ya Tanzania na Uganda kiuongozi iko tofauti sna na Uganda hayo mawazo yako siamini kama yanaweza yakatendeka hapa ni vigumu sana
Jihadd
Thank you our NGURUMO
Honger Kaka kwaku sema ukweli mung akulinde
👏 👏 👏 👏
Hata huyo mchambuzi wapo wanaomtuma kwa manufaa yao ,acha broo achape kazi taifa linahitaji watu kama Makonda maana biashara inaishia hapohapo.hao wanaojidai wasomi ndiyo waluolifikisha taifa letu pabaya.Chapa kazi Makonda Tunakukubali.
Makonda yupo kwenye serikali au kwenye chama? Kwa mfano alioutoa wa Amin kumpindua Obote, je Makonda atawezaje kuwa na uwezo wa "KUMPINDUA Raisi..??"
Ni kweli
Shida yenu mnataka nchi bila kutumia akili udini na uchadema umewatawala katka fikra zenu
Makonda piga kazi mshaiba cna mnatetea wezi
Brth bora uende jifunza mambo ya dini uwe muhubiri wa dini kulikoni kua mfitina mkubwa ktk Taifa aisee muogope mungu wako dogo kulikoni kuwa fatani mkubwa ktk taifa
Makonda akienda kwenye mikutano maneno huyazungumza mkutanoni sasa ni yapi hayo yatakayoleta madhara kwa nchi wacheni kutisha watu bhana embuwew toa CV yako watu wakujue yawezekana wew ni mmoja kati ya wasiotakiwa mbele ya jamii !
Umeelewa ulichosikiliza?
Uchambuzi wa kina wa siasa za African.
HAJAFANYA UCHAMBUZI NI MANENO YA CHUKI DHIDI YA CCM NA MAKONDA, HUYU KATUMWA
Aiseee Nimekuelewa Sana
Acha makonda awanyooshe waki mwigulu na January wezi sana
Mzee una upeo Mkubwa Sana!
Utawala ukubali usikubali huo ndo Ukweli!
Wapuuzi lazima watakupinga mzee
Mpuuzi wa kwanza Mimi, Hawa mawakala wa vigogo wanaoona kitumbua kinaenda kuanguka, wanatumia watu kumtisha rais, muuweni na huyo basi.
🤣🤣🤣🤣sawa nimekubali mzee@@simionsteven5618
@@simionsteven5618 ACHA PUMBA ZAKO, PENDA NCHI YAKO
Duuuuuu!Maombi ni lazima kwa Tz
Ni haki ya kikatiba kutoa maoni, "Hayo ni maoni yako" Mimi naunga mkono uteuzi wa Makonda, Charamila na wengine wenye misimamo isiyo ya kinafiki. Kumbuka Rais aliwahi kusema nanukuu" Mimi na Magufuli tofauti yetu ni Jinsia tu!
Nimesoma comment naona Watanzania wengi wanauelewa mkubwa Sana Kwa Sasa wachache Sana Bado ambao wanampinga uyo Jamaa ila analosema ukweli mtupu
Wanaompinga Wala jasho la wtz
AMETOA HISTORY MZURI ILA BADO NI MPUMBAVU NA JUNIOR KTK SIASA ZA NCHI
Wewe mjinga. Makonda ubaya wake nini . Tatizo hamtaki watu wakweli mnataka waizi na waongo.
Ukikua, utaelewa.
Wakianguka ndio vzr maana hua waambiliki tumedai katiba miaka Sasa tangu enzi za nyalali hakuna katiba mpya Ni danadana sizizoisha mara kikosi kazi mara mswada bungeni lakina katiba ya warioba imefungiwa makabatini yetu macho
Wewe ni mtu muhimu sana, ulipaswa kuwa mshauri wa serikali , au raisi.
Mwenye akili timamu ashaelewa umemaanisha nn yanaweza kutokea tz tuombe uhai tuone tunaelekea wp
Huyunimakonda wachama chamapinduzi siowachadema anawahusunini wakimbianchi machawa wawazungu Sabaya mmemuu dianjama iliafungwe mbowe apate kugombea ubunge hai yotetunayajua Makusanya wafanyabishara wasionanianjema wauza uwanja vayaserkali na yataass kamabakwata vilivyoko mbolea na Sabaya inawaunga sana tunajua lakini sikuzote haki hupatikana kwa Mungu watuwakiomba Sabaya kaombewanawatuwengisana wahai kwa Mungu na Mungu kasikia kajibu Sabaya kaachiwa mlaumuni Mungu aliyepokea duazawatuwahai wapenda haki msilaumu mahakama kudadeki mtakutanacho kijibacharoho
Nimependa Soundtrack/Background 💕
Nakuelewa sana
Ni uchambuzi wa kina na kweli umetukumbusha mbali ni Watu wazima wanaoweza kukuelewa
Hatulalamiki acha uongo
Upinzani nchini Tanzania wote ni vbaraka
Fact indeed!
Huyu mama hana leadership...
Wananchi wamechoka ila inabidi watanzania wachukue maamuzi magumu....
Huyu mama atafanya chochote ili abakie madarakani...
Mungu je,? Akiitaka roho yake tumwachie mungu njia zake sio za mwanadamu
Kweli upinzani hakuna wewe ni mtoa taharifa makonda voice
TAHARIFA? Ndiyo nini?
Tumpe muda maana mawazo ya mwanadamu si ya Mungu.
Hiyo background sound inakera ungewaza namna nyingine
Poles sana ndo maana ulikimbilia ughaibuni kumbe ni fatani mkubwa wee aisee poles sana fatani mkubwa wee
Asante sana kiongozi.
Achana namakonda
Tatizo wasomi weng tunasoma kwa kublashiwa kwahy tunakua na elimu za kukaririshwa ambazo zinasababisha tunakosa maarifa.Ww huenda n msomi ila hujielew inchi imekuwa na hali ngumu lakin hamkumkutoka kusema chochote sahv amakuja mtu wa kutetea wanyonge ndo mnajifanya kukosoa kwa maslah yenu binafsi wasenge nyny .Mnatuchukulia wote na darasa saba acha makonda apige kaz, jembe la kaz hatutak viongoz wadhaifu ....hay mamb ya idd amin yenyew nd historia za mchongo tu hazina facts zozote tunakaririshwa tu madarasan.choko ww
Acha uchochezi wako haupo Tanzania
Amekuchochea nini
Ulitaka ateuliwe nani?
💯💯💯💯💯💯🤝🙏
Uko sahihi kabisaa makonda yuko na tamaa ya madaraka yupo tayar kumpindua mama tusubiri tuone maana mda haujawahi kudanganya.. Amekuwa mwiba kwa viongozi wa serkal hasa Waziri mkuu, wakuu wa mikoa na walaya pia angalia hata katibu wa chama Chongoro mpka amejiudhuru kwa mambo kama haya haya angalia hata spika wa bunge japo makonda hakuwa mwenezi ila unaona kabisaa joto lililopo ndani ya chama.
WIVU TU
We mchochezi
Kwa kipindi kile ilikuwa ni vyepesi kufanya mapinduzi kwa Uganda na hivyo kwa Tanzania hiyo sahau kwamba wanaoteuliwa wanaweza fanya mapinduzi hata ndani ya JW hakuna uwezo huo,wateule wote wanafuatiliwa mpaka chooni
Lovely voice ❤❤❤❤
Bora huyo mwenye maamuzi magumu kuliko wzi wa mali za imma wanaoumiza wengi
@@kephamapogo5333kepha umeongea jambo mafisadi Kwa Sasa matumbo moto nchi hii inataka watu kama wakina makonda
@@kephamapogo5333❤
Mm binafsi nampa pongezi mheshimiwa rais kumridisha makonda maana sisi wapenzi wa magufuri tumefurahi ,acha awanyooshee,mama hongera malizia kujenga miferejii daraja la mwinyi mburahati magomeni
Nifunzo umewapa sawh
Uganda itabaki kuwa Uganda na Tanzania itabaki kuwa Tanzania mzee sisi tunajua hadithi za sungura na fisi
Umeelewa somo? Umesikia au umesikiliza? Umetafakari? 😂 😆 😂
Tusubir tuone naona kama ramli tu hizo
Ubrikiwe sana
Hapana hiyo dhana ya kufikiria tuwapinzani mnahofia nini Kwa makonda kua kiongozi.mama ameamua kufanya kazi na kundi zote ndani ya ccm.hasa nyinyi wapinzani kutomheshimu pamoja na kuonyesha njia zote za maridhiano
haaaaah hizi ni hadithi za kale.
Kwa wenye kutafakari, zina mafunzo. Ipo siku, nawe utakuwa "wa kale," lakini hutatupwa!
Safi Mzee wetu.
Asante
Kaka wape elimu mdogo mdogo wataelewa tu!!
Upo sahihi
Familia hii ibarikiw
Mhhh nimekaa paleeeeeee kimmmmmmyaaaaaa
Hatukuelewi tuache na Makonda wetu
Sawa. Mtanielewa siku moja
KATUMWA NA GENGE LA MAFUSADI
Ngurumo hatutakaa tukuelewe ng'ooo...!!
Acha maneno ya uchonganishi...Makonda ni kiongozi bora ambaye kwa kumtazama yeye tu bila kusikiliza wakosoaji wake ndo utamwelewa ni makini kiasi gani. Na hiyo ni sifa ya kila kiongozi na kila binadamu makini. Naomba uache uchochezi na yeyote anayeipenda nchi hii asimuone vibaya makonda.
Kwa mtu mwenye akili amakuelewa sana lakini kwa bahati mbaya uelewa wa Tanzania ni mdogo sana bado hawajaliona hilo bomu
Hasa nyuki wa SSH hataelewa kwani wanataka uteuzi.
Tumemuelewa ndg yeti huyu yuko vizuri
Kaka yangu Leo umenikumbusha mbali sana.Na nimecheka sana kwa mifano hiyo.
Si kweli makonda yuko poa
Akili kubwa sana hii
Naomba nipe jina la huo wimbo unao imba nimeupenda sana kiongozi.
Hayo ni mawazo yako! Hatuwezi kuishi kwa unayowaza! Mwache mama afanye kazi!
😂😂😂😂😂😂 mama yako mpendwa wako
Hizo ni chuki binafsi kuwachukia Makonda & Sabaya. Kwa sababu wanapigana na mafsadi
Ubarikiwe! Karibu!
@@AnsbertNgurumo:- unateseka ukiwa wapi kibaraka? Tulia sindano ikuingie vizuri.
Tuache ubinafsi Makonda anapitia kwa wananchi na yote anqyouliza kwa mawaziri yanatoka kwa wananchi ndio anachukua jukumu la kupiga simu husika. Sioni mipaka aliyovuka. Nauliza huwa tunaambiwa ukiwa na tatizo piga namba hii ya waziri au katibu au Rpc nakadhalika huwa inamaqna gani? Hapigi simu kumtukana mtu anapiga simu kutaka kujua kwa waziri husika kitu ambacho ni haki ya kila mtanzania . Tukkwa km wananchi wa kawaida tunashindwa kuwagikia maana namba zao huwa hazipokelewi za mawaziri tuwape kero zetu. Kwa fikra yangu ndogo. Wenye uelewa mkubwa msinishambulie wakuu. Asante
Ndugu, akili ni nywele. Yeye anajua anachofanya. Wewe hujui kutafsiri anachofanya. Lakini hilo hakikufanyi wewe uwe mtu mbaya. Ni uelewa tu!
Afadhali umetambua kuwa uelewa wako ni mdogo. Basi huna baya.