"KURA ZA MWINYI NI ASILIMIA 20 TU." MIAKA SABA YA NINI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • Ni tafakuri ya kilicho nyuma ya pazia la CCM kutaka Mwinyi apewe miaka saba ya urais. Sikiliza.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 140

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 3 วันที่ผ่านมา +10

    CCM WAENDELEE KURUKARUKA WEEEE ILA TUNAWASUBILI KWENYE UCHAGUZI. AWAMU HII KITAELEWEKA TU,
    WASIDHANI TUTAENDELEA KUWA WAJINGA MIAKA YOTE "

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 3 วันที่ผ่านมา +6

    👏🏽Asante sana kwa taarifa Nguni kwangu, kaka yetu Mbobezi wa habari, always be blessed by our Father. 🙏🏾

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 4 วันที่ผ่านมา +9

    Sasa nimekuelewa vzr sana baada ya kusema wamemtenga nakumbuka kauli ya Raisi mstaafu AMANI ABEDI KARUME alisema kwenye msiba wa Mzee Mwinyi namnukuu...Baba ako alikuwa anatushilikisha hii inanipa picha sasa

  • @user-fq2nu2fr2w
    @user-fq2nu2fr2w 3 วันที่ผ่านมา +9

    Ni mwizi na Fisadi mno huyo Jamaa. Achunguzwe hata kipindi akiwa waziri wa ulinzi maana mahusiano yake na wachina kwa tenda alizowapa yanatia Shaka sana

  • @jabiridrissa8280
    @jabiridrissa8280 4 วันที่ผ่านมา +9

    Ahsante Kamanda AnsbertNgurumo kwa hichi kitu kizito miilini mwa wakuu wa CCM. Hawakujui, Watakujua tu!!!

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 4 วันที่ผ่านมา +6

    CCM imepoteza radha ya kuongoza kote bara na visiwani.

  • @Hilali-ff5ul
    @Hilali-ff5ul 3 วันที่ผ่านมา +6

    Asante sana kaka mkubwa Kwa kututoa taka za sikio

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 4 วันที่ผ่านมา +9

    Nadhani Lisu na wenzake watakuwa wamesikia na waelimishe wananchi sina mashaka na Zanzibar lakini kwa Watanganyika ni wepesi kuyumbishwa na kutolewa kwenye mjadala wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 วันที่ผ่านมา

      Kenya kimewaka huko😂

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 วันที่ผ่านมา +7

    Kama wamezoea kutufanya sisi wa Pemba ni chumio lao kwa zao la karafuu na mwani kuazia sasa wataisoma nr, barabara za Pemba zimewashinda, Bandari za Pemba zimewashinda, Uwanja wandege wa Pemba ni (maigizo) ya Hussein Mwinyi ya kutia (udhu) usiomaliza , maisha mabovu Zanzibar hususan ktk kisiwa cha Pemba.

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 3 วันที่ผ่านมา

      Hamjijui Bado, mbuyu unawahusu tu!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 วันที่ผ่านมา

      Wapemba turudi nyumbani tukajenge Pemba yetu, duniani ni sisi tu tunaojenga miji ya wenzetu waliobaki wote wanajenga kwao. Kabla ya Mapinduzi 1964 na miaka 9 Uongozi wa Karume Wapemba walikuwa Pemba na Waunguja Unguja. Na kwa mujibu wa Bwana Shamte Waziri Mkuu wa Zanzibar 1963, na chama chake ZPPP (Zanzibar and Pemba People's Party) Pemba sio Zanzibar.

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 3 วันที่ผ่านมา +1

      we tuzudi wapi hapa hapa haturudi ushamaliza halafu tuzudi tumuwachie chinga alokuwahajatahiriwa ndugu yangu hapahapa hapakwetu na kule kwetu baada ya siku kidogo watatuelewa wamachinga

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 วันที่ผ่านมา

      Haji kwani wale wananchi waliopo Pemba sio wapemba ?.warudi Pemba kwa maana wasiende kutafuta maisha sehemu nyingine katika dunia hii ,mbona wachina wapo Tanzania ,Uganda na sehemu nyingine vipi na wao warudi kwao ,wacha fikira za kitoto za kuonesha unaongea sana kwa mirengo ya kiitikadi ya chama bila ya kusimamia ukeli ulivyo.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@jumamohamed3168wachina wanajenga kwao,nendeni kwenu

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 4 วันที่ผ่านมา +5

    Ubarikiwe mtumishi kwa kutuelimisha

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 วันที่ผ่านมา +6

    Nakubali kwa hili

  • @arafatyhussein
    @arafatyhussein 4 วันที่ผ่านมา +5

    Nipo active mzee wangu, shukran kwa article nzito inayo amsha watu ✅

  • @user-fq2nu2fr2w
    @user-fq2nu2fr2w 3 วันที่ผ่านมา +4

    Ni vizuri kwa viongozi wenye Mawazo ya kubadili katiba iwe siku zote mabadiliko hayo yawe yanaanza na wengine siyo hao wanaofanya mabadiliko hayo

  • @talents7934
    @talents7934 2 วันที่ผ่านมา +2

    Wakenya mnajitambua sana Shkamooni karibuni Tanzania

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 4 วันที่ผ่านมา +8

    NASHAURI wapinzani wawe makini na LUAGA MPINA. Isije kuwa inatengenezwa inshu ya yeye kutolewa ili wapinzani wamkumbatie nakumpa nafasi ya kugombea uraisi. Na kuna Mh NDUGAI pembeni ametuliaaaa... Wapinzani kazi kwenu kumvuta Mh Ndugai na Mh Mpina halafu mkishashindwa uchaguzi wanarudi kuunga juhudi kama Mh hayati LOWASA na wengineo.... 🙏

    • @knight6757
      @knight6757 4 วันที่ผ่านมา +1

      👍

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 วันที่ผ่านมา

      @@knight6757 watalawa wajanja sana. Hata ukichunguza wapinzani kwasasa wanampromot sana MPINA baada ya kuona kaenda kinyume na watawala. Hii inaonesha wapinzani bado hawana jicho la tafakur. Wangekuwa nalo hata wasingemzungumzia MPINA wangekomaa na katiba mpya na misimamo yao. Siku ile KINANA katikisa kidogo wapinzani wote wakaanza kumpigia debe...

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 วันที่ผ่านมา

      @@MathewNathan-yb2bz nimesema USHAURI sijasema ni ukweli au sio ukweli. Kama unafatilia chama cha CHADEMA hakuna mgombea wa uraisi aliyegombea awamu 2. Kila aliyewahi kugombea hakugombea tena. Mbowe aligombea mala moja tu, Dr Slaa, Lowasa hata Tundu Lissu mala moja tu. Je, atakayegombea awamu hii ni nani!?... Hapo ndipo panapelekea kutafuta mtu mwenye ushawishi. Je, kwawapinzani unazani kwasasa nani mwenye ushawishi!?. Mh Tundu Lissu, Mh Mbowe, Mh Mwabukusi, Mh Dr Slaa au Mh Ndugai !?. Tumia upeo mpana halafu vuta picha utapata jibu hatakama sio sahihi

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 วันที่ผ่านมา

      Acha na Mhe. Lowasa kabisa yeye ndie aliyetakiwa na CHADEMA na sio yeye kuitaka CHADEMA kwa sababu ya likebility yake ya voters

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 4 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera SK Media kwa kutegua kitendawili hiki cha Zanzjbar eti mtendaji mzuri kumbe hofu kuu kama iili ya mtawala wa Misri Pharaoh kupita bahari Sham kuwafuata watu Mungu, wana wa Israel kuelekea nchi ya ahadi.!mheshi.iwa Luaga Mpina usihofu ya kwako na waziri Bashe ni manzoni wa anguko la Babeli, tusibiri tuone!

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 2 วันที่ผ่านมา

    Shukran kaka ripoti imezid kutufungua macho kumbe hata wao wameshauona ukweli Allah awepe uoni mwema zaid

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 วันที่ผ่านมา +4

    Wanzanzibar waachwe wajichagulie Rais wao wenyewe wanaemtaka.CCM iache kuwachagulia mpeperusha bendera wa urais Dodoma.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 วันที่ผ่านมา +2

      Tatizo ni Muungano, vyama vyote Wagombea Urais Zanzibar huchaguliwa Tanganyika.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@hajihassan5433 Hakuna siku hata moja wapinzani wakachagua mtu asiyekubarika huko Zanzibar.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 วันที่ผ่านมา

      @@MathewNathan-yb2bz Kukubalika unatumia kigezo gani? Hoja ibakie kwa nini asichaguliwe Zanzibar. Kama CCM ni Dodoma vyama vingine mji mwingine lakini Tanganyika. Juzi alichaguliwa Mwenyekiti Tanganyika. Nani unadhani hakubaliki na nani anakubalika Zanzibar. Issue ni wewe kumkubali fulani na kumkataa fulani lkn wengine ni kinyume chako.

  • @francisjohanes3027
    @francisjohanes3027 4 วันที่ผ่านมา +3

    CCM wanajua wanacho fanya wanaanzia Zanzibar wakifaulu wanakuja Tanganyika

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 4 วันที่ผ่านมา +4

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 วันที่ผ่านมา +3

    Hii nchi ya DEMOKRASIA kama mnajiamini agombee tu ataongezwa miaka 5 badala ya miwil

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 4 วันที่ผ่านมา +12

    Hakuna raisi aliekosa mapenzi kama Mwinyi hakuna rais aliefeli kama Mwinyi

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 3 วันที่ผ่านมา

      Lakini ndo ameibadilisha Zanzibar kwa miundo mbinu jamani…..
      Sijaona baya lake labda kama kuna mengine ya chini chini…..
      Ila ni Rais mzuri kabisa Mwinyi wa watu.
      Ila akae kwa mujibu wa katiba tu na wengine waoneshe uwezo wao wa kuongoza

    • @ZubeirJuma-up7kb
      @ZubeirJuma-up7kb 3 วันที่ผ่านมา

      Kaibadilisha kwa njaa hafai pesa mbili na iyo mitano hawezi kupata hadi wauwe watu​@@gracethomas683

    • @user-eo4bl3do8k
      @user-eo4bl3do8k 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@gracethomas683ndio tunaona hayo majengo lakini hakuna uwazi mahesabu ya ujenzi WASIKILIZE ACT WANADADA VUWA WIZI MKUBWA ULIOFANYIKA KUANZIA KIWANJA CHA AMANI NA MASOKO YOTE NI WIZI MTUPU

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 2 วันที่ผ่านมา +1

    Zanzibar wanamsimambo sana.

  • @Worldunite
    @Worldunite 4 วันที่ผ่านมา +4

    Katiba mpya inaweza ikamuongezea ama kubakia km ilivyo sasa, lkn hii tuliyonayo ni awamu 2 tu

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 วันที่ผ่านมา

      Sasa kelele za nini CCM au yoyote kutaka mabadiliko ya muda wa Urais ndio anataka Katiba Mpya na ndio current issue!

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hayo ni kweli.

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 3 วันที่ผ่านมา +2

    CCM. Hawakubalilki Zanzibar.

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 วันที่ผ่านมา +1

    Nikuongeze usicho kijua wananchi wa zanzibar wako hoi taaban wao kazi iliobak wanagawana tuu VXR

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aise, Ngurumo umenena, nimejifunza mengi kupitia makala hii, chukua ua 🎉 lako kwa kutuelewesha mengi kati ya mengi tusiyoyajua kuhusu *Zanzibari*.

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hii itakua ni kweli kbs

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 4 วันที่ผ่านมา +1

    Haya maccm yamesha nikera sana ila basi tu, kwanini wanatuona cc wananchi mabwege? hovyo kabisa.

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 2 วันที่ผ่านมา

    Apana mwnyi tinamtaka we ni mfitini tu.tunamtaka na tu tunamuitaji Sana .Ila c kwa mkataba wa miaka Saba

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 วันที่ผ่านมา +1

    zanxibar kuna wahafifhina wanataka kuifanya zanxibar ni miliki yao,kwanza zanxibar ccm haikubaliki ila mwinyi anakubalika!!

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 2 วันที่ผ่านมา +1

    Maneno mazima uloongea lakini watu wenye akilu finyu eatamtetea mwingi

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tumekuelewa Ngurumo!

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kitendawili kinaanzia serikali ya Ccm bara kwenda serikali ya ccm Zanzibar,sasa ni kazi bure kutoa madhambi ya baba mdogo kupeleka kwa baba mkubwa..

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 4 วันที่ผ่านมา +2

    Aminia

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    CCM hajawahi kushinda hata mara moja wanatawala kwa ubabe na uhodari tu haya yote dhima hili wanalibeba ni Tume ya Uchaguzi na Vyombo vya Dola ndio wanafanya maamuzi ya kuwauwa uwaweka ji vilema kuwalawiti kuwafanya walemavu na kuwaacha mayatima wakilia na njia Nyinyi muna jukumu kwa Allah mutakwenda kujibu Viongozi wa CCM

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 วันที่ผ่านมา

    Thanks bro 🙏

  • @ZubeirJuma-up7kb
    @ZubeirJuma-up7kb 3 วันที่ผ่านมา

    Hakubaliki kweli wala hawamchaguwa

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 3 วันที่ผ่านมา

    Ccm nikiisikia nahisi kichefuchefu,ila Husein mwinyi namkubali sana ni kiongozi mzuri sana na anafanya mambo ya maendeleo sana

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 4 วันที่ผ่านมา

    Doctor Hussein Mwinyi amekataa huo ujinga,ni mtu anayejitambua na ameweka wazi kuheshimu katiba kwahiyo ameshafunga huu mjadala

  • @matiredms917
    @matiredms917 2 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa Watanganyika wamelala usingizi mzito kabisa. Sijui walilishwa bangi ya aina gani. Wenzetu wa Kenya wanapambana na watawala waovu ambao ukilinganisha na watawala wa Tanzania hao watawala wa Kenya watakuwa ni malaika. Tanzania tunatawaliwa na mashetani. Watanganyika ni lazima tuamke na kumkataa huyu raisi ambaye hana uwezo mbabe jiizi na mwenye dharau kubwa.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 วันที่ผ่านมา

    Dhahaniaaa😢

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m 2 วันที่ผ่านมา

    HUYU MLANGO WA DUKA NDIE RAIS FISAD NO1KULIKO MARAIS WOTE WALIOPITA HAKIBALIKI NA WAZANZIBAR NDIO AKAFANYA HAYA YOTE MWIZI NO1ANAPENDA MADARAKA ILA KABURI INAMSUBIRI MBELE ATATOA MJB MBELE YA ALLAH

  • @AlphaBarageti-ru5xj
    @AlphaBarageti-ru5xj วันที่ผ่านมา

    Tanganyika WALIMU wanakusanywa na mabosi wao wa Elimu wa Kitaifa wanaambiwa wakampe MAMA vema siku ya kuchagua.

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 2 วันที่ผ่านมา

    Wanaweza kubadili Samia akae miaka yote,walishafanya nchi hii ya kwao.

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 วันที่ผ่านมา

    Miyeyusho mitupu bongo tamu kaeni na ukimbizi wenu hivyo hivyo ovyoo,,🤣🤣🤣

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 วันที่ผ่านมา

    Wezi ccm Zanzibar wanaiba kura

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 วันที่ผ่านมา +1

    ASANTE SANA BWANA NGURUMO

  • @workmantiktok
    @workmantiktok วันที่ผ่านมา

    wakatoliki mekaa wasenge wasenge watu wanao penda vurugu vurugu kila sehemu mnataka makae nyny nyie ndo mnafanya mpaka mataifa ya Africa hayaendelei

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 วันที่ผ่านมา

    Matakwa ya msemaji siyo chama😫

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 2 วันที่ผ่านมา

    mafisadi hajafugwa hata mmoja wasikia kesi tuuu lakini hawafungi

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 วันที่ผ่านมา

    Mahospitali,mabarabara mijini na vijijini,viwanja vya michezo,masoko na mengine yanakuja kwa muda mdogo,hakuna Kama mwinyi,wote wivu tu,sisi wazanzibari tuna hisia za mapenzi makubwa kwa raisi wetu,mafisadi mtuache.

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 3 วันที่ผ่านมา +1

    Endelea kaka

  • @robertzingu9889
    @robertzingu9889 4 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani Mzanzibari Hussein Ally Hassan Mwinyi aje kuwa Rais wa Tanganyika baada ya huyu Ajuza Bi Samia Suluhu Hassan? Hilo haliwezekani tena si kwa jina la Muungano wala uchawi wowote. Watanganyika hatutaki, hatutaki, hatutaki!!!

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo ni mtanganyika mwenzenu ila sema nyinyi wakristo wa Tanganyika hamtaki kwasababu mnataka akae mkristo mwenzenu

    • @user-vg9sd2fc1k
      @user-vg9sd2fc1k 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Ajuza

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 วันที่ผ่านมา

      Mtafute vizuri Mwinyi katoka wapi na nani kampeleka huko Zanzibar kuwa Rais si Magufuli jamaa yako…Sijuwi nani mkubwa kwa umri mama yako au Rais Samia ulomwita Ajuza??? Kwa miaka yake huyo Rais wako kwa wakati huu haitwi Ajuza. Lugha tunazijuwa siyo wajinga.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 วันที่ผ่านมา

      @@mohdkhatib223Asante

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 วันที่ผ่านมา

      @@user-vg9sd2fc1kHaichekeshi mtu akiitwa Ajuza (Kizee) hata wewe una vizee kwenu.

  • @SeifMjawir
    @SeifMjawir 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hhhhhhhhh😂😂😂😂😂 uchumi wa blue

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 2 วันที่ผ่านมา

    unaanza kuchechea ?!?au anataka kuleta vita na migogoro kisiwani ????

  • @hamzahamid6262
    @hamzahamid6262 2 วันที่ผ่านมา

    Upuuzi mtupu, Huijui siasa ya ZNZ

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 วันที่ผ่านมา +1

    👊✌️🙏

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 2 วันที่ผ่านมา

    Kwa Nini miaka Saba ???ana ruhusa ya kujaguliwa Mara ya pili !! wewe unatokea wapi ???

  • @hubahonlinetz2071
    @hubahonlinetz2071 2 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga mwiny ndo chaguo letu

  • @wilbartmugheri8258
    @wilbartmugheri8258 3 วันที่ผ่านมา

    Bro.hapo umetutupa jalalani, kwa hoja ya kuwa "Wana-CCM," wamekubali kuwa wamekubali na wapinzani wapewe nafasi waongoze😅 CCM walivyo walafi na madaraka, leo wakubali kweli wapinzani waongoze huko Zanzibar😂. Hayoooo mengine nakubaliana nayo, lakini sio wana-ccm kukubali upinzani uongoze Zanzibar, wapo tayari kwa serikali ya umoja wa kitaifa na si vinginevyo. Hayo ni maoni yangu ninavyoona.

  • @chrispinboniface3329
    @chrispinboniface3329 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hawana akili, siyo hata wa muhimu kias hicho mpka aendelee kuongoza nchi,, tuna viongozi wajinga sana wanajiona ni wa muhimu sana wakat walio wengi hawana umuhimu wowote na hata wakiondoka nchi itaendele tu bila shida yoyote

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 2 วันที่ผ่านมา

    Hivi kweli wananchi wawe hawataki kitu kweli wanahitaji kuhamasushwa????tazameni mfano wa rutto na serikali baada ya kuyatomasa maslahi yao muione nguvu halisi ya wananchi acha ya wanasiasa au nyie wachambuzi ilivyo kubwa halafu mlinganishe na issue ya wanasiasa na wanaharakati walio jaribu kulazimisha kuitumia issue ya bandari kwa maslahi yao na kujidai ni ya wananchi ilivyobuma pamoja na ya katiba !

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 วันที่ผ่านมา

      Nadhani wewe unapuuza historia. Hata Wakenya hawakuwa hivi. Walijengwa taratibu baada ya kupitia tanuri la moto la Daniel Arap Moi. Unachoona leo ni matokeo ya mbegu iliyopandwa na akina Raila Odinga. Walianza babu zao. Baada ya serikali kutia pamba masikioni, wajukuu sasa nao wameamka.
      Soma vizuri historia ya Tunisia. Walikuwa wapole kuliko Watanzania. Na watawala waliwachukulia poa. Siku waliponyanyuka, hawakurudi nyuma.
      Anayepuuza hoja za wanasiasa na wanaharakati anajipuuza mwenyewe. Mbegu wanayopanda inapaliliwa na jeuri ya watawala na wafuasi wao.

  • @saidmakamo8764
    @saidmakamo8764 2 วันที่ผ่านมา

    Nenda zako uko ccm haogopi kitu kakoge uko upige na mswaki

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 2 วันที่ผ่านมา

    Kwani wewe ndie mwenyekiti Wa tume ya uchaguzi zanzibar acha ufedhuli

  • @mansourfedha2003
    @mansourfedha2003 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe unawazimu nini mbumbav

  • @mbarakahaji4302
    @mbarakahaji4302 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe huijuwi znz waachie wenye znz.hakuna chama Cha kuitawala znz zaidi ya ccm.

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 3 วันที่ผ่านมา

    Rais Mwinyi ametoa kauli rasmi hana nia ta kuongeza miaka ya muhula na mjadala huo ufungwe.
    Lakini kuna hoja za hicho unachosema utafiti:-
    . Walitumia njia ipi kuwapata wahojiwa wa tabaka tofauti na mitazamo tofauti (methodology) ili matokeo yasiwe ya kupangwa.
    . Nani ana ushahidi na matokeo ya utafiti huo !!!
    . Je watafiti walitembelea maeneo mchanganyiko au walijikita maeneo waliotaka wao kwa sababu zao.
    . Hata kama ni kweli waliohojiwa wanataka upinzani kuongoza Zanzibar BILA SHAKA haiwezi kuwa CHADEMA kwa sababu ziko wazi tu Zanzibar chadema haina ushawishi na haina wafuasi wengi kama ACT WAZALENDO.
    . Kama uliyajua matokeo ya huo utafiti mbona hukusema kabla ulingoja mpaka mjadala wa kuongeza mhula kwa Mwinyi ndo na wewe ujitokeze??

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hii haitaki tochi... Mwinyi hatakiwi zanzibar ... afunge mlango wake waduka aondoke na virago vyake

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee, Luhaga Mpina is OUT

    • @samsonsamwel8782
      @samsonsamwel8782 4 วันที่ผ่านมา +1

      Imeniuma knoma

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kama Luhaga anafanyiwa hivi, mpinzani itakuwaje?

    • @protusbishanje872
      @protusbishanje872 4 วันที่ผ่านมา +3

      Nimeumia sana leo machozi yalinilenga nilivyomuona spika anamtoa mpina bungeni

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 4 วันที่ผ่านมา +1

      Acha tuu ndgu yangu

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 4 วันที่ผ่านมา

      Acha tuu kaka​@@ceciliamagalabajimmy4391

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 2 วันที่ผ่านมา

    Ni kufuruga mifumo ya muungano na upinzani

  • @jumayusuf1694
    @jumayusuf1694 2 วันที่ผ่านมา

    Chawa wa Mbowe naona leo hii unazungumzia ya wazanzbar sasa kama 20% alizipata ndan ya CCM na hao hao leo wameamunua baya liko wa wapi sasa? cha muhimu ni kwamba endapo wakikubaliana vyama vyote sawa hakuna TATIZO kama wataona sawa ila MWINYI mwenyewe keshatoa TAMKO hawezi vunja KATIBA

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa maoni yako, "chawa wa Mwinyi!" Si ndiyo lugha unayoipenda hiyo?

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 2 วันที่ผ่านมา

      Ni wajinga wenzio ndo wanakuona wa maana kuna kipindi ulikuja na mada za Mzee shamte zimeishia wapi zile? kuna muda ulikuja na mada zanzbar hali sio shwar kisa wazir kajiuzul cha kukusaidia tu Endelea na harakat zako za kumponda Peter Msigwa mbele ya Mwenye kit

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 วันที่ผ่านมา +1

      @@jumayusuf1694 Sawa. Si na wewe unamsifia Msigwa? Kumbe ngoma droo! 😂

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@AnsbertNgurumohahahaha 😂 Ngurumo bhana, majibu yako ni very short but smart and critical.
      Maua yako

  • @kombidin..2583
    @kombidin..2583 4 วันที่ผ่านมา +1

    Udaku!

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 4 วันที่ผ่านมา +2

    SI kwa uzalendo wako, SI kwa kuwa tofauti na maccm kama
    Mimi...
    You deserve an honorary doctorate degree katika uandishi na uchambuzi wako, kaka!

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 4 วันที่ผ่านมา +2

    😂kaka hulali?

  • @AbdallahIssa-c5u
    @AbdallahIssa-c5u 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe si mzanzibar yanakuhusu nini kama si sera yenu Tanganyika

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 3 วันที่ผ่านมา +2

      Mpaka ukiona umehashukwa ujuwe uliwashwa. Wewe yanayokuhusu mbona uliufyata?

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 วันที่ผ่านมา

    Huu uchunguzi cjui umefanyika znz ipi mana michongo ni mingi siki izi

  • @ThomasLeonard-ul7ot
    @ThomasLeonard-ul7ot 4 วันที่ผ่านมา

    We chawa wa upinzani mbona unafahamika

  • @BUCHUMIONLINETV-lu5jk
    @BUCHUMIONLINETV-lu5jk 4 วันที่ผ่านมา +1

    Uongozi wa Mwinyi umeweza kutekeleza miradi ya kimaendeleo kwa kishindo na ni rais ambae ameweza kutekeleza miradi mikubwa na kwa kipindi kifupi. CCM itaendelea kutawala daima milele na milele 🙏🙏🙏

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 4 วันที่ผ่านมา +3

      Hujui siri ya mafanikio nyuma yake

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@MathewNathan-yb2bz Hatuhitaji siri tunataka dhahiri tunaona Zanzibar inajengwa. Ulipokuwa ufisadi wa Mwinyi haupo pesa zilikuwa zinakwenda wapi.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 วันที่ผ่านมา

      @@hajihassan5433 mama samia ndio anaijenga Zanzibar.

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 วันที่ผ่านมา +2

      Maendeleo yote hayo kwasababu anatia 20% kila kwenye contact (he is a smart thief) tushachoka nae Aondoke na wizi wake... uso umemparama kwa pesa za haramu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 วันที่ผ่านมา +1

      Dhiki na ugumu wa maisha umeongezeka maradufu

  • @abubakarismail6365
    @abubakarismail6365 2 วันที่ผ่านมา

    Kama hujui nyamaza kaka
    Mambo aliyoyafanya bwana mkubwa ni makubwa sana tangu inchi ipate uhuru mambo aliyoyafanya ni makubwa sana hakuna aliofanya labda karume mkubwa tuliamini haya mambo hayawezekani katika nchi yetu kumbe yanawezekana kabisa.

    • @dribrahimmamboleo4435
      @dribrahimmamboleo4435 วันที่ผ่านมา

      Ninyi ndio kila rais anaeingia mnasema amefanya makubwa kuliko marais wote, sijui mlishakumbwa na nini, yaani kama majuha hivi.
      Mungu awasaidie macho ya kuona vizuri

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 4 วันที่ผ่านมา +1

    Nakushauri achana na Zanzibar, kwa sababu huielewi Zanzibar itaharibu uchambuzi wako.
    Siasa za Zanzibar ni tofauti na siasa za popote duniani, ukumbuke Wapinzani wa Zanzibar ni tofauti na Wapinzani wa Tanganyika kwamba Viongozi wa upinzani Zanzibar ni Viongozi wa SMZ na ni Viongozi waandamizi mfano Makamo 1 leo ndie alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar kwa karibu miaka 10.
    Zanzibar ni Unguja na Pemba, ambapo ni kichaa kusema Zanzibar (Unguja) CCM inakubalika kwa 20% inaweza kuwa ni sahihi kusema upinzani Pemba unakubalika kwa 95%. Suluhisho la Zanzibar ni kugawana visiwa kimamlaka. Sio sahihi CCM kuwa chama tawala Pemba lakini sio sahihi pia Wapinzani wakawa chama tawala Unguja kwa sababu hata Wapinzani waliopo Unguja 90% ni Wapemba.