Mambo matano 5 ya Kuzingatia unapoanza Stationary DESIGNING, PRINTING & SCANNING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @user-ge9jd5oy3n
    @user-ge9jd5oy3n 9 หลายเดือนก่อน

    asante pia na mimi natafuta kazi ya sitationary

  • @user-rf6cm7th6y
    @user-rf6cm7th6y 6 หลายเดือนก่อน

    asante kwa elimu bro mungu akuzidisgie maisha

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  6 หลายเดือนก่อน

      Amina sana

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 2 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏🙏

  • @HightechTz
    @HightechTz 2 ปีที่แล้ว +2

    Kazi Nzurii kaka

  • @hassanmohd9163
    @hassanmohd9163 ปีที่แล้ว

    Ahsante maelezo mazuri sana mungu akuzidishie utujuze zaidi

  • @kwamtinitv1520
    @kwamtinitv1520 ปีที่แล้ว

    Asante sana, Nimejifunza mengi...

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  ปีที่แล้ว

      Enjoy nipo kwaajili yako kaka

  • @DENISGEORGE-qj1dz
    @DENISGEORGE-qj1dz หลายเดือนก่อน

    Samahani naulizia juu ya mtaji wa kuanzisha duka la stationary ni kiasi gani niwenacho?

  • @shakiramlwale301
    @shakiramlwale301 ปีที่แล้ว

    Upo vizur brother je nahitaji kufanya biashara ya stationary natakiwa na mtaji was Kia's gan

  • @user-ku8zn7bp5u
    @user-ku8zn7bp5u 6 หลายเดือนก่อน

    Barkiwe sana bro

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  5 หลายเดือนก่อน

      Amina sana

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 2 ปีที่แล้ว +2

    Inaitwa stationery siyo stationary!!! Stationary ni kitu kisicho sogea kimesimama ama kukaa mahali pamoja!! Umakini uzingatiwe Katika uandishi na matamshi hiyo pia inasaidia kuwafundisha watazamaji wako. Mimi ni mtaalamu mshauri wa biashara.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba uwe mshauli wa lugha Biashara wachie creative Designer

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @margrethamsechu7088
    @margrethamsechu7088 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kupata namba yako kaka kwa ushauri maana naitaj kununua machine sasa sijajua machine vizur na mimi nipo Omani natuma pesa ili kununua machine hivyo naitaj mtu anae zifahamu machine vizur ili aende na ndugu yangu kufanya manunuz lakin naitaj machine zenye uwezo mzur na garama yangu sio kubwa

  • @husnakihambwe262
    @husnakihambwe262 10 หลายเดือนก่อน

    Mm nataka kuanza mmb ya stationary but sijui chochote

  • @amanimwamwaja7569
    @amanimwamwaja7569 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa masomo yako ndugu mungu akubaliki sana naomba namba

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  ปีที่แล้ว

      Amina Karibu sana. 0745152680

  • @user-gn8lw5gl7m
    @user-gn8lw5gl7m 9 หลายเดือนก่อน

    Broo nataman nijifunze Zaid kuhsu maswala ya stationary unanisaidiaje?

  • @kaduma7168
    @kaduma7168 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimejifunza kituu..
    Nina mpango wa kuanzish biashar hiyoo ila naomba connection ya wauzazi wa vifaa Kwa JUMLA.

    • @kaduma7168
      @kaduma7168 2 ปีที่แล้ว

      Wauzaji ...I mean

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  2 ปีที่แล้ว

      @@kaduma7168 Kkoo bosy

  • @lydiajohn6865
    @lydiajohn6865 ปีที่แล้ว

    Mahitaji mawasiliano yako. Unipe maelekezo kuanzisha stationary nianzaje Kaka yangu.

  • @kilaha1
    @kilaha1 ปีที่แล้ว

    Nitamani kuanzisha kijiji je nianze na nini na nini?

  • @raphaelhizza2053
    @raphaelhizza2053 ปีที่แล้ว +1

    HIVI LAPTOP INAWEZA KUFAA KWENYE MATUMIZI YA STATIONERY

  • @MrBrown-xj2sd
    @MrBrown-xj2sd 2 ปีที่แล้ว +1

    Habar, pigment ink ina maana gani, na faida yake , na je unaweza kutumia kwa printer za Epson?

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  2 ปีที่แล้ว +2

      Commonly hasa kwa sasa zipo aina mbili za wino ambazo printer nyingi zinatumia Dye ink nad Pigment ink, printers kama Epson zinatumia Dye ink ambazo ni cheap na zinapatikana kiurahisi na ni rahisi kuprint. Ubora wa Pigment ink inaprint material inakua durable haipauki haraka kama ilivyo katika wino ambao ni dye hata hivyo gharama yake ni kubwa.
      Nakushauri usome kwanza requirement za wino gani unatumika katika printer yako au omba ushauri unaponunua

  • @user-hq4lw4qd8w
    @user-hq4lw4qd8w 7 หลายเดือนก่อน

    Vipi madarasa yko yapo,tunataka kujifunza

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  7 หลายเดือนก่อน

      Yapo 0745 152 680

    • @leonardrichard2489
      @leonardrichard2489 2 หลายเดือนก่อน

      Camera gani nzuri bro

  • @kamilikapeta2574
    @kamilikapeta2574 ปีที่แล้ว

    Naitaji ujuzi zaidi nipatie namba yako

  • @saidikitambulio6264
    @saidikitambulio6264 ปีที่แล้ว

    Mm ni mhitimu waform four nahitaji kujua nikonzi gani nikisomea naweza fanya kanzi ya stationery

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  ปีที่แล้ว

      Nakushauri Ujifunze Ujuzi wa masuala ya Graphics design kisha hiyo stationary itakua au utafanya kama sehemu tu ya ujuzi wako itakusaidia sana

    • @saidikitambulio6264
      @saidikitambulio6264 ปีที่แล้ว

      @@joelmedia_ konzi hiyoyo tu inatosha

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  ปีที่แล้ว

      @@saidikitambulio6264 nitafute 0745152680

  • @kamilikapeta2574
    @kamilikapeta2574 ปีที่แล้ว

    Naitaji namba yako

  • @mlimaeliya2987
    @mlimaeliya2987 ปีที่แล้ว

    mzee nataka email yako

    • @joelmedia_
      @joelmedia_  ปีที่แล้ว

      joel.kadaga@gmail.com