Umeongea vizur Sana shehe wng... mashalah mashalah mashalah..yule harmonase sio muislam kwasisi waislam tumpuuzeni tuu yule mwehu...kaniuzi Sana Yan yule kichaa...anamchezea mungu Sana ...Yani simpendi Kwajili ya mungu nakwakejeli nadharau anazomfanyia mungu...Allah tuhifadh na ghazabu zako na mitihani kama hii inshallah...nakuomba mungu nibakishe kwenye dini yangu yakislam mim familia yng kizazi changu mwanangu na wazazi wangu...basi pia tufe tukiwa waislam nanizokwe kislam nanife ukiwa umeniridhia Allah....nakupenda Sana mungu wangu mtume wangu...nakupenda Sana shehe sharifu majini Kwajili ya Allah..amonaiz ni chiz na haogop Lana za mungu...
Uko sawa kabisa harmonise hayuko sawa kiakili na atakua chizi mutakuja kuona unazani mungu ni athmani ilimradi alifananisha mungu huyo ni chizi wala tusiwe na taharuki na yeye tayari Harmo ni chizi😊
Harmonise ni mtu wa ovyo ovyo ovyo kabisa ..afazari shehe sharifu umetufafanulia mana nilikuwa nasubilia Kwa hamu swala hili Ili nione teke yetu...nikwel pale hamo kazingua Kwa sisi pale waislam...yule hamo kazingua Sana...yule harmonase...Yan shehe Majin umefafanua vizur Sana...
Nyie mna leta ubinafs tamaduni za kiarabu ndo mnatofasri ni Mungu huo ni uelewa wa welekeo wa kutekwa fikira tuwe watumwa wa tamaduni za watu na sio Mungu kama Mungu ni mmoja basi na ibaada inatakiwa iwe na maana moja ya kumuinua yeye bila kuangalia uisiram wala ukiristo
Wewe kama Wewe unaweza ukafanya mambo yako kwa akili yako lakini fomula zote sahihi zipo katika Uislamu ukitaka unazifuata usipo taka basi unaziacha lakini ukifa utajibu kwa nini hukutii utaratibu wake make hata Bibilia iliposema Yesu alizikwa inaonesha alizikwa Kiislamu kwenye sanda tu bila sanduku la mbao.
Kuna Shekhe mmoja alisema "kuna watu maarufu watatu wakifa ata leo ingekuwa bora sana", na najua mmoja wao ni Harmonize. Anafanya kufuru za wazi sana hyo bwana mdogo na yoote ni kwa ajili ya wanawake na kiki tu😢😢😢Inna Lillahi wa Inna Illayhi Rajiun
Huyujaama si muslim kutokana nahaya matendoyaketu anayo yafanya yana oneshe kuwa si muslim wala watu wasimjandili wamuachetu musiumizwe vichwa venu nahuyu mlanifu muslim huyu zinaa ndovazilake tene hakunasri waziwazi hata ramadhani haheshimu kaziyake laana nalana nayeye halafu ukaseme huyu ni muislam siyo kweli hiyo kusema mimi nimtoto wakiislam nimanenoyaketu hatakama huyo babaake anavo sema mwenyewe ni shekhe basi hakumlea malezi yakiislam na mzazi mwenye kujuwa uslam unasemavipi basi pesa ya mtoto kama huyu haitaki hatawe msikini kwasababu pesa yakekwaza ni yaharamu lakini ukimuona mzazi mwanawe anafanya laana kilasiku anabadilishiwa wanawake tena walokuwa siwaislam naweye mzaizi ana muunga mkono anayoyafanya kwasababu anakungaiya vipesa vya moto ikiwa baba au mama basi nanyiye wazazi hamukosawa kwenye ndini munatizama kitu hamutizami kwa milele
Samia ni kiongozi ni lazma ashirikiane na watu wa dini zote mbili. Lakini hujawahi kumuona kaenda kanisani kwa ajili ya ibada au kufata maombi. Hata akienda kunakuwa kuna tukio maalumu. Hata Sayyidna Omar aliwahi kuingia katika kanisa wakati walipoenda kufungua (sham) kama sikosei. Lakini hakuenda kwa ajili ya kufanya ibada au kuombewa.
Samia ni kiongozi wa nchi na nchi ina Imani tofauti kuingia kanisani sio tatizo je ulimuona Samia anaenda kufanya ibada au anaenda kutimiza wajibu wake kma kiongozi??
So mnamuhukumu mnajuwa anapitia changamoto ngapi msimuhukumu nanyie msije kuhukumiwa kila mtu ana uhuru wake wa kuabudu apendacho alafu hatkama mwanadamu akikutenga hamna hata mbingu yakumuweka acheni kujifanya miiungu watu hamjui kesho zenu 😎😎🥸🥸🥸
Waislamu mimi uwa siwa helewi harmonize ange enda kwa mganga wa kienyeji mu singe sema anaenda kuombewa muna ongea mbona wa Islamu yengi wana enda makanisani wana ombewa na wana pona
Mbona Ali Kiba na wanamuziki wengine hawaambiwi hiyo, ukiona hivyo huyo dogo ana matatizo, kiuhalisia hata wewe unaweza kumuita Mungu ni mwanamke?! lakini dogo kamuita Mungu hivyo na hayo makosa amekuwa akiyarudia kila siku halafu anaigiza kujuta, safari hii bora aweke wazi tu ili waislam wenzie wasimpe nasaha.
Mkiweza kuzuia vigodoro hakika nitawaona wa maana sio kukaa kumjadil mtu ambae amekushinda kila kitu mpaka dhambi😂😂😂😂msali mtafute hela jaman achani majungu miungu kumi ishirini mmja haikupeleki mbingun na piah mbna nyie mnapenda kujihesabia haki sanaa kwamba nyie hamjawah kukosea miungu watu duuuuu
Kuenda kanisani kwa ajili ya jambo Fulani hiyo Haina shida lkn kwenda kuabudu ni mtihani huo Allah amesha tutakataza kujifananisha na Mila na desturi za dini zengine tubaki na Imani yetu na ibada yetu ALHAMDULILLAH dini yetu ipo kamili haija Wacha kitu katika maisha yetu
Acha wehu. Ali Hassan meinyi aliingia kanisani na akachangia mamilioni ya pesa, mama Samia pia ameingia kanisan ppia viongozi wa mahebu yote umwonbea Raisi wa nchi yet, mbona uwa hamsemi, ukimwonyesha mtu kidole kuna vingine vimekuelekea wewe. Kaka acha hukumu, MUNGU ni wa wote
Achen kupogisha watu je wewe unaefuga Majin unadhan uposawa na kupakwa ndevu Hina ni sawa nyie mnaunafik sn kunashida gan mtu kwenda kanisan uende kanisan msikitin usali ukiwa nyumban mungu niyuleyule achen ubaguzi wenu bana wakirsoto watuko hivo je rais Samia aliingia kanisan je nayeye mtamtenga
Kulingana na maneno yako na imani yako uko sawa kabisa ila kumbuka Harmonize jina halisi ni Rajab. Kwa ufupi ni muislamu. Watu wameudhika na kitu ambacho mwenyewe anajuwa katika Qur'an Allah anasema musiseme utatu wala kutamka Allah amejifanyia mtoto. Uislamu umekataza Yale yale wakristo wanatangaza. Sasa harmonize kiimani ya kiislamu ni kafiri. Uliona alianza na salamu akaambiwa hapa sio hivyo alipotamka kauli za kikristo basi apo amepotoka. Ni hayo tu
Viongozi mbalimbali wanaalikwaga makanisani na wanaenda bila shida yoyote na hata wakristo wanaoalikwa miskitini kwenye ibada mbalimbali wanaenda bila shida yote! Leo Harmo kaingia kanisani mashekhe wakamwinukia. Nina swali kwenu viongozi wa dini. Harmo ni kijana na ni mwanamuziki anapitia mambo mengi ya ujana wake ambayo hayampendezi Mungu mbona hamjawahi kuongea?? Wala kumshauri?? Wala kumuonya?? Leo mmeona dhambi kubwa aliyoifanya ni kuingia kanisani? Je hamjui hii nchi ina uhuru wa kuabudu?? Acheni chokochoko
Unatoka povu wakati alietenda ni harmonize, mwache na maisha yake usimuhukumu, atahukumiwa na mungu kama ametenda kosa. Una chuki tuu na our homonize, leave him alone. Povu jingi 🤣
Sio Kila anae itwa anaita mwenyezi MUNGU amesema kesho hatokwenda kumuadhibu mtu kwa uonevu amesema kiama hakita simama mpaka Kila mtu apate msg inayo husu uislam ni juu yako wewe ulie letewa huo ujumbe kukubali au kukataa
Yule alikua raisi anapaswa kufanya hivyo SI hata Samia anaenda kwa sisi waislam hatuamini MUNGU anae abudiwa kanisani na kuiamini MUNGU wa pale wewe ni motoni Moja kwa Moja
Tumekuwa kama wajinga tunatetea dini sio Mungu Hamonaiz katoboa pua na masikio hana siwa ya kuwa muislamu wala mkristo Sasa watu wanatokwa povu kwann kaenda kanisa yule mjinga asihalibu dini zetu
Unajua hta nynyi mnaojiita mashwikh pia ni watu wa kutrendi,mnahoji na kujadili kuombewa msanii hyo kanisani mbna hamuhoji kazi zake na uwasharat wake anaoufnya na kutwa mwmuona?nyny mnaojiita mashwikh mchwara ni wanafq hiv mfumo wa maisha anaoishi hyo msanii atashindwa hta ndoa ya jinsia moja?Hilo kuombewa na Bdo ytakuja mengi
Jee nyinyi ni akina nani mnae muhukumu harmoniz?? Je harmoniz alikwenda kwa shetani pale?? Hakika nyinyi hamu mjui mungu!! Mungu sio muislam Wala! Mungu sio mkristo kwaiyo wote tuna muomba mungu mmoja hai hitaji kumuhumu mtu. Kwa kua nyinyi sio kwamba ndio wenye haki mwenye haki ni mungu tuu
Mungu ni muislam na ndio ametupa dini ya kiislam sawa eeh amesema hakika nimewakamilishia dini yenu leo hakika dini mbele ya mungu niusialm asa we utake usitake hmn dini mbili ipo mmoja ambayo ni ya uislam
hatuta ingia peponi kwa itwa waislam Wala hatuta ingia peponi kwa itwa wakrito. Bali tuta ingia peponi kwa kuyasikiliza maneno ya mungu na kuyashika na kuya tii. Na kuzi tii Shelia zake mwenyezi mungu,
Mungu wa kweli ni ELOHIM ambaye yeye ni mmoja Kumbukumbu la torati 6:4 ila yeye amejipambanua katika nafsi 3 za milele 1Yohana 5:8 (Baba, Mwana na Roho) na wa 3 has ni Umoja.
😢😢 kauli yako futa kwa ajili ya mungu ww roho yako ni ya chuma au ama mtu akiwa mkristo akija kwa uislamu utasema bado ni mkiristo mungu akuongoze matusi hayasaaiidiiii chochote
Sisi hatuna mungu watatu,Mungu wetu n mmoja (Yesu)
Umeongea vizur Sana shehe wng... mashalah mashalah mashalah..yule harmonase sio muislam kwasisi waislam tumpuuzeni tuu yule mwehu...kaniuzi Sana Yan yule kichaa...anamchezea mungu Sana ...Yani simpendi Kwajili ya mungu nakwakejeli nadharau anazomfanyia mungu...Allah tuhifadh na ghazabu zako na mitihani kama hii inshallah...nakuomba mungu nibakishe kwenye dini yangu yakislam mim familia yng kizazi changu mwanangu na wazazi wangu...basi pia tufe tukiwa waislam nanizokwe kislam nanife ukiwa umeniridhia Allah....nakupenda Sana mungu wangu mtume wangu...nakupenda Sana shehe sharifu majini Kwajili ya Allah..amonaiz ni chiz na haogop Lana za mungu...
Unadhani wewe ndio mshika dini? Unahukumu kwa uwezo wa nani
Mumbai sasa anahukum😂😂😂😂😂poleh dada povu limekutoka ya mwenzio kakufuru ya kwako aaaah😂😂😂😂😂
@bestforever-q2w mimi sidhihaki mtu wala sidhihakiwi haswa nikujua anayejaribu kunidhihaki ana utapiamlo wa up stairs pole kwako pia my dear
@maureenlilykiwia1515 🤣🤣🤣🤣mfyuuuuuuu
@maureenlilykiwia1515 kwendraaaa
Uko sawa kabisa harmonise hayuko sawa kiakili na atakua chizi mutakuja kuona unazani mungu ni athmani ilimradi alifananisha mungu huyo ni chizi wala tusiwe na taharuki na yeye tayari Harmo ni chizi😊
Wewe mwenyewe unamjua Mungu Kwa kuweka rangi kwenye ndevu
hiyo sio rangi.. sisi waislam haturuhusiwi kupakaa rangi nyeusi kuficha mvi.. ila tumeruhusiwa kupakaa Hina.. hiyo ni Hina..
Asante bro mambo safi umeongea
Naongezea hapo ni kwamba akifa katika hiyo hali haruhusiwi kuzikwa kiislam
Harmonise ni mtu wa ovyo ovyo ovyo kabisa ..afazari shehe sharifu umetufafanulia mana nilikuwa nasubilia Kwa hamu swala hili Ili nione teke yetu...nikwel pale hamo kazingua Kwa sisi pale waislam...yule hamo kazingua Sana...yule harmonase...Yan shehe Majin umefafanua vizur Sana...
Ostadh Harmo njaaa zinamsumbua kaenda kuokota maokoto ila kwajili ya dini kakosea na atakua chizi
Nyie mna leta ubinafs tamaduni za kiarabu ndo mnatofasri ni Mungu huo ni uelewa wa welekeo wa kutekwa fikira tuwe watumwa wa tamaduni za watu na sio Mungu kama Mungu ni mmoja basi na ibaada inatakiwa iwe na maana moja ya kumuinua yeye bila kuangalia uisiram wala ukiristo
Kaka umesema kweli kabisa
Mmmh!! povu ilo baba awa watu wa ajabu sana muache YESU awaite walio wake .
Akifa, Mama yake na baba yake na ndugu zake wamzike kwawo . Kwa Sababu sio muislam
Mm naona MUNGU wetu ni mmoja. Wote tuna muabudu MUNGU wetu ni mmoja tu
Na wewe mhmhh!!!!!!!!😮hayaa
Mtu akifa anakua amekufa. Mkitaka mtamzika au mmuache juu ndo awanukie. Mungu hana dini, dini tumenzisha sisi
Utafugwa kamba ww unakuwa kama harmo kwani ulijiumba mwenywe 😂😂
@@kadijaa7771 Tuambie Mungu ni dini gani? jibu hilo kwanza
@@rabiamenshoo1988 ni niya mungu ndie aliileta acha uzezeta sasa kuna mtu kqtengeneza dini
Wewe ndio huna dini
Wewe kama Wewe unaweza ukafanya mambo yako kwa akili yako lakini fomula zote sahihi zipo katika Uislamu ukitaka unazifuata usipo taka basi unaziacha lakini ukifa utajibu kwa nini hukutii utaratibu wake make hata Bibilia iliposema Yesu alizikwa inaonesha alizikwa Kiislamu kwenye sanda tu bila sanduku la mbao.
Majini yakiskia maombi ni hatari
Kwan dhambi
Safi sana
Walasio uongo ni kweli kabisa
Naizo rangi umepaka kwa demvu zako nizambi
Mungu hataki.hivo
Kwa uislam inaruhusiwa
Hiyo ni Hina..
Kweer amekosea sana na ww elimu ya tasbih kuvaa shingon umepata wap tujuze
Ni freemason huyo
Harmonize kabadili dini yeye kakubali kama yeye ni mkukristu
Amekataa dini ya majini tatizo liko wapi ?
Kuna Shekhe mmoja alisema "kuna watu maarufu watatu wakifa ata leo ingekuwa bora sana", na najua mmoja wao ni Harmonize.
Anafanya kufuru za wazi sana hyo bwana mdogo na yoote ni kwa ajili ya wanawake na kiki tu😢😢😢Inna Lillahi wa Inna Illayhi Rajiun
Shafiii🙊🙊🙊
@Catherine-mh8sw eeeh na alikuwa mkweli kabisa
@@spartachize122 niliiyona Ile episode. Napenda mafundisho yake. Rahisi kuelewa anafundisha vizuri sana
@Catherine-mh8sw sana, yupo vzr yaani elimu pale imetulia
@spartachize122 kabisaa. Yani ukiwa na wasi wasi wa kitu pale jibu unapata.
Msanii Hana Dini
Huyujaama si muslim kutokana nahaya matendoyaketu anayo yafanya yana oneshe kuwa si muslim wala watu wasimjandili wamuachetu musiumizwe vichwa venu nahuyu mlanifu muslim huyu zinaa ndovazilake tene hakunasri waziwazi hata ramadhani haheshimu kaziyake laana nalana nayeye halafu ukaseme huyu ni muislam siyo kweli hiyo kusema mimi nimtoto wakiislam nimanenoyaketu hatakama huyo babaake anavo sema mwenyewe ni shekhe basi hakumlea malezi yakiislam na mzazi mwenye kujuwa uslam unasemavipi basi pesa ya mtoto kama huyu haitaki hatawe msikini kwasababu pesa yakekwaza ni yaharamu lakini ukimuona mzazi mwanawe anafanya laana kilasiku anabadilishiwa wanawake tena walokuwa siwaislam naweye mzaizi ana muunga mkono anayoyafanya kwasababu anakungaiya vipesa vya moto ikiwa baba au mama basi nanyiye wazazi hamukosawa kwenye ndini munatizama kitu hamutizami kwa milele
Dini yake ni ya kijini ya kupata pesa kiasi akawa hivi
Sawa shekh lakini hakunaga katika jina la BABA na la MWANA na la ROHO mtakatifu
Izo la la la uliziziongeza azipogo shekh
Anaishi maisha ya ajabu sana huyu jamaa
Samia kila mara yupo kanisani mbona hamsemi
Samia ni kiongozi ni lazma ashirikiane na watu wa dini zote mbili. Lakini hujawahi kumuona kaenda kanisani kwa ajili ya ibada au kufata maombi. Hata akienda kunakuwa kuna tukio maalumu. Hata Sayyidna Omar aliwahi kuingia katika kanisa wakati walipoenda kufungua (sham) kama sikosei. Lakini hakuenda kwa ajili ya kufanya ibada au kuombewa.
Samia kanisani huwa anaenda kuabudu au anaenda kutimiza majukumu yake kma kiongozi??
Wameshindikana wasanii waliisha ukataa uisilam zamani tu
Mmmmh kunaneno nimelisikia apa mliosikia kama mimi mje kwani apa asee kafilaa
Hayo ni matokeo ya daawa ya shekh alhad mussa salum na jmat yake ,msimlaumu harmonize mlaumuni yule shekh kuwa daawa yake hawa vijana wanaifanyia kazi
Kwani nyie huyo mtt anawashuulisha nn huyo ni mkiristo mnamlazmisha nn
Nyinyi shida nini
Mmakonde alimwaga machozi uwanja wa ndege anamsema vibaya baba yake diamond Leo anamsema vibaya mwz mungu ndo tujue kama huyu ni mtoto suo riziki
Weee mwenyewe tapeli mkubwaa
Atajijua mwenyewe huko?.....
We subiri iyi misani mola atayionesha.
Kiooo cha jamii zuchu au nae ni mkristo?
Nakuuliza wewe mfuga majini..mama samia aliingia kanisa la roma. Vp alikosea ebu tudadavulie ..ndipo sa tutajua kweli wewe mfuga majini
Samia ni kiongozi wa nchi na nchi ina Imani tofauti kuingia kanisani sio tatizo je ulimuona Samia anaenda kufanya ibada au anaenda kutimiza wajibu wake kma kiongozi??
Nyie waislam tuambieni mema yenu bas ambao mna MUNGU hamna akili waislam
Ww mwenywe unajiita jini. Sasa jini nipo kwa MUNGU??? Acha ushamba Mzee. Hapo kuweka mirang iyo ni dhambi
Uyu jamaa hana dini ya uislamu moyoni. Dini yake umaarufu na dunia.
We majini unatafuta kiki kumuongea harmonize!
Harmonize hayuko sawa ile misambwanda anayobeba kila mala imeshamvuruga akili kabisa mpigeni dua tu abadili tabia yakubeba mi Joice wowowo🤣🤣🤣🤣
Na Mibhange nayo inampeleka Puta🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nikweli umeongea asichezee dini za watu
Jamani huyu mtu hamo naona shidahata kumtaja mpuuzieni tu, maana tunapo mtaja naona kama tunampa kichwa tu
So mnamuhukumu mnajuwa anapitia changamoto ngapi msimuhukumu nanyie msije kuhukumiwa kila mtu ana uhuru wake wa kuabudu apendacho alafu hatkama mwanadamu akikutenga hamna hata mbingu yakumuweka acheni kujifanya miiungu watu hamjui kesho zenu 😎😎🥸🥸🥸
❤❤❤ kabisa
Huyu mbwa kama wengne shida amekariri haelewi na hawa waupande wapili yaaan sijui tuuuu
Acha kuhukumu
Dini gani ya majini ??
Waislam na wakristu ni watugani wanatowa mashetani kilasiku? Tena mnayatoleya makanisani kilasiku na mnawalipa ma pasta wawatowe hayo mashetani
Waislamu mimi uwa siwa helewi harmonize ange enda kwa mganga wa kienyeji mu singe sema anaenda kuombewa muna ongea mbona wa Islamu yengi wana enda makanisani wana ombewa na wana pona
Kwani Kila Mganga Wa Kienyenyi ni Mshirikina?! Au kwani KuwacMganga wa Kienyeji na Kutibu pasi na Kumshirikisha Mungu ni Kharamu/Dhambi?!
Nyinyi mashekhe acheni kufwatilia maisha ya wanamuziki😮😮😮
Mbona Ali Kiba na wanamuziki wengine hawaambiwi hiyo, ukiona hivyo huyo dogo ana matatizo, kiuhalisia hata wewe unaweza kumuita Mungu ni mwanamke?! lakini dogo kamuita Mungu hivyo na hayo makosa amekuwa akiyarudia kila siku halafu anaigiza kujuta, safari hii bora aweke wazi tu ili waislam wenzie wasimpe nasaha.
Mtoe mkeo afatiliwe
Mkiweza kuzuia vigodoro hakika nitawaona wa maana sio kukaa kumjadil mtu ambae amekushinda kila kitu mpaka dhambi😂😂😂😂msali mtafute hela jaman achani majungu miungu kumi ishirini mmja haikupeleki mbingun na piah mbna nyie mnapenda kujihesabia haki sanaa kwamba nyie hamjawah kukosea miungu watu duuuuu
Wewe mwenyewe shetani na huyo hormonise woote washenzi
😂😂😂😂😂😂
Aliekuambia km kupaka rangi ndevu ni dhambi ni nani??? someni muujue uislamu ndugu zangu.
Duuh hapo kwenye chips inzi kibaaoo
Viongoz wanaenda sana kanisan na msikitin hawan din
Kuenda kanisani kwa ajili ya jambo Fulani hiyo Haina shida lkn kwenda kuabudu ni mtihani huo Allah amesha tutakataza kujifananisha na Mila na desturi za dini zengine tubaki na Imani yetu na ibada yetu ALHAMDULILLAH dini yetu ipo kamili haija Wacha kitu katika maisha yetu
Acha wehu. Ali Hassan meinyi aliingia kanisani na akachangia mamilioni ya pesa, mama Samia pia ameingia kanisan ppia viongozi wa mahebu yote umwonbea Raisi wa nchi yet, mbona uwa hamsemi, ukimwonyesha mtu kidole kuna vingine vimekuelekea wewe. Kaka acha hukumu, MUNGU ni wa wote
Kuingia siombaya ila kufata ibada yao watu wengi hawaelewi kwa kweli fikra zawatu nitafauti kabisa
mimi sio muislam lakini mbona yey amevaa jezi na kwa dini ya kislam ni dhambi kuvaa jezi na yeye pia anatafuta kiki kupitia harmonize
😂😂😂 Na hameweka rangii kwenye ndevu yake
@GenerousAzard-fq1ym ndo hvy ndg c zote hizo ni dhambi
Watu wakumbushana tuu hakuna mkamilifu
@@GenerousAzard-fq1ymkuweka rangi kwenye uislam ni sawa.
Mnawaza ,kuzikwa sio utakatifu ,,,kuzikwa ninini ? Arafu wewe ,jamaaa majini ya nini ?
Achen kupogisha watu je wewe unaefuga Majin unadhan uposawa na kupakwa ndevu Hina ni sawa nyie mnaunafik sn kunashida gan mtu kwenda kanisan uende kanisan msikitin usali ukiwa nyumban mungu niyuleyule achen ubaguzi wenu bana wakirsoto watuko hivo je rais Samia aliingia kanisan je nayeye mtamtenga
Hina imeruhusiwa ndugu yangu wala hana kosa labda hayo mambo yake mwengine
Kaka hatahapo alipo enda ni nyumba ya mungu pia usikasilike wala kuwa na jazba hata apo mungu yupo cha msingi kuwa na imani amina
Kulingana na maneno yako na imani yako uko sawa kabisa ila kumbuka Harmonize jina halisi ni Rajab. Kwa ufupi ni muislamu. Watu wameudhika na kitu ambacho mwenyewe anajuwa katika Qur'an Allah anasema musiseme utatu wala kutamka Allah amejifanyia mtoto. Uislamu umekataza Yale yale wakristo wanatangaza. Sasa harmonize kiimani ya kiislamu ni kafiri. Uliona alianza na salamu akaambiwa hapa sio hivyo alipotamka kauli za kikristo basi apo amepotoka. Ni hayo tu
Viongozi mbalimbali wanaalikwaga makanisani na wanaenda bila shida yoyote na hata wakristo wanaoalikwa miskitini kwenye ibada mbalimbali wanaenda bila shida yote! Leo Harmo kaingia kanisani mashekhe wakamwinukia. Nina swali kwenu viongozi wa dini. Harmo ni kijana na ni mwanamuziki anapitia mambo mengi ya ujana wake ambayo hayampendezi Mungu mbona hamjawahi kuongea?? Wala kumshauri?? Wala kumuonya?? Leo mmeona dhambi kubwa aliyoifanya ni kuingia kanisani? Je hamjui hii nchi ina uhuru wa kuabudu?? Acheni chokochoko
Walipenda haendelee kwingia Club😂😂😂😂
Akuna binadamu ambae anaweza kumuukumu binadamu mwenzake, mahana akuna ambae akosi zambi.sheik wawapi kaweka brichi kwenyendevu?😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Rangi yeyote inaruhusiwa isipokuwa nyeusi tu hatujakatazwa kutia rangi kwenye nywele wala ndevu
Huna akili wewe.. kama vipi Nenda kavute bangi central police halaf wazee wakikudaba uwaambie hawana haki ya kukuhukumu zaidi ya mungu
Daah, shehe majini wewe ni mchawi tu, wewe sasa unaumia nini? Kakumbatie majini uko.
Unatoka povu wakati alietenda ni harmonize, mwache na maisha yake usimuhukumu, atahukumiwa na mungu kama ametenda kosa. Una chuki tuu na our homonize, leave him alone. Povu jingi 🤣
Ktk dini yetu tumehimizwa kukumbushana ni wajibu kukumbushana kw hyo yy anatimiza wajibu wake
Eti Uislamu haumhitaji mtu 😅😅 mbona Kuna Aya Unasema Waite katika njia ya mola wako?
Sio Kila anae itwa anaita mwenyezi MUNGU amesema kesho hatokwenda kumuadhibu mtu kwa uonevu amesema kiama hakita simama mpaka Kila mtu apate msg inayo husu uislam ni juu yako wewe ulie letewa huo ujumbe kukubali au kukataa
Mbona magufuli alikuwa anaenda kwote ?
Yule alikua raisi anapaswa kufanya hivyo SI hata Samia anaenda kwa sisi waislam hatuamini MUNGU anae abudiwa kanisani na kuiamini MUNGU wa pale wewe ni motoni Moja kwa Moja
@@Bahati47Kazi zote zilizopo duniani hazikutoshi mpaka umechukua Kazi ya Mungu pia ambao ni ya kumpeleka mtu Peponi ao motoni
Tumekuwa kama wajinga tunatetea dini sio Mungu
Hamonaiz katoboa pua na masikio hana siwa ya kuwa muislamu wala mkristo
Sasa watu wanatokwa povu kwann kaenda kanisa yule mjinga asihalibu dini zetu
hawa ndio masheikh mikundu mavi ,sasa maisha ya mtu binafsi unayaingilia ya nn,ndevu kama manyoya ya pumbu za nguruwe, ovyoo
Unajua hta nynyi mnaojiita mashwikh pia ni watu wa kutrendi,mnahoji na kujadili kuombewa msanii hyo kanisani mbna hamuhoji kazi zake na uwasharat wake anaoufnya na kutwa mwmuona?nyny mnaojiita mashwikh mchwara ni wanafq hiv mfumo wa maisha anaoishi hyo msanii atashindwa hta ndoa ya jinsia moja?Hilo kuombewa na Bdo ytakuja mengi
Shetani wewe stop judging people majini tu
Jee nyinyi ni akina nani mnae muhukumu harmoniz?? Je harmoniz alikwenda kwa shetani pale?? Hakika nyinyi hamu mjui mungu!! Mungu sio muislam Wala! Mungu sio mkristo kwaiyo wote tuna muomba mungu mmoja hai hitaji kumuhumu mtu. Kwa kua nyinyi sio kwamba ndio wenye haki mwenye haki ni mungu tuu
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🔥
Mungu ni muislam na ndio ametupa dini ya kiislam sawa eeh amesema hakika nimewakamilishia dini yenu leo hakika dini mbele ya mungu niusialm asa we utake usitake hmn dini mbili ipo mmoja ambayo ni ya uislam
hatuta ingia peponi kwa itwa waislam Wala hatuta ingia peponi kwa itwa wakrito. Bali tuta ingia peponi kwa kuyasikiliza maneno ya mungu na kuyashika na kuya tii. Na kuzi tii Shelia zake mwenyezi mungu,
@@MichaelNgowi-nc3vnmungu mwenyewe si yesu
Sasa mungu wakweli niyupi?
Mungu wa kweli ni ELOHIM ambaye yeye ni mmoja Kumbukumbu la torati 6:4 ila yeye amejipambanua katika nafsi 3 za milele 1Yohana 5:8 (Baba, Mwana na Roho) na wa 3 has ni Umoja.
@@ENOCKMABULA13 Haswaaaaa
Uislamu ni dini ya Shetwan Alokwambia uislamu ni wa mwenyez Mungu nani mhammad au??
😮
Eti asitupe tabu sisi wewe utaweza kuondok kabla yake wewe
Aaah Sheikh hakuna Mungu wa waisilam hapo unakosea Mungu ni huyu Mja tu brother
Kweli kabisa
Waislam hawaabudu yesu
Harmonize yupo sahihi ,tatizo weslamu mnarohozakinyama sana kisa kaenda kanisani? Weslamu wote matako yenu yamejaa mafuta ya Harmonize 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅