SHEIKH KANDAUMA "HARMONIZE amekosea sana kwenda KANISANI huu sio UISLAM kabisa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @Moha-w9t
    @Moha-w9t หลายเดือนก่อน +3

    harmonize yeye mwenyewe ni shetani mkubwa w freemason kwahivyo akienda kanisani haina shida.

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani หลายเดือนก่อน +1

    Harmonize sio Muislam zamani sana Muislam gani,؟ mara aseme Mungu wake mwanamke na sasa hivi kanisani mtu mwenyewe kajaa tatoo katoboa pua na masikio yake kuva cheni vikuku mtu mwenyewe shoga yule anaabudu mashetani na anavyo zungumziwa ndio anazidi umaarufu wake

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa หลายเดือนก่อน

    Yupo sawa hamo uamuzi niwake

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 หลายเดือนก่อน +2

    Sa ndio nini eti mtu akatwe kichwa kwa kuwa amefeel kuabudu tofauti na alivyokuwa akiabudu mwanzo!!! 😂

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 หลายเดือนก่อน

      Yaani ndio utaratibu ya dini ya kiisilamu. Ukisema ndio nini ni kwa upande wa dini yako. Respect

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwawekomiuda9779sheria za kipumbavu hz kila m2 ana uhuru wake na MUNGU wake

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche หลายเดือนก่อน

      Ww mtoto dogo

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky หลายเดือนก่อน

      Kamuulize mtume wako Musa alikuwa anawafanya Nini waabudu midoli

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 หลายเดือนก่อน

      @@PasserbyMan-ju8ky kwahyo hichi kipind ni cha musa?

  • @EllyjTengeneza
    @EllyjTengeneza หลายเดือนก่อน +1

    Hawa waganga njaa sijui mnawatoa wapi yani mtu akishajua kuigiza ushekhe mnaamini ni shekhe kumbe njaa kali

  • @nyayotv
    @nyayotv หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @MtailwaHamisi-u1o
    @MtailwaHamisi-u1o หลายเดือนก่อน

    MASHEIKH ACHANENI NA HAWA WASANI HAWAUTAKI UWISILAMU HATA MAISHA YAO KWA UJUMLA HAYAPO NDANI YA UWIAILAMU

  • @HadijaMussa-u7v
    @HadijaMussa-u7v หลายเดือนก่อน

    huyo mja walana kashindikana ila akubuke kifo kipo Dunia tunapita2

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 หลายเดือนก่อน

    Zingatia Maokoto

  • @Moha-w9t
    @Moha-w9t หลายเดือนก่อน +1

    mimi ni muislamu lakini shekhe ufahamu ya kwamba huyo hamonize mwenyewe msikitini hapiti na wala hiyo dini haifuati kwahiyo yeye na wakristo hawana tofauti usimlaumu bure hana uislamu wowote yeye diamond na wenziwe

  • @Kekulebenzene
    @Kekulebenzene หลายเดือนก่อน

    Halafu mnaojifanya masheikh acheni upumbavu
    Harmonize kuingia kanisani wala haishangazi wala haina madhara kwa umma wa waislamu
    Kazi yake na maisha yake yapo mbali na uislamu
    Acheni kutafuta kiki

    • @RayMayai
      @RayMayai หลายเดือนก่อน +1

      Hujui kitu ach kuropoka

  • @Chibu-n4m
    @Chibu-n4m หลายเดือนก่อน

    Izo ni Sheria za nchi zinazoongozwa kidini ndio Wana Sheria ngumu, Kwa hapa tz hatutaki mambo ayo, Leo nenda msikitini na kesho nenda kanisani ni wewe TU acha kuleta mambo ayo shekhe

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 หลายเดือนก่อน

      anazingua huyu fala😅😅😅sheria za kipuuz kabisa waende wakakate mashoga

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน

    Kwenden huko hamna la maana ndio maana wengi wanaritad kimyakimya wanajua mtawaua kwakuujua ukweli

    • @RafiaMasoud
      @RafiaMasoud หลายเดือนก่อน

      Kwenda zako ujinga tyuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n หลายเดือนก่อน

    Sheria za kiislam kwa jinsi zinavyotumia nguvu watu kuishika dini iyo, inatia shaka mno kuamini kuwa dini iyo ni ya kweli. Binafsi hapana, nishaona TH-cam wakiislam waarabu wanakata watu vichwa uku wakitamka Mungu mkubwa. Njoni kwa Yesu ndugu zetu.

    • @berry4726
      @berry4726 หลายเดือนก่อน

      Yesu kaumbwa na Allah na Nabii Yesu ni binadamu.

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 หลายเดือนก่อน

      ​@@berry4726Allah aliwaumba waislam ila me sijaumbwa na huyo kenge

  • @venancerichardlukumi4210
    @venancerichardlukumi4210 หลายเดือนก่อน

    Hii ni Tanzania, usilete mambo ya kialabu, mbona dimond anavaa msalaba, mbona ukusema akatwe kichwa, acheni nyie hii ni Tanzania, mbona mama samia alienda kanisani, wewe vipi bwana, mungu ni mmoja tu

  • @BvvvGh-g5t
    @BvvvGh-g5t หลายเดือนก่อน

    Yule niujinga wake waviuno atakuwa pdd

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 หลายเดือนก่อน

    Kumtakia rehema mtume ndio nini?, kwanini asijitakie rehema eye mwenyewe

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

      Kwa mtu kafiri huwezi elewa

    • @m.e.ssofttech2806
      @m.e.ssofttech2806 หลายเดือนก่อน

      @fatmafatu1128 mbona mitume mingine hamuitakii rehema, au mudi anashindwa kujitakia rehema yeye mwenyewe uko aliko, shtuka njia sio sahihi hiyo

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

      Ww siyo muislam hatakuhusu haya​@@m.e.ssofttech2806

    • @richardsalala9147
      @richardsalala9147 หลายเดือนก่อน

      Wasipomtakia rehema na kumswalia bwana mudi atapigwa moto wenye hajawahi ona 🤣🤣

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

      @@richardsalala9147 makafiri akili zenu matope nyie waabudu sanamu

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน

    Akwende huko sheh gan huyo din yenyewe mliletewa,waarabu huku wanafanya watakavyo nyie mnajifanya miungu watu

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 หลายเดือนก่อน

      Pole yako dini pekee ya ukweli ni uislam ukirsto sio dini munamuita meanadamu mungu uoni kama nyinyi niwapitevu

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน

      @fatmafatu1128 nanyinyi mnaoabudu masanamu miatatu na zaid maka,na mkienda mnafiaga huko kutoa kafara zao,

    • @JamesYunusa-y4c
      @JamesYunusa-y4c หลายเดือนก่อน

      ​@@Furahinikatkabwanawew Kafiri mmoja usie na elim ya Dini em wacha kelele
      Huko Makka uliona wapi hiyo miungu ya Masanam??
      Au nd wale Manabii wenu wanaowapotosha huwa wanakudanganyen???

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน

      @JamesYunusa-y4c hujasoma din ndio maana unaropokwa kama kifaranga kilichosa mama,ungejua usingemkubali mtume aliekataa amri za Mungu akaweka zake za kipuyz,soma din acha bange

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 หลายเดือนก่อน

    N.a. huyu sheikh.ajitambui.coz.makanisani watu huabudu.shetani.mapaster.wengi wako kundi.moja.na Sharif.wanazingatia maokoto.watu wa upako ..

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 หลายเดือนก่อน

    Harmonize.sio mkristo wala muisllamu huyu mwamba ni al makaburini.

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน +1

    Pua kama mbudi waislam mnajifanya wajuaji kwakuhukumu,Mungu ndio anahukumu sio nyie mambuz

    • @RayMayai
      @RayMayai หลายเดือนก่อน

      We huelew kitu usiropoke mpuuz ww

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน +1

      @RayMayai mpuuz niwewe nyau wakubwa mnajifanya mnajua sana mungu kumbe mashetan

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

      Tuachie dini yetu ww.kafili kaakimya

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana หลายเดือนก่อน

      @@HanifaOman-oo4pl dini yako au ya muarabu,pengine hujui hata kusoma kitabu chenu unapayukatu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน

      @Furahinikatkabwana Dini ya kiislam.imeletwa kwa wote walasi ya waarabu pekeyao.mlijue hilo.makafili

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 หลายเดือนก่อน

    N.a. huyu sheikh.ajitambui.coz.makanisani watu huabudu.shetani ..