UVUKE CHOIR HAPO MWANZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA SANA Wagogo wetu, Mungu Awabariki sana,,,, Nipo Nkuhungu Gweeh.

  • @upendochile1386
    @upendochile1386 4 ปีที่แล้ว +1

    Ohoo nimekumbuka mbali sana kipindi tunaulekodi pale dar kwa master j, nafrahi na Mimi sauti yangu imo narudi tena kujumuika pamoja kwaajili ya yesu

  • @juliethkitema6773
    @juliethkitema6773 2 ปีที่แล้ว

    Mzidi kubarikiwa katika viwango Vingine

  • @saulimmbaga.safisana9556
    @saulimmbaga.safisana9556 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 6 ปีที่แล้ว +1

    I wish wangepiga ile ile old version ya huu wimbo wa 1977. Baba yangu mzazi aliimba wimbo huu.

  • @fredrickmtangoo5071
    @fredrickmtangoo5071 4 ปีที่แล้ว

    Mmenikumbusha Uvuke ya zamani,solllo Helmasi,Rythm Madinda Hedson,Bass Nowel Madinda.Solo list alikuwa dadda mmoja mweupe sikumbuki jina.

  • @zakayomlenduka5031
    @zakayomlenduka5031 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo zenu Bado zinapendwa, tunataraji muweke nyimbo nyingi za zamani you tube, kama watoto sokoni, Ni huruma za bwana ,nehemia na nyingine nyingi za zamani,

    • @macklugatta6033
      @macklugatta6033 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kama miminazitafuta sana hizo nyimbo za zamani

  • @manyangadavid7009
    @manyangadavid7009 9 ปีที่แล้ว

    mpo juu bado nyimbo zenu zinahit

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 ปีที่แล้ว

    MPANGE SIKU MAALUMU Pale Nyerere Squ. Jameniii

  • @jamesmwampona4883
    @jamesmwampona4883 8 ปีที่แล้ว +1

    Nimekua nikiwasikia ni kwaya kongwe iliyodumu kwa miaka mingi ni ramani ya kwaya iliyojenga heshima kwa muziki wa live SHIKAMOO UVUKE.

  • @josephluhusa4823
    @josephluhusa4823 9 ปีที่แล้ว

    UVUKE CHOIR ! WE LOVE YOU. CARRY ON AHEAD. GOD BLESS YOU ! JOE LUHUSA LUHAMO.

  • @sarahmnunge8392
    @sarahmnunge8392 7 ปีที่แล้ว

    dada jubi hongera

  • @sarahmnunge8392
    @sarahmnunge8392 7 ปีที่แล้ว

    wimbo umetulia uvuke hongereni

  • @godfreenadoo7598
    @godfreenadoo7598 7 ปีที่แล้ว

    na history na hii choir naweza sema ni choir ya family pendo, Alice, Wile, Esther, grace nadoo ni family Moja.