HOUSE GIRL EP 28-29 | BUSATI TV | HOUSE GIRL EP 28 FINAL REVIEW | PREDICTION Ya 4 Scene Zijazo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • WhatsApp For More Update link 👇
    whatsapp.com/c...
    Explanation About The Video..
    Kwenye Video Hii Utapata Prediction review 4 ya House Girl series ( Ep 28 ) bila kusahau utajuzwa kuhusu mambo ambayo Nimeyapenda na Yale ambayo sijayapenda
    Kama Hujaangalia Full Video za House Girl Series Full Video Zinapatikana Kwa BUSATI TV Mjini TH-cam.
    Important: This Videos are very Special For Review , Commenting & Predicting the Upcoming Scene According to What Is Going on to the Current Series, As well as Introducing or Telling You where the Videos are Found in Specific Channel.
    If you see Bad use of This Video or Picture please contact with us Via Email www.kiboxmedia@gmail.com
    NB: Video Hizi ni Maalumu Kwa kukosoa & Kubashiri / Prediction ya KAZI ya Sanaa Kwa lengo la Kuboresha au Kutabiri Yajayo | Kama Utaona Kuna Matumizi Mabaya ya Video Hii au Picha Hasa Kwa Mmiliki/ waigizaji Tafadhali Wasiliana Nami Kwa Email www.kiboxmedia@gmail.com
    Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research..
    Other Search Keywords.
    house girl ep 28, house girl episode 28, house girl episode 29, busati tv house girl ep 29, busati tv house girl, house girl ep 27, house girl ep 26 busati tv
    #kiboxmedia #moviereview#busatitv

ความคิดเห็น • 97

  • @busatitv
    @busatitv 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wa kwanza kutoka kenya😂 Nipeni like sasa❤❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      😂💪🙏❤️✌️

    • @Slddhhh
      @Slddhhh 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo hiyo nimekupa basi,,

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      @@Slddhhh 😂🙏❤️✌️

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 3 หลายเดือนก่อน

      @@Slddhhh 🙏🙏🙏

  • @LavendahKweyu
    @LavendahKweyu 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂 sheikh mpanda mageti anafurahisha ila kendi dawa yake ipo jikoni inachemka mkwe tunae kma hawa watamchkua zuu kumpeleka hospitali na akikiri makosa yako kibendu anaeza samehewa na huo ndio mwisho wa kufanya ubakaji maskini baba kai huko aliko apone tu😢😢😢

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly hapo Umenena points Muhimu sana 💪🤸🙏❤️✌️

    • @LavendahKweyu
      @LavendahKweyu 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@KiboxMedia thanks 🙏🙏🙏🙏

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@LavendahKweyu 💪❤️✌️

    • @LavendahKweyu
      @LavendahKweyu 3 หลายเดือนก่อน

      @@KiboxMedia leo watoe saa mbili jamani upwiru wa movie hii umetukaba koo 😂😂😂😂😂😂😂

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      @@LavendahKweyu Msijali Team Iko imara mtainjoi tuu 😂😂💪✌️❤️

  • @JerryMwandambo
    @JerryMwandambo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani naombeni like zenu leo

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @Johar903
    @Johar903 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ mzuri inafundisha

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @marianachumbageni-v3r
    @marianachumbageni-v3r 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mponye zuu

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @nadzuwazidi
    @nadzuwazidi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu asimame na daa zuu apate usaidizi apelekwe osii apone nawapenda sana kwa kazi zenu dzuri🎉🎉🎉🎉🎉

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @ZahidahAli-ys1fg
    @ZahidahAli-ys1fg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila cend hamuogape mungu ase roho mbaya kama Nooka naumiya sana kumuona zuu kuwa ivo

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🥲🙏❤️✌️

  • @AishaAlly-ob7vd
    @AishaAlly-ob7vd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnakimbiza kweli wenzamg WA coment

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂🙌🙏❤️✌️

  • @NASRAZOMBE
    @NASRAZOMBE 3 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli hii move mnaiharibu sna n mtapoteza baazi ya mashabiki ao watu mnaowainhiza hawana maajabu yni daah roho yaniuma kwenye hili aisee

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️✍️

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa umesema dada,hii ikiazda na utamu saana lakini Saai yapoteza utamu

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      @@sifamaureen2792 Sawa Tumepokea Maoni 🙏✍️

  • @ReginaFrolian
    @ReginaFrolian 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zuu nisitelingi awazi kupatwa nakitu kibaya ila kend

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂😂 yah candy kitamramba ❤️🙏✌️

  • @SabiaKitsao
    @SabiaKitsao 3 หลายเดือนก่อน +1

    mungu amusaidie zuu

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน

    Kiramba mchuzi kazi unayo shehk mpanda mageti hatariii mpenda sañi utaupoaza kwa cend ww

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂😂💪🙏❤️✌️

  • @razigirazigi5437
    @razigirazigi5437 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napeda sana

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 หลายเดือนก่อน

    Yani Candy anakera sana ye fikira yake zuu abakwe ashikwe video ili iwe canzo cakumuacanisha na kay basi kimemuramba zuu 😭 atapona isha Allah kibendi nae akika vibaya binti akijjwa aya hatoolewa nae kabisa niubora zuu aweivo ili iwe nusura ya kubakwa maana ingeniuma sana mi uwa nakubali maneno yako yani huwa sambamba na move

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Inauma Sana jamani licha ya kuwa ni kuigiza ila uhalisia watu wananyanyaswa hivi ety 🥲🙏✌️

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

    Ila kendy muuaji mukubwa hana hata mushipa wahuruma

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

    Kawia ufika,mm mukenya jamani kachelewa,hongereni saana watu wangu wa tz

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน

    Nani atakaye kuona zuu hatakutana n baba Kai mbona hap patamu San busat tv kama busati upo vizur San n kazi yake hu 🔥🔥🔥🔥 sasa asnt San msoma raman ya zuuu ❤❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน

    Mmanga ndyo hatapeleka habari Kwa kina mama kibenu shekh Tena mapema kama mpema

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂🙏❤️✌️

  • @PaulOjiambo-p1f
    @PaulOjiambo-p1f 3 หลายเดือนก่อน

    akii mungu naomba mponye zuu

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @MzigwaSempoi-zd4ir
    @MzigwaSempoi-zd4ir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakpnd zuu bhb❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 3 หลายเดือนก่อน

    Ilo kovu la zuu mim na ona ni mizimu ya kwao Ili waogope wasimuingie 🎉

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Yah inawezekana japo Sio Madhara ya Dawa aliyopewa kuwa ni nyingi maana ukizidisha dawa inaweza Kuwa Sumu 😂😂😂😂 Au Unasemaje 🤪

  • @buru1235
    @buru1235 3 หลายเดือนก่อน

    Mm naona Hilo Bove n Mungu amefanya ivyo ndio mpakaji awache kubaka zuu Wangu mm apo nashukuru Mungu Kwa kuokoa zuu Wa Mee bt for you kendy Dawa yko inachemka nitachoka kusema ivyo iko mekoji Dawa wko dada

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante ❤️💪✌️

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa kk ❤❤❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️💪

  • @aswa3338
    @aswa3338 3 หลายเดือนก่อน

    Sorry for your 😂😂😂😂

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂😂 Your What Just finish your sentence

  • @MammyMeju
    @MammyMeju 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaharibu xx

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Nime comment hapo kwao Pitia meseji Yangu utupe Maoni 🙏

  • @MammyMeju
    @MammyMeju 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaharibu xx

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Ahsante Kwa kuliona Hilo Nipo tayari Kupokea Maoni na Kuwajuza Nini kitafanyika hivyo Naomba walau uchukue dakika utueleze Changamoto ipo wapi ili tuitatue , Tunajali na Kuthamini hoja Yako 🙏✍️✌️❤️💪

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 หลายเดือนก่อน

    Mm cjapenda jna haikus nzuri na wale Walid ongezwa Yule bibi miwanja ma Yule mbakaji hawana maajabu yyte kupoteza mda tu

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa Wazo Zuri 🙏✍️❤️✌️

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mpanda mageti nitakufata uko wewe😂😂😂😂😂😂

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 Utanikutia wapi labda juu ya Geti 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌✌️❤️🙏

  • @KalistusWiligis
    @KalistusWiligis 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani mim mpaka hapa sielewi wametuchanganyia mambo ya move hiyo

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli naona Maoni ya wengi wanaona mambo hayaendi sawa Na Mimi Napenda kupokea Maoni na Kuyawasilisha na Nafurahi sana hoja kama Hizi zinaonesha nia na Mtazamo wa Mashabiki nitawasilisha ✌️🙏✍️❤️

  • @RoseKasichana
    @RoseKasichana 3 หลายเดือนก่อน

    Msituonyeshe saana zuu venye anapitia tunataka kumwona na kai kupata fahamu zake ili apambane na hii hali na baba kai hali yake

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa 🙏❤️✌️✍️👍

  • @EllinasimeoJulius
    @EllinasimeoJulius 3 หลายเดือนก่อน

    Ningelipenda ukamuoa zuuu ndo mke anae kufaa😢😢😢😢

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @OmarOmar-t2p
    @OmarOmar-t2p 3 หลายเดือนก่อน

    Mm Sina swali ila naifatilia sana

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️💪

  • @RamadhanIdd-bz2te
    @RamadhanIdd-bz2te 3 หลายเดือนก่อน

    Najuwa zuu atakuwa sawa

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @PhilosLove-cb1oj
    @PhilosLove-cb1oj 3 หลายเดือนก่อน

    Next bhn ya 28

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Inakuja ✌️ soon ✍️

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 3 หลายเดือนก่อน

    Mmeharbu hii siriz

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      Kwanini 😳 Tujuze Tujue wapi Tunatakiwa kurekebisha 💪❤️

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@KiboxMediamunaingiza watu wenye hawana utamu,muliazda vizuri saana Saai mbona mwaichanganya

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      @@sifamaureen2792 Anhaa Hapo Sawa Haya Ndiyo tunayo Yataka Ili kuwapa Kitu Bora nitawasilisha Maoni 🙏💪✌️❤️

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 3 หลายเดือนก่อน

      @@KiboxMedia Asante sana

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      @@sifamaureen2792 Sawa 🙏💪

  • @MwajumaKhamis-d5b
    @MwajumaKhamis-d5b 3 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😭😭🙏❤️✌️

  • @TabiamohamedOoog
    @TabiamohamedOoog 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      🙏❤️✌️

  • @MussaMbii-u1y
    @MussaMbii-u1y 3 หลายเดือนก่อน

    Zuuuuuh😂😂😂😂😂😂

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂🙌🙏❤️✌️

  • @AishaAlly-ob7vd
    @AishaAlly-ob7vd 3 หลายเดือนก่อน

    Zuu atatoka salama kweli kwahuyu kibaka jaman

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo Mitihani 😂, Kwanza Pisi Kali 😂😂

    • @AishaAlly-ob7vd
      @AishaAlly-ob7vd 3 หลายเดือนก่อน

      @@KiboxMedia duu

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  3 หลายเดือนก่อน

      @@AishaAlly-ob7vd 😁✌️