MKIAMBIWA MWENYEKITI NA RAIS WENU MUUAJI WAAMBIE NI KWELI" RAIS SAMIA ASIKITISHWA NA KUFUGUKA HAYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024
- @millardayoTZA
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa kilichofanyia Songea Mkoa wa Ruvuma ameelaeza kusikitishwa na mengi yanayosemwa na kushambuliwa kuhusu yeye
"Msimame tu mjibu ndugu zangu hakuna cha kuhofia mkiambiwa mwenyekiti wetu Rais wenu muuaji wambie ni kweli ameua nguvu haki ya upinzani, mkiambiwa Rais wenu muuaji wambie kweli ameua njia zote za kudhibiti umaskini ndani ya nchi hii na amekuza uchumi wa Nchi hii, mkiambiwa mwenyekiti na Rais wenu muuaji wambie ni kweli ameua giza lililokuwa limekubika Tanzania na kwamba sasa Tanzania katika kiwango cha kimataifa inag'ara hayo ndiyo niliyoua Rais wenu na mwenyekiti wenu sijawai kuua mtu labda sisimizi nimeua lakini sio mtu, kwahiyo simameni tu mjibu" Rais Samia
Kwahiyo watu waendelee, kutekwa na kuuwawa?,kemea Watekaji na wauwaji mama achana na siasa kwenye maisha ya watu
Omba majembe ukalime sio kuomba maandamano
Hii akili ulionayo husivuke nayo barabara we ni kondoo
Muuaji Mkubua Ni Ww Na Serikari Yako
Wew unataka akemee vipi acheni ufala chanzo cha mauaji Tz ni nyereree , mkapa , kikwete ,kufuli mbona mmekaa kimyaaa watu walitiwa kwenye viroba wakatupwa
Hata mkimtetea ,,mpaka anaongea hivyo kishafeli mbona aliongea maneno ya ujasiri ASA hv anajilamba tu watu hawana ishu nae@@IlhamKhalid-mt3jp
Umeua mpka bandari ahsante mama
😂😂😂😂😂
Umenenaaa
😂😂😂😂
Kwan wew wafanya kazi bandarini ili kuthibitisha hilo au mumebebesh propaganda
Ila watuuu😂😂😂
Mungu yule yule asiyedhihakiwa atatenda
Hakika ...mti usiojuwa kucheza dansi....Utafundishwa na upepo!...
Watanzania apo atuna bahati....😇 Tuweni wastahimilivu sana kwa speech za hivi....
😂😂😂😂mtaelewatuu...
@@abuushakiraddausiy8666na bado mpaka waseme mama mitano tena.
Ndondocha zinashangilia sijui nn
ameanza mwenyewe kujitaja kuwa ni muuaji/the guilty are always afraid damu za watu wasio na hatia zimeanza kumtafuna na bado
Ndondocha kama zile za Chadema. Yanashangiliaga tu. Wakati wa Magufuli hilo ligombeya uraisi la Chadema. Lilisimama kwenye mkutano likasema Magufuli anatumia pesa za wanainchi vibaya. Eti kwa nini anajenga daraja la Tanzanite kule baharini. Ya kaulizwa eti masikini ataruhusiwa kupita hapo kwenye daraja? Ya kajibu hapanaaaa!!!!!. Leo hi yanapita na kipiga picha hapo bila kuzuiliwa na mtu yeyote na hilo lenyekiti lao pia linapita. Kwahiyo, inchi hii imeja mijinga.
Kwa kweli ni ndondocha hahaha
We malizia kipindi chako uondoke huna jipya
Tunataka majibu watekaji na wauwaji nani
Utasubiri Sana tatizo lenu ni udini tuu hadi 2030 Samia Rais
@@vt-kn6qf❤Hata Mimi muislamu lakini kwa uharamia huo hapo hakuna dini Wala Imani hata chembe
Mtasubiri sana chadema kuiongoza nchi hiii😮😮😮😮😮
Uingie wewe au? Sahau abadan na lichadema lenu
Kuna mipumbavu hii inchi sijapata kuona
Hizi kelele nazo sikia napata hasira kweli kweli...nafikiri wangemwambia rais atoe msimamo pia Jinsi gani watu wasiojulikana watakamatwa. Lkn anasema yeye ni muuji watu wanashangilia
Uelewe anachoongea au ndoumekurupuka uonekane ume coment
Hakuna lolote njaa bado ipo,nakibao auliwa ba akina nani,wacha hadithi za Alinacha wewe
Nchi imejaa mashoga hii saiv , wenye akili ni wachache ndomn unaona raia fata upepo wamejaa , huyo Samia nd kawatuma mweny akili anaelewa tu mbona yeye nd muuaji namb 1
Huwezi kumfikia Magufuli wew
Malizia2 miaka zako utoke
Ila Mama Kama Kaz imekushinda Achia Ngazi Mama Yetu tunakupenda Ila watu wametekwa sana Watt wamepotea Katiba yetu inatunyima Uhuru inatunyima haki Zetu kimsingi pia Tunataka Katiba Mpya Tunataka Mfumo Bora Wa Elimu maana tatizo la watanzania walio wengi hawajasoma na hawajui chochote ndio maana wanashangilia upuuzi
Hata LIBYA walianza kama hivyo na hatimaye walifurahia kuwawa kwa Gadafi sasa wanavuna walicho kipanda
Ni sawa na kumpigia gitaa ndg yangu hapa hamna kitu giza tupu
Ni kweli mtu anapokosea ni Bora kumwambia ukweli kuliko kumpigia makofu huku watu wanaumia sii vyema
Mama anainjoi na ndege tu nasafar zake ndiomana amasema tanzania nipepo kwakua watoto wake wanaish salama wanainjoi kwel wapo pepon ila maisha yadunian mafup sana wasijisahau kias kwamba kama wataish milele dunian apa
Bado hajasema mitano tena Mama❤❤❤
Mungu tusamehe hatuna rais
Hao wanaoshangilia cjui wanashangilia nini wakitoka hapo wanawaza hata mlo mmoja kwa cku
Hao ni wajinga kbs hawaelewi kbs
@@RausuliKingazi 😂😂😂😂😂😂una kichwa Kama ndonga LA sugu
Kuma mbuzi wote waandamanaj Machadema.
Acha kbisa watanzania wajinga sana.
@@thabitdaudi9815 mjinga ni mbowe mwnykt wakudum.
Kiukweli Tanzania ina bahati mbaya sana! yaani huyu mama maneno yanayomtoka kinywani yanashangaza sana! najiuliza ni akina nani wamemu ongopea huyu mama na kumbadilisha hadi akawa mbaya kias hiki??? najua viongoz wakubwa wa ccm karibu wote ni wabaya! ila sasa kwa kauli za huyu mama anavuka msitali mwekundu! watu wanao uawa ktk nchi hii siyo tu wanasiasa! tena raia wasiokuwa na vyama wala wanasiasa ndiyo wengi wanao uawa! kwa hali hii ni kama mamlaka ya usalama wetu sisi wananchi umerejeshwa kwetu! hivyo ntoerai kwa kila mwananchi ajilinde mwenyewe! maana hatuna tena chombo cha kutulinda! chombo ambacho kilipaswa kulinda usalama wetu na mali zetu kimerejeshwa ccm na kukilinda ccm asubuh mchana na usk! polen sana watanzania wenzangu kwa kuwa tuna uongoz mbovu wa nchi hii kuliko wakati wowote ktk history ya taifa letu.
Mungu tusaidie tunaomba peke yetu hatuwezi
Utakuda wewe kafiri mkubwa
😂😂😂 nyumba ikiwa na mama ina raha yakeeee............baba ata akisafiriii tuna enjoy tuuuu ♥️♥️♥️♥️♥️
Omba omba wengi nchini kenya🇰🇪 ni watanzania🇹🇿, but still mama anasema ameuwa umasikini, labda kama unazungumzia ukoo wake ila sio kwa wa Tanzania ninao wajua mimi.
Hai omba omba kawapeleka mama? Hawataki kufanya kazi wamezowea kuomba halafu wananunua mifugo makwao.
Samia must goo
Samia yupo na ataendelea kuwepo
Mwenzako yalimshinda sasa wewe siku zinahesabika
😂😂😂😂muache ajishaue tu
Kweli
Unamaanisha nn kwa comment yako hii?
Unathubutu kumtabiria Rais wa nchi uhai wake! amaakweli uhuru umevuka mipaka
@@kamanapomo7029 mimi sio mungu
Mama tunakuheshim san huko sasa unazingua half huna kauli za kiongoz wew mama nakuombea mabaya lolote likukute 😢😢kuanzia leo nakuendelea
Tatzo hamumpedi kila anachoongea muna msema 😂😂
Heli wew ambaye Mungu yupo kukusikia kuombea mama WA mtu mabaya tuna mpendaaaa
Dua la kuku halimpati mwewe! Mabaya unayomuombea mama wa watu yatakupata mwenyewe!
@@WallaceWaweru-ob7jzMnampenda wangap uchawa2
@@LuciaMagari-h8o vijana wenye akili Tu na ambao tuna upeo mkubwa wa kutafakari kuhusu ardhi ili tubeba toka Baba zetu na mpaka sasa ime beba maono yetu Tanzania 🇹🇿 is my blessed birthday land ever hatuwez kuharibu wala kuichafua kwa maslai ya wapumbavu wachache wenye huchu WA madaraka
Bongo tafata HeLa pambania family yako hawa wanasiasa tuwaache watafte kivyao bt stop killing people of Tanzania🇹🇿 kila MTU Ana haki ya kuishi ndio maana Mungu katuumba
Na wap wanapambnia familia zao kwanjia ya siasa kama wewe ni wing pambania ulipo
SAMIA MUST GO😮
Rais Samia naomba usikilize ngoma ya ney, nakama ikikupendeza mchangie maana huyo ndo mzalendo wa kweli sio hao wanaokusifia ata ukijikwaa
Samia nenda kwa mmewako mpe Kuma mme wako
@@EidAlnadabei-uc4cbna wewe Kuma ya mama yako inayotoa mavi mjinga wewe wewe umezaliwa mkunduni
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un.
MATUSI MAKUBWA HIVYO YA NINI?
MWOGOPE MWENYEZI MUNGU BORA UNYAMAZE KULIKO KITUKANA. @@EidAlnadabei-uc4cb
Samia must go
Huyu chura si aachane na Tanganyika akaimbe taarabu mchambawima
Unateseka ukiwa wapi?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mkitekwa mnalalamika 😂
miaka yote tokea uhuru marais wanatokea tanganyika,huyu hajapata hata miaka 5 mmeanza kukereka? mitano tena kwa mama,
na sisi tuliwah kupiga kelele kama nyie ivo kwa kuongongzwa ni watanganyika mkawa hamsikii au mlizani mungu ni wenu peke yenu?
@@Allybinamourwatapata tabu sana. Sisi watanganyika wenyewe wenye jina la Tanganyika tumechoshwa na hao watanganyika wa mchongo ambao hawajali maslah ya watanganyika wenyewe. Angalau viongozi wa visiwani bado wanaonesha uhimara katika utawala. Mama mitano tena na tena😂😂😂😂😂 najua tu wanajificha ficha baada 2025 tuwaona wanajichomoza mmoja mmoja baada ya ndugu yao Charles Darwin kukosa chimbo la kuiba Tz.
Weka tume huru isiyoingilia uchaguzi uone kama upinzani umekufa.😂😂
#SSH#Endelea mama kuwapiga spana#kazi iendelee
Haichukui nafasi ya daktari,,,
Raisi wetu kuna watu wapo wanakuelewa sana,, tunakuelewa sana 🎉❤🎉❤piga kazi Rais wetu,, na wengine wako mbioni kukuelewa
Mhe Rais ukiendelea kuwa na kiburi Mungu atakushusha chini
Kwasababu anamuamini MUNGU hatomshusha
Eti ameuwa umasikini afu kuna watu wanashangilia😂😂😂 dah
yani watanzania hata tuelimishwe had uzeeni hatujielewi wanachoshangilia hapo ni kitu gani
Wanao shangilia apo nimachawa Pinga uone @@oscarcharles9624
@@oscarcharles9624 Hao skio la kufa nawewe haliskii dawa.
@@oscarcharles9624 Daah mbona anaongea kimzaha sana 🤷♀️🙆🏼
Hao wanasubiri posho wakitoka wanaposho nzito ambazo ndio Kodi zenu
Hatuna rais hapa jamani
Hivi huyu kabla ya Magufuli kumpa umakamu wa raisi alikuwa wapi? Nahisi alikuwa mwimba taarabu
Kuwa na adabu juu ya kiongoz wak
alikuwa waziri ktk ofisi ya Rais asiyejulikana kwa maana uwezo wake ulikuwa mdogo na hana executives managerial experience ndio maana kila kukicha anabadili mawaziri
@@rawalidrajabu5360 mbwa ww et
Magufuli kabla ya kikwete kumpa uwaziri alikuwa wapi? Nahs alikuwa mpeleka ng'ombe malishoni.
Giza lililetwa na ccm hii alafu unasema umeliondoa Yani mnatufanyia maigizo nyie kuweni makini watu tumeelimika sio wa miaka ya 70 ccm ba do ilikeni
Mkiambiwa raisi wenu chura semeni ndio ameziba masikio anazidi kupandisha uchumi juu ..Tena chura kiziwi
Mama umepiga kitu kitu kizito upinzani, message hiyo imeenda wapinzani hawana ajenda. ❤
INAUMA SANA!.Kwa sasa wakati bado tuna chembe za subra Kilio chetu tunakukabidhi wewe MUNGU mizaha imekua mingi sana kwa maisha yetu.
MUNGU TUEPUSHIE KIKOMBE HIKI.
Bahati nzuri nzur wanao kufa kuuwawa sio wote ni vyama pinzan namunao shanglilia hamjitambui mnashangilia binadamu wenzenu kuuwawa
Hapa hamna Rais
Pole mama mungu akutie nguvu fanya kazi
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Siasa bhana yani ni uwongo mtupu yani 😢 MUNGU wangu tenda muujiza 🙏
Huyu ndie rais wetu kweli!!!!!
Mmmmmmh awamu hii tumepatikana
Nime cheka sana et awamu hii tume patikana
Sio kidogo
😂😂😂😂😂@@philemonmagesa5548
Nimechek kwa saut sana
Aliemteua huyu mama sijui aliwaza nini anatia hasira Sana dah
Kwakweli
Gombania ww tukuteuwe mana uyoo ndo hafai
Hamjasema mpaka mseme na mtasema
Pole sanaa Rais wangu, Mungu atasimama naww,😢😢
Ahsante mh rais
Milard sahisha hiyo introduction Umesema ameuwa kudhibiti umaskini sio sahihi. Ni tofauti alivyosema Mama
Mama unasema umeuwa sisimizi kweli kiongoz wanchi kweli unakatishatama kwawananchi wako haka mama manenoyako hayatii moyo watazania tunalia tunamaumivu daaaaa asee mama kweli unauhakika wakushinda uchaguz nakuombea heri😢😥😥😱ila sio kwakauli hizo
Hapo ameeleza kwamba hajawai kuua mtu kama mnavyosema kaua sisimizi huyo haonekani unaweza kumkanyaga bila kujua muwe mnasikiliza kwa umakini sio lawama tu kuongoza binadamu kazi ngumu
Hongera mama
Asante sana mama
nakuona mama mipasho.
Sasa uyu rais wetu duh! Rais angalia unachokiongea in public dunia inakutazama na kukushangaa 😂 acha kuropoka ovyo😂😂😂😂
...huyu nasi uyu...
Ukimuona anaemshangaa rais ujue huyo ni mpumbavu kama wewe
@@salimusalim3610 mbona unajazba vipi? Kulikoni? Pumbavu mwenyewe kenge wewe! Kila mtu anatoa mawazo yake km unataka kufanya uchawa wako fanya kafie uko! Xuuuu!!!!
@@dianaleo6067 kunguni wewe
@@salimusalim3610 huna hoja unatetea upuuzi na nchi yako ina maumivu.
Mungu arehemu vinywa vya wanasiasa
Jamani muheshimuni rais wetu,mitano tena good job madam presedent
Safiii sana ❤❤❤
Safi sana mama
Hao wote wanaokushangilia niwasenge machawa hawana akili
duh mama kweli una hotuba nzuli sana unajua kuandika kumbe wakati wa JPM nchi ilikua kwenye giza mbona me sijui sema hata ivo Nilikua mexico bn fanya kazi mama unaupga mwingi kama wanavosema
Nakuunga mkono rais wangu
Dr SSH✅
Umerudisha giza 😢
Mama Mungu akubariki, wewe ni kiongozi shupavu. Mungu ibariki Tanzania. Kidumu cha cha mapinduzi.
Kweli hapa tuna tatizo !
Kumamako wew
Unauwa NGUVU hasi ya Upinzani kwa kuteka na kuuwa WATU ???
Hii ni ajabu kubwa sana Raisi wa nchi anakosa wisdom kiasi hiki utadhani anaimba taarabu mipasho wakati TAIFA liko na majonzi kwa mauaji na utekaji
Loooh 😮😮😮😮
Ewe mwenyezi mungu ikikuprndeza chukua mapema huyu mama kwa maana anakotupeleka siyo kuzuri watanzania tunapata wapi ujasiri wa kushangilia upuuzi Kama huo
Ccm wanaakili basi ujinga mtu washenzi awa
Allah atamlinda na atamhifadhi na hafi ila kwa qadari yake yye Allah. na sihasha kukuchukua wewe mjinga mmoja.wewe muislamu wa sampuli gani na qauli hio si ktk mafundisho ya imani yetu acha nongwa
Hao wanaoshangilia ni bendera fata upepo
@@azruntravel4306 wewe naye ni miongoni mwa wale msioingia peponi pumbavu zako unatetea usenge Kama huu unaofanyika watu wanapoteza maisha Kila kukicha unajiskieje mzazi wako achukuliwe Leo kesho uende kuokota maiti halafu Leo mtu anakuja kujisema kwamba wakiwambia mie muuaji ni kweli ni upuuzi uliopitiliza mtu anapotenda uovu haijalishi ni dini gani lazima aambiwe mwenzangu udini umekujaa kichwani acha uislamu wa kipumbavu kiasi Kama mwalimu wako wa dini kakifundisha kufanya uovu kaa na ujinga wako
Awapi mnataka na watu kuuwawa acha kukwepesha awamu ya mwenda zake ulikuwepo na leo yanaendelea
Jeuri yako Kuna siku itaisha
Safi sana Rais wetu jibuni mapigo ya chadema munaogopa nini?
Pole mama ila hongera sana kwa uvumilivu🎉
I love you samia
Ina maana waliokufa ni sisiminzi wao na serikali yao ndio watu waongeze bidii kutuua sisiminzi tuko wengi e mwenyezi mungu komboa taifa letu imefika mahalo watu wako tunaonekana Kama sisiminzi hata tukifa Alla akbar
1:20 1:20
Ccm is a person outside Tanganyika clear definition
TZ WASENGE KIBAO WAMEJAA , MIJITU FATA UPEPO KIBAO IMEJAA KUMAMAYO ZENU WOTE , NDY SAMIA MUUAJI NA MTEKAJI NA SERIKAL YEKE YAN ANAONGEA MACHO YAKE TU YANAONESHA KWEL ANAFANY YEYE HAYO MATUKIO
Du cjawahi kumkubali hata iweje lakin yayaisha tu inshaalah
YOU MUST GO
Ataondoja mama yako
Umeua nguvu hasi ya upinzani? What does this even mean? Kwamba utaki upinzani,unataka wakukusheherekea?nonesense
Hata mimi sijamwelewa
Nonosense😂😂chenz kabisa
Kuwa muelew na kuuliza kama hujaelewa, nguvu hasi ni negative energy....hyo dhana na chuki ulizopandikizwa uipige chini kwa unavyooneka kana hapo hata raisi aongee vip utafuta namna ya kumkosoa na kumuona mbaya zaid
@@husseinmramba Ndio umeandika nini sasa nawewe😂
@@husseinmramba So you want positive energy from your competitiors?🤣 🤣 nonesense
Safi sana mama ❤❤❤
HALAFU MM NAJIULIZA NI KWANINI HAKUTOA KAULI YOYOTE JUUU YA LILE TUKIO LA MZEE KIBAO????!.AU KUNA AMBAE AMESIKIA KAULI YA RAIS KUKEMEA LILE TUKIO?!.
Utakuwa huishi Tanzania mana kila mtu anajua rais alilitaka jeshi LA polisi kufanya uchunguz wa kina kuwajua wauaji
Acheni kukurupuka unataka afanye nini sikaamrisha ufanyike upelelezi
@salimusalim3610 hv unatetea kwaxababu ya udini au kwamaslai mapana ya nchi. Kila koment upo tn unakazia utadhani ni mamako mzazi au ww unafarahi watoto kupotea sio
Alisema kifo ni kifo tuu😂 dah!
@@dianaleo6067
Hukumuelewa.
Alitutaka sote tukemee kila aina ya mauaji yawe ya mwana siasa, albino watoto nk. Tusilalamikie tu mauwaji ya mwana siasa na kuyanyamazia mauwaji ya wengine hapana kifo ni kifo na kila kifo kinaumiza tusibague.
KIONGOZ WA NCHI ANAWAOGOPA WAUAJI NA YEYE NDOMN HAWEZ KUWATAJA , NDOMN NEY KAWACHANA UKWEL ALAF MMEMUITA BASATA , USHOGA USHOGA USHOGA NCHI INAKUA USHOGA KUJAA TU UPUMBAVU MTUPU
😂
@@neemalema5312 hahah ndy neema beauty , hii serikal ya hovyo
Tundu lisu pekeake nimsema kweli, watanzania wanajielewa sana mungu zidi kumpa lisu uzima tutajua mengi, simhukumu mtu ila ccm jitadhiminini mnakoelekea mungu hapendi
Mama watu tunabeti sana mitahani ajira hamna na tukipata ajira bado mshala mchache kuliko matumizi angalia apo
Mitano kwako❤❤❤
Naipenda tanzania yangu, sina chama chochote, mama huna sifa ya kua rais, inaniuma sana nchi yangu i
Umeua sana, walete Soka na wenzake
Rais gani wewe unatuharibia nchi yetu kwa mauaji hatukutaki! Kwanza hakuna aliekuchagua.
Mungu ndioo aliye mchagua unapigamizi mwambie amuondoweee
Huyu smpnd sio kumtaka tuu hahahahh
@@rizikiabdalla2501 weee koma mungu alie mchagua huyu ni yupi? Labda unamjua wewe mi simjui. Huyu aliwekwa na katiba ya nchi baada ya magu kufariki. Hakuna aliye mchagua si mungu wala binadamu we vipi?!
Kufa kama humtaki Samia woye woyeeeeeeeeee
@@salehesalehe2967 kufa sifi. Na simtaki aende zake ukoo
Nashangaa. Umasikini umezidi. Mie nimeomba nisaidiwe kusaidia maskini ila nimepigwa chini. Alleluia
Tutawajibu mama hakuna shida wanakera sana safi mama hayo ndo maneno
Asante mama samia
Rais ninachokuomba ifanyie nchi mageuzi makubwa kwa kujenga mifumo bora na imara yenye kutenda haki.Nchi ikiwa na mifumo bora na imara na yenye kutenda haki lawama zote hizi unazotupiwa zitakwisha na hutalaumiwa tena.Watangulizi wako walishindwa kutengeneza mifumo imara katika nchi hii ila ww nakuomba ufanye hivyo na Mungu atakubariki.Sio siri kwa sasa nchi yetu ina mifumo mibovu na dhaifu inayohalalisha ulaji rushwa,ubadhirifu,ufisadi,dhuluma,wizi wa kura na kupora uchaguzi,kutekana na kuuana,kutesana,wizi,kukandamiza demokrasia na kuwanyima wanasiasa wa upinzani uhuru wa kufanya siasa.Wanaoiharibu na wanaoivuruga nchi hii ni chama na viongozi walioko madarakani na si wapinzani.Utu,uzalendo,haki,kuwa na hofu ya Mungu na maadili mengine yaanzie kwa viongozi ngazi za juu.Huwezi kiongozi ukajiita una maadili na hofu ya Mungu na wakati uongozi wako uliupata kwa kuiba kura na kupora uchaguzi.
Fact
Mama hongera sana mama piga kazi mam naomba unisaidie ada mama
Sijui kwann. Nimekuwa addected sana wa kuangalia mapishi, ni kweli vyakutazama vimeisha!?
Siasa ni mchezo mchafu kila mtu anatetea tumbo lake,ila ya bashite yafanyie .......................
Sawa Mamaa ....
Mungu tunakuomba utuondolee ccm, tumichoka yan mpka kichefchef kuona hizo rangi dah!!
Mungu hiweke ccm sisi tunaipenda atutaki kuwa wakimbizi sisi
icho kinakuj unakijuw kitakua hal gan
Mwenyekiti apo umekosea ccm naomba msamaha Kwa ajili yke
Mungu ibaliki Tanzania
Kumbuka hautakuwa raisi milele
MIPASHO NA UMBEA ND HOTUBA ZA SAIV , HAMNA CHA MAANA KABISA
Safiiii
Mama nina imani mikono yako haina damu ya mtanzania hata mmoja, 5 tena kwako❤
Mitano tenaaaa🙏🙏🙏🙏
Umetupandsha madaraja watumish Asante mama!lakin mwaka huu increment hatujapata tupe increment mama etu na nyongeza kura zetu zoote watumishi ni za kwako 🎉🎉🎉🎉
Hivii uchumii kakuza magufulii,,,au huyuu mamaa 😢
Huyu mwanamke sio mtu nzuri, fanyeni mfanyavyo lakini Kuna MUNGU
AMEEN