ความคิดเห็น •

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 22 นาทีที่ผ่านมา +1

    Pole dada, wanamakosa sana deni haliwezi kuua mtu, ugejua usingenunua hata hiyo simu,

  • @mariamushi4723
    @mariamushi4723 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Kumbe hawakopeshi tuu na kuuwa wanauwa jamani 😢😢😢😢😢 OYA Vipi tena jamani.
    Taasisi za mikopo kuweni makini sana kudai sio kupiga jamani 😢😢😢😢

  • @piusmusigula3512
    @piusmusigula3512 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Wahusika wakamatwe. Kampuni ifungiwe, pia itoe fidia ya kutosha Kwa familia

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ACHA WIVU KAMPUNI IKIFUNGWA NDIO ITASAIDIA NINI!? Kampuni ikifungwa si anafungua nyingine ndani ya dakika 5 tu. Acha roho ya kimaskini.

  • @EnjoyReonald
    @EnjoyReonald ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Oya mmeamua kuua kabisa😢😢

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Wanawake tujitahidi sana kuwashirikisha waume zetu mambo km haya. Pole Sana ndugu yangu. Hii kampuni ifungiwe wallah mmetoa uhai wa mtu kisa deni limebaki laki moja na elf 70??

  • @TariqJafari-w2j
    @TariqJafari-w2j 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Hyo kampuni ifungwe

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 15 นาทีที่ผ่านมา +1

      Umesema ukweli kbs tena wana mariba makubwa kwelikweli

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 10 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@rosemilingi7860
      Inshu Sio Riba Inshuuu Ni Kwamba Wanadai Vibayaaa Mnooo Hao Mbwaaaaa Yaani Ata Saa Kumi Usiku Wanatimba Hao

  • @PlatnamMogo
    @PlatnamMogo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Pole sana dada lakini hii ni kesi tayari hiyo kampuni ya OYA inatakiwa wahojiwe vizuri!

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Hii nchi kila kitu mama samia hakunaga viongozli wengine wasidizi

    • @DaheerK
      @DaheerK 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Mlete baba ako bas awe kiongoz mjinga ww usiejua maumivu yavifo

    • @ajiaally3269
      @ajiaally3269 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Uyu si mbwa kwa hyo unataka waongee na nani au kwa sababu nyie uko znz maisha mmeyapatia

    • @allymwilu8089
      @allymwilu8089 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hata kama wanafanya mapuuzi mama samia 😅😅😅 ujinga mtupu hapa wanawake mna tamaa munakopa hamuwashirirkishi wanaume zenu mmbwa nyie

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Labda Viongozi wengine ni vilaza tu havina au havifanyi chochote wakiambiwa. Labda kwenye hao wanahume WAlikuwa wanamtaka huyo mwanamke kimapenzi!!!? Au vipi? 😢😢😢

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hawa sio wakukopa kwao hawafai kabisa

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 8 นาทีที่ผ่านมา +1

    Acheni kukopakopa.mikopo yenyewe yana liba.mnanunua ugomvi na mungu.

  • @jerome3143
    @jerome3143 8 นาทีที่ผ่านมา +1

    pole sana dada ila mikopo ni adui wa maendeleo yako binafsi 3:50

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Mikopo ina riba na riba ni haram. Haram inamazala mengi siyokifotu tyjitahidi tuepuke na mikopo ya Riba. Kwani inatumaliza kinyakinya kwavitendo. Sshatujijui. Mazalani mengi kwa binadam kupitia riba. ,,,,tukinai na halizetu

    • @AsiaNassor-u7s
      @AsiaNassor-u7s ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Na riba zake ni kubwaa mnoo

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sahihi kabisa. Tukinai na tulichonacho. Na madhara ya riba yanatupata Kwa kuwa si riziki yetu ya halali tuliyokadiriwa bali ni Sisi ndo tunalazimishia.

    • @GABRIELGEORGE-qq1nj
      @GABRIELGEORGE-qq1nj ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mikopo yote duniani ina riba madam, hata misaada tunayopata kutoka nje ni hivyo

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 39 นาทีที่ผ่านมา +2

    Yani hii nchi imeharibika kwel itakuaje mumuuwe mtu kwa kumdai dah inauma sana lakin viongoz msome maisha magumu raia wanateseka wanakopa mpaka wanauliwa serekal hili msilinyamazie kimya😂😂😂

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kwa nini wadimfuate aliyenunua?? Hawa oya wanamakosa.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hii ndiyo hasara ya mikopo ya riba ALLAH. anasema acheni riba lakini mnaleta kibri

  • @fadhilimkanimkole272
    @fadhilimkanimkole272 22 นาทีที่ผ่านมา

    Kso sad

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Shida watu wa Tanga mnapenda sana mkopo mikopo Tena wakati mwingine ya ovyo ovyo wengine kazi hawana Wala Biashara hawana 😢ila Poleni wafiwa wote

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur 11 นาทีที่ผ่านมา +1

    Eti nikope ninunue simu?

  • @flurancembone4824
    @flurancembone4824 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    So sad 😭

  • @AmadeMbezy
    @AmadeMbezy 4 นาทีที่ผ่านมา +1

    Uyu demu ana mpango utafanyaje kitu mumeo ajui

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 28 นาทีที่ผ่านมา +1

    Wanawake mmezidi tamaa hivi nikitugani kinachokupa ujasili wakukopa pesa bira yakumshilikisha mmeo je unajiamini nini juu yahilo mnazalausana nyinyi wanawake

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 19 นาทีที่ผ่านมา +1

    ILA WANAWAKE JAMANI UNAKOPA HELA UNANUNUA SIMU BASI TU

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Unakopa mume hajuiii duuu ona Sasa umemsababisha maafa kwa kijana wa watu 😢😢😢😢

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf 37 นาทีที่ผ่านมา +2

    Kwani hii oya ni nn??

  • @salmaulomi4451
    @salmaulomi4451 8 นาทีที่ผ่านมา +2

    Wanawake tuacheni tamaa jamani eee tuwe tunawashirikisha waume zetu jamani,, sasa kama ilibaki laki si ungechukua mkopo wa laki ulipe deni then ubaki unadaiwa laki na riba yake ulivyokuwa huna akili na tamaa zako ukachukua tena laki tatu dah!! Hata uo mkopo wa kwanza sidhani kama ulichukua na mumeo kama unavyosema

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 32 นาทีที่ผ่านมา

    Wanyongwe hao wasenge

  • @SelinaJuma-c7t
    @SelinaJuma-c7t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hii oya ifungiwe

  • @salmaulomi4451
    @salmaulomi4451 4 นาทีที่ผ่านมา

    Inaumiza sana hata mimi aunt yangu alimuua mjomba wangu kwa mikopo Allah amrehemu, uncle alishangaa watu wamekuja kwake na kuanza kupiga mdana kiwanja chake hapo ndo akajua kuwa mkewe alikopa uncle akapata stroke ile hali ikadumu kwa mwezi mmoja mpaka umauti ulivyomkuta

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hawa Oya nawachukuia Sana nimeona utendaji kazi wao wanadhurumu Sana sikuzote nikiona gari zao roho inaniuma Sana sijui kampuni hii ina wahusika serikalini

  • @saidhamis1124
    @saidhamis1124 25 นาทีที่ผ่านมา +1

    WALAATAKRAAB RIIBAA

  • @hamadmakame6040
    @hamadmakame6040 43 นาทีที่ผ่านมา +1

    TAMAAA MBAYA SANA UNAKOPAJE BILA KUSHIRIKISHA MUME

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Polee dada.

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 31 นาทีที่ผ่านมา

    Olooooooh ngoja tusikie serikari tuone itafanyaje

  • @LaizerSaitoty
    @LaizerSaitoty 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pole sana dada angu ila jaman kila kitu sio mama samia watunzania tuwe uelewa kdg raisi ana majukumu mengneyo kuna viongoz wa ngazi chini

  • @oscarmartinavito3167
    @oscarmartinavito3167 12 นาทีที่ผ่านมา

    Iiiiooo😂😂😂😂😂 unakopa unanunua cm huyu dada kabila gani

  • @ChristianSiwale-iw7ex
    @ChristianSiwale-iw7ex 9 นาทีที่ผ่านมา

    Jina lenyewe et OYA😂😂 mbona kama wahuni tuu

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mhh.mkopo shikamoo

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jamani. Unauwa kisapesa

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 นาทีที่ผ่านมา

    So sad Rip😭🙏

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwa kweli mmh

  • @EdwinAugustine-up5kd
    @EdwinAugustine-up5kd 3 นาทีที่ผ่านมา

    Hapa hakuna mwanamke ,kananuka mikopo tuu,

  • @dorcasjonathan9793
    @dorcasjonathan9793 37 นาทีที่ผ่านมา

    Pole sana ila wakati wakuomba msaada acheni kutumia lugha ya kumtaja mh rais kama jinzia yako mm sipend na nahisi haipendezi kabisa kujifananisha omba kitu kwa mkuu wako kama unauhakika amekupita kiuwezo lakin kama una fananisha utapata tabu sana ombakama unaomba kwa mkubwa wako hatamm ukinomba kiivyo wathah sikupi

  • @salomeKihaga
    @salomeKihaga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Jmn maskini pole

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umasikini jamaani ugonjwa! Asinge kuwa masikiini asinge kopa mpaka mumewe kuwawa. Hujamponza wakati wake ulishafika na hao ni wauwaji tu. Laki 3 sio ya kumuuwa mtu. 😭😭 mtihani huu.

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hii kampuni ya OYA ifungiwe haifai hata kidogo, jopo la wanasheria maarufu kutoka chama cha wanasheria simameni ili haki iweze kutendeka.

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    mwandishi uliza deni limelipwa au zamana mmetoa

  • @JamesNgala-g3c
    @JamesNgala-g3c 4 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu dada nae ana makosa, unachuaje mkopo bila kumshirikisha mumeo.

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pole Sana mwanangu

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 37 นาทีที่ผ่านมา

    Daaàh kweli sasa dunia imekwisha, yani unatoa uhai wa mtu kisa pesa amakweli utu siku hizi umetoweka

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Iyo kampuni ya Oya ukiwakopa wanakufata ata saanane za usiku

  • @BARAKAPETER-er2yh
    @BARAKAPETER-er2yh 11 นาทีที่ผ่านมา

    Hiyo campuni haifai

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 53 นาทีที่ผ่านมา

    Oooo jamani RIP.

  • @BeniMsokile
    @BeniMsokile 38 นาทีที่ผ่านมา

    Mambo ya kausha damu

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 41 นาทีที่ผ่านมา

    Uchunguzi utendeke kwa makin wenda hao ndo watekaji na pia mkewe nae akamatwe

  • @EdwinAugustine-up5kd
    @EdwinAugustine-up5kd 2 นาทีที่ผ่านมา

    kaa mjane sasa tuone mshenz ww ,kutwa mahera ya watu mnayatolea macho,mkinyimwa hamkubari

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 48 นาทีที่ผ่านมา

    Raisi wa TLS tunakuomba umusaidie uyu dada wew ndotaa yetu kwasasa watanzania bira wew tutaisha kaka yetu mwambukuzi tunakuangukia wew musaidie uyu dada

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanawake tuache tamaa mimi kitu ambacho naogopa ni mkopo wa riba

  • @SelinaJuma-c7t
    @SelinaJuma-c7t 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa oya sio wakiwa hata wanadai 10000 wanafuata watu nyumbani hata saa Tisa usiku hii kampuni sio

  • @vero57
    @vero57 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana dada .

  • @judithmussa-le1gj
    @judithmussa-le1gj 16 นาทีที่ผ่านมา

    Ni ya mwavita makamba

  • @EwaldAntony-n3e
    @EwaldAntony-n3e 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Oya ifungiwe

  • @judithmussa-le1gj
    @judithmussa-le1gj 11 นาทีที่ผ่านมา

    NAPE ALIKEMEA KABISA
    DENI HALIFUNGI MTU HATA NCHI INAMADENI IWEJE WAUE
    MIKOPO YA MITANDAONI IFUTWE
    IBAKI BRANCH

  • @Farida-k2m
    @Farida-k2m 58 นาทีที่ผ่านมา

    Pole sana Dadaangu

  • @AnnaKavwanga
    @AnnaKavwanga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kifo bhana yan utakwepaaa lkn huja bila sababu kubwa mungu mkali sana ww polen nyie watu 😢😢

  • @haldinkiope9753
    @haldinkiope9753 43 นาทีที่ผ่านมา

    Uwo mkopo wapili walimlazimisha kuwa hakope na amalizie deni la kwanza ila kosa hakumwambia hali halisi

  • @FembeDreamMotors
    @FembeDreamMotors ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanawake mda mwingine mnazingua yani unakopa ununue simu aseee 💔

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hili jimwanamke ndio chanzo sura mbaya ovyooo unachukua hela ya mkopo unaenda kununua simu unaakili timamu?

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inawezekana labda alikuwa nakimbia kudaiwa, kwa nini wasije mapema?

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 51 นาทีที่ผ่านมา

    Wamama wanapenda hyo oya ila n marejesho makubwa yaan wamama hawogopi wallah mpk wanachanganyikiwa na wanadhalilishwa sana wallah kampuni mbaya nawaona watu wanahaha sana marejesho makubwa na n miez 3 n tabu tu maisha magumu punguzen marejesho yaan hta uchukue million 5 miez mitatu Huku alizimia mtu

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanawake ni hatar chukua tahadhar wadauuu

  • @bakarikamote5709
    @bakarikamote5709 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ila wanawke mnapend mahmuz yenu binfs mpka ttzo linakuw kubwa ndo mnajtez

  • @IddFarid
    @IddFarid 41 นาทีที่ผ่านมา

    Imetoka kausha damu mpaka kuuwa jamani bunge lipo wap jamani mikopo yote kuanzia kwenye simu ifutwe

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubaya ya riba ndio huu

  • @stonetown578
    @stonetown578 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi nashangaa mtu tayari amefiwa halafu mnakwenda kumuhoji hii inakaaje? Ukope ukanunua simu!!!

  • @emanuelinaman8240
    @emanuelinaman8240 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duh

  • @MohamedFundikila
    @MohamedFundikila 46 นาทีที่ผ่านมา

    Kudai haki bila kufuata sheria ni vurugu

  • @Haroonlguo
    @Haroonlguo 42 นาทีที่ผ่านมา

    Polen samia tetea wanyonge

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanna wake muache mikopo jmn

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Unachukua cm bila mmeo kujua kwel hizi ndoa zasasa zimekuaje Yesu tusaidie

    • @dianahamishalawa4334
      @dianahamishalawa4334 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na huo ujasir sijui hua wanautoa wap maskin😢

  • @AdamMohamed-u4p
    @AdamMohamed-u4p 34 นาทีที่ผ่านมา

    Mnataka haki sawa tulien hivyo hivyo

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 58 นาทีที่ผ่านมา

    Du pole sn dada, hukujua kweli.

  • @TatuHamismtumbukaMtumbuka
    @TatuHamismtumbukaMtumbuka ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Oyah mkopo wenyewe riba kuubwa nno tena wakati wa kulipa wanakuja asubuhi au usiku wa manane

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani wanawake na mikopo tena mikopo unaenda kununua simu navitu kwatamaa sjui mnakuwaje wanawake acheni tamaa sasa mpaka unapelekea kuuwawa mtoto wawatu unaonaje huomkopo ungeutumia kwenye kufanya biashara ili uzalishe uwezekurejesha we unaendakununua simu nyoko sana wewe mama
    Alafu et nimwislam naunajuwa mkopo unariba na riba niharamu ayo ndo maripo ya mwenyenyezi mungu pole sana ndugu wa marehemu

  • @AdnanJuma-f9u
    @AdnanJuma-f9u 49 นาทีที่ผ่านมา

    Ndugu Zangu TuweWakweli Kwenye Ndoa&Familia Zetu?

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake mola ampe khauli thabiti ndugu yetu 😢😢😢

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duu,inaumiza sana.poleni wafiwa.

  • @RoseMinjar
    @RoseMinjar ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo kampuni ya oya ni kweli wanatembea 4 na ni wababe kweli. Pole mfiwa.

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanawake mnatuponza sana kwakwel anyway.

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Et mama samia mama samia ndo alikutuma ukope we nimshamba sana ungekuwa ni mkewandugu yangu tunakupa taraka ata kabla yakumzika marehemu nimekuchukia sana wewe dada nahili nisomo kwa wanawake wanaenda kukopa bila kuwashilikisha wapenzi wao au waume zao nahuyu siyo wakwanza atahuku kwetu wameshatokea kama wanaume2 nawengine wamefungwa wakati hawajui mkopo wa hawakushilikishwa yaani mimi mkewangu akikopa ajipange kwenda kukopea kwako

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 30 นาทีที่ผ่านมา

    Hawa jamaa na wafahamu wapo morogoro balaaaa lake siyo la kawaida

  • @SalumSleiman
    @SalumSleiman 53 นาทีที่ผ่านมา

    Jambo la kwanza hao waliouwa wazibitiwe na kufungwa maisha yao halafu hiyo Oya ifungiwe mazima na family ilipwe billion kumi za kitanzania ili Campuni nyengine iwe ni funzo

  • @frankrobert9706
    @frankrobert9706 50 นาทีที่ผ่านมา

    Oya ni hatari inafirisi sana watu

  • @tinasimon9706
    @tinasimon9706 57 นาทีที่ผ่านมา

    Jmn , kwann lkn😢 laki tatu zimuuwe mtu? Ila wanawake msikopekope ovyo jmn

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 47 นาทีที่ผ่านมา

    Hao jama kwani wemezoea kupiga watu

  • @EdwardMangwe
    @EdwardMangwe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana wafiwa

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 17 นาทีที่ผ่านมา

    Sasa hao si nisawa na majambazi jamani?mbona watoa hela za riba wanajichukulia maamuz yao,hakuna serekali?nisawa na wale wanakaa jariakoo wanachezesha michezo ya wiz na polisi wapo

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wafungiwe hawa

  • @VailetPiter
    @VailetPiter 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mmelazimishwa kukopa kazi iendelee

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kausha damu OYA imemwaga damu isiyo na hatia, dah inasikitisha sana, hii kampuni haifai.

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Oya.....siwataki kabsaa wazee wa kuongeza riba

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 45 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu yuwa faa kuwa kwaeda lkn mtiani😢😢