MAYASA MRISHO AMJIBU WEMA SEPETU/KUHUSU KUMSHAURI ATOE MIMBA/ANAWASHAURI WAKE/MAMA KANUMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 275

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 3 ปีที่แล้ว +148

    Yani wewe dada unaakili na nimzuri kama ngozi yako MUNGU azidi kukutunza 😘❣gonga like hapa mtazamaji mwenzangu kama umegundua mayasa hajaaribu ngozi yake ya asilia..❤

  • @tajaelmichael227
    @tajaelmichael227 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah dada unauwezo mkubwa wakujibu maswali Bila kutegwa na mwandishi wa habari so proud of you

  • @rayanaabdallah473
    @rayanaabdallah473 3 ปีที่แล้ว +58

    Natural woman...nakupenda mayasa

  • @SaidSaid-bq6mk
    @SaidSaid-bq6mk 3 ปีที่แล้ว +7

    Dah damayasa yaani km wasanii wengi wangekua km ulivo ww tungefika mbali sanaa hongera sana dada mwenyez mungu akuzidishie hekma na busara ulokua nayo

  • @abrahamaxcel5334
    @abrahamaxcel5334 3 ปีที่แล้ว +17

    Ww ndo number one TZ kuwa beautiful. Natural beauty. No makeup.

  • @mohammedtawa3668
    @mohammedtawa3668 3 ปีที่แล้ว +33

    Dada wewe uko poa sana majibu yako mazuri sana, una hekma sana. Big love

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 3 ปีที่แล้ว +19

    anacheka vizuri sana na pia kicheko cha hivyo kinamaana kubwa sana ukikitazama kwa jicho la tatu.

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu dada nimempenda sana halopoki ovyooo😍😍😍

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante maya nakupenda sana kuwa na msimamo ivyo ivyo kipenzi

  • @rukiaissa5225
    @rukiaissa5225 3 ปีที่แล้ว +8

    Wema mumy,UJANA MAJI YA MOTO;ona sasa yamekuunguza.Acha kulaumu watu,TUBU, .TUBU,TUBU,Mungu ni WAREHEMA ATAKUSAMEHE.Maya uko vzr,Kila mtu abebe mzgo wk mwnyw

  • @husnaramadhanrasolh857
    @husnaramadhanrasolh857 3 ปีที่แล้ว +3

    Piga kelele kwa mayasa akeeeeeee mekupenda zaid ya kukupenda kata ya waigzaj wanao jielewa 😍😍😍😍😍😍

  • @nasrachaula9878
    @nasrachaula9878 3 ปีที่แล้ว +62

    Inaonekama mayasa ana vingi anajua but Kaamua kuficha na kusimama katk msimamo wake

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @zabibuhusseni7218
      @zabibuhusseni7218 3 ปีที่แล้ว +3

      Nampenda sana mayans kajibu vizur naanajuwa kumstili mtu madhaifu yke

    • @nahimanamayassa8305
      @nahimanamayassa8305 3 ปีที่แล้ว

      Naam,siumeskia cheko lake apo mwanzo😂

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

      ndoubinadamu。na yy Allah atamsitiri pia

  • @annaeriksson8555
    @annaeriksson8555 3 ปีที่แล้ว +49

    Dada umenifurahisha, mwandishi anatafuta umbea tu, kuuliza maswali yakuchonganishi tu.

  • @roseanajophrey7048
    @roseanajophrey7048 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki dada unajibu KWA hekima

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว +50

    Kumbe mayasa mwislamu masha allah tabaraka allah 😍

    • @samwellwiza466
      @samwellwiza466 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata wema ni muislam...

    • @eliamkonda5162
      @eliamkonda5162 3 ปีที่แล้ว

      Hata Mimi ni muislamu

    • @aishajuma712
      @aishajuma712 3 ปีที่แล้ว

      Me 2 islamic😍😍😍

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 3 ปีที่แล้ว

      SASA unafurahia mini???kwamba alikua anamshauri MWENZIE kutoa Mimba?????

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว

      @@eliamkonda5162 🤣😀

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah wallah sister weye ndo dada lao nimepeda uogeaji wako na mipaka yako 😘💪🇹🇿🇴🇲

  • @kashindekilakala5573
    @kashindekilakala5573 3 ปีที่แล้ว +7

    Mayasa😍😘...natural beauty

  • @thisiszai2045
    @thisiszai2045 3 ปีที่แล้ว +52

    Nime ipenda cheko ya mayasa Ina siri ndani mwake

    • @zennahazeezy3363
      @zennahazeezy3363 3 ปีที่แล้ว +7

      Kabisa yan cheko linamaanisha hupat kitu mtangazaj

    • @KhalfanMwatime
      @KhalfanMwatime 3 ปีที่แล้ว +1

      @@zennahazeezy3363 😂😂😂😂😂

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว +4

      Kweli kabisa cheko lake Lina maana Sana

    • @singilamoki4152
      @singilamoki4152 3 ปีที่แล้ว +1

      @@zennahazeezy3363 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥂

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 3 ปีที่แล้ว +2

      Umeonae

  • @johnsonmlowe1232
    @johnsonmlowe1232 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah natural skin pia una,hekima

  • @raykas9976
    @raykas9976 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada ana hekima sana nimempenda sana. Wadada jifunzeni kuongea kwa hekima km huyu dada.

  • @nyambirotrueinformation7500
    @nyambirotrueinformation7500 3 ปีที่แล้ว +3

    Mayasa unasauti nzuri Dada mpole Mungu azidi kukubariki

  • @officialmariecongo8026
    @officialmariecongo8026 3 ปีที่แล้ว +23

    Unajihelewa dada💕

  • @mwanakheridunda8481
    @mwanakheridunda8481 3 ปีที่แล้ว

    Wewe unafaa kuwa mke bora yani ktk wasanii unafaa kuwa na mume bora inshallah

  • @alliabaraka5810
    @alliabaraka5810 3 ปีที่แล้ว +2

    She is very intellectual and reserved I like that

  • @kibabysaid6692
    @kibabysaid6692 3 ปีที่แล้ว +1

    Mayasa kama mayasa😍kajibu maswali vizuri tu pendaaa sanaa wewe

  • @mwashabanimege9435
    @mwashabanimege9435 3 ปีที่แล้ว +6

    Hakika maya umejua kunifurahisha kwa majibu yako ya busara😘

  • @boscomuyinga2188
    @boscomuyinga2188 3 ปีที่แล้ว +31

    Hekima na busara zimejaa hapa huyu dada anajitambua na kujielewa sana

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 ปีที่แล้ว

      Yy si bado mwili wake haujapunguwa icluding her brain!Wema mm ananiumiza kichwa.

  • @stay_onit360
    @stay_onit360 3 ปีที่แล้ว +6

    Dada anahekima hadi anabowa. daah nakupenda sana wallah I like that 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana wajina wa dada yangu

  • @sherin3171
    @sherin3171 3 ปีที่แล้ว +49

    Me naona wema kwa kutoa mimba nikupenda kwake ... na ata asilaumu mungu ety hampi mtoto ...watoto alipewa na akawatoa mwenyewe so ajilaumu yye

    • @ashaldinho5465
      @ashaldinho5465 3 ปีที่แล้ว +3

      kabsa alipenda mwenyew kutowa

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli kabisa alikua anataka usichana

    • @ashaldinho5465
      @ashaldinho5465 3 ปีที่แล้ว +6

      @@zakyahya4645 ivi anakuwa nashida na watot anawakosa wakati mung amemruzuku nao amekuwa akiwatowa tena bila haya wanaongeleya kwenye mitandao allah atusameh maan hakuna anae kamilika

    • @tumainmwaitumile6869
      @tumainmwaitumile6869 3 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli alipenda kuonekana sister do lakin sasa anajutaa

    • @sherin3171
      @sherin3171 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ashaldinho5465 aky hakufanya vizuri mambo kama yale kuogelea kwa mitandao.... ila anaona akiogea ndio dhambi itapungua peponi maybe... ama watu waache kumsema sama vile hapati mimba ama tufikirie vipi

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 3 ปีที่แล้ว +5

    Na nilikuwa nimesha msahau sura Mayasa kwasababu sio mtu wa mitandao dada wawatu , wakuache dada Yangu Yeye ndo aliamua hatakama usingemshauli angetowa tu

  • @carolnjeri6876
    @carolnjeri6876 3 ปีที่แล้ว +14

    wema anafaa kuchunguzwa akili.something is wrong with her.

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio yeye tu wengi akili zao haiko sawa

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว

      mitihani humpata kila mtu nimzima waakili ila nimtihani tu

  • @rosejoseph9811
    @rosejoseph9811 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Mayasa.simamia utu wako🥰

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada unajielewa sana hongera

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana da maya

  • @mwasityabdallah6777
    @mwasityabdallah6777 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana dada umeongea point sana yaan unajielewa

  • @doricemichelle3614
    @doricemichelle3614 3 ปีที่แล้ว

    Mwandishi hajaanza kuulizia habari za muhojiwa,kazi zake,mipango na maendeleo,kaaza na maswali ya uchonganishi wow!!😂😂

  • @tumainmwaitumile6869
    @tumainmwaitumile6869 3 ปีที่แล้ว +2

    Mayasa mama nimeipenda sana hekima yako na uendelee kuwa hivo maishan mwako

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +2

    Namukumbuka uyu dada kwenye filama ta kanumba daaaaaah dada usijali Uyu wema sepetu anatamba saaana yeye Ali muvaa hamisa, uyoo karuka kwa lulu n'a leo kakuva piya anapepo uyu wema kwani wema aliku mutoto kuolewa ujauzito khaa

  • @salhajuma3749
    @salhajuma3749 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah umejibu safisana

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 3 ปีที่แล้ว +1

    Anifurahusha anavocheka 😍🥰😘😅😅

  • @anoodalalwi2658
    @anoodalalwi2658 3 ปีที่แล้ว +4

    Wey ni mwanamke kbs masha allah

  • @nahimanamayassa8305
    @nahimanamayassa8305 3 ปีที่แล้ว

    Iyo cheko yako tu iyo imenimaliza xna mweny jina lang😘

  • @evermarykijumbe2655
    @evermarykijumbe2655 3 ปีที่แล้ว +3

    I like the way you laugh and you talk

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 3 ปีที่แล้ว +9

    Chekolake tamu She’s so Beautiful Break is beauty💕

    • @salamahamadisudi1912
      @salamahamadisudi1912 3 ปีที่แล้ว

      Black is beautiful

    • @mpendwamillanzi7166
      @mpendwamillanzi7166 3 ปีที่แล้ว +2

      Siyo break, ni black is beautiful

    • @pendokomba8741
      @pendokomba8741 3 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaaahh break

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 3 ปีที่แล้ว +1

      Uwimana siungeongea kuswahili tu ya nn kutuchefua

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 3 ปีที่แล้ว

      @@susanejd7775 umenichekesha kweli😂

  • @umyusuphumyusuph5706
    @umyusuphumyusuph5706 3 ปีที่แล้ว

    Aliwahi kumshauri aache umalaya kama umemshauri atoemimba basi lazima utubu muogopeni mwenyezi mungu dunia tutaiyacha nduguyangu kama wewe mtoto wakiislam achana nahizo habari

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri mayasa

  • @Kazubassyathyvry89
    @Kazubassyathyvry89 3 ปีที่แล้ว +6

    Mtu huwezi ukamshauri kutowa mimba nawakati yeye hapendi, inaonekana wema katowa mwenyewe,Mayasa wewe mstarabu kabisa.

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 3 ปีที่แล้ว +44

    Nampenda Maya hajichubui

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 3 ปีที่แล้ว +3

      Hongera dd kwakusema ukweli wako

    • @florarose1626
      @florarose1626 3 ปีที่แล้ว +1

      🥰😍😍😍

  • @salaymahally3008
    @salaymahally3008 3 ปีที่แล้ว +2

    big love sis mayaaaaaaaaaa

  • @nasrafestol1847
    @nasrafestol1847 3 ปีที่แล้ว +10

    We mdada kakupenda sanaa

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf dada mashaallha hawamuachi akapumzika

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 6 หลายเดือนก่อน

    Maya wangu❤❤

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว +2

    Fukuto maya ulitikisaaa na bi mwenda😂🙌ur smile,laughing sooo mwaaa

  • @mariethamkulo1983
    @mariethamkulo1983 3 ปีที่แล้ว

    Safiii dada upo vzr

  • @joshuasteven7002
    @joshuasteven7002 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada ana hekima sana

  • @najmahaji1722
    @najmahaji1722 3 ปีที่แล้ว +1

    Muandishi shkamoo🙌

  • @tiffahlove7751
    @tiffahlove7751 3 ปีที่แล้ว +4

    Dada @mayasa nakupenda bure

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko gud dada. . .....

  • @chazzybahili3696
    @chazzybahili3696 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada nimempenda

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 ปีที่แล้ว +6

    Kabisa madamu mayasa kumsema vibaya mtu alietanguliya mbele za haki nidhambii

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 3 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful in nature

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 ปีที่แล้ว +13

    Hawezi kuku Bali ! Pia atakama umeshauliwa siyo lazima ufate

  • @rahmayussuf9328
    @rahmayussuf9328 3 ปีที่แล้ว +6

    Yupo vizuri san

  • @khaylatmwinyi8675
    @khaylatmwinyi8675 3 ปีที่แล้ว +1

    xo nyc Maya

  • @pameladaniel3150
    @pameladaniel3150 3 ปีที่แล้ว +17

    Nimecheka adi naumwa mbavu TH-cam achani umbea yaan mmemtafuta mayasa Hadi mkampata,ili mmweleze alyoongea wema kwa mama kanumba?

  • @jokhagadafy2144
    @jokhagadafy2144 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani umenifirahisha sn sn sn maan mtu mkubwa lkn akili han kabisaa wema ata n yy mama kanumba pia anamakosa jmn mtu kashakufa bd mnafufua upuunzi tuuu

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 ปีที่แล้ว

    Mayasa you are wise

  • @SaidSaid-bq6mk
    @SaidSaid-bq6mk 3 ปีที่แล้ว

    Yaani wandishi wa habari nyie noma sana na hasa nyinyi wa peji za udaku yaani ni wachonganishi sana

  • @zulfaabdallah1534
    @zulfaabdallah1534 3 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kcheko chake tuu, Mayasa jaman

  • @gmwanaabc7492
    @gmwanaabc7492 3 ปีที่แล้ว +5

    Fact Dada mayasa akili mingi

  • @saidmndeme3722
    @saidmndeme3722 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว

    Alf uyo wema katoa mimba zaid ya mbili B's tu kaamua kuzitaj za kanumb tu💃💃

  • @dianamadege1703
    @dianamadege1703 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana dada kwq majibu y akhekma

  • @aminahhill1277
    @aminahhill1277 3 ปีที่แล้ว

    Dahhh vyema xn mayasa 🤝

  • @deborasalum1015
    @deborasalum1015 3 ปีที่แล้ว +1

    Mayasa anajielewa sana

  • @sekelamwambungu356
    @sekelamwambungu356 3 ปีที่แล้ว

    Wema nae jamani angalia usijejikuta wagombana na watu wako wa karibu kisa kuwa na mtoto, mbaka anashirikisha dhambi yake watu wengine, Mm siamini ushauri wa mtu unaweza ukabadili kilichopo moyoni mwa mtu,alitaka mwenyewe,badala ya kulaumu watu Mrudie Muumba na Kutubu tu, Nasio kubebesha mizigo yako ya dhambi watu.

  • @rukiamussa9509
    @rukiamussa9509 3 ปีที่แล้ว +3

    MASHALLAH dada nakupenda sana❤❤❤💋

  • @kamariakamarudini9155
    @kamariakamarudini9155 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupendz san ww mdada kiukwel ni mwanamke ambaye unajielew kabsa daaah❤🤍

  • @fatmahamisikipindura6640
    @fatmahamisikipindura6640 3 ปีที่แล้ว +2

    Sawsaw Da mayasa wandishi wanatafuta umbea hao

  • @elizabethmkumbo323
    @elizabethmkumbo323 3 ปีที่แล้ว

    Dada nakupenda Sana Tena sana

  • @anuarittewivine2
    @anuarittewivine2 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda dada

  • @haleemahaleema8505
    @haleemahaleema8505 3 ปีที่แล้ว +1

    Daa uko sahihi kutomuongelea maiti

  • @jacklinegama4869
    @jacklinegama4869 3 ปีที่แล้ว

    Mayasa dda unamsmamo sn pongez kwako alafu wema anasema Mara nying anataman mtt kumbe aliwazika mwenyewe kha

  • @kokububelwa
    @kokububelwa ปีที่แล้ว

    👌👌👌👌

  • @shabansaid8670
    @shabansaid8670 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm penda sana cheko lako

  • @CelestineShika
    @CelestineShika ปีที่แล้ว

    L love mom has you❤

  • @aminamussahmsumuka6558
    @aminamussahmsumuka6558 3 ปีที่แล้ว +2

    Wema ana uliza maswali ya kichokozi sana kwenye kipindi chake hata ajifikilii anachoongea na wahusika watakichukuliaje

  • @arafaally2667
    @arafaally2667 3 ปีที่แล้ว +5

    Ila wema ni jinga sana

  • @onolathandedela9440
    @onolathandedela9440 3 ปีที่แล้ว +9

    Dada mzuri weweeeee💕

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว

    Mnakosaga vyakufanya watangazaji jamani

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 ปีที่แล้ว +21

    Mayasa Kama Mayasa Kifupi kaj8bu kiakili sana

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 3 ปีที่แล้ว +1

    rangi yke nzuri

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 ปีที่แล้ว +1

    Nkpnd xna mayasa

  • @irakozemwanaidi1085
    @irakozemwanaidi1085 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaogeya vyema kbs🥰🥰🥰🥰

  • @pameladaniel3150
    @pameladaniel3150 3 ปีที่แล้ว +21

    Waandishi wa habar nimewavulia kofia 😂😂😂

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 3 ปีที่แล้ว

      amejitahidi kupekenyua mambo, lakini kakosa

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    Dada mrembo sana

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani wewe kaka mwandishi mungu atakuona uwo ni umbea sasa kwa nini ushabikie ujinga

  • @najmahaji1722
    @najmahaji1722 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi hivyo ulivyoanza kucheka ...

  • @mohdmussa8390
    @mohdmussa8390 3 ปีที่แล้ว

    majibu clear zaid
    big up