🎉🎉❤❤❤nilikasirika kuto kuiyona live j1zima nilikesha kuona live kila lisaa nilikua nasema lamda hamjaazaa live but mmetukomoa kiukweli mngetakiwa kuvuna na live zetu waangaliaji youtube😢😢 hata kama ulilipwa Tv tu ila zama asante kwakutuweza wambea
Kupewa pesa na mh. Rais isimfanye muone ndiyo mwisho wake wa kuimba kwasababu umri wake una mruhusu bado msimfunge kamba za mdogo 😢 labda mwenyewe awe anataka kuacha la sivyo acheni kumuwekea mipaka.
Asante zamaradi 🎉🎉Kwa kumfanya bi Mwanahawa ajione ana Nafasi kubwa ktk mazik WA taabani 🎉🎉
🎉🎉❤❤❤nilikasirika kuto kuiyona live j1zima nilikesha kuona live kila lisaa nilikua nasema lamda hamjaazaa live but mmetukomoa kiukweli mngetakiwa kuvuna na live zetu waangaliaji youtube😢😢 hata kama ulilipwa Tv tu ila zama asante kwakutuweza wambea
😂😂umeongea kwa uchungu ndugu yangu
😂😂😂
Wewe ni staaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zamaradi TV❤❤❤❤🎉🎉🎉Big For that Program to help Peoples ❤❤❤🎉🎉🎉
Huu ndio utamu asli kutoka pwani noma sana aslay natizama kutoka poland
Gigi 😂 kajiimbaa
Mbarikiwe Sana zamaradi tv
Mlifinya Vizuri kutu nyima Live 😊Next Event Tutakuja wengi From Sweden 🇸🇪
Safi sana dada ZAMA
Uyuu aslay liwekwe Sanam lake post maana anajuw mpaka anakera
Safi sana
❤❤😂🎉
Gigy tambua January hii yakaribia ada ya mtoto usije lia lia mitandao 😂😂😂mara ooh babake halipi ada 😂😂kodi ya nyumba kula 😂
Hapo zanzibar
Safi
Hawa mashetwani wanazidi kumtia wazimu huyu mzee wangu.
Shetwani wakubwa.
Kupewa pesa na mh. Rais isimfanye muone ndiyo mwisho wake wa kuimba kwasababu umri wake una mruhusu bado msimfunge kamba za mdogo 😢 labda mwenyewe awe anataka kuacha la sivyo acheni kumuwekea mipaka.
Aisee da huu ulipendeza sana na nguo ilikukaa mahala pake kongole kwa fundi wako kiboko kajua kuku valisha
❤
Sasa walikosa washereheshaji zama ana sauti mbaya ata aijanoga
Zamaradi channel ilijua kutukomesha wambea,,,,camera mbovu na mataa yao yanayo umiza macho😏
Bc kwa uzee huwo mm nlizani ushatubia usharud kwa mola wako kumbe bado unakufa na zambo yenye kuendelea
Unajikuta mtakatifu
@@AbdulyMajaliwa-v4r Ayo maneno ya mkosaji rudini kw mungu mwenzenu dida kafa na mijizambi yake afadhali ata snura akifa pale aapeponi
Mwenye kuhumu nimungu usiseme hivyo
Wapi zama kama zama
Dahu umependeza sana❤
Walijaa mash*ga kuliko watu
Yaaani alafu wanamsema piddly kila sehemu
Kwani mashoga c watu? Tuwaombee waliomo watoka na wasokuwemo wacingie ya Rabbi.
Zamaradi channel ilijua kutukomesha wambea,,,,camera mbovu na mataa yao yanayo umiza macho😏
Bc kwa uzee huwo mm nlizani ushatubia usharud kwa mola wako kumbe bado unakufa na zambo yenye kuendelea
Bc kwa uzee huwo mm nlizani ushatubia usharud kwa mola wako kumbe bado unakufa na zambo yenye kuendelea
Kwanza mzee anayekufaa hata wewe unaweza kufa kabla ukatibu huku umefuata nini?
Zamaradi channel ilijua kutukomesha wambea,,,,camera mbovu na mataa yao yanayo umiza macho😏