Bwana Yesu asifiwe wapendwa,kwakweli nina furaha sana na sina cha kuwalipa kwa huu upendo mnaonionyesha,Mwanzo sikujua kua upande wangu ni upi ila nashukuru Mungu amenionyesha sasa na nina amani kubwa sana,Ahsante sana ndg zangu wote katika kristo yesu na Mungu awabariki sana AMEEN
Nakuombea toka siku nimekuona unaimba mtaani. MUNGU akupandishe viwango vya juu zaidi na aongeze unyenyekevu wa moyo wako. NIMEFURAHI SANA KWA HATUA HII, wimbo huu una UPAKO MKUBWA SANA
❤❤❤❤ kipaji kikubwa uwezo wa kiuchumi hafifu Eeeh Mungu kama ulimuumba na kipaji kikubwa namna hii fanya jambo umpe na uwezo wa kujikwamua katika uchumi wake ili aendelee kukutumia kwa njia ya uimbaji na kufikisha neno lako kwa watu wenye uhitaji kwa njia hii ya uimbaji Amen 🙏
Mimi Nafurahishwa Namawazo Yangu Juu Yahuyu Kijana Kila Nikikutana Nae Nilikua Namuona Mkubwa Kwenye Ulimwengu Asante Mungu Umedhitisha Wazolangu Muinuwe Bwana Mataifa Wakujuwe Kupitia Huyu Kina
Genesis 28 [SWA] [ 15] Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia. Mungu ni mwaminifu,, kwa wakati wake atatenda ,, 🇰🇪 Kenyans we love you so much
Huku ndiko unatakiwa kuwa. Huduma yako inabeba mioyo ya watu wengi na roho nyingi kumfuata Kristo kupitia wewe. Ijue nafasi yako na wajibu wako katika Kristo na hapo ndipo Mungu anataka vingine vitakuja vyenyewe. Tafuteni ufalme wa Mungu na haki yake, mengine mtazidishiwa. Umebarikiwa na utunze baraka zako. Amina.
Nlikua nashangaa hii sauti nimeiskia...yule ndugu wa tshirt ya red,.....amejibu maombi ilinigusa sanaaa. Mungu akubariki sana. Sauti nzuri yani,natamani sana niwe hata na robo ya sauti hii kwa utukufu wa Mungu.
Kwa hatua hizi nimefurahi sana kuona kwamba mtumishi wa Mungu amepata studio sasa nadhani huduma yake itaweza kuchanua sana Mungu akubaliki sana mtumish wa Mungu
TANZANIA ILIKUA IME LALA SANA KWA KUPOTEZA SILAHA KUBWA KAMA HIII, THAT I LOVE KENYA 🇰🇪 HUYU ANGEKUA KENYA KAMA SAHIII YUKO MBALI. KIJANA UKIPATA NAFASI PENYA WENDE KENYA HUKO UTA TOBOWA MNOOO. LET SAY WELCOME KENYA 🇰🇪.
Ni wakati wa Mungu kwako kijana. Kiukweli tumeshuhudia safari yako ya kuimba huku kinanda kikiwa ni midomo yako. Wengi tuliona ni masihara tu. Ndivyo ilivyo kwa yeyote mwenye maono ndani yake hua hayampi usingizi. Mwenyezi Mungu peleka kijana wako duniani kote aihubiri injili🙏
God bless u so much his Holy spirit b wth u, i dreamt singing this song n wen I woke up it still keep singing in my heart n my mind, its my prayer to 2025
Dah,finally huyu kaka ameonekana na kuinuliwa,Kuna time nilikuwa nikienda saluni lazima awe anaimba hapo. God will lift you at the perfect time,huwezi chelewa wala kuwahi kwenye maisha..always on time
I watch and listen to this song a million times and it's not enough 😭😭😭i loooove it😭kwanza the way Abiud huimba na moyo wake wote😭😭😭it really connects me to God😭❤
I could not start listening without subscribing to the channel. You are blessed brother may God lift you more and more in Jesus name 🙏🙏moyo safi Mungu amekupa kabisa. You are blessed
Kaka tumaini kwa bwana utainuka kwa kiwango uvumilivu kidogo 🎉🎉🎉 Mungu anakuandaa uimbie mataifa kiwango cha kimataifa ... njoo kenya fanya live on page tutukushe Mungu kwa kimoja 😊😊😊😊😢😢😢😢
Wewe ni Chombo cha Mungu hata Kama ukipita kwenye Moto Mwite Mungu Kuna Roho za watu zinaponywa kupitia uimbaji wako kumbuka Hilo Abiudi Simama Mungu yupo upande wako Barikiwa.
Here in Uganda. I have been enjoying Onesmo singing on fb . Am appy to see him on youtube. He is blessed with the true gift and anointing. He is really called to do this. Thank u his promoters
This is you, hapa ni mahali pako, huduma yako inahitajika na wengi, tuliza akili na ufanye ibada ambayo Mungu amekubariki nayo. All the Best Abiud🙏🙏🙏🙏🙏
Kwakweli Mungu anisamehe ,, mala yakwanza kumuona anaimba na kupiga biti za mapua nilijua Hana akili vzr , ila Kwa Sasa nishaelewa alikua na mana Gani ., Groly to God
Never depart from Gods ways 😢😢😢 bro everytime I saw you in the streets my heart wept😢😢am so happy to see you here!! You're on the right path bro mungu na akudumishe Kwa njia zake na waovu wasikuone
WIMBO HUUUU UNANILIZAGA KWELI. NAUPENDA MNOOO. BARIKIWA SANA SN MTUMISHI WA MUNGU ABIUD. WIMBO MZURI SANA, UJUMBE WAKE MZITO SANA. ASANTE ROHO MTAKATIFU KWA MANENO HAYA
Lete vitu tupo kukusuport nikipaji kilikua tunakiona mtaani angalau upo sasa unafanya kile kilichomo ndani yako MUNGU azidi kukupigania umetutejesha wengi sana kupitia hii nyimbo😢
Keep serving God with all your heart bro you will be blessed ❤❤ we kenyans tunakupenda .God time is the best your time has come you shine keep worshiping Him😊
Glory to God.thanks to the brother who has brought this great soul to the studio. Been following.much love from kenya.lets share for many more to subscribe ❤️❤️❤️
Bwana Yesu asifiwe wapendwa,kwakweli nina furaha sana na sina cha kuwalipa kwa huu upendo mnaonionyesha,Mwanzo sikujua kua upande wangu ni upi ila nashukuru Mungu amenionyesha sasa na nina amani kubwa sana,Ahsante sana ndg zangu wote katika kristo yesu na Mungu awabariki sana AMEEN
Mungu azidi kukuinua mtumishi, hii ndio njia sahihi. tuko nyuma yako
Mungu aendelee kukuinua Zaidi na zaidii❤
Nakuombea toka siku nimekuona unaimba mtaani. MUNGU akupandishe viwango vya juu zaidi na aongeze unyenyekevu wa moyo wako. NIMEFURAHI SANA KWA HATUA HII, wimbo huu una UPAKO MKUBWA SANA
Weka mawasiliano/namna ya kutoa support kwenye huduma
@@gerriemagicsawa ndg nimekuelewa
Huu wimbo mzuri sana nipeni like hata 50 kama upo na mm kwenye kusikiliza wimbo huu
Team Kenya we love you ,,continue serving God❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪,,Kenyans wapi likes,,
Kenyans Mungemchukua huyu mtu awape burudani huko.
@@kenyomarion5605 tuko na Henry the band🔥🔥🔥
Mnaekubali uimbaji wa Abiud Onesmo nipe like🎉🎉🎉
Nipitie nakuomba
Mm namkubali sana..... His voice is on another level ❤❤.. powerful 🙏🙏
Sorry nime press vibaya
Siyo tukupe like hapana huu ni utukufu wa Mungu baba
❤❤❤🎺🎹🎤
Siku nyingi nimeomba sana uende studio ndugu yangu nimefurahi imetendeka finally glory to God.
Amen 👏 🙏 l pray too finally 🙏 God has done.
Amen 🙏
Natamani kama ingewezekana ni like mara mbili but haiwezekani🔥🔥🙏🙏🙏
We'll like for you❤
Wimbo huu umenirejesha kwa njia za Mungu😢😢😢
Amen tumebarikiwa soote na wimbo huu 🙇🤲🙏🏽
karibu
@@faithjepchumba3621 amen tumebarikiwa soote na wimbo huu 🤲🙇🙏🏽.
Huu wimbo ni zaidi ya mahubiri.... Unagusa ukiusikiliza kwa utulivu na umakini na tafakari juu ya Mungu
Amen
❤❤❤❤ kipaji kikubwa uwezo wa kiuchumi hafifu Eeeh Mungu kama ulimuumba na kipaji kikubwa namna hii fanya jambo umpe na uwezo wa kujikwamua katika uchumi wake ili aendelee kukutumia kwa njia ya uimbaji na kufikisha neno lako kwa watu wenye uhitaji kwa njia hii ya uimbaji Amen 🙏
Unaujua uwezo wake kiuchumi! Dharau hizo
@@henricamikambi6147 kama umeanza kumfatilia hapa basi tulia kijana
Amen Mungu atafanya ❤
Nakuaminia sana kaka Abiud Mungu akufungulie milango❤❤❤❤ tunakupenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi Nafurahishwa Namawazo Yangu Juu Yahuyu Kijana Kila Nikikutana Nae Nilikua Namuona Mkubwa Kwenye Ulimwengu Asante Mungu Umedhitisha Wazolangu Muinuwe Bwana Mataifa Wakujuwe Kupitia Huyu Kina
Hallelujah Utukufu kwa Mungu.
Genesis 28 [SWA]
[ 15] Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.
Mungu ni mwaminifu,, kwa wakati wake atatenda ,, 🇰🇪 Kenyans we love you so much
Amen
Ameeeen
Amen
Amen, God b with u all as we end 2024
Huku ndiko unatakiwa kuwa. Huduma yako inabeba mioyo ya watu wengi na roho nyingi kumfuata Kristo kupitia wewe. Ijue nafasi yako na wajibu wako katika Kristo na hapo ndipo Mungu anataka vingine vitakuja vyenyewe. Tafuteni ufalme wa Mungu na haki yake, mengine mtazidishiwa. Umebarikiwa na utunze baraka zako. Amina.
Amen
Amen and Amen.I can't agree more may the Lord God sustain him in every way.
MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI
Count Kenyans as your greatest fans and supporters! Mungu akusaidie upite mipaka , mataifa yanakungonjea, in Jesus name Amen
Those from Tik tok gonga llke,, love from Kenya😊😊😊😊
From Kenya na Upendo Tele kwa ndugu yetu.
The guy got crazy voice can't stop listening 🎧🎧🎧 the real connection to heaven in his voice may God lead you to your great destiny 🙏🙏🙏
Akipata mwandishi mzuri wa nyimbo huyu jamaa atahudumia watu vizuri sana na maisha yake yatabadirika haraka sana
Naskia nimuandishi pia
Nlikua nashangaa hii sauti nimeiskia...yule ndugu wa tshirt ya red,.....amejibu maombi ilinigusa sanaaa.
Mungu akubariki sana.
Sauti nzuri yani,natamani sana niwe hata na robo ya sauti hii kwa utukufu wa Mungu.
😢😢Am in tears after all prayer as Kenyan be answered seeing this angelic voice in studio may God continue to lift you brother 🙏.
From tiktok to TH-cam… God bless and protect this beautiful voice
Ameeeeen
Amen from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 blessings your way
Mungu humwinua mnyonge na kumketisha na wakuu,ubarikiwe endelea kumhubili kristo kwa unyenyevu huohuo
Wa kwanza hapa ..the guy is very talented he needs support
Akitulia Mungu atampandisha viwango,moyo wa unyenyekevu na kupondeka
Kwa hatua hizi nimefurahi sana kuona kwamba mtumishi wa Mungu amepata studio sasa nadhani huduma yake itaweza kuchanua sana Mungu akubaliki sana mtumish wa Mungu
Dah kweli mbingu ina siri sana kwa ajili ya karama za watu, sifa na utukufu zikurudiliye Mungu wetu🙏
TANZANIA ILIKUA IME LALA SANA KWA KUPOTEZA SILAHA KUBWA KAMA HIII, THAT I LOVE KENYA 🇰🇪 HUYU ANGEKUA KENYA KAMA SAHIII YUKO MBALI.
KIJANA UKIPATA NAFASI PENYA WENDE KENYA HUKO UTA TOBOWA MNOOO.
LET SAY WELCOME KENYA 🇰🇪.
Niliwaza hivyo kenya mko vizuri kwa ku support...ila ata apa ni sawa. God's time is the best time.
Mungu awainue wakenya wote
Ni wakati wa Mungu kwako kijana. Kiukweli tumeshuhudia safari yako ya kuimba huku kinanda kikiwa ni midomo yako. Wengi tuliona ni masihara tu. Ndivyo ilivyo kwa yeyote mwenye maono ndani yake hua hayampi usingizi. Mwenyezi Mungu peleka kijana wako duniani kote aihubiri injili🙏
Barikiwa Sana Abiudi na Mungu mbingu zinatambua huduma yako❤❤🎉🎉
Eeh bwana yesu niumbie moyo Safi, niumbie moyo mpya yesu wangu
Abiud you are really blessed,feel supported from🇰🇪🇰🇪
Ooooooh yesu unajua kuwatoa watu mbali mnooo mungu ainue kipawa chako ndg yngu🥰🥰🥰🙏🙏🙏
God bless u so much his Holy spirit b wth u, i dreamt singing this song n wen I woke up it still keep singing in my heart n my mind, its my prayer to 2025
From TikTok finally I've landed here🔥🔥🔥🔥,,,your work is amazing minister🙏🙏🙏
Wow no Yule wa tik tok wow Mungu ni Mwema sana . Mungu amemuinua 🙏🏽tunabarikiwa sana
kutoka kuimba kwa biti za mdomo hadi umeingia studio mungu akuzidishie zaid ya hapo ulipofikia
Home boy huyu lake tanganyika zone
Dah,finally huyu kaka ameonekana na kuinuliwa,Kuna time nilikuwa nikienda saluni lazima awe anaimba hapo.
God will lift you at the perfect time,huwezi chelewa wala kuwahi kwenye maisha..always on time
I watch and listen to this song a million times and it's not enough 😭😭😭i loooove it😭kwanza the way Abiud huimba na moyo wake wote😭😭😭it really connects me to God😭❤
Abiud kiukweli Mungu kakupa kipaji kikubwa sana katika maisha yako,unajua kuimba Munhu akubariki sana na ambariki pia aliyekupeleka studio
Bila huyu Mungu hatuwezi kamwe...Na atupe Moyo Safi Na kubondeka mbele zake....
Hakuna ambacho haiwezekani kwa Mungu, uinuliwe milele, ata mimi nakuitaji bwana, nifanye chombo chako, Amina
There's something about this guy ❤❤❤you can automatically Sense the presence of God. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪We love you.
I cant get tired of this song God bless u abiud na mungu akuongoze
Am really proud of you Abiud🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I could not start listening without subscribing to the channel. You are blessed brother may God lift you more and more in Jesus name 🙏🙏moyo safi Mungu amekupa kabisa. You are blessed
Wewe ni wa baraka sana kwa kizazi hiki..mungu akubariki 🙏🙏😭
Yupo vzr kaka abiud,Mungu azidi kumuinua viwango vya juu Kiukweli nyimbo hii inanifariji na magumu yote nayopitia Mungu msimamie kijana wako😢😢
Kaka tumaini kwa bwana utainuka kwa kiwango uvumilivu kidogo 🎉🎉🎉 Mungu anakuandaa uimbie mataifa kiwango cha kimataifa ... njoo kenya fanya live on page tutukushe Mungu kwa kimoja 😊😊😊😊😢😢😢😢
This guy is gifted. From coming across FB reels to coming hapa mbio to subscribe.❤❤
Wewe ni Chombo cha Mungu hata Kama ukipita kwenye Moto Mwite Mungu Kuna Roho za watu zinaponywa kupitia uimbaji wako kumbuka Hilo Abiudi Simama Mungu yupo upande wako Barikiwa.
This is now where you belong Abiud
May God continue lifting you up as you continue to praise Him
Yees Lord 😢😢😢🙏🙏🙏
All the way from tik tok to here
Blessed from Kenya 🙏🙏🙏
Ainuae kutoka mavumbini na kutuketisha na wafalme, ndiye Mungu.
Na azidi kukupandisha utukufu Hadi utukufu
Naingalia kwa hisia mpaka machozi yananilenga,,,
Mwenyez mungu akupe kipawa zaid...
Watu wakuamin wasain mikataba,,,ya ubaroz,,,
One of the amazing talent i ever seen..Abuid wewe ni moto sana.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Here in Uganda. I have been enjoying Onesmo singing on fb . Am appy to see him on youtube. He is blessed with the true gift and anointing. He is really called to do this. Thank u his promoters
Ni Mungu anaye inua watu kutoka mavumbini na kuwaketisha na wafalme..go Abiud , you're destined for greatness 🥰
🎉
Mungu azidi kukuinua kupitia Kwa nyimbo zako maanake zinanituliza wakati moyo wangu una maumivu, God bless you abiud
God is good! Keep shining man of God! Mungu hatakuacha zidi kujinyenyekeza chini ya mkono wake wenye nguvu
Hapa kwetu Kenya🇰🇪 tunakupenda sana ndugu yangu. Endelea kumuimbia Mungu aliye hai naye atakuinua juu zaidi..🙏
Natazama nikiwa Kenya,,,,eeeh Mungu wa Mbingu na nchi,,,ni ombi langu pia mimi niumbie moyo mpya 😢😢😢😢
Nikitaka kuomba naweka huu wimbo,naskia namkaribia baba yetu wa mbinguni ,mungu akuzidishe!
Mbingu ikishamkubali binadamu nani apinge, may your Star shine forever
This is you, hapa ni mahali pako, huduma yako inahitajika na wengi, tuliza akili na ufanye ibada ambayo Mungu amekubariki nayo. All the Best Abiud🙏🙏🙏🙏🙏
Team burundi🇧🇮tunaye mukubali Abiud na kubarikiwa nahii nyimbo tusem Amen🙌🙌
Amina amina
Watching from Kenya. May God continue uplifting you
Ubarikiwe sana
Ni maombi Yetu Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
Kwakweli Mungu anisamehe ,, mala yakwanza kumuona anaimba na kupiga biti za mapua nilijua Hana akili vzr , ila Kwa Sasa nishaelewa alikua na mana Gani ., Groly to God
Nimekupenda bure hiyo sauti ya kumsifu mungu una bonge la voice
❤❤❤❤❤❤nimefurah sana kuona una Yube yako kuliko ulivyo kua unaimba madukani kwa watu Asante Mungu umetenda
I had to subscribe can't fail to follow you i see God in you you are going places
I bless the Lord for you ....much love from 🇺🇬
Mungu akufungulie milango uzidi kulitangaza jina lake kaka Abihud
More Grace Mtumishi Bwana akutumie zaidi kwa utukufu wa Bwana
Ukisikiliza huu wimbo lazima usikie moyoni kumuabudu Mungu
Safi Sana bro mpk nalia yaani mungu akuongoze Sana kwenye hii huduma
Mungu azidi kumwunia kwa Viwango vya juu
Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi ya tuombavyo
Wow. May God elevate you to greater heights my fellow worshipper ❤❤❤❤
Mtu anawezaje ku like Mara millions time eish my spirit is encouraged throughout the day Wow Mombasa Kenya Hallelujah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu abariki uimbaji wako
Waooooh,what a talent,imagine this talent was about to get lost.ahsante Mungu kwa kumuinulia watu Abiud
Wenye majina ya abiudi wamebalikiwa kalama kubwa ya jehovah siku zote 😢🙏🙏🙏
Sio eliudi wa tukuyu
Have watched this song more than 20times and I feal blessed, keep the fire burning
Very talented and spiritual 😢
Kazi Safi Sana .... Baraka Mingi juu yako kaka Onesmo🎉🎉🎉🎉
Ilikua maombi yangu huyu kk apate kibali Cha kuimba yeye kama yeye
May God be the glory.
Blessed and anointed servant of God.
May the Lord extend your territories in Jesus loving name.
The best voice ever
Never depart from Gods ways 😢😢😢 bro everytime I saw you in the streets my heart wept😢😢am so happy to see you here!! You're on the right path bro mungu na akudumishe Kwa njia zake na waovu wasikuone
This man is more fire...stick to gospel achana na circular uone mungu akikupeleka mahali haujawaifika
WIMBO HUUUU UNANILIZAGA KWELI.
NAUPENDA MNOOO.
BARIKIWA SANA SN MTUMISHI WA MUNGU ABIUD.
WIMBO MZURI SANA, UJUMBE WAKE MZITO SANA.
ASANTE ROHO MTAKATIFU KWA MANENO HAYA
Sauti yako inanibariki sana😊
Eeish! Hallelujah napenda hii keep going brother
Lete vitu tupo kukusuport nikipaji kilikua tunakiona mtaani angalau upo sasa unafanya kile kilichomo ndani yako MUNGU azidi kukupigania umetutejesha wengi sana kupitia hii nyimbo😢
Mimi pia nabarikiwa kuisikia hii sauti
Niwaambie ukweli au niwaache Yesu ni mzuri mno 😍
Ila mpiga bass umezingua sana usiludie tena
Keep serving God with all your heart bro you will be blessed ❤❤ we kenyans tunakupenda .God time is the best your time has come you shine keep worshiping Him😊
This man looks like Theophilus sunday. Who else noticed that?..
Absolutely
Kabisaa😅.I hope the grace will also resemble
Glory to God.thanks to the brother who has brought this great soul to the studio.
Been following.much love from kenya.lets share for many more to subscribe ❤️❤️❤️
Tuliotoka tiktok tujuane❤❤🎉🎉
Niko haba
Mungu akutangulie kaka, na upate msimamizi mzuri kuhusu malipo YAKO TH-cam wasikudhulumu kama wengine