Pata maelezo kuhusu tatizo la uti wa mgongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Wataalamu wa maungo na viungo wanaeleza kuwa tatizo la uti wa mgongo ni kubwa kwenye jamii kutokana na sababu mbalibali ikiwa pamoja na shughuli zinazofanya kila siku katika maisha na kujitafutia kipato kwa mfano mafundi wa nguo, madereva na watu wanaotumia muda mwingi kukaa, wako kwenye hatari ya kukumbwa na tatizo hili.

ความคิดเห็น • 8