PRECISION AIR WATEKA ABIRIA WA SHABIBY KWENDA DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Ndege la Precision Air limebainisha kuwa litaendelea kuboresha huduma zake hali itakayosaidia kukuza sekta ya usafirishaji nchini na hatimaye kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi
    Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Patrick Mwanri wakati shirikal hilo lilipowasafirisha kwa ndege abiria waliotakiwa kusafiri kwa basi kutoka jijini dar es salaam kuelekea Dodoma ikiwa ni katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 4

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera Prescision air

  • @JacksonBayyo-uo3eg
    @JacksonBayyo-uo3eg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi precious Air

  • @mariamsaid6625
    @mariamsaid6625 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hili ni zali la mentali