UKISHANGAA YA P DIDDY, UTAYAONA YA DK. DRE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • LOS ANGELES, Marekani: MTAYARISHAJI Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rap, Andre Young maarufu Dk. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya fidia ya Dola milioni 10 ambayo ni takribani sh. Bilioni 27.2 akidaiwa kumfanyia vitisho na unyanyasaji aliyekuwa mshauri na msuluhishi wa ndoa yake, Dk. Charles J. Sophy.
    Charles amedai mwaka 2018, Dre alianza kumtumia jumbe za vitisho, vurugu, na maneno ya chuki usiku ikiwa ni baada ya kumsaidia kusuluhisha migogoro iliyokuwepo kati ya Dre na Nicole aliyekuwa mke wake, kabla hawajapeana talaka.
    Ndoa ya wawili hao ilivunjika rasmi Desemba 2021 baada ya Nicole kufungua kesi ya kudai talaka mwaka 2020 ikiwa ni miaka 24 tangu walipooana.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 1

  • @arkammalik461
    @arkammalik461 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mbna wamarekani weupe hawana kesi