Hongera sana mhe.ZITO kwa uamuzi wa busara kuamua kukupumzika hiyo nafasi ya juu uliyokuwa nayo ACT. Viongozi waliowengi huwa hataki kuachia ngazi ili wanachama wengine waichukue hiyo nafasi. GOD BLESS YOU ABUNDANTLY MHE.ZITO KABWE.
Ahsanteni ACT, hakika hiki ni Chama Kiongozi kwa sasa Tanzania, kinawapa nafasi vijana kuonesha vipaji vyao vya kiuongozi, sio wale wafuasi wa nyumbu wanaosifu na kuabudu mwamb awavush tu, na kuwaimbia nyimbo za mapambio wale wale siku zot, vijana wapya hawan chao ndani ya chama
Nyerere alikaa madarakani kwa muda wa zaidi ya miaka 20 ktk chama chake na hata baada ya kutaka kung’atuka wananchi hawakutaka aondoke. CHADEMA haina kikomo cha Uongozi wa mwenyekiti ktk Katiba yao. Pia maamuzi ya kuwa mwenyekiti wa chama sio ya mtu binafsi bali ni maamuzi ya wanachama wa chama cha CHADEMA, wanachama na kamati kuu yao wakiona Kiongozi hawafai humwondoa. Na tambua jambo moja kubwa… uongozi si udereva wa gari kuwa kila mtu anaweza kujifunza na kuweza kuendesha gari, bali uongozi ni karama kutoka kwa Mungu na inasifa zake… hekima, busara, uvumilivu, uthubutu, ujasiri na kutokuwa mwoga, upendo na kujali maslahi ya wengi, usikivu nk (naongelea kiongozi BORA hapa). Mwisho, Kambwe kaondoka si kwa kupenda bali wanachama wamemtaka aondoke na aliliona hilo, kuondoka kabla hajaabishwa. Pia ACT ni kibaraka wa CCM na utaona hata jinsi Kinana anavyowasifia au kukisifia chama… wapi ulisikia mpinzani anamsifia adui yake 🤷🏿♂️ Kinana yupo hapo ktk harakati za propaganda za CCM. Hatari ni kuwa na watu kama nyinyi msioweza kusoma Alama za nyakati na kutumiwa na kufanywa wajinga kama sio wapumbavu.
Hongera sana mhe.ZITO kwa uamuzi wa busara kuamua kukupumzika hiyo nafasi ya juu uliyokuwa nayo ACT.
Viongozi waliowengi huwa hataki kuachia ngazi ili wanachama wengine waichukue hiyo nafasi.
GOD BLESS YOU ABUNDANTLY MHE.ZITO KABWE.
Ahsanteni ACT, hakika hiki ni Chama Kiongozi kwa sasa Tanzania, kinawapa nafasi vijana kuonesha vipaji vyao vya kiuongozi, sio wale wafuasi wa nyumbu wanaosifu na kuabudu mwamb awavush tu, na kuwaimbia nyimbo za mapambio wale wale siku zot, vijana wapya hawan chao ndani ya chama
Zito kibaraka
Zito Ukiondoa Kigoma Sehem nyingine huwez Ukapta Watu 109
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mawazo yako kwann zitto akiwa bungeni anatetetu wakigoma wewe unaonyesha miemko chuki unaro ya mavi kichwani kwako kwann zzt alikwambia watu namfata kwaji ya ubinac yako wewe nipuuzi unaandika nongwa kwenye mitandao
Ila chadema kiboko mbona mboe mbona apishi mtu mwingie ndo democrac au?
Mbowe ni kiongozi Shuja mtasema yote mwisho mtakwenda kulala
Nyerere alikaa madarakani kwa muda wa zaidi ya miaka 20 ktk chama chake na hata baada ya kutaka kung’atuka wananchi hawakutaka aondoke. CHADEMA haina kikomo cha Uongozi wa mwenyekiti ktk Katiba yao. Pia maamuzi ya kuwa mwenyekiti wa chama sio ya mtu binafsi bali ni maamuzi ya wanachama wa chama cha CHADEMA, wanachama na kamati kuu yao wakiona Kiongozi hawafai humwondoa. Na tambua jambo moja kubwa… uongozi si udereva wa gari kuwa kila mtu anaweza kujifunza na kuweza kuendesha gari, bali uongozi ni karama kutoka kwa Mungu na inasifa zake… hekima, busara, uvumilivu, uthubutu, ujasiri na kutokuwa mwoga, upendo na kujali maslahi ya wengi, usikivu nk (naongelea kiongozi BORA hapa). Mwisho, Kambwe kaondoka si kwa kupenda bali wanachama wamemtaka aondoke na aliliona hilo, kuondoka kabla hajaabishwa. Pia ACT ni kibaraka wa CCM na utaona hata jinsi Kinana anavyowasifia au kukisifia chama… wapi ulisikia mpinzani anamsifia adui yake 🤷🏿♂️ Kinana yupo hapo ktk harakati za propaganda za CCM. Hatari ni kuwa na watu kama nyinyi msioweza kusoma Alama za nyakati na kutumiwa na kufanywa wajinga kama sio wapumbavu.
ZITO BIASHARA YAKE YA UPINZANI ILIISHA TOKA ALIPOENDA BUZWAGI😂