Mafunzo ni mazuri mno kwenye record niko ufunguo wa F pamoja namazoezi nafanya naomba na funguo zinazofuata.Mimi ni mathias Gambishi kutoka Katavi Mpanda
Please, I am in USA and your teaching has been instrumental and it is even valuable compared to some tutoring I have taken here! May God bless you and please do more videos! 😊
Mimi naitwa Antony Dado nipo Kimara mwisho bonyokwa Dar es salaam. Nimefuatilia mafundisho yako yamenisaidia sana naomba namba yako ili tuwasiliane namba yangu ni 0692453567
Kazi nzuri sana mkuu lakini napenda kuuliza mbona vidole viwili kila mkono yaani cha pete na cha kati havifanyi kazi kabisa? Au mazoezi yake bdo hatujayafikia na je haya ni mafunzo ya kinanda cha kikatoliki?
Nimefuatilia darasa lako sana, ingawa nimekuja kwa kuchelewa sana. Mungu akubariki, na kukutunza. Usichoke kutuelimisha zaidi na zaidi.
Asanteeee saaaaana Mwalimu nimekuwa na wewe mwanzo Mwisho but sehemu ya 16 siioni plz
Mwalimu umetutenga sana wanafunzi wako tunaomba sehemu ya 15
wewe ni Mwalimu stadi sana......, Asante sana kwa kujitolea kwako, Nasuburia sehemu inayofuata
Ahsante sana Mungu akubariki kwa moyo wako wa kujitolea kutufundisha kucheza piano. Mungu akupe hekima zaidi ili usiache kutufundisha.
The best piano instructor,you hv simplified piano lessons,i forever grateful Davma,God bless you
Natamani darasa lingekuwa kila wiki, itapendeza sana Mwalimu. Asante sana kwa kutufundisha.
Mwalimu mzuri sana
Ila atuoni muendelezo was darasa LA 15
Be blessed good teacher nakufatilia sana
Sorry our tuitor, we can't access the 15th step uphold. How can you help us?
Msaada nazidi Kuupata. Ahsante Sana mwalimu
Kazi safi sana mwalimu nazidi kufuatilia. Iko wapi sehemu 15 ya key G? Nmetafuta s
ijaiona
Mafunzo ni mazuri mno kwenye record niko ufunguo wa F pamoja namazoezi nafanya naomba na funguo zinazofuata.Mimi ni mathias Gambishi kutoka Katavi Mpanda
Thanks alot Daudi,, be blessed.
Thanks God for you Our Teacher
Wow thanks tichaaaa!!!✊✊
NImejifunza mengi sana Asante sana naomba funguo G A B
kuna video ya hizo funguo zimewekwa?
Please, I am in USA and your teaching has been instrumental and it is even valuable compared to some tutoring I have taken here! May God bless you and please do more videos! 😊
Yeah he is real gud✊
Asante sana
Jamani nisaidieni sehemu ya 15 nakuendelea sizipati
Hbr minaomba video za ufunguo c nimevutiwa navyo naitaji kujifunza
Kaka nimefundisha sana na siekewagi ila umenitoa ujinga saiv nangoja somo lijalo
asante sana MUNGU akubariki lakini nasubiri sehemu inayofuata
Mwalimu somo liendelee tafadhali.
Mungu akubariki tichaaa!!
Sir namba uliyoiweka huwa haipatikani nashida sana na ww
Asante mwl. Umetuacha njiani. Wapi video 15 na kuendelea
kaka kimy San muendelezo sehemu ya 15 kuejifunz kinand
Mbona mwalinu umeishia kwenye funguo f ujaedelea
sehemu ya kumi na tano mwenye kuiona anisaidie
Nataman kuwa mwanafunzi wako na ninatamani kujua sana kupiga kinanda mm
Ulienda wapi Mwalimu. Nilikwamia ulipoachia. I was flowing wt u step by step n seemed easy but now I'm stuck
Sasa ndo mambo Gani mbona kakwama Kuna nin
Mwalimu mafunzo yako ni mazuri,God bless you.I am waiting for lesson 15.Also share your contact number please.
Mkono wangu ni wa kushoto ni mzito nifanyeje kaka
Nahitaji sehemu ya 15 kaka
Muombe mwalimu kutupatia waenderewo ya masomo ,tulisha maliza sehemu ya 14 ,kwa key ya F,
Brother mbona mazoezi yameishia sehemu ya 14 vp mwendelezo?
Naedelea na mafunzo lakini sioni 15"
Mbona imebakia hatuwa ya 14
Habar samahan mi nina shida sana na wew naomba tuwasiliane tafadhari sana 0719909952
UNAPOJIFUNZA WIMBO BAADA YA KUJIFUNZA UFUNGUO HUSIKA ,JE WIMBO HUCHEZWA KWA KUPITA KWENYE NJIA YA UFUNGUO, TAFADHALI UTUSAIDIE KUTUJIBU WANAFUNZI WAKO
sehemu inayofwata tunaisubiria kwa hamu,
inakuja msijali
@@7davmarecords296 mimi ni mwanafunzi mpya ninayapataje mazoezi ya awali?
@@7davmarecords296 kaka nahitaji namba yako tuongee ili nije kujifunza 0766588538
Kakaa vp
nashauri kila baada ya kuelewa ufunguo fulani kama INAWEZEKANA KUJIFUNZA WIMBO WOWOWTE UNAOPINGWA KWA KUTUMIA UFUNGUO HUO ULIOJIFUNZA
twasubir sehemu inayofuata teacher
We missed part 15
Mwalimu sehemu ya 15 iko wapi
Thanks,
we nikiboko kaka unajua kufundish hakika
Hi tume ku miss
We missed others parts of learning
Sehemu ya 15 aliyeona anionyeshe
Naomb nmb yako wa mawasiliano
Mimi naitwa Antony Dado nipo Kimara mwisho bonyokwa Dar es salaam. Nimefuatilia mafundisho yako yamenisaidia sana naomba namba yako ili tuwasiliane namba yangu ni 0692453567
Kazi nzuri sana mkuu lakini napenda kuuliza mbona vidole viwili kila mkono yaani cha pete na cha kati havifanyi kazi kabisa? Au mazoezi yake bdo hatujayafikia na je haya ni mafunzo ya kinanda cha kikatoliki?
Hongera sana. Uko dsm?
Tunaomba number ya simu tuwasiliane please
Ticha mbona pamefika pagumu sana
Ukishika batana za juu hiyo nyeusi haionekan vizuri