Uvira/Waendesha Bodaboda Jijini Uvira Watowa Maoni Kutokana Na Ukosefu Wa kazi Inchini Congo Drc

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • yote haya yamejiri katika kile alichokisema raisi kazi nyingi zifungwe na mipaka

ความคิดเห็น • 10

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji unaongea kiswahili kizuri ila maswali yako haya jitolezi

  • @dawdahewabora7788
    @dawdahewabora7788 4 ปีที่แล้ว

    Nduguyangu, tuonesha nyumba nzuri za ville ya Uvira

  • @muragaraphilippe9087
    @muragaraphilippe9087 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke ni shujaa, Kama huyo offisini ni shujaa

  • @mbindokiza4450
    @mbindokiza4450 ปีที่แล้ว

    Poleni sana, serekali yetu ndo aina huruma na wanainchi

  • @mbindokiza4450
    @mbindokiza4450 ปีที่แล้ว

    Vc

  • @sikitu8957
    @sikitu8957 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa ulimwengu ume isha

  • @kakozidjuma8161
    @kakozidjuma8161 4 ปีที่แล้ว

    Nahii office mbona akuna ata computer moja

    • @Ngabo3
      @Ngabo3 3 ปีที่แล้ว

      Unaweza jitolea na kuwapa computer. Mambo kusaidiana

  • @muragaraphilippe9087
    @muragaraphilippe9087 4 ปีที่แล้ว

    Barabara zimeharibika kinoma Uvira nzima. Mkuu wa jiji la Uvira tuskize maoni yake na anafanya nini mbona kimya, corruptions?

  • @rxa-z1124
    @rxa-z1124 4 ปีที่แล้ว

    Mwanamuke ni shujaa , wende Cote d'Ivoire uta waone wengi wanaendesha pikipiki na hata ndege!