"Uvira tulilomba barabara. Kutengeneza barabara kunaleta shida sasa? " Mhe. KIZA MUHATO meya wa jiji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ค. 2024
  • "Uvira tulilomba barabara na barabara inakuya. Kutengeneza barabara kunaleta shida sasa, tutakuwa tunalomba kitu kisha tukatale kitu tulilomba? " Mhe. KIZA MUHATO meya wa jiji la

ความคิดเห็น • 5

  • @mbayomaikoakzahi9400
    @mbayomaikoakzahi9400 14 วันที่ผ่านมา

    Tokalini raiya aka kataa kutoka kampuny irudi serekali ipi hiyo❤Vyliongozi wetu wa east kubebwatu

  • @johnsonrachidigunzi604
    @johnsonrachidigunzi604 หลายเดือนก่อน

    Attendons voir

  • @muzalendovincentdepaul
    @muzalendovincentdepaul หลายเดือนก่อน +1

    Maendeleo na Umoja. Tujenge inchi yetu. Vile vile tugombanishe adui M23 ili amani irejeye kando kando za provinces zilizokamatwa na Paul Kagame !

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 22 วันที่ผ่านมา

    Vujeni izo nyumba atakaye kata sauri yake watu wanataka maendeleo

  • @vincentmlekwa9255
    @vincentmlekwa9255 16 วันที่ผ่านมา

    Story za uongo hizo zimechosha. Kama serekali ikikusudia kufanya kazi yoyote haiwezi kuomba au kujililia kwa raia. Le sol et sous sol apparteint à l'état. Kama nia ya kujenga barabara ingekuwepo serekali inge orodhesha nyumba zitakazo bomolewa na kufidia wenye nyumba na kazi inaendelea. Habari za kulalisha fikra za raia hizo.