Uvira/ Hatari ya Nvua Uvira, Wakaaji wa Kasenga Na Kavimvira Wapo Kwenye Hali Ngumu ya Mafuriko

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • MTAANI KWETU
    Host LABLONDE DIVINE
    Directed by ABEMA CHARLES

ความคิดเห็น • 26

  • @sikatendeshabani2490
    @sikatendeshabani2490 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu

  • @ngufufizi3898
    @ngufufizi3898 4 ปีที่แล้ว +2

    Congo akuna. Serekali kuna vilaza tu

  • @ngoyi73
    @ngoyi73 4 ปีที่แล้ว +1

    Courage T.TV mnafanya kitu kizuri sana kwa kupana habari za Uvira.Sisi www.jaribuafrica.org, kama ka org kachanga tunakitu tutatuma kwa WAJANE na MAYATIMA wenye wamepoteza,...kama na wewe una kamuchango au swali tuandikie kwa Help@jaribuafrica.org or info@jaribuafrica.org ,asante

  • @modestjohn9400
    @modestjohn9400 4 ปีที่แล้ว

    Pole watu wa Uvira.

  • @josephineabia7830
    @josephineabia7830 4 ปีที่แล้ว

    Poleni san

  • @fulgencekitwakadyala3382
    @fulgencekitwakadyala3382 4 ปีที่แล้ว

    pôle sana uvira

  • @mathieubukuru3061
    @mathieubukuru3061 ปีที่แล้ว

    Sasa waviongozii wenu kazigani wanafaa kwarahiya akili kidogo tu munapenda kula tu ni haya ,watu wanateseka ase munango tchitchi

  • @jeanpaulkandolokingumba5740
    @jeanpaulkandolokingumba5740 4 ปีที่แล้ว

    Courage saaaana Divine kwa Kazi iyo, ni Justine, pole tena kwa Ndugu Zetu za Uvira.

  • @hasanimikeyo8893
    @hasanimikeyo8893 4 ปีที่แล้ว +1

    Ivi congo serikali inakuwaga nasaidiana ivi kweli nauliza mana sijuwi kama congo kuna serikali

  • @rogerfilsyalenga4848
    @rogerfilsyalenga4848 4 ปีที่แล้ว

    L'état congolais veillez aide nos frère de Uvira,

  • @kivuunitedtv2740
    @kivuunitedtv2740 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada ile kazi yako nimefurahia namna unaifanya kabisa. Courage sana na Congo yetu tuendeleye kuipenda na hata siku moja adui asitutawale 💪🇨🇩🇨🇩

  • @batv3283
    @batv3283 4 ปีที่แล้ว

    Muacane na wanyamurenge mupate amani

  • @fabricenicklass1746
    @fabricenicklass1746 4 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana ndugu zetu wa uvira

  • @ezekieliddo8491
    @ezekieliddo8491 4 ปีที่แล้ว

    Polen sana ndugu zetu Wa uvira

  • @florencekiza9889
    @florencekiza9889 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ndugu zetu 😭😭😭🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH awafariji mlio athirika.

  • @marcelinasoge6070
    @marcelinasoge6070 3 ปีที่แล้ว

    Rq

  • @nishimwejulienne1785
    @nishimwejulienne1785 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana nduguzetu apo uvira. Mmi nataka niiombe selekari itutiliye miferegi yakebeba maji tena mikubwa kwa sababa kisa kikubwa hakuna miferegi yakueneya na miferegi yenye iko ni ya makazi ya regideso tu. Sasa mimi nilikuwa naona kila barabara mututiye miferegi

  • @muragaraphilippe9087
    @muragaraphilippe9087 4 ปีที่แล้ว +1

    Siku za mwisho Matayo 24:1-14

  • @yusufuassani2032
    @yusufuassani2032 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu zetu kwa mvua hizo,shida ya vihongozi wakwetu wanajijali wanyewa na familia zako,huwa wanatukumbuka kama wakihona watu wanahanza kufa ndo wanajuwa kama kunaplani nyingine yakufanya hii ndo Afrique shida navihongozi wasiyojuwa samani ya mtu,samani yetu wanaijuwa wakati tu!wakuomba kura,mwenyezi mungu azidi kuwanusuru nahizo mvua

  • @silversindjalabakeni2533
    @silversindjalabakeni2533 4 ปีที่แล้ว

    Daah pole sana kwa ndungu zetu muliyo kubwa na mafuriko mwenyezi Mungu atuepuchiye 🙏

  • @christiankirikirwa6169
    @christiankirikirwa6169 4 ปีที่แล้ว

    Congo miundo mbinu hakuna sio uviratu

  • @mulibingejacques4458
    @mulibingejacques4458 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana kweli ndungu zangu

  • @beatricekuundu4792
    @beatricekuundu4792 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @claude2892
    @claude2892 4 ปีที่แล้ว

    Loba lingala