ALLY KAMWE AVUJISHA SIRI/AJA NA FAILI LA USAJAILI/PAREDI YA UBINGWA KUANZIA KWA MKAPA MAY 25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2024
  • Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe ameelezea ratiba ya Parade la Ubingwa itakayopigwa Jumamosi Mei 25, 2025 ambapo amesema 'parade' hiyo itaanza saa 5 asubuhi katika dimba la Benjamin Mkapa na kupitia baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam.
  • กีฬา

ความคิดเห็น •