MIRAJI | MASHABIKI TUMEGAWANYIKA TAYARI|KWA HAYA SITASHANGAA TUKIKOSA MALENGO YETU TENA MSIMU UJAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 129

  • @jamesmaneno2281
    @jamesmaneno2281 3 หลายเดือนก่อน +26

    Jaman Leo wa 5 ata Liki5 TU nipate

    • @samsonkingdom-xc8cg
      @samsonkingdom-xc8cg 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa kipicha maana ulichokoment kenge wewe?

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 3 หลายเดือนก่อน +1

      😊😊 27:24

  • @davidsuleman233
    @davidsuleman233 3 หลายเดือนก่อน +12

    Chagamba fanya sku moja uwakutanishe mzee saidi na miraji malaamoja uwafanyie mahojiano kwa pamoja

    • @assumedprivacy3940
      @assumedprivacy3940 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo ni brand mbili tofauti

    • @Mitranpharhan
      @Mitranpharhan 3 หลายเดือนก่อน

      Itakua nzuri😂

    • @NoelKiwike-wc8wh
      @NoelKiwike-wc8wh 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yule mzee said Ana balaa😂😂😂

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h 3 หลายเดือนก่อน +3

    Miraji maramoja na mzee said wakutanishwe

  • @raymondclaud6026
    @raymondclaud6026 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kaka Miraji Acha kumsingizia mpinzani wako, nyinyi umlianza kukosana pale kwenye uchaguzi, Ndio ikasababisha makundi kwenye timu yenu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hawana hoja ya msingii 🤣🤣🤣
      1. Mara wachezaji wabovu
      2. Mara viongozi wabovu
      3. Mara tajir hatoi pesa
      Tatizo la Simba wanakuja sababu za msingi just ni makelele tuuuu .... Simba anapaswa abadilike Sana kuanzia kwenye uongoz na usajili , pamoja na benchi Bora Yan technical workers.....

  • @longinuskomba9887
    @longinuskomba9887 3 หลายเดือนก่อน +2

    Malalamiko FC

  • @SAMZEBOY
    @SAMZEBOY 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mm wanne Leo wanangu wajukuu wa mzee saidi masatu

  • @paultungu1775
    @paultungu1775 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nawakubar sana wanang❤

  • @israelisrael2513
    @israelisrael2513 3 หลายเดือนก่อน +8

    Miraji huliwahi sema msimu ukiisha utawataja wachezaji walioùza me mechi ile ya Derby mlipofungwa 5:1 hujawataja mpk Leo????

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂... C kelele ile ilikuwa nyambuuu😂😂😂😂

  • @lailatmalik7515
    @lailatmalik7515 3 หลายเดือนก่อน +20

    Miraji hata mo akirudi na ukoo wake wote Yanga Bingwa tupo hapa,Mo kawashika maskio😂 atawatawala mpaka mseme

    • @DM_15
      @DM_15 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama nyimlivyo shikwa na gsm

    • @saidsoudamiri4054
      @saidsoudamiri4054 3 หลายเดือนก่อน +2

      mbona yanga ndio wanashikilia mangungu aendelee na kuponda kurudi kwa mo. kuanzia waandishi wa habari mpaka mashabiki. mtalia muda sio mrefu kama mlivyolia misimu minne mliyokua mnapokea wageni

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 3 หลายเดือนก่อน

      @@saidsoudamiri4054 mtaendelea kulia kama mlivyolia misimu mitatu ilopita 😂😂😂😂Labda Gsm na hersi waondoke madhali wapo Tabulelee 🖐️

    • @lailatmalik7515
      @lailatmalik7515 3 หลายเดือนก่อน

      @@DM_15 Nyie cyo kushikwa tu mmenunuliwa 😂😂😂😂kabisa

    • @DM_15
      @DM_15 3 หลายเดือนก่อน

      @@lailatmalik7515 nanyie mmeji kabidhi bure kwa gsm ana fanya atakalo yeye kaziyenu ni ndio mkuu hakunakubisha.

  • @mettanahonyo3345
    @mettanahonyo3345 3 หลายเดือนก่อน +6

    Miraji leo haueleweki kabisaaa!😢😢😢😢

    • @saidmansoor8528
      @saidmansoor8528 3 หลายเดือนก่อน

      Mpaka uwe na double D😅😅😅

    • @bone102
      @bone102 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@saidmansoor8528umemfanya asielewe ungemwambia tu D mbili 😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa mabalaa ya msimbazi... Hakuna anaeleweka apo udundukani

  • @dicksonjanuary1262
    @dicksonjanuary1262 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mo aje asije yanga wataendelea kua juu

    • @bone102
      @bone102 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mlikuwa juu ipi miaka 4 ya Mo?

  • @SimonSamson-wp5ik
    @SimonSamson-wp5ik 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kolo akili zao kisoda mtakaa miaka 10 bila ubingwa

  • @longinuskomba9887
    @longinuskomba9887 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga kama USA au CHINA, inabonge la MAJASUSI..!

  • @SaideAndurabe-kh7lu
    @SaideAndurabe-kh7lu 3 หลายเดือนก่อน +5

    Miraji nakupata Nikiwa Mozambique🇲🇿🇲🇿 mocimboa da Praia

  • @SeanGrace606
    @SeanGrace606 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania bado mpira wenu nawataria sana yani bado mambo yakishirini kwenye mpira ndo mnahamini tu, timu ikifungwa hujuma

  • @MabulaBunzaly
    @MabulaBunzaly 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mi wa 3 leo

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuhusu viongozi wa simba kupanga vikosi ni tabia yao ya mda mrefu sana hata wakati Nelsoni okwa anaondoka alisemaga na watu mkamshambulia sana

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Miraji nakuomba uende kwenye redio, kapaze sauti usikike tuweze kuitengeza simba yetu kwenye mtandao sio kila mtu anakusikia redio inasikika na watu wengi

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji,,,, friends of simba wako wapi??? Miraji pale simba hakuna kiongozi wa mpira,wale ni wapigaji aka watu wa siasa!!!!! Hakuna hujuma yoyote kutoka nje ya timu. Hivyo ndo naamini mimi.

  • @Le_petery
    @Le_petery 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji kasahau. Shida ya Simba imeanza zamani Sana Tena bado kipindi Mo yupo madarakani. Kama atakuwa anakumbuka Kocha mmoja nafikiri ni Aussems Kama Uchebe Kuna vitu aliongea kupitia Mitandao ya kijamii wakati anaondoka Simba..

  • @kingslove7772
    @kingslove7772 3 หลายเดือนก่อน +5

    Miraji nasubiri maoni yako 🙈🙈

  • @nickdr_tv
    @nickdr_tv 3 หลายเดือนก่อน

    HATA OKRA ALISEM SEEE..... DAAAAAH😢

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 3 หลายเดือนก่อน

    Shika Moo FC oyeeee tunawasubiri msimu ujao 😀😀😀😀😀😀😀

  • @HadijaSalum-kf6gy
    @HadijaSalum-kf6gy 3 หลายเดือนก่อน +4

    Shabiki wa Simba mwenye akili

  • @BarakaBoasi
    @BarakaBoasi 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka miraji Leo sikuelewi kabisa unatupa lawama kwawapizan wakati tatizo lipo kwenu wenyewe

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 hamna kitu apo ukiona ivyoooo

  • @AmuorKing
    @AmuorKing 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dah miraji umeona mbali sana namie nakuunga mkono hapo baadae watakuelewa

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mi wa 7 leo 😂😂😂

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kiongozi hapangi anaepanga KAMATI YA UFUNDI 😅😅😅 sema mliendekeza tunturaye 😅😅😅

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 3 หลายเดือนก่อน

    Simba km mandonga ubingwa tumekosa lkn tuna trend sisi tu mjini ukubali ukatea simba ni dude kuubwa

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiujumla tuseme kuna viongozi wasalit na wachezaji wasalit yaani wenyew kwa wenyew wanasalitiana swali tujiulize je wanatimiziwa stahiki zao kwa wakat au zinacheleweshwa znawafanya kuisalit tim??

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji,,,,, mpira ni mchezo wa wazi!!!

  • @Mobmob2013
    @Mobmob2013 3 หลายเดือนก่อน

    miraji shida ilianzia kwa uchebe tatizo miraji unaendeshwa na matukio ww unafikiri viongoz watajifichia wapi? Ngoja timwangalie Ngombe anatuletea akna nani

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 3 หลายเดือนก่อน

    Heee kwaiyo try again hajajiuzulu kumbe we miraji na huyo shangazi ni nani sijui mim

  • @mdudamduda1284
    @mdudamduda1284 3 หลายเดือนก่อน +1

    Moo ndiyo anaiujumu timu yetu angekuwa mtu mwingine angeshajulikana

  • @sadikisanga2144
    @sadikisanga2144 3 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri milaji ila unamuumiza mabega dogo

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji sikiliza huwo ni mchezo wa mpira wa miguu ujuwe hivyo sio Kriketi huyo boss amewacheza akili tu

  • @sadih5333
    @sadih5333 3 หลายเดือนก่อน

    Shida ya Simba ni uongozi kuacha baadhi ya timu kupewa fungate na GSM nao wakaa kimya huku wakijia kua hilo ndio tatiza la ligi ya bongo.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 pamoja na yote hata ubuntuuu nae kachukuliwa kwenye ilo fungateee 😊😊 .... Nje ndani upishi wa chapati huku na huku pamoja na ulaji wa samaki lazima aliwe pande 2

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mo karudi tokawapi? Kumbukeni maneno ya uchebe wakati anaondola

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Labda alienda kuongea na Manzoki

  • @PASCHALPETER-gp8ek
    @PASCHALPETER-gp8ek 3 หลายเดือนก่อน

    Simba mtateseka sana tatizo hapo ni moo mwenyewe mpaka aondoke ndyo Simba itakaa sawa vingine heris atawaburuza sana.

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 3 หลายเดือนก่อน +2

    TAJIRI KARUDI TOKA WAPI

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hivi mnaoomba likes mnaazifanyia nn

    • @JamesKatabazi-sf3pf
      @JamesKatabazi-sf3pf 3 หลายเดือนก่อน

      ,,😂😂😂😂😂

    • @dstaroficial
      @dstaroficial 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @samsonkingdom-xc8cg
      @samsonkingdom-xc8cg 3 หลายเดือนก่อน

      Yawezekana wananunulia mishikaki

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe omba ... Basii

    • @mwajayhaxxan5507
      @mwajayhaxxan5507 3 หลายเดือนก่อน

      @@mwanangusana hizo like mnakula???

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 3 หลายเดือนก่อน

    Maamuz y mashabik yalikuwa sahihi kusafisha uongoz ila kwa mo kuna shida kamtoa try kamuweka mjumbe mangungu mo na try lao moja na ndonmana mangungubanajiamini mo kuna kitu anaogoa

  • @EmmaPallanjo
    @EmmaPallanjo 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji naungana na ww kama msaliti hatajwi shida ipo pale dawa ya wasaliti ni kisomo tu

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 3 หลายเดือนก่อน

    Simba ilikua mbovu kweli kuanzia uongozi mpaka wachezaji

  • @browntv1119
    @browntv1119 3 หลายเดือนก่อน

    haya majungu ndo yanawachelewesha tengenezeni timu

  • @FurahaAngetile-fu4cv
    @FurahaAngetile-fu4cv 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji usijizime data ko mnataka kutuambia kwamba kikosi kilichocheza na yanga ni B au ndo kile kile msitafute kwakujifichiaaa

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 3 หลายเดือนก่อน

    Mangungu akiondoka simba itakuwa shari

  • @MbwanaMwahuta
    @MbwanaMwahuta 3 หลายเดือนก่อน

    Kama mangungu hausiki mo hausiki jaribu tena hausiki kwenye hizo hujama ,unataka kutuaminisha kwamba kuna watu wengine wana nguvu zaidi ya viongozi hao ?!!!

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama viongozi wetu wanamjua/wanawajua hao wasaliti na hawamtaji/hawawataji basi hao viongozi ni sehemu ya huyo/hao wasaliti.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      Wote waongoooo 😂😂😂

  • @MalikKassim
    @MalikKassim 3 หลายเดือนก่อน +3

    Miraji ukiongea ongea n tarehe ya sku

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 3 หลายเดือนก่อน

    Wanajikosha tu hakuna hicho mbona mnazugika kilaini hivo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wamerogwa na shikamooo......

  • @MkumbeSalimu
    @MkumbeSalimu 3 หลายเดือนก่อน

    Milaji chagamba yanga babalaoo misimu kumi ubingwa

  • @bobbyfiasco4311
    @bobbyfiasco4311 3 หลายเดือนก่อน +2

    MANARA. ANATUHUJUMU. 😅😅

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama ikiwa hivyo ndivyo ..... Bhasi mnastahili nyote mpigweeeee vibokooooo huko udundukani 🤣🤣🤣🤣

  • @yussufabdalla9377
    @yussufabdalla9377 3 หลายเดือนก่อน

    😅😅

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji nakupata nikiwa dubai upo sahihi

  • @kasimuhamidu8467
    @kasimuhamidu8467 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo mangungu

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 3 หลายเดือนก่อน

    Kwaufupi Nyinyi Watu Namashabiki Wasimba Siwatu Wavitendo Bali Maneno Nimengi. Hivyo Wndeleeni Namaneno Maneno Tutauona Mwisho Wake. Tengenezeni Uongozi Pasi Nakujali Au Kuangalia Watu Au Majina Yawatu.

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan tutatafuta mchawi mpaka tuchanganyikiwe kumbe mo mwenyewe ndo anaecheza na akili za watu was Simba angalieni alivyochezesha Kwa tray again Ili atoe kelele za watu was wanajua wanachokifanya Wala haitaji kutumia nguvu kujua wanakifanya nipo pale nitafute pesa wao wanapiga ela sisi mapovu yanatutoka at chai shida

  • @idrisahamimuhasani5717
    @idrisahamimuhasani5717 3 หลายเดือนก่อน

    Maramoja bado shida ipo kama uongz ulikuepo madarakan unaendelea kubadilishiwa majukum tu bdo shida ipo palepale

  • @norbertkitilu6379
    @norbertkitilu6379 3 หลายเดือนก่อน

    Wanachama wa simba acheni kusingizia hujama timu yenu mbovu,wanachama mnapenda kuhongwa wali na nyama kwenye kikao mnapitisha katiba mbovu

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji acha kuongopa huyo mo dewji hakuna anaemuogopa usidanganye umma safisheni malumbano

    • @mwalimmwalim545
      @mwalimmwalim545 3 หลายเดือนก่อน

      Hapo ndiyo ubabaishaji unapojionesha kwamba upo na haujaondoka. Kama mwekezaji, mwenyekiti wa klabu, mwenyekiti wa bodi wanaogopa kumtaja huyo mhujumu, nani basi mwenye maamuzi ya kweli ndani ya timu?

  • @joelmosses9395
    @joelmosses9395 3 หลายเดือนก่อน

    Hiv nyie mnaotaka like zetu mmeambiwa na waganga wa wakienyeji tukiwapa hizo like zetu mtakuwa matajili au?. Make mnatusumbua na hizo like khaaaaa.

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 3 หลายเดือนก่อน

    We kumbe na wewe nikiazi
    Mbn unayumba we mwache mo aludi tuone kama hutalaum tena we pambana na simba yako achana na yanga mo hajuw mpira tajir akifungwa2 anawatishia kujihuzuru acha ujinga miraji

  • @LimseyMassawe
    @LimseyMassawe 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji naona leo umekosea kidogo, anaepanga kikosi ndio inaweza asiwe kocha, ila hapangi kwa kumnufaisha mpinzani ndio maana huenda hatajwi!! Kikosi kilichoanza dhidi ya Yanga kwenye 1-5 ile ndio ilikuwa first 11 yenu ya msimu uliopita kasoro manula,ambae alikuwa ashaanza mazoezi na team, na ukiangalia cv ya manula na ally Salim, manula kamuacha mbali sana Ally Salim!! Sasa swali kwako, kama anaepanga kikosi cha simba hajawahi muweka chama wala kibu kwenye derby, utasemaje anahujumu team wakati bado anapanga the best mlionao??? Walio cheza na Yanga ndio waliocheza na mashujaa, azam, hata na singida asilimia kubwa, ila mkatolewa na mashujaa, mkashinda na azam round ya mwisho na mkawazulumu singida round ya kwanza! Kwa kifupi mimi naona msimu uliopita hamkua na kikosi bora, Kuna team kama ihefu wanakikosi bora kushinda simba ila wanakosa tu mashabiki wakuwasukuma! Ni hayo tu

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 3 หลายเดือนก่อน

    Kama wanasimba hatutomuunga mkono Mo na tukamuunga huyo mtu anayeihujumu klabu yetu kiwaziwazi basi sisi wenyewe wanasimba tutadhihirisha ujinga wetu.

  • @MhagamaJoseph
    @MhagamaJoseph 3 หลายเดือนก่อน

    Wakupe we majibu nani acha ujinga

  • @beatusharald56
    @beatusharald56 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji sio mtu ni mfumo upo ambaye wanafanya

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee kaduguda leo kaongea ktk media moja tatizo lilianza siku nyingi jiulize kina magori, kina nkwabi, na mzee mwenyewe kaduguda wameondoka hawajasema kuna nini ndani ya simba ila leo mzee mwina kasema kiongozi simba lazima aje kiongozi alieongoza mpira kuanzia chini siyo mtu katoka huko ati anakuja kuongoza simba atawezaje history inamsuta na ktk hao waliopo hakuna mwenye sifa hizo

  • @dicksonmzao8376
    @dicksonmzao8376 3 หลายเดือนก่อน

    Moh muoga sana hawez kusema wale chawa wake ila nyinyi hamjui tu😂

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 หลายเดือนก่อน

    Mkutano umepigwa marufuku jumapili hakuna

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 3 หลายเดือนก่อน

    Nimegundua kwa watani kumbe kuna wanachama na mashabiki maokoto hawajielewi wanataka nini😂😂😂😂😂😂😂.mpaka mseme shikamoo baba,shikamoo simba shika moo ,😂😂😂😂😂😂😂,taasisi mshamuzia shika moo.

  • @rab792
    @rab792 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mo karudi alikuwa wapi acheni ujinga makolo

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 หลายเดือนก่อน

    MANGUNGU HUYOOO

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 หลายเดือนก่อน

    MSIMU UJAO TABU IKO PALE, PALE KWASABABU YA UWEPO WA MANGUNGU

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 3 หลายเดือนก่อน

    Mangungu njaa inamsumbua ataenda wapi sasa mutamuua bure

    • @samsonkingdom-xc8cg
      @samsonkingdom-xc8cg 3 หลายเดือนก่อน

      Mangungu ni kiongozi alienyooka isipokua anadharaulika kwasababu ya kipato chake

  • @hamzakirunda4861
    @hamzakirunda4861 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie naviongozi wenu nyote wanafiki mtaongea mengi sn

  • @jonathanjohn6939
    @jonathanjohn6939 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa la simba ni transformation.. mkiendelea kuwa na mwekezaji mmoja ambaye anachagua mwenyekiti wa bodi anavyotaka basi hamtakaa mfanikiwe

  • @milkionmapunda1754
    @milkionmapunda1754 3 หลายเดือนก่อน +3

    Miraji wewe kubali tu tatizo ni Mo,katega bomu halafu anaomba kutegua

    • @adrianorayner6551
      @adrianorayner6551 3 หลายเดือนก่อน

      Fikra potofu

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@adrianorayner6551kwamba tajiri hakosei au sio??😂😂😂

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 3 หลายเดือนก่อน

      wala ninyi wanayanga msiwe na hofu dawa yenu imefika mtapona magonjwa yenu yote , dr. mo yupo kazini。

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 หลายเดือนก่อน

    Miraji mwanangu nikiweke sawa kidogo kuhusu wahujumu Mangungu nilimsikia akihojiwa kuhusu hao wahujumu akajibu. Kwamba MO aliwataja kwenye vikao vyao vya ndani na akasema hawawezi kusema hadharani ni mambo ya ndani kuepusha vurugu Mangungu anawajua MO anawajua na kamati ya bodi zote mbili wanajua kwa hiyo MO nae mnafiki anajificha kwenye kelele za wapenzi ili kurudi kwake awe yeye ndo mtu muhimu kwao ina maana MO kajiweka kwa wanachama anaenda na upepo. Ngoja tuone mwisho wake

  • @JaredErnest
    @JaredErnest 3 หลายเดือนก่อน

    Atakuwa ni mo dewj ndo anaihujumu Simba na kupanga kikosi Cha simba

  • @hamisimtupa7327
    @hamisimtupa7327 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo simba inaongozwa na yanga au acheni kutafuta sababu zisizo za kweli kwa hiyo yanga wanaweza kumzuia mo asiongoze simba au rekebosheni mfumo na katiba km serikali inavyotaka

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ndugu yangu hawa ni mashabiki wa ubuntuuu nongwaaa 😂😂😂 ....... Kila sababu iliyopo mbele wanapita nayoooo

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Miraji mnafik wewe ngoja tuone mnafikiri sahiv ni wakati ule wa bakuli?? Kumbuka hata kabla ya simba kubeba misim 4 yanga pia walibebaga mara 4 na wakat huo simba ilikuwa inamaliza ha nafasi ya 4 nyuma ya mbeya city na azam cha ajabu ni kwamba hata hao wanachama wa simba wamegawanyika hawaelewani

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 3 หลายเดือนก่อน

      yanga hajawahi kushinda mara nne mfululizo wewe tuliza ujinga wako.

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@januarysungura8119 we uko nchi gani baada ya azam kuchua kombe 2013 ni tim gani iliyofuata kuchukua ubingwa kama syo yanga 2014 yanga 2015 yanga 2016 yanga 2017 yang ndo simba akafat 2018 mpaka 2021 acha kukurupuka

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@januarysungura8119 2014 mpaka 2017 ni tim gani ilikuwa ikichukua au ni simba tuliza akil au ulikuwa bad haujazaliwa???🤣

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@januarysungura8119we nitajie tu tim ilyochukua ubingwa 2014, 2015 2016 na 2017 kabla ya simba kuchukua 2018 mpka 2021??