WAROMBO WAISHIO DODOMA WAKUTANA, WAELEZWA YANAYOTENDEKA ROMBO”USIPO MUONA MROMBO KIMBIA HAPAFAI”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Baadhi ya wananchi ambao ni wazaliwa wa wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro waishio katika Mkoa wa Dodoma wanaounda UMOJA WA WAROMBO DODOMA Jumapili ya Sept.17,2023 wamekutana pamoja kwenye kikao chao cha pamoja ambacho kimejadili mambo mbalimbali yanayohusu umoja huo.
    Katika kikao hicho Kilichofanyika Mkoani Dodoma Mbunge wa Jimbo la Rombo Prof. Adolf Mkenda ni Miongoni mwa Wanachama wa Umoja huo lakini ametumia fursa hiyo kuwaeleza wananchi hao mambo mbalimbali yaliyotendeka katika Jimbo lao.

ความคิดเห็น • 2

  • @jafarikideghesho6509
    @jafarikideghesho6509 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana warombo. Mko vizuri sana watani!!

  • @MagnusWoisso
    @MagnusWoisso 6 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana wameku!!