Amen. Wimbo unaotia moyo kweli kweli. Asubuhi nafungua Sikh na huu wimbo na usiku nafunga siku yangu vivyo hivyo. Mungu awanyunyizie neema zake bila kipimo.
I really like the voice of this choir leader.I like listening to her songs she is leading.You are really talented madam! May God give you long life.I can't afford missing your songs you lead in performing.
..Maneno ya Mungu hayo,na sauti zenu nzuri na haswa huyo sololist,na uhalisia kuwa yote yanawezekana kwa anaetutia nguvu,yàani Yesu..najikuta nalia machozi jamani!
Naaaaaam,hapa waliimba na nabarikiwa nikisikia ujumbe huu.lakini sahivi wameamza kujiingiza kwenye kuimba siasa kusifia upande flani wa siasa.sawa siasa ni maisha lakini kama muibiri ukianza kusifia upande flani wale wa upande mwingine utaweza kuwahubiri?????asante
2024 bado tunabalikiwa
Ni 2023 nani anazikubali hizi kwaya kama mimi gonga like hapa dondosha hii ❤❤❤❤
Jamani masololist nyie nawapenda mbarikiwe saaaana
Mungu awabariki katika kwaya ya ic kwa uwimbaji wenu mmenigusa Sana ninamaono makubwa sku nitakuja kuwaona
Hey wana aic changombe Choir huu wimbo sina lakusema wacha roho mtakatifu afanye kazi yake kwa wapendwa wa yesu
Kutoka Ikonge, Nyamira, Kenya nabarikiwa sana na nyimbo za AIC Changombe
Amen. Wimbo unaotia moyo kweli kweli. Asubuhi nafungua Sikh na huu wimbo na usiku nafunga siku yangu vivyo hivyo. Mungu awanyunyizie neema zake bila kipimo.
Mungu awabariki kwa kutuinjirisha
Ni waimbaji wanaonitia nguvu. Mungu awakumbuke katika kiti chake cha enzi.Haleluya!!
Daaah wewe mama MUNGU AKUBARIKI sana unaimbishaga vizuri sana waaah😢😍😘nawapenda
Aki I love your singing .you sing in spirit
Kwetu Kenya tunasema HII IMEWEZA,,glory to God
Aki mtu unatoa wapi nguvu ya dislike hii song.. A such nice song... Aic changombe,,, my one favorite choir... Be blessed
I remember this choirs coming to perform in our village December 26 AIC Ibubi church led by the late mzee Laban muhando,it was Soo mighty.
I cant stop listening to this choir songs.....the soloist voice is wow😘😘😘
.Aic chang'ombe heko kwenu..nazipenda nyimbo zenu..haziishi value
mwenyezi mungu awazidishie nguvu za kuendeleza huduma.
Nayaweza mambo yote ktka yeye anitiaye nguvu🙏🙏🙏🙏🙏
With those beautiful voices, surely 'yote yawezekana katika jina la Yesu'. Ni jina lenye Ukuu na Utukufu. Mbarikiwe sana.
Amen
Mungu awa balick kwa nyimbo hiiiii
Amen
Yote yanawezekana hii July 2019..Amen
Sauti safi.. imenyooka .. ujumbe mzuri .. unaingia haswaa
Nyimbo nzuri sana mungu awabariki
Hizi ndio sauti zetu asili ,sio siku hizi ni kuiga iga tu za wenzetu
Yote yanawezekana katika jina la yesu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Naamini yote yanawezekana MUNGU atanitendea MBARIKIWE wapendwa
Hakika tukiwa na Yesu ndani ya mioyo yetu. Twayaweza mambo yote katk yeye atutiaye nguvu. Amen wimbo huu unanibariki sana.
I really like the voice of this choir leader.I like listening to her songs she is leading.You are really talented madam! May God give you long life.I can't afford missing your songs you lead in performing.
She has a nice voice
Kweli
Tube
Aise hii kwaya wanaimba sijaona kwaya inaimb hivi. Afu huyu mama mweusi anayeongoza nadream nikutane nae
Amen 🙏 yote yanawezekana katika jina LA yesu🙏🙏let God bless you all 🙏🙏🙏
Mungu na wabariki, wimbo mtamu tena naupenda sana kwa Mungu yote yawezekana
Aic mko wap rudini kwenye game nyimbo zenu nzr na ujumbe mwingi vijana wa sas sio quality
Tumesharudi na Jiwe kuu such tu utatuonaa
From Nairobi Kenya I'm also blessed 🙏🙏 with your greatest songs.
huu wimbo umenibariki sana.No kweli hakuna lisilowezekana kwa Mungu wetu.
..Maneno ya Mungu hayo,na sauti zenu nzuri na haswa huyo sololist,na uhalisia kuwa yote yanawezekana kwa anaetutia nguvu,yàani Yesu..najikuta nalia machozi jamani!
Huyu mama namkubali sana
Good song,so may god bless you chng'ombe dsm.
nawapenda xana mpaka nkafika kanisani kwenu chang'ombe karibu na sugar ray mungu awabarik wote
Chan'gombe chan'gombe ur music is so good enter in my deep heart to God be the glory
Wow! Very touching song it blesses my soul,mbarikiwe wapendwa na Mungu ❤
I wish i can join them, they inspire me a lot YES all things are possible in JESUS name
Barikiweni tena sana
Amen
Old is gold , when aic changombe was a real choir si nowadays
love your songs are blessing to my soul day by day God bless you to inspire others Amen
///+/+++~
i love you all wanaAIC, NYIMBO ZENU NI ZA KIROHO
yes every thing is possible in the name Jesus Christ
I like your songs keep going and GOD bless you ❤❤❤so wonderful
This song is so beautiful ❤️❤️
nayaweza mambo yote ktk yeye anitiaye nguvu barikiweni sana
yote yanawezekana kwa yesu
Mubarikiwe sana nakupenda sana maman Dorcas
One among my best choirs......may God bless you for Ur efforts....in speeding good news......
Wonderful voices! God bless
Mukija Kenya pipeline munijulishe
I love your AIC kwaya so much.
Nyimbo nzur utukufu kwa Mungu
Nafurahishwa sana na mziki wenu❤❤
chang'ombe my best
Hakka yote yanawezekana katka jina LA Yesu,,,barikiwen sana
I looove changombe choir cant get enough of your songs.
nabarikiwa Sana na huu wimbo
I would love to hear the story behind this strong ministers of the word of God
Mbarikiwe sana watumishi
Such a wonderful encouragement..
Nice song guys big up anabariki anaokoa Yesu
I heard the song in our church en i had to search for it .......2021 still watching
2024 December watching from Kenya napenda choir master venye anaconduct
Barikiwa Sana watumishi
Wonderful
kweli najisikia faraja sana kusikiliza nyimbo hizi
2024 yote yanawezekana🤗
Nawapendaga sanaaaaaaaa kutoka congo Kinshasa
wimbo mtam xana nimeupenda
nimebarikwa n nyimbo zenu sna mungu awabariki
Amina
Congratulations nice song
Yesu ni mwema
uwi. ilove this.!
hakuna lisilowezekana mbele zake nabarikiwa sana na wimbo huu naamin kwa bwana hakuna kigumu
Naaaaaam,hapa waliimba na nabarikiwa nikisikia ujumbe huu.lakini sahivi wameamza kujiingiza kwenye kuimba siasa kusifia upande flani wa siasa.sawa siasa ni maisha lakini kama muibiri ukianza kusifia upande flani wale wa upande mwingine utaweza kuwahubiri?????asante
Yote yanawezekana kwa jina la Yesu
Nawapenda Wana kyangombe
mungu ni mwema wakat wote
Onh Hallelujah...
Hakika yote yanawezekan...
Yote yawezekana katika jina la Yesu
my favourite choir ever,mimi hubarikiwa Sana na huu wimbo
Muko vzr sana chang'ombe
Maneno matamu kwelii mbarikiwe sana
Mungu awape nini jaman mnaimba sana
Mungu uinuriwe
2022 bd tunaendelea kuuona uwezavwa Mungu wetu🙏🙏🙏
kazi safi kabisa. barikiwa
kazi nzuri kutoka kwa wana chang'ombe,ongera!
Wonderful singers anointed of God
God bless you,
Collins Hayagan Nice
Nimebarikiwa sana
Good performance I keep admiring the video
May God bless u much😊
Yanawezekana ..na kutumania ewe Bwana
Wow penda sana yote yanawezekana katika jila layesu
Mama hongera jamani
Good song wangap tunasikiliza2023
God is God i like singing and preaching the word of God
Tunawapenda
In deed very inspiring song nayaweza yote through Christ who strengthens me. Barikiwa Sana
A great choir this one is! I love them so much that I feel like having all their albums
Imana ibahezagire kukwitaho ibikogwa vyuhoraho arinavyo bizotuma mushika mwijuru
May God bless you changombe.
My favorite choir ever..God guide you All
My favourite too.
I really need to them
Big up sana hii kwaya
This is a wonderful performance. God bless the artists
Joseph Opanda ......
Top artist
My every time choir
Such an inspiring song