What sustains and gives poise to this couple struck by such Job-like tragedy? The message of this tuneful song gives answer. I am blessed, though in tears.
It's not in vain to serve the Lord. You can't bless the word the wah you are doing and God fails to touch your heart. May the amazing love be with everytime
Ambao bado tunausikiliza huu wimbo 2024 gonga likes za kutosha hapa
Kilombero morogoro 2024... naukumbuka sana huu wimbo mpaka nimeutafuta.
Nyimbo zenu ziko sawaa love them 💪💪💪💪💪🥀🥀
Hakika mungu umetutendea mengi hatuwezi kuyahesabu
amen... God keep the AIC kenya standing
Wimbo Tena furaha ya roho yangu amen
THANKYOU LORD FOR WHAT YOU HAVE DONE YO ME SO FAR
kwa kweli mungu hafananishwi na kitu chochote, mungu akiwa upande wetu je! ni nani wakutushinda
What sustains and gives poise to this couple struck by such Job-like tragedy? The message of this tuneful song gives answer. I am blessed, though in tears.
We praise God via your songs,God bless u guys(aic chang'ombe choir)
😭😭😭 poleniii n MUNGU pekeee 🙏🙏
May God of Israelites fill that gap. Am driven to another level by the song. Barikiweni kabisa mshangae
Nitaendelea kumtumaini JEHOVA mbarikiwe wana wa Mungu
2024(Milima ya usambara)🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nashukuru mungu kwa yote maana alisema shukuruni kwa kila jambo.
6/4/2021 pokea sifa Mungu wa mbinguni, tuseme nini juu ya mambo hayo?
aise mungu awasimamie vyema neno zuri mnaeneza kidunia
Kazi nzuri ya muda wote
Aiseeee Mungu pokea sifa
Hakuna cha kufananisha na Mungu baba
wimbo mzuri huu...Pokea Sifa. Ni wa faraja sana.
wimbo huu hauchoshi kuangalia wala kusikiliza. Mungu awabaiki sana
Wimbo uliobarikiwa toka mbingini Hadi dunian
Je ni nani atae tutenga na Upendo wa Mungu
Kiukweli aic chang'ombe ni good
Mungu. Ndie. Kilakitu. Sichoki. Kuwasikiliza. Watumishi. Wamngu. Mbalikiwe
kweli pokea sifa bwana ni mengi umetendea.. nice song ever
Sema mpiga base guitar jamani ubarikiwe sana
Wapo vizur sana nabalikiwa
Mmmmmh!!jamani inaumiza lkn mfariji wetu ni Mungu ktk KRISTO YESU
this is among the songs that always blesses my soul
Nawapenda ajubu mnaimba vzur san
huwa nabarikiwa sana na huu wimbo MUNGU awabariki sana
Hakika Bwana pokea sifa na utukufu amen
Mungu awabarik sna
Thanks vijana I really enjoy and u bless me. God bless all is nice.
Hangeren Sana mungu azidi kuwaongoza wapendwa
Umeendelea kumtegemea mungu amekunyanyua kaka uliyekuwa ukiongea kwa kupoteza wanao umekuwa boss TCRS
Yes ni engeener ....mungu kamwinua
Ndio yeye kweli kabisa
Barikiweni kwa kaz nzur
Happy New Year 2025🎉
I like this song big up sana pokea sifa Bwana
ua hits are so touching with biblical massage
Tunashinda zaidi ya kushnda
Nawapenda sana
It's not in vain to serve the Lord. You can't bless the word the wah you are doing and God fails to touch your heart. May the amazing love be with everytime
They have done well, be blessed
Choir nzuuuri barikiweni
Very sad song .I like it
poleni!may God bless you
Mary ken .Blessed songs
Io base ni Kali sana
Grory to God
wimbo. mzuli sana
nice song
God of grace,The God of job the God of Abraham will add even joy unto your soul Amen
Nilifka salama thax
gooooooooooooooooooooooooooood song
mungu awabariki
mmenikumbusha kuishi kwa upendo.faraja waliyopata wafiwa toka kwenu ni zaiidi ya dhahabu safi.bwana awatunze watoto wake aaaameeen.
Pokea
We forgive each other
i love you all
Pokea sifa na utukufu
pokea sifa,wimbo wa rohoni sana.nakupenda sololist umeutendea haki wimbo.
Amina
singing for the Lord is always good.
Someone help me translate the song into English
Subscribe first
The famy lost three children in accident. But they still thanks God for all that he did to them
rose
Tunashinda zaidi ya kushinda
Mary ken .Blessed songs
Someone help me translate the song into English