MCHUNGAJI PETER MSIGWA AZIWEKA WAZI SIRI ZA MBOWE PAMOJA NA CHADEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 38

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 16 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye saccos ya mtu mmoja na mbowe foundation kama nakuelewa fulani ivi....nmekusoma mtumishi big up

  • @mussasimba8824
    @mussasimba8824 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika hukuitwa mchungaji kwa bahati mbaya. Big up sana msigwa.

  • @emanuelsanga1218
    @emanuelsanga1218 15 วันที่ผ่านมา

    Rafiki na lisu

  • @kihongole87-ns1bo
    @kihongole87-ns1bo 16 วันที่ผ่านมา

    Hyo kofia imeandikwa naniiiiiiiiii msigwa kaishiwa cyo yule

  • @esgardmmanyi1184
    @esgardmmanyi1184 17 วันที่ผ่านมา +1

    Umetoka chadema,pilipili usioila inakuwashia nini.endelea kuwa chawa.

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 17 วันที่ผ่านมา +1

    WEWE MBONA unazungumza mamboyawatu? Au ulikuwa unafirwa?

  • @HillaryMoshi-v4q
    @HillaryMoshi-v4q 15 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji hamna kitu.
    Sisi wahehe hatuko hivyo.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ww yuda tulia kaa kimya umeshahama maneno ya nn kwendraaaaa

  • @stevinmwanzaa1785
    @stevinmwanzaa1785 16 วันที่ผ่านมา

    Ili lijamaa alifaj ni yuda

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 14 วันที่ผ่านมา

    Nimsaidie lisu pia ni debe tupu
    Kichwani ni zero

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 14 วันที่ผ่านมา

    Hana akili timamu ukiona mtu ananunuliwa kirahisi ujue kichwani hamna kitu ni sawa na koroma ni mganga njaa

  • @TumainiZacharia-k1q
    @TumainiZacharia-k1q 16 วันที่ผ่านมา

    Hatukuelewi achana na siasa njaa yako inakudhalilisha sana hukuna upande utakaokuamini

  • @MichaelJoashi
    @MichaelJoashi 18 วันที่ผ่านมา +2

    Msigwa ww ndio umepotea ulikokimbilia ndio pabaya sana

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu naye amebadilisha tu rangi ya nguo kimawazo yupo kulekule. Hatujawhi sikia kubadilika kama livyo badilisha nguo oh,!!! Uwiiii

  • @zedmsuya420
    @zedmsuya420 18 วันที่ผ่านมา +2

    Tuelewe na sio kukashfu

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 13 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndiye shetani umeshatoka Sasa unamchafua Mbowe. Ulikimbia kwa sababu ulikosa kiti Cha Kanda. Wewe ulimchafua rais kusema ameuza nchi kwa waarabu kwenye kampeni

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 18 วันที่ผ่านมา +1

    Yote haya ndio yanayomfanya Mzee Mbowe hataki kuachia kiti , anajua akiingia Lissu atakata mirija yote .

  • @godfreymakoi9849
    @godfreymakoi9849 3 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji Msingwa ulijifunza kanisani, ACHA chuki

  • @carolinamgando6026
    @carolinamgando6026 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe sema sera za CCM Chadema Umeshatoka hivi ,Mwanamke akiachama na Mume na kuolewa na mwanaume mwengine ,anaenda mila za mwaume aliyeachana naye ?au anafata ,za mwanaume aliye naye? Ki

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 14 วันที่ผ่านมา

    Msigwa karukwa akili

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa muongo sana, haya ni maumivu ya kukosa uenyekiti wa kanda.

  • @erickulomi2105
    @erickulomi2105 17 วันที่ผ่านมา +1

    Njaa ni mbaya 😢

  • @ABM-e7f
    @ABM-e7f 18 วันที่ผ่านมา

    Hako kakitambi baada ya uchaguzi kataisha... Nakumbuka bungeni.. eti Msigwa kwa President. 😂😂😂😂😂
    Lisinde

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nani asiyekuwa na siri. Na wewe una masiri yako

  • @AziziSleym
    @AziziSleym 16 วันที่ผ่านมา

    Huna hoja bwege wewe, ukiongea sasa kumbuka ulioyaongea chadema wakati huo

  • @musamhanga6283
    @musamhanga6283 18 วันที่ผ่านมา +1

    Huna akili

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 17 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮?

  • @ABM-e7f
    @ABM-e7f 18 วันที่ผ่านมา

    Lile KASRI la FAM Limetesa Sana watu.
    Tatizo lilianzia pale.

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kama ni siri wewe umezijuaje ? Fara wewe

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 18 วันที่ผ่านมา

    Kweli yote msigwaa wewe ndio tunu la taifa

  • @browntv1119
    @browntv1119 17 วันที่ผ่านมา +1

    ujinga mtupu

  • @ABM-e7f
    @ABM-e7f 18 วันที่ผ่านมา

    ZINGA LA MNAFIKI
    WIVU WIVU WIVU
    UMASKINI WAKO WEWE USISHIRIKISHE WENGINE.
    WIVU.. Foundation wewe umeshindwa kuanzisha ya kwako?
    Ungebaki kwako urekebishe.
    Hiyo TU Kwenda CCM umeharibu.
    HATUKUAMINI

  • @oam14l
    @oam14l 19 วันที่ผ่านมา

    Ukweli wa haya uko vipi jamani kwa wale mnaoelewa mambo?

    • @SandukulaHabari
      @SandukulaHabari  19 วันที่ผ่านมา

      ASANTE SANA KWA KOMENT YAKO ENDELEA KUFUATILIA

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 16 วันที่ผ่านมา

      Anachokiongea mtumishi ni ukweli mtupu

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu naye amebadilisha tu rangi ya nguo kimawazo yupo kulekule. Hatujawhi sikia kubadilika kama livyo badilisha nguo oh,!!! Uwiiii

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 17 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu naye amebadilisha tu rangi ya nguo kimawazo yupo kulekule. Hatujawhi sikia kubadilika kama livyo badilisha nguo oh,!!! Uwiiii