‘TALAKA’ za kibabe: Wachezaji 6 ambao walipigwa CHUMA kizito na ‘WAKE’ zao na kulizwa Mali nyingi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 62

  • @user-ih6hk5nh7v
    @user-ih6hk5nh7v หลายเดือนก่อน +6

    Kaka sky silali kwajili yako kaka nakubali sana sana kaz zako

    • @peterilimwa5754
      @peterilimwa5754 หลายเดือนก่อน +1

      kwa mm hapa nchini kwetu sky is the best journalist

  • @cadeauwatanga5686
    @cadeauwatanga5686 หลายเดือนก่อน +5

    Vpi brother @Fredrick bundala a.k.a Sky ?, mimi binafsi Nina mapendekezo yakukwambiya uwe unatwambiya na maisha yawacezaji wa tz like fei toto ,Ali Samatta na wenginewe ili tujuwe walipotokeya katika makala ya 360,love from Sweden 🇸🇪

    • @josephk90
      @josephk90 หลายเดือนก่อน

      Kupata taarifa za wabongo siyo rahisi, wengi wetu hatutoi taarifa za maisha yetu public au hata tukitoa zinakuwa na uongo mwingi.

    • @user-cj2kl7cd9k
      @user-cj2kl7cd9k หลายเดือนก่อน

      ​@@josephk90hawana hio storia ya kutolewa full stop😅😅

    • @josephk90
      @josephk90 หลายเดือนก่อน

      @@user-cj2kl7cd9k 😄😃😀 sa Kibu D atakuwa na historia gani labda ya kufuga rasta😄😃

  • @FrankChacha-y3d
    @FrankChacha-y3d หลายเดือนก่อน +2

    Leta pia story ya cesc fabregas kuiba mke wa taktouk anayemzidi miaka 12

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน +1

    Wanawake wa machame na kibosho wana tabia hizo ila wao hutumia mbinu tofauti.. kazi ya Mungu haina makosa

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 หลายเดือนก่อน +6

    Ogopa Duniani na ogopa mwanamke 😢😢

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabisa

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc หลายเดือนก่อน

      unamuogopa mama yako?

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +2

    Noma sana

  • @ttss7716
    @ttss7716 หลายเดือนก่อน +1

    Me ni mwanamke lakini hawa viumbe sijawai waelewa wana roho mbaya sana hawana huruma maskini mtu anakuchukulia ubavu wake kumbe ye ana kuweka kama kamjiga kake we kweli ndo tukaonekana wengi motoni😢😢😢😢

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

    Baada ya mungu waogope wanawake(after god fear woman. Huu ndo. Ujumbe

  • @swazi-bmzwabusarawysd8083
    @swazi-bmzwabusarawysd8083 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha brother sky

  • @abdinoorkamau9745
    @abdinoorkamau9745 หลายเดือนก่อน

    Waahh... Hakuna ndoa zko hapa ni biashara tu sir God atusaidie🙏🙏💪

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc หลายเดือนก่อน

    miafrika inakimbilia mizungu ikifika ulaya tu

  • @mamy8220
    @mamy8220 หลายเดือนก่อน +4

    Sijui nisema Nini nasubiri yakwangu😢😢

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน +1

      ALLAH ANIKINGE & ATUKINGE

    • @eliadaniel216
      @eliadaniel216 หลายเดือนก่อน

      😅😅Usisubutu

    • @OLOLUFEMITz
      @OLOLUFEMITz หลายเดือนก่อน

      Nipe basi kwanza namba zako tuchat WhatsApp ❤❤😂😂😅

  • @yohanadavid6724
    @yohanadavid6724 หลายเดือนก่อน +1

    SNS 🔥

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 หลายเดือนก่อน

    Nazeeka i swea nazeeka hamunioi😢

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 หลายเดือนก่อน +1

    Na ndio mana uwislam ni Dini yaki . Mwamke mki acan ana pew haki yake kabisa bila kusema eti pasu kwa pasu 😢😢

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 หลายเดือนก่อน +1

    Naona ngozi yetu ndio imeongoza hapo kwa matatizo 😅😢

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 หลายเดือนก่อน +2

    Wahego badilisheni wekeni kwenye majina yawa mamas zenu😅

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wa kizungu kwenye mapezi akuna uvumilivu no jock🤝🙌

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z หลายเดือนก่อน

    Waaaaa ina uma

  • @BarnabasViva
    @BarnabasViva หลายเดือนก่อน

    Hayo mambo ya talaka bola yafutwe kabsa maana wanawake siku hizi wanafanya kama business sasa😢😢

  • @collinndabi1914
    @collinndabi1914 หลายเดือนก่อน

    Trust no one and suspect everything

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h หลายเดือนก่อน

    Ndio maana Christian lonardo hataki kufunga ndoa joooooo😂😂😂😂😂😂❤❤❤

    • @Thadeus97
      @Thadeus97 หลายเดือนก่อน

      Who tf is this guy?

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 หลายเดือนก่อน

    Watu wamekula CHUMA KIZITO 😂😂😂😂

  • @ConstantineCoscardrov-wb6ih
    @ConstantineCoscardrov-wb6ih หลายเดือนก่อน

    Mademu noma izibiti zipu yako.

  • @ChaumaraAli-z5i
    @ChaumaraAli-z5i หลายเดือนก่อน

    ndowa za maslahi wazungu kuliko waafrica

  • @SaidowPuffdaddy-p7y
    @SaidowPuffdaddy-p7y หลายเดือนก่อน

    hiyo story ya eboy imenigusa plizz ielezee qwa kina bro

  • @issatanda4281
    @issatanda4281 หลายเดือนก่อน

    Yani mi njanhaike miaka yoote Kisha tumeshana mali tugawe saw .we ndo maana nashkuru kuzaliwa huku Zanzibar hakuna Sheria hizo za kuwapa mali wanawake pindi mkiashana .kama hamjatafuta pamoj

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp หลายเดือนก่อน +1

    Kak sky twenge pata na bonus ya Bill gates inge kaa pow saa maan mke wake from wife material to billionaire 😂😂😂😂

  • @collinndabi1914
    @collinndabi1914 หลายเดือนก่อน

    Ebue 😂😂😂😂

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 หลายเดือนก่อน

    List yote ni watu weusi wameibiwa na wazungu😢😢

  • @ChaumaraAli-z5i
    @ChaumaraAli-z5i หลายเดือนก่อน

    Halafu kwanini wachezaj wanapenda mademu wa kizungu mademu wa kizungu ni wajanja

  • @catherinejohon1282
    @catherinejohon1282 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanawake wa kizungu hawafai kabsa

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 หลายเดือนก่อน

    Wengi tunasahau tuliko toka nakutaka kuwaoa wazungu

  • @user-ie3lw9eb6p
    @user-ie3lw9eb6p หลายเดือนก่อน

    Sintaowaga nitakuwa kama yesu nitoke dunia bila kuowa

  • @ALiBAba-zz2td
    @ALiBAba-zz2td หลายเดือนก่อน

    emmanuel Eboue kinyume cha Eshraf hakimi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน +1

      Anaokota makopo majalalani

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 หลายเดือนก่อน

    hapa ulaya kuna mwanamke nyumba ya mkopo na gali la mkopo ogopa hapa mimi mwenyewe naapa kwa jila la Mungu nilichukua gali lamkopo bahati mbaya likagonga mpaka leo nahangaika kuna kipindi nawaza kujiua hasa ninapo fanya kazi pesa yote inabebwa na bank natamani nifukuzwe tu nirudi tz

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂pole sana,ndiyo maisha ya mbele

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma หลายเดือนก่อน

      Aisee pole sana….

    • @ttss7716
      @ttss7716 หลายเดือนก่อน

      Fanya subra maskini pole heri wewe uwone wenzako wamecheza mpira maisha yao yote wabakia kulia utamaliza deni 2 😢

    • @aftapat5365
      @aftapat5365 หลายเดือนก่อน

      @@ttss7716 yaani mimi ni deni tuu ila hawa watu wanaroho mbaya yaani kila asubuhi simu utapigiwa jioni unakumbushwa yaani

    • @rizikimarie6765
      @rizikimarie6765 หลายเดือนก่อน

      Uko ulaya ya wapi ndugu maana kuna watu wanataka kununuwa nyumba za mikopo apa Australia 🇦🇺

  • @catherinejohon1282
    @catherinejohon1282 หลายเดือนก่อน

    Hivi hakuna sheria ztakazo weza kuwasaidia hawa wanaume mana hawangaliw kabsa

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 หลายเดือนก่อน

      Sheria nyingi zinampa mke nusu ya mali. Na kama wamezaa watoto kuna pesa ya matumizi ya kulipwa mpaka wakifika miaka 18. Hawa wanaume wajinga. Wanajua hizi sheria lakini kwasababu wanataka mke mzungu ili waonekane mjini wanaingia kwenye ndoa bila hata prenup.

  • @NurudinZuberi
    @NurudinZuberi หลายเดือนก่อน +1

    Ctk like plss😊