FUSE MILITARY! Vita Vya Drones Ukraine: Jinsi Teknolojia Ilivyobadilisha Mchezo! | Funzo Kubwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 173

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 4 วันที่ผ่านมา +20

    I respect dj smaa he is very smart when it comes to Millitary issues without forgetting Geo politics this guy is expert .Heshima yako mkuu.

  • @Chelsie2016.
    @Chelsie2016. 4 วันที่ผ่านมา +25

    Hi DJ ESMA how are you? Am in 🇨🇦 ningependa kutoa mchango wa pesa kwa Smart TV how unaweza receive money? Asante

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 4 วันที่ผ่านมา

      Mcheki kwenye namba yake wasap hapa itakuwa kazi Sana yeye kuona hii comment

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 วันที่ผ่านมา

      Tuma kwenye namba huwa anaitoa kwa wanahitaji kuchangia

  • @Collie19
    @Collie19 3 วันที่ผ่านมา +2

    I Really Respect Ya Hommie 🎉..
    Dj Smaa Keep It Up 🙏

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 4 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu awabariki sana Kwa staili ya muongozo Hadi screen kubwa Kwa ajili ya kutuonyesha picha hali na Hali halisia ya vita inavyo endelea mie Nina Imani mna tizama na watu wakubwa zaidi ya wakubwa na wenye vyeo vyao wakichota point nyingi sana Kwa KUPITIA SNS Mungu awabariki sana🙏🙏🙏

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 4 วันที่ผ่านมา +6

    Muumba atutangulie kupata elimu Kila mara2 ❤ djsma

  • @wanzakleruu
    @wanzakleruu 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi nzuri Sma. Marekebisho kidgo kwenye taa

  • @user-nd5uf6lw4g
    @user-nd5uf6lw4g 4 วันที่ผ่านมา +9

    Nice tunaendelea kuangalia ila bado nasubilia makala na history ya Israel na Palestine na makabila 12 ya Israel ❤❤ nakubali Sana DJ smaa

    • @salummassoud9876
      @salummassoud9876 3 วันที่ผ่านมา +2

      Mzee mm nipo uku ila tunaogopa ata kusema kitu wala kuchat coz tunahic watatuhack charting mm nafatilia xana izi GPS smaa ni nooma xana

    • @bigowillythomaskayanda7763
      @bigowillythomaskayanda7763 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@salummassoud9876Uko wapi,?😂😂😂😂

    • @bigowillythomaskayanda7763
      @bigowillythomaskayanda7763 3 วันที่ผ่านมา +2

      Kuna siku Mwinuka alisema, Hata huu uchambuzi tunaoufanya wanaangalia, hawa jamaa ni noma sana. Bora uwe makini hivyohivyo. 😅😅😅😅

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 4 วันที่ผ่านมา +3

    Respect dj sma from nairobi count in Kenya home Kilimanjaro Tanzania 💪🇹🇿

  • @SahinYasser24
    @SahinYasser24 3 วันที่ผ่านมา +3

    DJ smaaa nomaaa inaafaa upate kazi national defence jwzt

  • @194summer
    @194summer 4 วันที่ผ่านมา +12

    Napenda kila kitu kwenu ila zaidi Mimi napendaga dj sm anavyomtanguliza Mungu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 วันที่ผ่านมา

      Ogopa sana watu wanaomtanguliza Mungu kwa maneno na sio vitendo.kumbuka hata watawala wetu huapa kwa vitabu vitakatifu lakini huiba kura.pia kumbuka hata waumini wengi huenda kwenye nyumba za ibada lakini wanaunga mkono maovu na waovu.

    • @AlexShesha-kl9kn
      @AlexShesha-kl9kn 3 วันที่ผ่านมา

      Sijawahr ku comment humu Ila inshort nyie jamaa mnajuaa aisee

    • @AlexShesha-kl9kn
      @AlexShesha-kl9kn 3 วันที่ผ่านมา

      Genius

  • @AyoubHajj
    @AyoubHajj 3 วันที่ผ่านมา +3

    Me nimecheka ety tayari keshapigwa
    Sema nni I like your analysis brother, you are best for your level.

    • @djsma255
      @djsma255 3 วันที่ผ่านมา

      🙏🤣

  • @MohammadiSefu
    @MohammadiSefu 3 วันที่ผ่านมา +3

    Smaa nakukubali sana. Niko mwanza tanzania

  • @braysonminja
    @braysonminja 4 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi nzuri sanaa Dj Smaaa💥💥💥

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 3 วันที่ผ่านมา +4

    Asante sana FBI djsma

  • @paulokefa2525
    @paulokefa2525 3 วันที่ผ่านมา +3

    Much respect bro

  • @CashKassim
    @CashKassim 4 วันที่ผ่านมา +3

    Dj smar uko vizuri sana tupe madini we sio mtangazaji ww soecist wa mambo ya vita

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 2 วันที่ผ่านมา +1

    Dj Esma ktk hili eneo la ufahamu wa haya mambo uko peke yako hapa nchini! Unatufurahisha sana! Tuhamasishe mashabiki wote tuendelee kukoboresha hiki kipindi

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 4 วันที่ผ่านมา +3

    Unajua kuchambua kaka dj sm👍👍👍👍👍

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 3 วันที่ผ่านมา +3

    umetisha dj sma

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah, vizuri sana. from Iringa

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 วันที่ผ่านมา +1

    Much respect sana Dj smaa kwa uchambuzi mzuri..Big up SNS

  • @husseinmwazewe406
    @husseinmwazewe406 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kutoka kilimanjaro, tunakupata vizuri na tunajifunza vitu vingi kutoka kwako mungu akuongoze

  • @yussufmkadam8894
    @yussufmkadam8894 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nomaa Sana smaa

  • @samuelkirugumi5263
    @samuelkirugumi5263 2 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana dj smaa nimefulahi juuya mawaitha kwa police wote kutumia drone kuodoa wakola, niko kenya

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 3 วันที่ผ่านมา +2

    Dj upo vizuri

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah dj

  • @alexmugo3159
    @alexmugo3159 4 วันที่ผ่านมา +2

    From kiambu Kenya,mwas

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 3 วันที่ผ่านมา +2

    Pia advantage ya Drone inaweza kusaidia kuhusu majangiri wanao angamiza tembo na faru wetu katika misitu ya inchi zetu za Africa.

    • @djsma255
      @djsma255 3 วันที่ผ่านมา +1

      💯

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 4 วันที่ผ่านมา +2

    Vizuri sana Dj Smaa

  • @ArnoldCristianochwarzenegger
    @ArnoldCristianochwarzenegger 3 วันที่ผ่านมา +2

    King dj sma

  • @asambakanyalusambya249
    @asambakanyalusambya249 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni msikilizaji wenu Toka Kigoma Tz DJ Sma akika naelimika sana na Makala zenu Naitwa Roger

  • @sadayosiame8798
    @sadayosiame8798 4 วันที่ผ่านมา +4

    Good job dj smal

  • @kellymumani9724
    @kellymumani9724 4 วันที่ผ่านมา +3

    Africa we should adopt this technology to protect our Continent,already Burkina Faso has this technology

  • @ElisanteOlemboko-t5x
    @ElisanteOlemboko-t5x 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera dj smaa kwa kuitafuta kweli, na kweli itatuweka huru

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sns ni zaidi ya chuo asee mungu awabariki san na mfikie melengo na nia yenu thabit ya kutoa elimu

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 4 วันที่ผ่านมา +3

    Somo zuri na hasa kwa vyombo vya ulinzi.

  • @yussuphomari8229
    @yussuphomari8229 4 วันที่ผ่านมา +9

    Leo WA Kwanza kuweka comment Aisee mko deep sana

  • @salummassoud9876
    @salummassoud9876 3 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa kupresent hivi ndio fresh kwa picha ni nooma smaa

    • @djsma255
      @djsma255 3 วันที่ผ่านมา

      🙏

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 4 วันที่ผ่านมา +2

    Dj mashaallah❤❤❤❤🤝🤝🤜

  • @Amry-xx4ps
    @Amry-xx4ps 4 วันที่ผ่านมา +2

    DJ SMAA 🔥🔥🔥

  • @GABRIELGEORGE-qq1nj
    @GABRIELGEORGE-qq1nj 3 วันที่ผ่านมา +2

    TUNASUBIRI SANA HIYO MAKALA DJSMA255 UNAJUA SANA BRO SANA SANA YANI MIMI BINAFSI NIMEKUWA SHABIKI WA SNS SABABU YA CONTENT ZAKO INSHALLAH MFANYE MAKUBWA NA SKYWALKER .10yrs to Come Inshallah

    • @djsma255
      @djsma255 3 วันที่ผ่านมา

      Assnte sana

  • @amanikwiyima9054
    @amanikwiyima9054 4 วันที่ผ่านมา +3

    Uishi sana Abeid Samir

    • @djsma255
      @djsma255 4 วันที่ผ่านมา +2

      🤲

    • @eishstoner6692
      @eishstoner6692 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@djsma255 fanya siku utuelekeze kuhusu kazi ya vifaru (tanks) vitani..

    • @chachajulius4481
      @chachajulius4481 3 วันที่ผ่านมา

      FBI ​@@djsma255

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nimeona picture hapo mwishonii, makondoo wa Russia na USA wanapeana mikono,ndoo itakavyokuwa kule ukrainaaaaa😮

  • @JoshuaMwizalubi
    @JoshuaMwizalubi 4 วันที่ผ่านมา +3

    Vizuri SANA

  • @mahmoudmzee-pr3vs
    @mahmoudmzee-pr3vs 4 วันที่ผ่านมา +2

    Tunaconect dots dj ❤

  • @habarizadunia
    @habarizadunia 4 วันที่ผ่านมา +2

    saf sana

  • @shuzashadyproduction8438
    @shuzashadyproduction8438 3 วันที่ผ่านมา +2

    DJ SMAA UNAFAA UWE RAIS WA TANZANIA ☺️🙌🏾

  • @BarambonaMel-mq1xt
    @BarambonaMel-mq1xt 3 วันที่ผ่านมา

    Yes Dj Smaa kwa kweli machambuzi yako unajaribu lakini Ukisema twambia kam Ukraine haipigani yenyew kumbuk kam tunajua vizur kam murusi hapigani pekeya iyo tunajua saana..

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 3 วันที่ผ่านมา

    Brow uko vizuri sana hii ni nzuri sana, yakua makomando 20 walio funzwa kisasa na wakawa na silaha na vifaa vya kisasa ni bora. Na wanaweza kudondosha wanajeshi 200 daah hii inanifanya nione inawezekana sn siku za usoni kutafuta Uhuru wetu wa kweli.
    Halafu nilikua nawaza kama serekali ingezungusha fance visiwa vyote ili kuzuia uhalifu na kujilinda.

  • @user-qk3jr8pj9j
    @user-qk3jr8pj9j 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nakuzikiza nikiwa Qatar appreciate Sana kwa ilimu 🙏

  • @Njiwamichael-km1dm8et9x
    @Njiwamichael-km1dm8et9x 4 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaa mwongo sana yani dron zimeingia mossco putin analalama wewe unatwambia yeye ndo anazo nzur alipiga wapi na izo au bangi

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 4 วันที่ผ่านมา +2

    Dj smaa🎯🇪🇦

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 4 วันที่ผ่านมา +1

    Shule Nzuri Sana Unaitoa Brother

  • @MustaphaManole
    @MustaphaManole 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ushauri nzuri kwa maendeleo ya taifa letu Ila hao wezi magaidi magendo ubakaj utekaj udhalilishaji vyote vinafadhiliwa na wakubwa awataweza kuona umuhimu wa hili Jambo Ila itakuwa ni minyororo ya Moto kwao wenyew

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 4 วันที่ผ่านมา +2

    Dj mwenyewe smaa

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mwanangu nakuamini hadi natamani nikuone

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 3 วันที่ผ่านมา +2

    Putin ni masterplan

  • @shijamayaya4170
    @shijamayaya4170 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ndugu uko perfect xna , umezungumza vituu muhimu
    Hususani kwenye nchi yetuu, usalama wa kutumia drone, nimuhim , kma hvi maswala ya michakato ya 2024- 2025

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 วันที่ผ่านมา +1

    Simply to make substitution from massive manpower to invest more in technology is achieve competitive advantages over competitors.

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 3 วันที่ผ่านมา

      Also to avoid the cost of operation with a high winning advantage.

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 4 วันที่ผ่านมา +2

    Upo vzuri kaka

  • @alphanathumantv2049
    @alphanathumantv2049 4 วันที่ผ่านมา +1

    Best sana hii

  • @theresechristensen8190
    @theresechristensen8190 3 วันที่ผ่านมา +2

    👍🇩🇰

  • @milindiibrahim8285
    @milindiibrahim8285 2 วันที่ผ่านมา +2

    From DRCongo na shangaa kwanini government ya TZ aijakupa ministeri

  • @AminMtinge
    @AminMtinge 4 วันที่ผ่านมา +1

    sout africa wanazitumia izo drones brother

  • @Kulia2123
    @Kulia2123 4 วันที่ผ่านมา +2

    Djsma255 tuombe ufanye mabadiliko kwl yani ukiwa hapo kwenye tv sauti kuna namna inakakitu fulani ukiwa na earphones kuna kakitu hakako sawa

    • @djsma255
      @djsma255 4 วันที่ผ่านมา +1

      Sawa, kila siku nazidi kuboresha, hio video nmerokodi kwa simu ya yizamani, ila tutafika tu

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ukrane strong

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dj Sma nataka utueleze ni jinsi gani LaWS(Laser) zinavyofanya kazi pamoja na radioactive flamethrower

  • @RamadhaniAlly-mi2dg
    @RamadhaniAlly-mi2dg 4 วันที่ผ่านมา +3

    1 kidume

  • @trendings1293
    @trendings1293 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo kwenye mlipuko mkubwa ni drone imeonyesha target kikundi atilary then ina lock then wale wanafire kwenye cordinal ya target

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ikiwa mapigano ni Baina ya urusi na NATO mpaka mda huu itakuwa NATO wameshindwa urusi anauwezo mkubwa

  • @nsajensaligwa4976
    @nsajensaligwa4976 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka iyo makara Palestina na Israel nakuombeya uimalize mapema maana naona yesu yupo karibu kuludi

  • @HusseinAli-g9w
    @HusseinAli-g9w 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ni dj smaa mwenyewe❤❤👏

  • @gilbertidi9682
    @gilbertidi9682 4 วันที่ผ่านมา +2

    KINGEREZA KINATUPA TAABU KUELEWA, TAFADHALI NDUGU MTANGAZAJI TUNAKUOMBA UTUMIE KISWAHILI KWA KUELEWA VIZURI.

    • @djsma255
      @djsma255 4 วันที่ผ่านมา

      Sawa, ila nikiongea kingereza hua naitafsiri

  • @anoldishengoma4229
    @anoldishengoma4229 2 วันที่ผ่านมา +1

    Brother nakukubali sana, mpaka gafla nkatani niwe mjeda😂

    • @djsma255
      @djsma255 2 วันที่ผ่านมา

      😂

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 4 วันที่ผ่านมา +1

    Na msisahau pia Russian yupo na marafiki zake sio yeye pekee asingetoboa. Iran,N Korea, Belarus, China n.k. kwangu naona marekani kapata kichaka Cha kufanyia majaribio siraha zake 😅. Congratulations Smaa👑

  • @mtemiwantobo2967
    @mtemiwantobo2967 2 วันที่ผ่านมา +1

    hebu tafuten hansan the rising dragon (Korean film) ndo mtaelewa anachokiongelea dj Sama. ...Japan Navy army kubwa Kuliko Korea Ila alikula kichapo Ni film inayoengela vitaa yakweli iliyotokea 15c

  • @abdulbandidu119
    @abdulbandidu119 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli strategic za vita zimebadilika kwa ukubwa sana, yale mambo ya kubebeshana mabegi ya kilo 200 na kujitia makaa usoni naona yameshapitwa na wakati, kuna mengi ya kujifunza hapa.

  • @kassiannyamba805
    @kassiannyamba805 วันที่ผ่านมา +2

    Tunataka review ya chechnya one and two

    • @djsma255
      @djsma255 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ukosawa .

  • @MustaphaManole
    @MustaphaManole 4 วันที่ผ่านมา +3

    Uchambuz saf

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 4 วันที่ผ่านมา +1

    Abed samir abed samir Abed samir......How many times did i call your Name.....Toa taarifa mbn west wanapenda KENYA. Kuna kitu gani chini ya kitheri

  • @BUSHASHASWITCH
    @BUSHASHASWITCH 2 วันที่ผ่านมา +1

    Burundi tunakukubali sana

    • @djsma255
      @djsma255 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Assnteni na mm nakukubalini

  • @ElisanteOlemboko-t5x
    @ElisanteOlemboko-t5x 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tuangazie suala la mashariki ya kati kwa muujibu wa maandiko

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mwamba unatisha sn

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 3 วันที่ผ่านมา +1

    Duh yani watu wanapigana vita wakiwa play station

  • @KheriKhatibu
    @KheriKhatibu 3 วันที่ผ่านมา +2

    Yaann wewe upon juu ktk uchambuzi .Afrika tusome .

  • @josephrichard241
    @josephrichard241 3 วันที่ผ่านมา +1

    nimeelewa hapo yani jeshi linakuwa na watu wengi pia wana second generation ni ngumu kupambana na nchi ambazo wana 4fourth generation weapons

  • @Njiwamichael-km1dm8et9x
    @Njiwamichael-km1dm8et9x 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mshamba urusi amepiga ndege ya abiria wamekufa eti alizani dron ya ucraine kwaiyo kaua watu wake

  • @KZee-f7n
    @KZee-f7n วันที่ผ่านมา +1

    Jeshi la bongo wanazo zipi?

  • @WebsonMwamnyasi
    @WebsonMwamnyasi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Uchambuzi mzuri Ila kimombo kimezidi sana.

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 3 วันที่ผ่านมา

      Hayo mambo yamekuwa developed from western ko inalugha ya kimombo. Ko jikaze

    • @WebsonMwamnyasi
      @WebsonMwamnyasi 3 วันที่ผ่านมา

      Hahaha! la saba tatizo

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@WebsonMwamnyasi 😂😂😂👍

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi huwa ni team Israel mwanzo mwisho....hao waliobaki akina Rasia na USA wala sitaki kujua atakae shinda nani... Israel forever 🇮🇱🇮🇱❤️

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 3 วันที่ผ่านมา

      Hawa Israel wako wanalindwa na Marekani.Hana lolote zaidi ya kuua watu aliowadhulumu(tangu 1917/1948),watu wasiokuwa na jeshi(Wapalestina)Hawa maisrael Yako ni mazayuni,ni majitu yaliyookotwaokotwa Ulaya na kuja kupora ardhi ya PALESTINA.Hawa mazayuni(Israel)ni Mashoga.Nchi Yao(waliyoinyang'anya kutoka kwa Wapalestina)rasmi imeruhusu ushoga.Hawa Israel wako wa Sasa sio taifa teule ni Sinagogi la shetani.Nenda kasome ufunuo(biblia)

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 3 วันที่ผ่านมา

      @@SwedyMohamed-vt5zm Hawa Israel ndo wenye ardhi rudi Kwa vitabu vya historia na vya dini..hata hiyo Quran yako inakiri kuwa ardhi hiyo ni ya wayahudi na walitawanyika kwenye mataifa mbalimbali na wakarudi kama unabii ulivyotabiri....hawa wayahudi Mungu aliweka agano na babu zao kuwa atawalinda na yeyote atakayewalaani naye atawalaani na atakaye wabariki naye atawabariki....hawa ni kweli ushoga umekithiri nchini Israel na hiyo ni kwasababu ya wengi wao bado hawamuamini Yesu na ndo maana wanapitia changamoto hizo zote...nikweli kuna watu wanaosema kuwa ni waisraeli ila ni wa synagogue ya Shetani na hao ni wayahudi walioslimu maana msikini ni dhehebu la Shetani...hao waisraeli dhambi Yao itaondolea soma Biblia na hiyo itafanyika wakati wa dhiki kuu yani great tribulation Rudi usome Ramans 11

  • @user-qg5yd9ki4v
    @user-qg5yd9ki4v 3 วันที่ผ่านมา +2

    Taifa letu yan na ww linaangamia wa2 wanatekwa nyinyi una2ambia mambo ya ulaya? Wakat ww

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 วันที่ผ่านมา +2

    Umeanza ghafla kuchambua Sma leo lakini binafsi nakukubali sana kwa uchambuzi mnzuri na but swali langu gumu leo, Je Israel kuingia vitani na Hezbollah ni kutafuta kufilisika au kupoteza kwenye vita?

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 4 วันที่ผ่านมา

      Kama hujui kiswahili unachambua nini sasa😂😂😂

  • @user-ls1ot6fs4v
    @user-ls1ot6fs4v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mwanangu ufaa kututengeneza silaha

  • @kassiannyamba805
    @kassiannyamba805 วันที่ผ่านมา

    @Dj smaa vp kuhusu projector? Nayo ni nzuri kwa customize size unayotaka na ni cheap compared to flat screen

    • @djsma255
      @djsma255 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Projector ni nzuri ila ina limitations zake, kuanzia distance inayo hitajikakuwekewa, resolution,kufanya kazi vizuri gizani tu, na mwngineyo mengi, tv is the best option

  • @HamduniYasir
    @HamduniYasir 3 วันที่ผ่านมา

    Nikushauli akhui unajua sana kuongelea jambo na unapangilia maneno yko kuliko waongeaji wengi
    Hii sns nilikuaga siiangali kabsa ww ndo umenifanya niwe naangalia nikuomba embu fungua Chanel yko ya youtub utakujaa kunishukulu

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 4 วันที่ผ่านมา

    HUYU NAE ANAONGEA SANA WAKATI UKRAINE 🇺🇦 WANAKUFA KAMA KUKU VIFAA VYOTE VINAARIBIWA

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 4 วันที่ผ่านมา +1

    Daaah 😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 3 วันที่ผ่านมา +1

    Putin afe

  • @melkizedck
    @melkizedck 4 วันที่ผ่านมา

    Sikia unaongea tu. lakin Urusi ameishiwa na silaha zake. Hivi sasa silaha anazitumia ni za kutoka Iran. Urus amebakiwa na nyuklia tu. Pia wanajeshi wa Urus wengi wamekufa zaidi kuliko wa ukraine.

    • @ernestkunja3472
      @ernestkunja3472 4 วันที่ผ่านมา

      Mmm hizo ni taarifa za bbc