PART5:BABA ALITUACHIA MALI ZA MAAGANO BILA SISI KUJUA MATOKEO MAJINI YALIUA NGUGU WOTE NIMEBAKI MIMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +10

    Jamani 😢😢😢 wadada 😢😢😢 tuangalie na waajiri kitu chakwanza ukiambiwa chumba usifungu tafuta namna ya Kaondoka usikae apo

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +14

    Jamani tulio okoka tushikilie wokovu tuache mchezo kabisa coz akiingia mwokovu katika hio nyumba akipiga pambio tu moto unachoma joka

  • @azizabuyonde8368
    @azizabuyonde8368 ปีที่แล้ว +9

    Yaani ni bora mtoto abaki mama afe, wanaume muna roho ngumu, kuhusu pesa hamna huruma, wanawake tukeshe kuomba Mungu.

    • @gracemkanta738
      @gracemkanta738 ปีที่แล้ว

      Halafu wanasema wanawake wanapenda pesa, nyieeeeee!!

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว +1

    Shatani ni muwaji baba wa uongo Hana teza wati wa mungu

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +6

    UMEAMUA KUMTOA MKEO KWA KUPENDA PESA MPAKA UMEMALIZA FAMILY YAKO MPUMBAVU MKUBWA WEWE

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 ปีที่แล้ว +2

    Da😢😢huyu bwana anaroho ngumu ya kutubu na mkimbilia Mungu😢😢hataki jamani😢

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc ปีที่แล้ว +1

    Inamana hao wakwezako walisndwa kumchukua mtoto ?

  • @emmanueljoseph3561
    @emmanueljoseph3561 ปีที่แล้ว +4

    Kwani hao wazazi wa hao dada wa kazi anawatuliza na nn mbona mambo yalikuwa yanaisha simple sana

  • @joyprecious8822
    @joyprecious8822 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ni mchenzi Sana utasemaje ni mapenzi ya Mungu make wako afe ili hali unajua sio kifo cha kawaida ni kafara?Usimhisishe Mungu kwa Mambo zako

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว

      Nakwambia anajifanya hajui ananisinya kweli

  • @rerisamba
    @rerisamba ปีที่แล้ว +4

    Wanawake wengine nao sasa ulirudi kufanya nini kwa huyo mwanaume hali unaona hana ndugu wala wazazi huku nyoka zinatokea tokea kila mara

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaee mm nisingerudi ata iweje

    • @mildredakinyi9855
      @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว +2

      Fedha na utajiri

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว

      @@rayahamisi118 kuna yule wa mwanakenge mke wake alitoroka na akaenda akaoleka na mwanaume mwingine

    • @babaalex5062
      @babaalex5062 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 ปีที่แล้ว +2

    Ila wewe Ni shetani kabisa umeuwa watoto wa wenzio bila hururma!!!?? 😢😢😢we ni natar sana😢😢

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka uyu mzee alikuwa Atari sana

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +2

    Ila ungekataa tangu awali baba angeondoka mali zake basi ingekuwa kawaida

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 ปีที่แล้ว +1

    Uyu kaka ana roho ngumu mpaka kamezwa na nyoka jamni na balaa pesa hzi jamani😭😭😭😭

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว +1

    Au huyu mzee Ni Kama Yule wa kijana wa mwanakenge

  • @Mkwely
    @Mkwely ปีที่แล้ว

    Swali la msingi hapo mwandishi...muulize ndugu wa hap wadada vipi? Walikaje kimya passport watafuta ndugu zao?

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Sio kwamikafara iyo

  • @carolynejackson4877
    @carolynejackson4877 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hao watu wote walipotelea kwa nyumba yake hawana watu wao wafuatilie na serikali how they disappeared?

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 ปีที่แล้ว

    Unathania utarithi mali kutoka kwa shetani?? Utakufa maskini

  • @Oman-nu2kc
    @Oman-nu2kc ปีที่แล้ว +1

    Nahuyo mwanamke nimjinga alicholudia Tena hapo Yani kote uko ela mtakufa

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Mkeo alikushauri muende kanisani ukakataa

  • @henrymassawe699
    @henrymassawe699 ปีที่แล้ว +1

    First one today 😂😂😂

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuchakiy kwematedoyako

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo umeuwa kama watu isirini na tatu

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Nimwendo wamikwara tu

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 ปีที่แล้ว

    Daaaah 😢

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว

    Masharti magumu sana

    • @SharonAron-t1j
      @SharonAron-t1j ปีที่แล้ว

      Sana! Alafu jamaa anapenda pesa hatari anadanganywa kila siku anakubali

  • @AdamKipara-r3b
    @AdamKipara-r3b ปีที่แล้ว

    🎉🎉😂

  • @teresakapinga7947
    @teresakapinga7947 ปีที่แล้ว

    1

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 ปีที่แล้ว

      Mwanaume katiri sn aisee😢