SPORTS AM SPESHO: Amasha, Mogella wakumbushia maajabu ya Yanga vs Simba enzi zao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 6 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa ni leo hawa wangejikusanyia mpunga wa ajabuwalikuwa moto sana.mi nilikuwa naenda uwanjani na karedio kangu kadogooo ndio vimeanza kutoka.❤nawatakia afya njema na maisha marefu

  • @GideonMalabega
    @GideonMalabega 4 หลายเดือนก่อน

    1983 kocha wa Yanga alikuwa Saleh Badi katika derby ambayo Simba walikuwa wametoka Brazil.Kocha Rud Gutterndorf wa Yanga aliondoka tangu 1982....

  • @GideonMalabega
    @GideonMalabega 4 หลายเดือนก่อน

    Derby ya kwanza kwa Mogela ilikuwa Mechi ya kombe la Jengo(CCM) mwaka 1981 na iliisha kwa sare 1-1,Yanga ikitangulia kufunga kwa goli la Saleh Hija na Simba ikisawazisha kwa goli la Mogela........

  • @GideonMalabega
    @GideonMalabega 4 หลายเดือนก่อน

    Derby ya kwanza kwa Amasha iliisha kwa sare ya 1-1,Simba ikitangulia kufunga kwa goli la Abdallah Mwinyimkuu na Yanga ikisawazisha kwa goli la Hussein Nembo Kondo"Mmakonde" baada ya kona ya Omari Hussein

  • @maasaingorongoro3799
    @maasaingorongoro3799 2 ปีที่แล้ว

    Hao jamaaa ni 🔥🔥🔥🔥

  • @simonkazibure1628
    @simonkazibure1628 ปีที่แล้ว

    Hiyo mechi ambayo Mogela aliumizwa naikumbuka nilikuwepo uwanja wa Uhuru; kwa kweli lilikuwa tukio la kuhuzunisha sana.

  • @mohamedalawy6172
    @mohamedalawy6172 4 หลายเดือนก่อน

    Mathematician SIO Mathematican

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 3 หลายเดือนก่อน

    Mpira ulichezwa enzi za hawa magwiji. Mpira ulichezwa Tanzania nzima kuanzia mashuleni vijijini Hadi taifa. Lakini sio Sasa hivi viduku vingii lakini uwanjani hamna kitu. Mimi namlaumu jakaya kikwete raisi mstaafu alikuwa wapi Hadi michezo inafutwa? Ujue afrika bado tuna tatizo la uongozi.

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 6 หลายเดือนก่อน

    Golden boy alikuwa anacheka na nyavu Kila anapopenda

  • @Chemba67
    @Chemba67 ปีที่แล้ว

    ZMOYONI MOGELLA ALIKUA NI MCHEZAJI MZURI SANA NA NI SUPERSTAR WA WAKATI HUO................NI SMART SANA

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu muhandishi Mzaramu nini anatoa raha awaachi wamalize story anarukia rukia tu

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 2 ปีที่แล้ว

    Siyosaba

    • @clementiddi5708
      @clementiddi5708 2 ปีที่แล้ว

      Kweli jamaa anaharibu sana kipindi na anaongea sana.

  • @GotardSalum
    @GotardSalum 6 หลายเดือนก่อน

    Zuberi wewe tunakufahamu ni mkia,piga uwa garagaza Msimbazi

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 2 ปีที่แล้ว

    Simba Leo atalishwa majani bila kupenda yanga 2 Simba 0

  • @djjohnson2998
    @djjohnson2998 2 ปีที่แล้ว

    Bado muda

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 2 ปีที่แล้ว

    Ww muongo ww makoro