Mtangazaji Wa Zamani Wa RTD - Radio Tanzania Atoa Neno Kwa TBC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Mtangazaji Wa Zamani Wa Redio Tanzania RTD ambayo hivi sasa ni TBC TAIFA Salim Mbonde Alivyotembelea Banda La TBC Katika Viwanja Vya Maonesho Ya 43 Ya Kimataifa Ya Biashara 77
    Na Kuhojiwa na Mtangazaji Stanley Ganzel Wa TBC

ความคิดเห็น • 13

  • @hagaijoe2449
    @hagaijoe2449 4 ปีที่แล้ว +2

    Salim Mbonde, gwiji la habari RTD, enzi hizo. Asante kwa clip!

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 2 ปีที่แล้ว +1

    mpaka hapo bado sauti yake ni kitangazaji mbonde

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 9 หลายเดือนก่อน

    Swed mwingi,malima ndelema,Shaban kisu,Sima erinesti,jmn majira uck majira asbh nikisikia ule mlio ndindii komoa mm ndonakurupuka naamka kwenda shule nisiposikia majira cjiandai ,nilimpenda sana siiiiimaaaa erineeeesti alikuwa anaivuta kwa mbwembwe jina lake duh wako wapi jmn Shaban kisu namuonaona

  • @sunyareh
    @sunyareh 3 ปีที่แล้ว

    Dah jamani kumbe salim bonde huyu. Nilikua namskiaga tu kwenye radio

  • @amoschacha2885
    @amoschacha2885 3 ปีที่แล้ว +1

    Salmu adinan mbonde

  • @antonykosgei4851
    @antonykosgei4851 3 ปีที่แล้ว

    Hongera.Sasa leteni mashamshamu-matangazo ya mapambano ya mpira,kati ya yanga na simba,yanga na timu zingine za afrika,simba na timu zingine za afrika pia.tutashukuru kusubscribe na kusupport.RTD NANI KAMA WAO?Watangazaji juma nkamia,salim mmbonde,Ezekiel malongo,Ahmed jiongo na wengine.

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Mzee Salim Mbonde, Mzee Barnabas Mluge pia mtangazaji wa zamani yuko wapi? Tunawatakieni afya njema magwiji wetu wa TBC.

  • @rastokapunji7191
    @rastokapunji7191 4 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi mno kumuona Salim Mbonde bado yuko fit. Mmengetukumbusha na utangazaji wao nyakati zile

  • @rashidmuhammad667
    @rashidmuhammad667 ปีที่แล้ว

    Jambo ndugu Mimi nimsani mdogo kutoka Tanzania Mimi Niko mbali kidogo na inchi yangu minataka supot zenu

  • @georgemwasyeba1891
    @georgemwasyeba1891 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hukumtaja jina anatwaje huyo Mtangazaji wa zamani

  • @markmwandu6358
    @markmwandu6358 2 ปีที่แล้ว

    Salim mbonde wow! Safisana

  • @georgefesto8455
    @georgefesto8455 3 ปีที่แล้ว

    Wapi Masuod Masuod?

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭