RAISI MAGUFULI ARUDISHA WANYAMAPORI IKULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น •

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 4 ปีที่แล้ว +154

    Daahhh kwa kweli rais umefanya jambo la pekee sn, km unampongeza rais JPM gonga like

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 ปีที่แล้ว +30

    Mazuri tuyasifu na kuyadumisha.... ubarikiwe Mh JPM

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 ปีที่แล้ว +35

    Nyie watoto enzi za Kambarage tulikua tukiangalia wanyama hapa ikulu kwa njia ya kwenda feli wakat Dar....kweli .....rudisha wanyama Chuma ....shukran kwa hili...

    • @harounali485
      @harounali485 4 ปีที่แล้ว

      Ume sema kweli na mie pia miaka ya 1979 --1981 mwafunzi Bunge Primary school.

    • @emanuelnyab9872
      @emanuelnyab9872 3 ปีที่แล้ว

      Inapendeza sana

  • @polycarpbenedict635
    @polycarpbenedict635 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mheshimiwa Rais wetu. Mungu akuzidishie maisha marefu. Kurejesha matumaini na maisha ya wanyama ni baraka kubwa kwa Mungu. Nimefarijika sana kwa hili.

  • @georgekimboka6218
    @georgekimboka6218 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana ndugu yangu MH Raisi Magufuli
    Mwenyenzi Mungu Mkuu Mtakatifu akubariki sana akuzidishie daima hekima busara Afya njema
    Tanzania inakuitaji sana ndugu yangu

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful country! Inapendeza sana! Mungu uibariki Tanzania !💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana hata sisi wapinzani tunakupongeza muheshimiwa Raisi kwa kazi nzuri ya kulijenga Taifa mungu ibariki Africa mungu ibariki Tanzania mungu mbariki Raisi John mungu Tubariki wananchi mungu tupe Amani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @felixmoses9863
    @felixmoses9863 4 ปีที่แล้ว +7

    Pamoja sana Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, Mungu alikujua kabla ya kuzaliwa

  • @andreajoseph5285
    @andreajoseph5285 4 ปีที่แล้ว +6

    great mind think alone ! hongera father:

  • @mtegaavito5078
    @mtegaavito5078 4 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana mheshimiwa Rais. Wewe ni mtetezi hata wa wanyama. Hata kama hawaongei wanakutakia afya njema na mafanikio tele. Am proud of you Mr President

    • @gracesakila4395
      @gracesakila4395 4 ปีที่แล้ว

      Wewe kweli tahira kwa akili yako hapo anatetea au anawatesa kisaikolojia ili ajifurahishe yeye???hayo si mazingira ya kuishi wanyama wa porini labda wa kufugwa

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 4 ปีที่แล้ว +11

    Safi Hon.JPM binafsi napenda sana wildlife..mzee anafanya poa sana kupenda hii kitu "uhifadhi".

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 ปีที่แล้ว +8

    Manshallah mzee labda zito ungemuweka humu nae akajidaidai kidogo manaake anatamani akawa anachezacheza na wenzie.

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว

      Kweri kabisaa

    • @tumahamza8972
      @tumahamza8972 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaaa hicho ndio kinawaumiza roho kwanini siwao?!! Ili wauze nchi vizuri. Wapiiiii,Allah Atawashinda na nia zao mbaya.

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 4 ปีที่แล้ว +10

    Wazungu Watakufa kwa sasa Mangufuli wewe ni muafrica wa kweli wajuwa nini thamani ya Africa sio wale wapenda kuja uku ulaya kwa kuuza Africa Allah Akulinde Allah akusimamie kuwa muislam Ndio japo ujapata Ila Megine. Wewe ni mzalendo muafrica wa kweli

  • @nicholouskihombo1507
    @nicholouskihombo1507 4 ปีที่แล้ว +11

    Beautiful ❤️

  • @michaelluoga5131
    @michaelluoga5131 4 ปีที่แล้ว +7

    Hongera Jembe

  • @kebyjeshi9048
    @kebyjeshi9048 4 ปีที่แล้ว +6

    Congrats Dr JPM

  • @shafimaingu4356
    @shafimaingu4356 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah .....Mashallah inapendeza sana , mh, Rais Magufuli wewe mi wa kipekee ukubali tu uongoze nchi kwa miaka hata 20 , Hongera mzee umefanya makubwa sana. sasa hao wanyama wengine sijui waliuzwa yarabi ,,,na waliotoka,

  • @jimmymberesero7350
    @jimmymberesero7350 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapa Kazi Tuu.. Hongera Dr JPM Kweli Kazi Unapiga Baba Umerejesha Mengi MUNGU Azidi Kukutunza

  • @mosesnmousa5558
    @mosesnmousa5558 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mkenya kacheza hio guitar safi sana ...

  • @jamillahmujungu2253
    @jamillahmujungu2253 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Mhe. Rais wetu mpendwa. Mungu Mwenyezi azidi kukuinua.

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mh rais utalii wa ndani utavutia sana viongoz mbalimbali wa mataifa mbalimbali kuja ikulu safi sanaaaa

  • @Bmstar-pz4qt
    @Bmstar-pz4qt 4 ปีที่แล้ว +7

    Raha Sana nampango wa kufika ikulu naomba mnisaidie connection hata niwe cameraman 🤩🤩🤩

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mkuu Wetu Wa nchi uko vizuri

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 6 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana

  • @farouqkatana7216
    @farouqkatana7216 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah this very nice beautiful nature Africa is blessed God bless magufuli he luvs tanzanian ❤❤❤

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana hicho ni chanzo cha utalii international schools zinaweza kuchargiwa zaidi local schools bei nafuu occasionally inapendeza sana! Wa kubeza hawakosi songambele mh. President.

  • @waldongeoffrey4620
    @waldongeoffrey4620 4 ปีที่แล้ว +3

    Dingi magu kweli mm sikuwai kujua kama kuna wanyama ikulu safi sana kwakurudisha hizo zaga apo mjengoni..🙏🙏🙏🙏

  • @philipondabazaniye3370
    @philipondabazaniye3370 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana sana zaidi ya sana

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze Mkuu wangu

  • @shabanilugi3969
    @shabanilugi3969 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndoto za mzee baba uwa zina nikosha sana takatisha moyo wangu ,na enjoy kupitia ww rais wangu fanya kama ww ni burudike mze baba

  • @katyetyegosper218
    @katyetyegosper218 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpiga kinanda yuko vizuri sana anaamsha hisia za kizalendo za Wa Tanzania

  • @dullahamoud6037
    @dullahamoud6037 4 ปีที่แล้ว +15

    Hapo nimempongeza raisi mana atatangaza utalii kwa mabalizi watakaokuja ikulu

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda hii raisi wetu !

  • @lutulalihim1585
    @lutulalihim1585 4 ปีที่แล้ว +7

    Nipo Marekani kwa wengi awafaamu kipi Mzee kafanya ila ni jambo kubwa mno Allah akulinde

  • @cosmasmpwage2576
    @cosmasmpwage2576 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭 leo umeenda zako baba 😭😭

  • @AhmedAhmed-bk2il
    @AhmedAhmed-bk2il 4 ปีที่แล้ว +6

    Wooooow unapendeza

  • @alfanijohho2262
    @alfanijohho2262 3 ปีที่แล้ว

    Beautiful country,najivunia kuzaliwa Tanzania

  • @jnote9283
    @jnote9283 3 ปีที่แล้ว

    Dah! RIP Rais wa kweli Hon. Dr. John Pombe Magufuli.

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 4 ปีที่แล้ว +2

    Safari ikulu nice go jpm

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว +16

    Raisi mwenye akili zake huyu, hapo hapo tangaza utalii mkuu

  • @robertmnyanyika5159
    @robertmnyanyika5159 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwe kiongozi wangu na Mungu akutunze tusipo sema yote uliyofanya na hili tena tusiseme duh ama kweli Mungu aliona unafaa kuirudisha Tanzania mahala pake chukua yako miaka 150 uishi Magufur

  • @estarjuma7983
    @estarjuma7983 4 ปีที่แล้ว

    Yaan hata usemi umeisha kwa kweli duh Mungu mbariki Rais wa Tanzania 🇹🇿 🙏 💚💚

  • @mkalimussa1846
    @mkalimussa1846 4 ปีที่แล้ว +3

    I like it

  • @shaabanmasoud4827
    @shaabanmasoud4827 4 ปีที่แล้ว +1

    Safiii Sana

  • @samwelmalindi1083
    @samwelmalindi1083 4 ปีที่แล้ว +3

    Saf Sana rais wetu kw uzalendo huo

    • @stevemwakisimba5986
      @stevemwakisimba5986 4 ปีที่แล้ว

      Hapo bado kiboko mamba chui simba chati fisi na nyoka wa kawaida ingependeza

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 3 ปีที่แล้ว

    Wengine waliwauza sijui kwanini mpaka mtu anateuliwa kugombea urais hizi tabia zingine huwa wanazifichaje kama za kuuza nyara za serikali? Marais watarajiwa wawe wanachunguzwa sana kuepuka madhara Kitaifa, Hongera sana Baba wa Taifa Mwl JK Nyerere na kipenzi cha wanyonge Dr JPJ Magufuli kwa UZALENDO

  • @jackierama1817
    @jackierama1817 3 ปีที่แล้ว +3

    Umetuachia kidonda kikubwa sana kioyon mwetu hakika mazur uliyatenda na ulikuwa ukiendelea kuyatenda ila mungu pia anakusud na ww pumzika kwa aman shujaa wa Africa 🌍 😭😭🤲🤲

  • @kassimumgeni1614
    @kassimumgeni1614 3 ปีที่แล้ว

    Nakupend rais wang

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭 tumekumis sana kiongozi,, ulipenda kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa na usawa ukiraji hata ukifa Mungu akupe kundi la badhi ya Malaika uwaongoze ",basi na iwe hivyo huko ulipo, " hakika umetuacha wapweke mno,, ukatuacha na maswali mengi sana,, mioyo inawaka moto kwa machungu na maumivu,, umeacha vidonda ktk mioyo ya watanzani,, kila nikiona matunda yako nabaki kuumia ma macho kushindwa kizuia machizi yasitiririke mashavuni mwangu nitakukumbuka siku zote za ihai wangu 😭😭😭😭😭😭

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 3 ปีที่แล้ว

    Hapo nimekubali

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni ishara nzr kuonyesha ya kuwa tuna wanyama na mataifa mengine wajue Hilo
    Ni Jambo zuri

  • @florencekimotho887
    @florencekimotho887 3 ปีที่แล้ว

    Saafi! Tena ni kujitenga na wengine. Chochote kinacho tubainisha kati ya wengine...tukitumie kwelikweli! Wanyama pori ikulu oyeeee!

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 4 ปีที่แล้ว +19

    Nilikua nimepanga kutalii huku Serengeti sasa Bora nije kutalii ikulu

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว +1

      Nenda ukajaze maji kwenye pipa kakwakisoda

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahha nenda uone cha mtema kuni

    • @mkalimussa1846
      @mkalimussa1846 4 ปีที่แล้ว +1

      Na ukitok ikulu unakwenda muhimbili spital

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 ปีที่แล้ว

      @@mkalimussa1846 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว

      @@fatemaligalawa4151 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli aseee

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaani imependeza kama zamani kipindi cha uongozi wa nyerere tausi wanatembea mpaka nje mjini feli wanapishana na watu jioni wanarudi ndani bila shaka magufuri baba lao

  • @harounali485
    @harounali485 4 ปีที่แล้ว

    Hongera muheshimiwa Kwa hili ume patia wanyama wapo huru kabisa.
    Ila budget yao sijuwi million?

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 4 ปีที่แล้ว

    Akili kubwa sana Rais wangu JPM

  • @bongotowntv5943
    @bongotowntv5943 3 ปีที่แล้ว

    Nikitazama hii video inanitia huzuni sana

  • @mathayodundo5433
    @mathayodundo5433 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo umelala usingizi usio na mwisho kweli sisi dunia sio kwetu

  • @samasob8233
    @samasob8233 4 ปีที่แล้ว +1

    safi sana, simba wako wapi?

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 ปีที่แล้ว

    Was was wangu haw punda milia vichwa vyao c vizur wanamatatizo ya shukran ...tofaut na wale wakawaida wasije wakapiga mateke wagen pale Ikulu..

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 4 ปีที่แล้ว

    Weldone my president💪💪💪💪💪
    Asa wata kuwa wana kula nn hapo sasa! ?

    • @mussajacob8346
      @mussajacob8346 4 ปีที่แล้ว

      Ilo swali zuli saana wataogelewa wapi watacheza wapi?

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 4 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli baba lao ccm chama lao

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P BABA YANGU 😭😭😭😭😭

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 ปีที่แล้ว

    🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️ukipita washa mshumaa

  • @sundayevansi765
    @sundayevansi765 3 ปีที่แล้ว

    R.I.P Mr President John Pombe Joseph Magufuli

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 4 ปีที่แล้ว +3

    Tumekuelewa

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr

  • @almasikillongozi3937
    @almasikillongozi3937 3 ปีที่แล้ว

    Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufika IKULU ndani

  • @hillarytindi8883
    @hillarytindi8883 3 ปีที่แล้ว

    Tausi hadi nije ninunue...they are expensive but they worthy happiness

  • @tumainipeter6713
    @tumainipeter6713 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama Nyerere aliwareta Alipo ondoka nao wakatoweka Usishangae ukitoka madarakani wakatoweka tena

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 4 ปีที่แล้ว

    Nataka chui na simba muheshimiwa utuletee IKULU nakuombea dua uwakumbuke wanyama hao isha allah

  • @rasulisimbano8342
    @rasulisimbano8342 3 ปีที่แล้ว

    Angeweka hata chatu basi ili awe anajiviringa kwenye miti kama alivyowekwa kwenye noti ya jero

  • @youngmiljr919
    @youngmiljr919 2 ปีที่แล้ว

    Miss you

  • @hamadali5062
    @hamadali5062 3 ปีที่แล้ว

    Jamani hizo paa nzuri kwa mchuzi na Wali

  • @sengoli_
    @sengoli_ 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP💔

  • @geprony
    @geprony 4 ปีที่แล้ว +6

    Inabidi aweke na Simba ku balance ecology

    • @jakayamati3510
      @jakayamati3510 4 ปีที่แล้ว +1

      geprony hahahaa unataka White House ickalike

    • @winfridaakyoo2196
      @winfridaakyoo2196 4 ปีที่แล้ว

      Rais mzalendo. Ameiweka nchi yake Moyoni. Una vision ya kujenga na kuleta sifa na heshima Tanzania. Tunakuombea.

  • @marwawilliam3648
    @marwawilliam3648 3 ปีที่แล้ว

    Inapendeza.

  • @kimmenelus7835
    @kimmenelus7835 4 ปีที่แล้ว

    LIKE IT🙏👨‍⚖

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ni rais mwenye uchungu na nchi yake.
    Anatamania kila kitu kizuri kilichopo kizidi kuongezeka...
    Ili kizazi kijacho kifaidi matunda

  • @razackkambi8318
    @razackkambi8318 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli baba lao

  • @mujunimwesiga2660
    @mujunimwesiga2660 3 ปีที่แล้ว

    Mbona sijamuona Simba hapo

  • @suleimansalym7537
    @suleimansalym7537 3 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa fanya basi utuletee na Simba, chui, fisi na mamba hao bado ni kidogo Sana.

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 ปีที่แล้ว

    😊😊

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kibali cha kwenda kuona wanyama ikulu chatolewa wapi nimekubali rais wangu

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba ubalikiwe kwani unamuenzi baba wetu wa taifa lol inapendeza sana

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Maisha haya. Yaani punda milia, swala, mbuni na wanyama wengine wameingia Ikulu mie napita tu kwa nje. 😅😅. Na wamemuona Baba Lao Live.

  • @abelbest4984
    @abelbest4984 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ikulu hakuna shida ya Mboga kabisaa

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief6151 3 ปีที่แล้ว +2

    Hadi raha nikimaliza gholofa yangu nataka nipewe chui mbili ninawatoto wakike wazuri kukomesha inayo ktisha masomo watoto😂

  • @paulmwazembe
    @paulmwazembe 4 ปีที่แล้ว +3

    Magu si mchezo Bwana anaelewa umuhimu ndio sasa maraisi wageni wakija lazima wapigwe butwaa

    • @lutulalihim1585
      @lutulalihim1585 4 ปีที่แล้ว

      Sup tuu butwaa na kuzimia wala Kufa

  • @bobchanda2460
    @bobchanda2460 3 ปีที่แล้ว

    Simba angekuwepo hapo wote wangeruka fensi

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 4 ปีที่แล้ว +1

    marais wengi watavutiwa watakuja juu ya kuangaliya wanyama tu. na sii juu shuguli zinazo wausu.

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief6151 3 ปีที่แล้ว

    Jamani Huyu mzee magu tumlazimishe 15 Tena nawaambien tatizo la ajira atalimaliza huyu mzee tz itakuwa ulaya

  • @philipo98samuelsamuel16
    @philipo98samuelsamuel16 3 ปีที่แล้ว

    Mbona sijaona Simba mh na chui faru nyati na ngiri

  • @bedamiyamba6495
    @bedamiyamba6495 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba wapi jamaniii!!!!

  • @atulindaaganyira5601
    @atulindaaganyira5601 4 ปีที่แล้ว

    Simba,Twiga,Pongo,Chui na Tembo siwaoni.

  • @McKingSimon88
    @McKingSimon88 4 ปีที่แล้ว

    Hapa kenya tunawekanga michongo state house

  • @jovaswai1587
    @jovaswai1587 4 ปีที่แล้ว +7

    upinzani wakiona ivi hawapendi

    • @madukaj.j.6999
      @madukaj.j.6999 4 ปีที่แล้ว

      Haraka sana kwenda marekani kupayuka

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

      Jova Swai wataenda kusema kwa wazungu tunyimwe misaada!

  • @ngwalimahingika4873
    @ngwalimahingika4873 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmm sssa mbona mzee anawapa majani ya miharobaini? Au anataka kuwauwa?