Mtihani huu mtume wetu Muhammad sw.s ameshakataza kufanya biashara msikitini na ww unafanya nn hapo nasikitika sana kuyaona haya allah atujaalie mwisho mwema na atuongoze katika haki inshallah
Mtume Muhamadi s a w alitabiria mwisho Dunia watazuka wafuas Wa Mash Dajal kabla ujio wake muda umefika tena atakumba kundi kubwa tumuombe Allah atujaliye khatima njema vizazi
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah waislam acheni unafki wenu mmekua kama wakristo huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana mbona hatukuoneni kwenda hospital ya muhimbili acheni unafki wenu waislam hapo hakuna tofauti na wakristo
Heeeeee 😅😅😅😅 uongo pro max uyoo mungu baba ako 😅😅😅 icho kiarabu fil batli 😅 barda hee anateketeza uyoo mtume hakuwahi kuwa n duwa izoo mm ni mtu wa twarika na niko na ijaza hakuna mafundidho ayoo 😅😅 hakuna duwa izoo za kutoa number mfukuzeni huyuu tafeli mbona haendi spital muhimbili akatibu spital nzima kama kweli anakuja msikitini kwani ndo kuna wagonjwa 😅😅
Stahfirullah ulimwenĝu waelekea pabaya ndio imani za watu wataacha kuamini mungu watamini binadamu ila hukmu itakuja kwake huyo kama afanyao ni sawa ama laaa
Naamini ustadhi shafi Atalisemea hili ukweli bila kuogopa kama alivyofanya kwa Dr sule kipindikile alivyoleta ushirikina wa mapete pete. Huu ni unafiki hakuna mambo haya katika uislamu
kufanya haya afanyayo sio shida kwentu sisi lakni kufanya ndani ya msikiti hapana maana hiyo anafanya yeye ni biasha na Mtume aemsema analaniwa anaefanya biasha na biashara yake ndani ya msikiti, huu sio utaratibu wetu waislam ni swal la kupingwa kwa nguvu zote, anayo maskani yake kule kongowe kama sijakosea basi abaki na ofc zake sio miskini
Huyu mtoto akiachiwa atatufikisha kule kwa akina Mungu mmoja katika utatu. Sheikh kishki yuko sawa kuutanabahisha umma kuhusu mwizi huyu
MSIHUSISHE UKRISTO
PAMBANENI NINYI KWA NINYI
Inasikitisha kua anapewa hata dakika moja azungumze ndani ya msikiti. Aibu kwa waislamu kumruhusu..
Muongo kama kweli nenda muhimbili tuone😢😢😢😢
Mtihani huu mtume wetu Muhammad sw.s ameshakataza kufanya biashara msikitini na ww unafanya nn hapo nasikitika sana kuyaona haya allah atujaalie mwisho mwema na atuongoze katika haki inshallah
😂😂😂😂 kwan ame uza nn apo waisilam mna nini alafu wakiza watu wakuuza dawa za nguvu za kiume mwanunua mna taaabu nyie😂😂😂
Mtume Muhamadi s a w alitabiria mwisho Dunia watazuka wafuas Wa Mash Dajal kabla ujio wake muda umefika tena atakumba kundi kubwa tumuombe Allah atujaliye khatima njema vizazi
Shariif soma vzr hizo duaa
Kuna watu wanateseka huko wodini SI uende huko ukawaponye?
Yaani wodi nzima wakitoka siku Moja Kwa Dua zako na serikali pia itakuunga mkono
Mnaipenda sana dunia acheni utapeli
Hujui lolote hamna elimu ya ruqya wala nn upuzi ukitmka dua mstari mmoja mako sita
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah waislam acheni unafki wenu mmekua kama wakristo huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana mbona hatukuoneni kwenda hospital ya muhimbili acheni unafki wenu waislam hapo hakuna tofauti na wakristo
Hakika ya RABBI tuokoe. Dua zipo na zinamfumo wake wenye elimu wanajua na Qur'an ni shifai ila njia ya huyu kijana aa aa . UISLAM . haupo hvyo
😂😂😂Hii kali dadeki yani uyu tapeli wazi wazi duh mwenyezimungu Atuongoze wallah mana huu ni msiba
Subhanallah huu mtihan wallah
Shekh sharifu mashaalah piga kazi alah atakulipa hizo nikarama umejaaliwa 🎉🎉🎉
Kwa kweli Hii ni tiba amepewa kipaji sheikh sharrif tangu akiwa mdogo siwezi msahau
Spitali zimejaa tele nenda kawaponeshe mganga wa kienyeji kwa kivuli cha uislamu.. muogope Mungu adhabu zake ni kali
Audhubillah Minna shaytwaan rajiim😢😢
acheni utapeli!!kama ni kuponya kupitia njia hizo,mtume angetangulia na maswahaba kufanya hayo!!hizo njia mnaiga kwa kina upako!!
Deni akuna sikuizi Bora nibaki na mungu maigizo tyuu nenda muimbili kawape Aya mafuta
@@SaidMkome-q5t akawapake futa watakimbia wagonjwa wote wa hospital, kwani amekuwa pdidy
TOBAAAAA WAISLAMU WENZANGU MUPOO
serikal yangu... watu wanaibiwa. ifike wakat wekini kipima imani... hawa waty muwe mnawapeleka muhimbili kwanza. wakiwainua wagonjwa pale muwape kibari
Wollahi watu wana chezewa kupitia dini huyu muna muita sharifu hana usharifu wowote, kurani yenyewe hajui kuisoma vzr
Toookaaa naona uchungu nakaribia kujifunguwa kwa wizi wenu
Sasa shekh si uwende muhombili ukaponyeshe wagonjwa kama wwe ni katk wakweli
Msiba mkubwa
nyoko zako wew pumbv tapel wanakuchora tyu watu tnakujua mwizi
Tapeli wakheed nyoooo munaleta usanii kwenye uislam toookaaa ushindwe na ulegeee kwa jina la yesu fisadi kiwembe weee
Muhimbili kuna wagonjwa kibao mbona hamuendi
Kama kweli hufanyi biashara watu waje na maji yao uyasomee tu bure basi
Wakina mwamposa nao wanafanya hivyo hivyo sasa sijui nani kamuiga mwenzie
Wewe kijana Mungu atakughulikia ,unachokitafuta utakipata.Na nyinyi viongozi wa DINI mnamuachia huyu afanye haya mambo
Hizo duwa soma vizury
Mamake zenu mna ipeleka wp dini yatu
Uislamu kama ugangaa sikiliza na wewe ukafungue kilenge chako😂😂😂
Sharifu Yesu huyo😅😅😅
Tuachane utapeli, katika uislam hakun mambo haya, tafadhal peleka huko kanisani, huwezi kujitamba
Soma qur an vizur
Acheni ushirikina huyu Sheikh ni muongo pia ni Tapeli ,Anadhalilisha Uwislam kwa ujumla.
Wewe Aya wazikosea pia etiy sharrifuu kweli......... Huuu ni uongo jamman
Wa mwizi 😂😂😂😂😂
aya waislamu tushaanza kuwa kama wakristo....mambo gani haya uyu jamaa anafaa ashikwe awake ndani anaharibu dini
Cfa ya uiclm ni upole sasa huyu mbona amechangamka kama mtoto wa mama yangu mdogo?
Usanii mpaka msikitini dah mtihani kweli kweli.
Sheikhe Shariif , Maalim, DR ni SUBHAANAH ALLAH amekutuma na amekupa Karama, Piga kazi
Hta mtu mzima anaweza akapangwa na akasema uongo kwa sbb ya njaa hiyo ni shirki
إن وعد الله
Salala maji hayajashuka tumboni kesha pona
Kupona hapo hapo sio kua we we ni sharifu kijana wewe unakipaji na karama
Kija a wa hovyoo kabs@
Eti ya shafi,wakat hlo jina ع na wala haitaj
Mchawy mkubwa
Heeeeee 😅😅😅😅 uongo pro max uyoo mungu baba ako 😅😅😅 icho kiarabu fil batli 😅 barda hee anateketeza uyoo mtume hakuwahi kuwa n duwa izoo mm ni mtu wa twarika na niko na ijaza hakuna mafundidho ayoo 😅😅 hakuna duwa izoo za kutoa number mfukuzeni huyuu tafeli mbona haendi spital muhimbili akatibu spital nzima kama kweli anakuja msikitini kwani ndo kuna wagonjwa 😅😅
Miss understood religion
Wakina mwamposa mnawapinga huyu mnamsaporyi wote njia yao ni Moja tu hao
hahahahaha hiki kijamaa kishenzi kweli chek watu walivsiliaz pumbv zako
Inallilahi wa ina ilahi rajiuni
Umewapa shingapi hao wazee mpaka wanakua kama mazezeta😂😂😂
Utapeli mtupu
Stahfirullah ulimwenĝu waelekea pabaya ndio imani za watu wataacha kuamini mungu watamini binadamu ila hukmu itakuja kwake huyo kama afanyao ni sawa ama laaa
Nenda muhimbili Wacha janja janja dogoooo tapeli mkunbwaa
Kuran yenyew kusom hajui yan yan mtikhan kwakwel
Huyu jama makosa yake ni nini??
Hayo sio maji mnakunywa MKOJO bado MAVI
Naamini ustadhi shafi Atalisemea hili ukweli bila kuogopa kama alivyofanya kwa Dr sule kipindikile alivyoleta ushirikina wa mapete pete. Huu ni unafiki hakuna mambo haya katika uislamu
😂
Huyu anafunza nini watu
kufanya haya afanyayo sio shida kwentu sisi lakni kufanya ndani ya msikiti hapana maana hiyo anafanya yeye ni biasha na Mtume aemsema analaniwa anaefanya biasha na biashara yake ndani ya msikiti, huu sio utaratibu wetu waislam ni swal la kupingwa kwa nguvu zote, anayo maskani yake kule kongowe kama sijakosea basi abaki na ofc zake sio miskini
Nenda muhimbili kwanza
Muongo mkubwa
Hatar jaman tusomeni dini yetu washirikina wanakuja na staili nyengine sasa
Iblisi anambinu Kali aja kwa sura mpya
Mbona sielewi
Kwann asiende wodini mahospitalin
Kweli
Nenda muhimbili basi
hii n hatari huyu afaaa akatwe shingo aleta fitna
Mutoto ya madhinge naye anakua muuza dawa🙃
😂
😮@@AnswarRajab
Mkora 😂.. utajua sio musilamu 100%... mtume katuamrisha tusinywe maji wakati tunasimama.
Wacha girin wewe kijana
Mambo ya mwamposa yamekuja misikitini
Lakini yye kosa lake ni lipi hapo mana kamtaja Mungu na dua tu mbona