BREAKING: MBOWE NA SUGU WAKAMATWA MBOZI, MWENYEKITI WA JIMBO AELEZEA ILIVYOKUWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 187

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp วันที่ผ่านมา +15

    Hivi ninyi mipolisi mliyovaa magwanda ya jeshi kumbe ni miccm mbona mnatuumiza aana mioyo yetu jamani Mungu awalaani na vizazi vyenu vyote

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 วันที่ผ่านมา +15

    Hofu ya kujitakia..
    Unavizia msafara porini..
    Kuna somo la kujifunza. Woga na kutokujiamini. Ila kuna kuzalisha sintofahamu. Matokeo hasi yanatarajiwa kwa hali kama hii..

  • @LinusMbeye
    @LinusMbeye วันที่ผ่านมา +16

    Liccm linakera sana Yan mpaka aibu et tz kisima Cha aman nyoko sana

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 วันที่ผ่านมา +13

    Samia demokrasia gani hii.Ushauri wangu futa kabisa demokrasia ya vyama vingi.

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi วันที่ผ่านมา +25

    Mbna ccm hawakamatwi nikwamba chadema ndio wanakosea tu hiki nikipindi cha kapeni unakamata kiongozi una maana gani

  • @MunguliloManoni
    @MunguliloManoni วันที่ผ่านมา +17

    Hii picha siyo nzuri, dunia nzima italaani na hata Mungu wetu pia hapendi.

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา

      Mikutano huwawanayembea?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา

      Kibali kilikuwa Cha maandamano au mikutano?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา

      Hawajui kibali Chao kilikuwa chanini?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา

      Wamekamatwa porini inamaana mkutano ulikuwa porini au ? Kama walikiwawanatembea kibali kilikuwa chanini?

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v วันที่ผ่านมา

      Chadema wasijifanye hamnazo au kuwaona watanzania Ni mazezeta wanafanya makosa huku wakijua nikosa wakolamatwa wanatusum is hooo tumekatwa Kwan mlitakaje? Hamna serw mpaka mnajikamatisha kwa polisi?

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f วันที่ผ่านมา +20

    From 🇧🇮 police wa Tanzania niwa jinga

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l วันที่ผ่านมา +15

    Police tafuteni watekaji acheni hii biashara za kuonea watu CHADEMA imekosea nini

    • @rizikiminga3010
      @rizikiminga3010 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa watajitafutaje kati watikaji ndio wao wenyewe

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 วันที่ผ่านมา +16

    Mapolice mbona hawatafuti watekaji wanaangaika watuwema mapolice wahovyo sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu yupo atatenda tutapumzika tabu hizi mana tunalilia moyon

  • @salomekense525
    @salomekense525 วันที่ผ่านมา +1

    Daaaa! inauma sana jamani kama niunevu umezidi???? Jamani.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba วันที่ผ่านมา +8

    Jamani dunia inaona chadema wanayo pitia,,

  • @SamweliZaburi-fk3qj
    @SamweliZaburi-fk3qj วันที่ผ่านมา +11

    Hata mkitumia mabavu hampendwi maccm nyie

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka วันที่ผ่านมา +9

    Polisi acheni uonevu kwa wapinzani tafadharini sana

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe วันที่ผ่านมา +6

    Sasa kosa lao nini???

  • @JosephNsenye
    @JosephNsenye วันที่ผ่านมา +5

    Uzur police waliofanya ivo tunaishh nao mtaani ,ko mungu atupe nguvu ya kupambana nao kitoho na,

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa maskari hawana tofauti na majangili?

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e วันที่ผ่านมา +17

    Mdude kapigwa ngumi usoni hapo nimeona, kwa nini

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA วันที่ผ่านมา

      Alikuea mbishi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 วันที่ผ่านมา

      ​@@STEVENKAJUMBAanabisha maana haambiwi kafanya nini anachukuliwa kama mbuzi Polisi hawajui PGO

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md วันที่ผ่านมา

      Ee mola tuondolee wadhalimu ndani ya mipaka yetu hata kama wapo juu kama tai washushe mavumbini wafezeheke wanaopanda chuki ndani ya nchi yetu kutuachia kisiwa chetu cha amani salama ameni

  • @SaudaMshani
    @SaudaMshani วันที่ผ่านมา +4

    Mungu aingilie kati nchi inakoelekea no kubaya jamani

  • @SabasiMgen-gn7gt
    @SabasiMgen-gn7gt วันที่ผ่านมา +1

    Mungu anawaona

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 วันที่ผ่านมา +3

    Nchi imejaa uonevu wa ajabu mpaka moyo unaumia hawa polisi wetu hawafati haki na sheria inauma sana

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv วันที่ผ่านมา +4

    Nikweli CCM na polic wameichoka amani yetu imejengwa kwa miaka mingi sana ila HAWA WANAWAKE WANATAKA WAIVULUGE

  • @LuciaAgustino-pt5mg
    @LuciaAgustino-pt5mg วันที่ผ่านมา +2

    Mwenyezi mungu haoendi tendeni haki haja kwakujibu hoja nakutenda haki kwa wote

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 วันที่ผ่านมา +3

    M ni ccm lakini kwa hali hii hapana sioni sababu ya kuchagua tena UTU uko wapi

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 วันที่ผ่านมา +14

    Mimi ni CCM ila nalaani huu UJINGA

    • @DavidKagulu
      @DavidKagulu วันที่ผ่านมา

      Kuwa ccm tu ni ujinga tosha

  • @GoodluckUisso
    @GoodluckUisso วันที่ผ่านมา +1

    Huu ni unyanyasaji police angalieni mpo nas mtaani mkuu wa police mungu anawaona tunalaani hcho kitendo kinachofanywa na serikali iliyopo madarakani natokea kuchukia siasa na ntawafundsha kizazi changu chote.😢😢

  • @FatmaAlabri-lz2cw
    @FatmaAlabri-lz2cw วันที่ผ่านมา +7

    Kwa hali hii tutaamini maneno ya Shekh Yahya Hussein marehem,kuwa upinzani itachukua nchi

  • @SmartOfficial-u5j
    @SmartOfficial-u5j วันที่ผ่านมา +5

    Ngumi mateke yanini hivi watoto wenu wakifanyiwa hivyo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 วันที่ผ่านมา

      Mafala sana hawa alafu wangoje wastaafu wamaskini wakubwa hasa hawa wanaotumwa kubweka ndio hata mishahara hawana njaa tupu

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o วันที่ผ่านมา +5

    MMM!! HAKUNA WATU WAJINGA NA WASIYO NA ELIMU NA IMANI NA HEKIMA TANZANIA KAMA POLISI.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 วันที่ผ่านมา

      WAMETUMWA. UNAFIKIRI NI AKILI ZAO???

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 วันที่ผ่านมา +5

    Kwaiyo hawa mapolice ni maccm au mamehongwa waumize upinzani inaumiza sana

  • @MoEd-k8w
    @MoEd-k8w วันที่ผ่านมา +6

    Wote huu ni uwoga wa ccm, wanawaogopa chadema

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu วันที่ผ่านมา +6

    Wanayo yalima wanakalibia kuyavuna.siku si nyingi.

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c วันที่ผ่านมา +4

    Serekali yetu ndio walivyo halafu unaambiwa kuna amani amani gani kama hali ndio hii

  • @MunguliloManoni
    @MunguliloManoni วันที่ผ่านมา +4

    Pongezi kwa aliyerekodi picha hii kwa ufundi mkubwa

  • @danielkanso
    @danielkanso วันที่ผ่านมา +6

    Hiyo ni uchaguzi wa serikali za mitaa mmmhh

    • @csato9415
      @csato9415 วันที่ผ่านมา

      Huyo M/ kiti wa 🥦 ni kama Delila aliwahadaa wapinzani na 4R, sasa yuko kwenye nyayo za mwendazake.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 วันที่ผ่านมา +4

    Uchaguzi utadhani ni wa polisi. Mpaka wanazuia msafara!!! Ccm wao wanapeta tu.naumia rohoni.

    • @LameckMbele
      @LameckMbele วันที่ผ่านมา

      ww nae akili kweli wabongo hakuna inamaana ww hujui tu police wamepigiwa cm

  • @RobertBartazary
    @RobertBartazary วันที่ผ่านมา +6

    Huu ni ushamba sana polis mnatumika kiboya

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 วันที่ผ่านมา +8

    Wekeni chama kimoja ijulikane TU

  • @josephmturi6936
    @josephmturi6936 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi kwann chadema tuuu?

  • @godfreymjuni3420
    @godfreymjuni3420 วันที่ผ่านมา +4

    Hii nchi police wanaupendeleo wa wazi

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 วันที่ผ่านมา +3

    Inawezekana hao sio polisi ni vijana wa ccm

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 วันที่ผ่านมา +4

    Pole 🇹🇿

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 วันที่ผ่านมา +4

    Police hizi nguvu tumieni Akili hapo hatulinda Raia na Mali zao ila tunaumiza watu sio saw hata Mungu hapendi

  • @charlesmambya6759
    @charlesmambya6759 วันที่ผ่านมา +4

    Hivi hii inch mbna ina mambo ya ajabu kwanin? Lakn chadema tu? Mbna hatusikii kwa ccm jaman

  • @IsiahMolek
    @IsiahMolek วันที่ผ่านมา +3

    Hawa mapolisi waache unyama😢😢😢 hii sio haki

  • @festoreuben6482
    @festoreuben6482 วันที่ผ่านมา +3

    Sina chama! Ila kwa mambo wanayowafanyia vyama vya upinzani sio haki kabisa. Ondoeni neno Democrasia mnapienda kuomba misaada mataifa ya magharibi.

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 วันที่ผ่านมา +3

    Yani mambo haya yata Isha lini

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 วันที่ผ่านมา +3

    Hii ndio demokrasia inayotangazwa nchi za watuu.... Tanzania tunabi dikteta na chama kimoja...

  • @PatrickNgwaulanga-x2u
    @PatrickNgwaulanga-x2u วันที่ผ่านมา

    Picha hizi sinaonekana vizuri sana tunaomba majina ya hao askari kila mmoja tumtambue kwa majina yao wanapo ishi kwakua hii ni kazi nzuri sana

  • @NjotaMichael
    @NjotaMichael วันที่ผ่านมา +1

    Mungu.

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 วันที่ผ่านมา +5

    Mmmmm Tanzania ya vyama vingi vya siasa

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh วันที่ผ่านมา +4

    Hiv polic tanzania mbn hamna aibu

  • @TumainiMedason
    @TumainiMedason วันที่ผ่านมา +5

    Ninachojiuliza mbona polisi hawatumii nguvu kama hii kwenye kupambana na utekaji?? Ilaa wakisikia tu Chadema wana Mkutano ndio wanakuja utadhani wanaenda kupambanaa na jambazi sugu😢

  • @Didaskamili
    @Didaskamili วันที่ผ่านมา +4

    Mwisho ni mbaya

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku วันที่ผ่านมา +4

    Inatia hasira

  • @Estarmarwa
    @Estarmarwa วันที่ผ่านมา +2

    haman ipo wap? kama watu.wanafanya mmikutano tena kwaaman malapaa chawa zimefika huo ni huujumu wa haki na domokulasia kama.ccm niwakweli na watenda haki mbona wanatuleteafujo viogoz wa ccm waache ushamba huo nihuuni na kuleta bifu ndan ya tz

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 วันที่ผ่านมา +2

    Iz nguvu wangewapambana na watekaj lkn kila sk chadema khaa

  • @jumamrange
    @jumamrange วันที่ผ่านมา

    Hawa tutawadhurum mpaka lini lkn tukumbuke kuwa mungu ana mipango juu ya watu wake

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo วันที่ผ่านมา +5

    Duh yaani ukitaka ukamatwe sana shangilia upinzani mbona utafrahi na kulala sero,poleni wote

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md วันที่ผ่านมา

    Mmjamani kwani hapa ni soweto jamani kwani police mmepewa nini na mama mbona mnasahau tanzania ni moja na sote ni ndugu sasa kulikoni mnawabuluta watanzania ndugu zenu kama majabazi hii chuki mmeitowa wapi mbona mnatutisha jamani

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 วันที่ผ่านมา +4

    Kwani chadema niwez au Wana siasa polis mnatumika vibaya

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 วันที่ผ่านมา

      Umeona alivyo mshika yule kama mwizi inatia hasira kisa kavaa magwanda

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo kwenye msada toka nje nawapa pole sasa hivi dunia yote ipo na mambo ya urusi na Ukraina mtasubiri sana

  • @StanslausPilla
    @StanslausPilla วันที่ผ่านมา +3

    Siasa za kisenge

  • @godsson5954
    @godsson5954 วันที่ผ่านมา +2

    Wavae tu nguo za kijani 😅😅😅

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 วันที่ผ่านมา +4

    Mnawapig viongoz kweli

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 วันที่ผ่านมา +1

    CCM uchaguzi wa vijiji hihali itakuwaje mwaka kesho ?? Tusilete vita sisi ni Ndugu Tusifike Polis toa HaKi Kwa Wote

  • @slimsalim7114
    @slimsalim7114 วันที่ผ่านมา +2

    Ni ujinga wa hali ya juu unaofanywa na mapolisi CCM wewe kipindi cha kampeni mnawaandama upinzani

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md วันที่ผ่านมา

    Hii ni kelo sipendi kuyaona hayo mambo jamani uonevu mkubwa

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e วันที่ผ่านมา +3

    Hili tukio ni kama lile la tarimo bonge ,

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz วันที่ผ่านมา +4

    Asee

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi hawa mbwa mwitu wa kijani kwanini hawatendi haki Katika Taifa letu!
    Hao viongozi wana kosa gani???
    Mbona Viongozi wa ccm waliyoenda Mwanza kuzindua kampeni mbona hawajakamatwa???
    Kwanini mnakamata Viongozi wa Chadema tu!???
    Mungu yupo kazini hajalala ipo siku mtapokea majibu ya Dhuluma na maovu yenu yote ccm na Serikali yake!

  • @MahmoudJaffar-mt1qr
    @MahmoudJaffar-mt1qr วันที่ผ่านมา

    Haya mambo yanarushwa mitandaoni inaonyesha siasa mbovu Tanzania

  • @EmanuelMuna
    @EmanuelMuna วันที่ผ่านมา +1

    mama samia ivi hua haoni haya kwenye nchi yake kwer

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o วันที่ผ่านมา +5

    Ukiona giza limekuwa totoro ujue pamekalibia kupambazuka kwa leo sina comment 🙏🙏🙏🙏

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 วันที่ผ่านมา +2

    Uchaguzi bila ushindani so uchaguzi

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 วันที่ผ่านมา

    Sasa kama hamtaki upizan si mseme kuliko kutesa watu😭

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 วันที่ผ่านมา

    Kwasasa tunaamini kwamba Viongozi wa juu CCM wana niya mbaya na Nchi ya Tanzania 🇹🇿 😭😭😭😭😭

  • @CharlesJohn-e4h
    @CharlesJohn-e4h วันที่ผ่านมา

    Hakunapesa yabure ccm ikishinda uliepewa na ambae hakupewa makofia kitenge nk wooote mtaziludisha

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c วันที่ผ่านมา

    Kwani shida nini kila siku daaah

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 วันที่ผ่านมา

    Nilifikiria baada wagombea wengi wa upinzani form zao kukatwa na kubakiza CCM basi kusingekuwa na kurukushani za Polisi dhidi ya wapinzani kwa maana wapinzani wengi wemeenguliwa na hivyo kuipa ushindi wa mapema CCM.

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad วันที่ผ่านมา

    Jamaani polisi mna zanbi sana mnawakamata kama mnakamata maharamia ipo siku mtakuja kuwalamba miguu mungu ni wa wote

  • @MahmoudJaffar-mt1qr
    @MahmoudJaffar-mt1qr วันที่ผ่านมา

    Hivi ccm mbona mnatumia nguvu kubwa kuliko akili mkifanya hivi wapinzani ndyo mnawapa nguvu kwa wananchi

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian วันที่ผ่านมา

    Hivi police uwa asila zinatoka wapi mpaka mtu anatetemeka utadhani kazurumiwa kitu chake na wapinzani adi sasa inakuwa kero

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li วันที่ผ่านมา

    Hivi nyiye polisi msizani ccm itakaa milele madarakani je ikija ngolewa nyiye mtakimbilia wapi hii nikitu cha ajabu sana hivi polisi wetu mmeahiliwa kuwalinda ccm au watanzania wote wawe salama tunawashangaa kuona mpo Bize na siasa acheni hiyo kazi ulya polisi nanyuye muwe wanasiasa hayo Mnayo yafanya yatakuja waghalimu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t วันที่ผ่านมา

    TANZANIA YETU 'IMEPASUKA'....MH. RAIS SAMIA USIKUBALI NCHI 'IPASUKE' MIKONONI MWAKO....HISTORIA ITAKUHUMU WEWE BINAFSI NA CCM!

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz วันที่ผ่านมา

    Kwnn wakamatiwe porini,c upilato huu,au, wasojulikana,

  • @AnthonyPiusi
    @AnthonyPiusi วันที่ผ่านมา

    Hivi hawa polisi wamerogwa na nani? Kazi sio ulinzi wa raia bali nguvu nyingi kupambana navyama tena chadema badala yakulinda watu wqfanye kampeni

  • @ebenezerfreight3309
    @ebenezerfreight3309 วันที่ผ่านมา +1

    Upumbavu unaharibu nchi

  • @gabrielkyando2632
    @gabrielkyando2632 วันที่ผ่านมา

    Yaaan police wapo bizee kabisaaa kukamataa viongoz wa chadema hiv wanaogopaaa nn?? Sijawahi kusikiaaa wamemkamataaa nchimbi wa CCM au zito kabwe wa ACT

  • @PatrickNyaonge-h3r
    @PatrickNyaonge-h3r 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watanzania wengi wanazidi kuidharau,c.c.m hata kuichukia kweli hakuna demokras tanzania,lakn ipo siku mtaona mkono wa
    Mungu😅😢

  • @didaslunkoto
    @didaslunkoto วันที่ผ่านมา

    Polisi mnajifanya kupambana na chadema wakat kikokotoo kinawahusu. Na laaana hiyo haiwaachi salama pamoja na familia zenu

  • @rizikiminga3010
    @rizikiminga3010 วันที่ผ่านมา

    Ningependekeza police wote wa Tanzania wabadilishe sare zao, wavae sare za CCM.

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh วันที่ผ่านมา +1

    Makala uko wapi

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru วันที่ผ่านมา

    Sasa unawakamataje wakiwa njiani na huku polisi wanasema walikuwa kwenye eneo la mkutano

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 วันที่ผ่านมา

      Ndio kuonyesha uwazi wa mauongo yao

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv วันที่ผ่านมา +2

    Mtabaki kulaani chukueni hatua

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 วันที่ผ่านมา

    MH. RAIS, HUWEZI KUKEMEA WANASIASA KUPIGWA , NA HATA RAIA WA KAWAIDA WANAPOKAMATWA NA MAPOLISI. IELEWEKE HAO WANA WATU NYUMA YAO .MSITENGENEZE CHUKI KATIKA NCHI BILA SABABU.

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea วันที่ผ่านมา +4

    Police mnatumiwa vibaya kuwanyanyasa wapinzani haipendezi kabisa

  • @MagdalenaBeenad
    @MagdalenaBeenad วันที่ผ่านมา

    Polini mh haya ila wanachokitafuta watakipata kwa nini wawakamate polini walikuwa wanataka kuwafanyaje

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 วันที่ผ่านมา

    Iko siku taka kama hawa watapigwa chuma haina muda wache waendelee kuwachukiza wananchi

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polis ndio maana siwapendi hata kidogo