Wazazi au walezi wa huyu mtoto mwema mdhibitini huyu mtoto asome zaidi na akuwe maishani kiuchamungu zaidi badala ya kumgeuzisha kuwa biashara kupitia mtandao kwa pupa.. Hajafika daraja anayojipa au mnayompa.. Fanyeni subra nawaombeni sana.
Hawa wanamziki wamelaaniwa mziki sio asli ya uislamu hawa wanaona wamefanikiwa halafu huyu maandazi kijini chao muhuta uislamu umeshamiry sijui huu mtihani kaupatia wapi
MASHAALLAH.. ALLAH ATUHIFADHI SOTE NA ATUTUNZIE SHEIKH WETU MDOGO MWENYE UWEZO MKUBWA . AMEEN
Mdogo wangu mzuri najikupendea kwaajili ya Allah, mungu akilunde na hassad
Aamin
Amen ❤❤❤
Ameen
Amiin
MashaAllah shukrani nimejifunza kwa mawaidha yko mtoto Allah akupe afya njema uelimike zaidi,, Allah akulinde na hasadi
Maa shaa Allah, Allah akulinde, uendelee kufikisha ukumbushe, uonye na kuamrisha mema!
Mashaallah Tabarakallah ,, Allah atuongoze njia iliyo nyooka,,Na atujaalie mwisho mwema yaa ALLAH,,,,,
Ma Shaa Allah Allah akupe umri mrefu uendelee kutuilimisha
Masha Allah,alhamdulillah elmu nzut umetupa sheikh
MAA SHAA ALLAH, ALLAH AKULINDE MJUKUU WANGU
Mashallah ALLH hatuhifadh namazambi na hatupe hatma njema duniani na akhera
Mashaallah dunia ni mataaa
Jamani tusiipende dunia sana kiasi
Kwamba tuka sahau kesho sisi ni mait😢😢😢
Allah S.W akukinge na masheitwani wa kibinadamu na masheitwni wa kijini. Amin
Mashallah TABARAQALLAH Allah ukuhifadhi shekh wetu na Akulinde na Hasad
Wazazi au walezi wa huyu mtoto mwema mdhibitini huyu mtoto asome zaidi na akuwe maishani kiuchamungu zaidi badala ya kumgeuzisha kuwa biashara kupitia mtandao kwa pupa.. Hajafika daraja anayojipa au mnayompa.. Fanyeni subra nawaombeni sana.
Well noted
Watu wana siri huwenda anasoma uku analingania so kila kitu kinawekwa wazi muhim kumuombea Allah amkuz3 na amzidishie elimu ammin
Hamkosi la kusema binadam
Anasoma dogoo na anashika first position darasani wenzake hawaoni ndani
Tayar amefika umri wa kuelimisha kwasbb wapo waliotoa dawa wadogo kuliko huyu
MashaAllah ALLAH akuhifadhi
Mashallah mtoto mungu akukuze
MashaAllah ALLAH Atuifadhi inshaallah
MashaALLAH tabaraka rahmani ALLAH akuhifadhi uwe minalswalihna
Masha Allah ... Sheikh wetu kijana Yuko sawa 🙌
Allah Amzidishie elimu
Ewee mwenyezimungu huyu mtoto mjaalie sana na allaha akupe afya njema na akulinde sana mdugu wangu kilicho baki tumrudie mwenyezimungu
Wa alekum salam wa arhamatu llahi wa barakat.molah akujaze inshallah Amin
Mashaallah mtt mzuri.
Maashalla toast daawa mjukuu Allah akullinde
Waĺykum Salam warahmatuh wabaraktuh Ewe Allah mukuze uhuyu Mutoto katikanyayo zako akutumikie mpaka pumuzi yake yamwisho nakupenda baba💛💕💕💕🙏🏼🎉🎉🎉
Mashaallah mashaallah tabarakallah🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Maa Sha Allah Allah Akupe Umri Mrefu Azid Kukuongezea Ilim Utuongoze Utuelimishe Shukraan Allah Akulipe Yenye Kheri Inshaallah
Mashallah.mungu.akukuze
Ma sha Allah tabarakallah ❤❤❤, Allah azidi kumuongoza kijana in sha Allah 🤲
Mashallah Allah akupe afya na umri mtt mwema ❤❤❤
Shujaa mdogo Kwa umri....Masha Allah
Machallah mgu tujaliye watoto wema kama huyu inchallah ❤
Mashaallah mwenyezi mungu akuhifadhi mtt mzuri ❤❤
❤❤❤❤mm napenda huyu mtoto naona nikae karibu na yeye walae nintaeza kusali kupitia vitendo vyake anyway mungu akutie nguvu mtoto msuri hongera sana
Subhanallah Allah akuhifadhi ❤❤❤
Alla akulinde namatamanioyadunia pia akupemuongozo akujalie uwemiungonimwa wachaamungu inshalla
Mungu aipewepes ampewepes kjana wetu azid apa amuongoze njia irosahii raha Sana anakirakitu anajiamin Sana sfa nyingi
Ma shaa allah tabarakallah ❤ pumzi isitupe kiburi maan inakatika wakat wowote 😭🥱 Allah atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
Mashaallah nilicho kipenda lafdhi zake katika kusoma Qur.an zimebadilika sio sawa na zamani hii ni ishara ya kuwa anajendeleza
Maa Sha Allah mwanangu Allah akuzidishie ilmu
Mashallah Hapo kuna cha kujifunza.
Mashaallah allah akuepushie wasaii
ALLAH bless you 💕
Masha allah❤❤❤❤❤❤
Mashallah nakupenda mtt kwa ajili ya allah
Mashaaallaah Mashaaallaah mtt mzuli
Allah akulinde kijana
Allah akuzindish elimu zaind uwe shekh mukubwa zand ❤❤
Maa Shaa Allah tabaraka Rahman ❤
Allah akupanuwe. Ufahamu. Wako ramadhani
Masha Allah❤❤❤☝🏿☝🏿☝🏿
MASHALLAH ❤
Allah akuepushe na kila shari akuongeze umri uzidi kuzindua wenye kukufuru na uzidi kutu ongeza elimu na Imani
Mungu akupe umri mrefu
Mashallah tabarak rahman 🙏❤
Wengi siku hizi wanaimba na kusema MashaAllah na insha'Allah, hii nayo inakaaje au imesahaulika
Ni kweli mtt mnzr maneno ya Mungu yanafundish inshallahàaa Mungu akuzidishie uzidi kutupa mafundisho
Mwenyezi Mungu atupe khusyn khatm sote waislamu 😢
Allahu baarki lahu
Subhannallaah allaah atuhifadhi
مشأ الله تبارك الله
MA Sha Allah
Jazakalah Khairan
Allah atuongoze
MashaAllah
Mashaa allah ukumbusho mzuri
Kweli kabisa❤❤
ALLAH AKBAR, kumbe inawezekana
Amiina tucwe miongoni mwa wenye kumuhasi Allah
Ya Allah Yaa Qahar YaaSamiu
Mashallah❤❤❤❤
Marshalah jazakalah Khairan
KWELI NYINYI WASANIII MNAKUFULU SANA HAYA MAMBO YA DUNIANI UAMINI IKO SIKU UTAICHA WACHENI KUFULU
Ameen thumma ameen
Maa shaa llah .
fatabaaraka llah.
Ma Shaa Allah
Maashallah jazakallahu kheir
Shekhe fala com ele.allahu akbar
Mashaallah ❤
Alkhamdulillah❤
Allahu Akbar
Maashaa Allag
Maashaa Allah
Amini
Tabaaraqallah
Mashallah
Mashallah 🎉
Maashaallah tabarakallah❤❤
Kufuru zimezidi Bongo. Sitashangaa yakitokea yanayo Jiri Losangles marekani
Mtoto mdogo anajitahidi basi angalau atunzwe asiachwe akaondoka kwani Watoto wanapenda kupongezwa haswa anapojitahidi katika kusoma dini yake …
Mashaallah
Stafirullllah. Nihatari😢
❤
Mfundishe na Maalim bachu
Almdulillahi,
A. Alykum mimi naomba kuuliza huyu Shekhe anaweza kuswalisha?.
Hawa wanamziki wamelaaniwa mziki sio asli ya uislamu hawa wanaona wamefanikiwa halafu huyu maandazi kijini chao muhuta uislamu umeshamiry sijui huu mtihani kaupatia wapi
Wewe Hamonaiz usimchezeye Allah kama umohogopi baba ipo siku utajuta
Mtoto kifaa
Huyu sio mtoto ni mtu mzima huyu nyie
Iyo ni luga ya Kiarabu musimuhukumu
Tatizo wewe kafiri huna unalojuwa zaidi ya maasi na dunia
Hata kuandika neno lugha haufahamu utakijua kiarabu!!!!
Raha yetu waislamu kila kitu kiko . Ww unaesema tuna muhukumu hata dunia ina Mahakama seuse uislamu ulikamulika !
@@KolthoumIbrahim.ni kweli kabisa bora umwambie.
@@hamzanangameta6243 were ndio hujui kuandika hizo ni typing error zimejitokeza. Nimezaliwa pwani nisijue kuongea hebu jishikilie na use na Adabu
Ili Kupata Vifaa Vya Channel-Changia Channel Yetu +255 753 747 457 au +255 716 747 459 Shafii Yusufu