ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Oyooooo km na wew ni wa bk gonga like tujuwane hapa
Saida ni mwanamuziki bora wa Dunia🥰🥰🥰 all the way from Brussels_Belgium
Uko na umama 😂😂😂and nlichgundua ww n mhaya
Nimekupenda Bure ase mungu akubark kwa kumtambua huyu mama nampenda hatari
Hojakosea my brother
Wenye wivu ndo hivo, na wapo wengi, Saida u r loved by many, old is gold.
Saida Karoli twakuzana mayenje💖💖💖
Saida Karoli bado uko vizuri❤❤❤👏👏👏
Waoooh vitu real hivyo upo vizuri mama! Wakola weitu
Yakola yatuijukya hala
Yakola muno
Amaizing voice
MASHAALLAH, saut iko poa sana
She gat natural Vocal,
Du saida niatr sana yupo vzr sana
Wakola muno bojo Saida. Wannyijukya omuka kazilo
Nice San saidaa
Saida ameacha mwenyewe2 kuimba ila akiimba mpk leo bdo tunamkubali2 nafac yake ipo2
Safi sana nimeipenda hiyo
She is legend 👏 👏 👏 👏 👏 👏 👏
Voice 🔥🔥🔥🔥
Sauti za kwetu. Proudly East African!!!
Malkia wa muziki 😘😘
kipaj halis 🙌🙌🙌
She killed it🇰🇪❤️
Saida yupo sawa ila aliyemuangusha na kumuondoa kwenye mstari ni Ruge alimuangusha kinyama kwasababu alitaka afaidi zaidi kuliko Saida.
4 sure broo na alimtoa kwa mondi
Anasauti nzuri daaah
Nampenda mpk Sasa nampenda huyu dadaangu jaman
Adi raha saizi anapiga zake shoo vijijini
Huyu mama atakufa na kipaji chake wallahy.
Hongera sana tuko pamoja nanyi
Ww Ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Duuu kinyumbani zaidi🔥🔥🔥
Uuuuwaaaooo,echana cho muhaya😘👍
Saida hatariii sana
Woooow na mpenda sana huyu mama
Nikiwa MASCAT OMAN 🇴🇲Na kukubali sana dear Saida Karol
M mh
the true vocalist Saida karoli legend of all the time
Saida forever 🔥🔥
Mwana wa Kasharu.... Bukoba Vijijini
Saida karoli baby wangu wa zamani nakumbukaa zile katerero tu mwenzio
Nakupendaga sana Saida
Mungu akubariki saida
Ongerasana mama yetu watuijukya homka bk moja
Waoo 💖 i this lady 💥
Hongera sana dada wallah unadumisha utamaduni
ANIKUMBUSHA MBALI SANA SAIDA VIZULI SANA DD YANGU
Dah sauti pure kabsa...akalamba wakunywao! Asili yako haipotei mama.
PlayBack sio mzuka Nakubali
Her voice is killing
Nice Dada bado unaweza
safiii saida your apreciated
Sijui ni kwa nini waimbaji hawapei kipao mbele una msikia huyu mama sauti yake bila kupigiwa vyombo ina noga
Sauti hyo ,yuko pekeyake tu duniani, hakuna msanii tz wa kuimba kama yeye kwa wanawake wote
Napenda sana saut ya saida ni ya kipekee
Mama anajua sana
I remember those days 🇺🇸 thx Dada saida
Mavi ya kale hayanuki kwa kweli she is still the best ,more love u you mama
Hiyo methali sio nzuri kwa Saida.. Tumia msemo "Vya kale Dhahabu" @Jacklin Ndossi
Akili hana kabisa shwaini mkubwa huyu
Ila Saida jamani! Nampendaga sana
😂😂🤣 hii kweli bukoba hata RAFUDHI ya mtangazaji inaonesha
Wakola muno Saida ,wanuza obunuz
wahaya hawana dogo😃😃zawadi kama ya miss Tanzania
Akyali mboko ..🔥🔥🔥🔥🔥
Boojo
Saida njoo Arusha ufanye show kila siku nakoment lkn comments zangu huzioni
Saut iko on point 🔥🔥
Sauti ya huyu mama bado mo nzuri sana
Sana
Nakupenda wewe
Hawa huyu ndo legendary amby ukisijia saut tuu unajua she is musician not like h bba
Umewaona hao mamisi wa kihaya yaani wanavyotembea wananifanya nitikilie tabia zao nimejikuta nacheka
Big up kwake
Nikwenda saids
Daaaa!saida unastahili tuzo
Wokola saida
Seen The three eyes phone? hit a like.
Pongezi kwake saida
Amaizing
daaaaah nimemkumbuka bibi yangu. waitu waitu
Mungu ashukuriwe sana make mpaka.sasa yuko fit .hapo no hiv.
Nice
Wenye sauti zao muziki mzuri
Jamani sauti yake
Jamani haxeeki
Duh
I like that caroool
Hazeeki saida sauti iko byeee
Kwa kweli bd wa moto mno
Daimond amchukue wasafi afanye kazi
2:21 kwenye dk hizo na sekunde hiyo huu wimbo unaitwaje tafadhal na naupata chanzo kipi nautafuta sana
Wakola waitu,mweny wivu ajinyonge
Regent
Zilizo pendwa zishapendwa🔥🔥🔥
Hatar sana mama bado mkubwa uwezo uliosahaulika
Jamani jamani watu wapo zero distance Barakoa Hawana dah
Bk hamna kolona
Kuna wengine wakiimba live utakimbia
🥰🥰🥰
Ni dhahabu hakika
Lugha haieleweki ila Muziki unaongea
Dadaaa sauti yako haichuji
Saida bkb ni malikia
Salome oyeee
Wahaya mbona hamtunz c wazee wa sifa🤣🤣🤣ndo nabii hakubalik kwao
👏👏🔥🔥
😘😘😘❤️❤️
🔥🔥🔥
⛽🔥🚬
Umevaaa nini sauda

Nikiwa MASCAT OMAN 🇴🇲
Na kukubali sana dear Saida Karol
M mh
the true vocalist Saida karoli legend of all the time
Saida forever 🔥🔥
Mwana wa Kasharu.... Bukoba Vijijini
Saida karoli baby wangu wa zamani nakumbukaa zile katerero tu mwenzio
Nakupendaga sana Saida
Mungu akubariki saida
Ongerasana mama yetu watuijukya homka bk moja
Waoo 💖 i this lady 💥
Hongera sana dada wallah unadumisha utamaduni
ANIKUMBUSHA MBALI SANA SAIDA VIZULI SANA DD YANGU
Dah sauti pure kabsa...akalamba wakunywao! Asili yako haipotei mama.
PlayBack sio mzuka
Nakubali