Nilichoona afadhali.kipupwe tin ringo,masantula wanastaili maisha bora zaidi ya hayo,kwa waliyofanya kwenye tasniya ya uchekeshaji.kitambo sana nawafatiliya.ila pikipiki ilikuwaga kali sana.bila kumsau mganga mwakatobe.
Hela ngumu na wao ni binadamu Kama wewe wengine wanamajukumu kuliko unavodhani na ukizingatia maisha yetu haya ukipata Kdg na familia yote inakuangalia
mwambie tin white namkubali sana kuna movie inaitwa mjomba kinate sasa huyo mjomba mwenyewe akiingia sasa utacheka kinaate anaunguruma kma anacheza sebene.
😅Safi hongera tin ila nyumba ndani hizo Rangi zinazidisha GIZA NDANI TAFUTA FUNDI RANGI AKUSHAURI RANGI ZA KUPAKA NDANI MAANA NJE KAMERA ILIKUA ANGAVU PICHA VIDEO ILA BAADA KUINGIA NDANI KAMA UMEINGIA PANGONI. USHAURI TU. ILA VITU VINGINE SAWA

Kwenye mavazi mtangazaji kazingua sana khee
Hawa wote kwao wanaishi vizuri.... Tin, Rich mavoko, Mama ake.... Yani in short familia nzima
Bonge la interview nimeipenda sana maisha halisi.
B levo wew ni creat hii mmecopy kwa global tv!hvyo badilisheni mahudhui
Kwamba hatabhao global tv ndo wakwanza kuanzisha au?
Namfaham tin white vizuri hana maisha hayo
Anakujaga lugoba na
Harier nyeupe old model
Imechoka mbaya
Unamfaham ukipa mkundu
Kwani kunaulazima gani kumtusi @@MarkiJoseph
@@MarkiJoseph ww choko2
Mick anajiekea mwenyewe mtangazaji mshamba
nakubali kk Whit
Good interview
Safi kaka Tin
Uko vizuri sana ndugu muandishi
so tin white anavaa microphone muda wote!!😂😂😂😂😂
Kikubwa kupambana
Mnatuzugaga huwezi kwenda bira tarifa, mnazinguwaga sana
Namkubali sana mwamba huyuuu
Kwa hiyo mandevu alienda kumfungulia naniii😅😅😅😅😅
Nyumbani kwa mutu sio mbali bhana we vipi
Tini nimekukubali upo very simple man !
Hii nyumba asha actor move apa
Ile series ya mgeni nani
Mmeenda bila taarifa 🤔🤣🤣
mwambie tin white namkubali sana kuna movie inaitwa mjomba kinate sasa huyo mjomba mwenyewe akiingia sasa utacheka kinaate anaunguruma kma anacheza sebene.
Apo sio kwa tin, ila wamepanga ni maeneo ya kifuru
hpo eneo la kazi ndo mahana umekuta wote wapo
Mavazi ya uyo young journalist si swafi na ikibidi siku nyingine t-shirts usirudi kuipunguza sana ubavuni
Ayakuusu 😂
😅😅😅😅Wacha kuzoom watu
Mtangazaji yuko vizuri nani mchangamfu,sema wabongo wasenge wambeya sana
Hicho kijibwa kilitumika kwenye movie moja tena ilikua kacheza Dume la pwani Dagobeti 😅
Mbona kipindi kinafanana na cha TV nyingne ya zamarad
Kila mmoja na rizki yake mkuu wafatiliaji ni wengi
Kifulu iyo
Hata wao waliiga global tv na wao pia waliiga kutoka eatv
wabongo hawanaga ubunifu hata kidogo ndio maana hadi wasanii na watangazaji wanafanana wote kuongea n.k
Taarifa mlikuwanayo ndo maana tin ana microphone 🎤
Hawa watangazaji baba levo kawatoa kigoma eeh😂😂😂
Hhhhh onaa alivyoo vaa
😂😂😂😂Wachen jmn wapate ridhiki 😂😂
Ndio wanajitafuta mpee mda atavaa unavyotaka 😂
Nmechekaaaa😀😀😀😀
Mbona Yuko vizuri mchangamfu
Afazali Mwamba Whit Kumbe UK gd
Good lakin hii n idea ya zamaradi
Acha uwongo ilinga akuna kiwanda chakolosho
Hatahivo kajitahidi cyo kama makazi ya akina chidi Benz ferooz na emb dog
Tini
Ulivopiga cm na alivopokea tu ni waz kua mlishaongea kabla
huyu mdgoake tin nampendaga
😅Safi hongera tin ila nyumba ndani hizo Rangi zinazidisha GIZA NDANI TAFUTA FUNDI RANGI AKUSHAURI RANGI ZA KUPAKA NDANI MAANA NJE KAMERA ILIKUA ANGAVU PICHA VIDEO ILA BAADA KUINGIA NDANI KAMA UMEINGIA PANGONI. USHAURI TU. ILA VITU VINGINE SAWA
Akuna mwandishi apa
Kwanini
mtangazaji mbona anamawenge ivyo
Kajiripuwa kabura
Ile movie ya uchawai location ni hii nyumba bhana 😂😂😂
😂😂😂😂 umeijua kama mimi
😂😂😂
Sahihi kbsa hpo ni eneo la kazi ndo mahana wote wapo hpo
😂😂😂😂tulikuwa tunashoot
Baazi ya comment zenu
Kituko
💨💨💨
Kila chanel mnaenda kwenye mijumba ya watu
Kosa ulilolifanya ni kuanza kuchungulia badala ya kupiga kungele
Umejuwaje Kama kenger ipo
Mwenye iyo nyumba namfaham ni mstaafu wa kiwanda cha korosho iringa
Iringa na kiwanda cha korosho? Daah wivu huu
Iringa wap nayuve kifulu apo
Ila maisha ya wasanii mungu awasamehe t😂😂 tunayoijua hii nyumba tunachek t
Tunao juwa nyumba hii ngoja tucheke 😂😂😂
Wivu uo