Wapo wasanii wakubwa lakini wanapo ishi wa zazi wa ni shida,lakini ona jumba analo ishi bi mkubwa mama wa king kiba ni balaa nimeipenda mnoo 🤗🤗🤗🤗 mama mwenye heshima zaKe
Nimefhrah Sana mamaanasema anarudisha fadhila kwa watu kwa kumkubali Mariam kumfanyia mahojiano....cy kilasiku upo Medea hii Mara hii kuongea had unakosavyakuongea nakuanzakuongea ujinga ujinga....Ila huyu Mama jaman MUNGU amtunze....anastara Sana naanajiheshimu.... love Mama King 😘😘😘😘
Ata Mimi nilivokuwaa mdogo nilikuwaa naimba na kucheza ata mtaani kwetu nilikuwa nacheza napewa shilingi ishirini na shilingi kumi lkn sikujua kama. Ni kipaji
Hongera mama yaani umejibu maswali kisomi zaidi umejiamini full confidence kwenye malezi sasa hapo hadi polisi mdundiko bhana tumelipotiwa wengi kupotea na zamani kulikuwa kuna mtu anaitwa majambo bhana daaah yule jamaa akipita mtaani ilikuwa sooo 🤣🤣🤣
Mama wa Busara na Hekima sana shukrani sana East African Radio kwa Bonge la interview-Vinara wawili washakutana Kutengeneza Mnara.Nawapata sana Toka Minnesota Marekani 🇺🇸
❤❤❤❤❤❤❤💜💜💜💜💜💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💝💝💝💝💝💖💖💖💖💖💕💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓💘💘💘💘💋💋💋💋 mama nmekupenda buuureeeee.....king kiba👑 utabaki kuwa juu kileleni nawapenda familia yooote 💋💋💋
Huyu mama nampenda sana japokuwa simjui hanijui ila ni bonge moja la mama mwenye busara zake na ndo maana hata wanae wana nidhamu huwasikii kwenye Mambo ya ajabu kabisa Mungu akuweke mama Kiba ili ulee wajukuu na wao wawe na maadili mema kama wewe bibi yao
Mama Ali shikamoo, mtangazaji acha ulafi wa kuonja chabati bila kunawa umeshikashika mike yako unakula hivyo hivyo mama mpatie chapati aliyoikata amalizie
Mama ni mkali ndio sababu vijana wake wakawa na heshima, mama mwenye kujiheshimu hawezi kubali kuletewa wanawake viruka njia na akakubali mama anajiheshimu sana na ameshika dini tofauti na mama wa mastar wengine.
Angekuwa Hataki wanawake viruka Njia wanae wasingezaa nje ya ndoa jiulize kiba ana Watoto wangapi kila.mtoto na mama ake mpaka.wanawake Wanashea heheheheee usilolijua
Mama mwenye staa anajiheshimu anavaa nguo za heshima mashaallah, yan mm ni shabiki wa Ali kiba mpaka familia yake, hongera yako mama mzaa chema
Swadata
Mama mwenye hofu ya Allah, Mungu kampa vijana wenye vipaji Mashallah.
In Shaa Allah M/Mungu amjalie maisha marefu Amin
Ameen yarrab 👏
aliye ona tuzo ya youtoub ya alikiba a like hapa
Nimeiyona broo nakubal tuzo anazo nyingi xema hajixifu
Iko nimeiona broo
Wewe huja yiona bro??
@@furenkwilliam9078 ndiyo vizuri kutojisifu aache watu wa msifie
iyo alipewa baada ya kutoa ngoma ya aje
It makes sense where alikiba got the humble character... I respect alikiba sana, love from Kenya..
Mama mza chema yeebaba mama mwenye eshima zake love you mama
King kama King atabaki kuwa King
So Humble and Genius Hajiproud
Hello people of GOD please watch this too and see beauty it won't disappoint you th-cam.com/video/sRGN9UTJoB0/w-d-xo.html
Kiba kafuata nyayo za mzazi wake
Love u mom kiba ur the best mom. in shaa Allah mungu akupe furaha na family yko
Mum wewe ni kioo cha jamii yaan uko humble sana mungu akubarik +254
Mama hongera SNA nakupenda sana mam ang
Mama yetu huyoo, mama anaejitambua mwenye hofu ya MWENYEZI MUNGU PIA.. MAMA MWENYEZI MUNGU AKUWEKE
Aliye ona uhalisia wa busara za #king kiba zinapotoka aweke like yake tafadhali
Vzr sn nampenda sn huyu mama yng kpnz jmn mwenyezi Mungu hakulinde na kila baya inshaAllah
Napenda sana maisha wanayoishi hii familia kiba ana hela lkn yuko simple
Kiba anaishi simple hapendi kujinadi
Kabsaaa
Hongera mama mwenye heshima.Allaah akulinde weye na kizazi chako.
Ameen
Mama ana heshma zake👍 mama kiba👑mashaallah
👍
Huyu mama ni mtu peace sana, ishi miaka mingi mama yangu halafu upo simple Wala hujikwezi
Mashallha mama kapendeza sana arafu apendi mambo mengi maisha yao yeye nawae yapo kawaida uwezi sema mama wa mwana mzuki maarufu
Mama wa taifaaa
Mashallah nimependa anaongea kistarabu mama💓✨✨
Mashallah mama kiba mupole anatanguliza mungu kwa kila jambo ndomana watoto wake wana hekima sana👌😙😙😙
Mama bora Sana uyo
King yuko vizuri Sana jamani hadi raha
Swadakta mama Allah azidi kukuongoza zaidi na zaidi.
Mama mzaa chema#Mama Alikibaaaaaa
Mama mwenye hekma zake 🙏
Na wew mtangazaji hats kunaws
MashaAllah mama mwenye hadhi zake mama mwenye kujiheshimu ilove you mama Allah akupe umri mrefu InshaAllah 🤲 🤲♥️♥️♥️
Mansha'Allah nakupenda mama mweny hofu ya Mungu yule mama wafulani ameika kama kahaba na make up zawavijana hataki kukua
😅😅😅😂😂😂🤣🤣🤣Ni kweli
Wapo wasanii wakubwa lakini wanapo ishi wa zazi wa ni shida,lakini ona jumba analo ishi bi mkubwa mama wa king kiba ni balaa nimeipenda mnoo 🤗🤗🤗🤗 mama mwenye heshima zaKe
Mtoto ashakuwa star kabla hajazaliwa
Anakaa Kwa Muda yeye anaishi kariakoo
@@shangwekamando2599 alikuwa anaishi kalia koo kwa sasa amehamia hapo
Anakaa kibaa hapo
@@devothamedia5177 alikuwa lakini kwa ss amemuachia bi mkubwa
Malezi na desturi yako mama alhamdhullillah kiba hajayumba kafata nyayo zako,God bless you mamaa and your family
Yee babaa
Nimefhrah Sana mamaanasema anarudisha fadhila kwa watu kwa kumkubali Mariam kumfanyia mahojiano....cy kilasiku upo Medea hii Mara hii kuongea had unakosavyakuongea nakuanzakuongea ujinga ujinga....Ila huyu Mama jaman MUNGU amtunze....anastara Sana naanajiheshimu.... love Mama King 😘😘😘😘
Ali alipenda sana music na ukamuingia damuni kulingana na mama anavyosema
Maana mpaka kupotea ngomani ni noma hii 🤣🤣🤣🤣🤣
Dah kweli alikiba anakipaji na sio uwongo kuwa diamond anamafanikio ila tukubaliane tu kuwa alikiba is talented one nime prove kutoka kwa mama yake
Ata Mimi nilivokuwaa mdogo nilikuwaa naimba na kucheza ata mtaani kwetu nilikuwa nacheza napewa shilingi ishirini na shilingi kumi lkn sikujua kama. Ni kipaji
@@taslimanyange2850 ndio maana mama yake alisema kuwa wazazi wavithamin vipaji vya watoto
Huyo mama mzaa chema
Mama👑👑👑👑👑
Hongera mama yaani umejibu maswali kisomi zaidi umejiamini full confidence kwenye malezi sasa hapo hadi polisi mdundiko bhana tumelipotiwa wengi kupotea na zamani kulikuwa kuna mtu anaitwa majambo bhana daaah yule jamaa akipita mtaani ilikuwa sooo 🤣🤣🤣
XE gfdre
Nakuzaa kila mtt na mamayake vipi hayo ni malezi ya vipi
Allah awanaalie wanao maisha marefu na mama yao kwa ujumla amina
Najua huyu mama hapendi kuhojiwa ila muwe mnambembeleza jaman tuna mpenda sanaa😍😍
Mama nampenda Sana huyu anajiheshim mcha mungu mpenda watu kiujumla hii family naipendaga mnoo
The best mother who respect herself and her space...
MashaAllah mama waheshima na mahadili yakiislima.
Safi sana mama kiba
Siku mama dagonte atajeshimu ivo asiwe mama wamitandawo ntafurayi saaana uyu mama arkiba anajeshimu saaana❤❤👍👍🇧🇮🇧🇮
King kiba
Nampenda Sana mama alikiba Mungu akutunze mamaetu na wanao vipenz Mimi teem kiba og sibanduki
Mama, you really have solid trust in God, that why your family is strong..
Mama wa Busara na Hekima sana shukrani sana East African Radio kwa Bonge la interview-Vinara wawili washakutana Kutengeneza Mnara.Nawapata sana Toka Minnesota Marekani 🇺🇸
Mama na heshima yake mashallah 👌👌👌
Mama muzuri mwenye hekima y'a ki pekee,unafananishwa na mama wa vitabu vi takatifu💪💪
Mashallah mashallah mashallah kwa majibu mazuri mama kiba
Ambaye anaona mtangazaji kazingua kwenye maik kaing'ang'ania yeye tu gonga, mama asikiki kabisa gonga like kwenye comment yangu
❤❤❤❤❤❤❤💜💜💜💜💜💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💝💝💝💝💝💖💖💖💖💖💕💕💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓💘💘💘💘💋💋💋💋 mama nmekupenda buuureeeee.....king kiba👑 utabaki kuwa juu kileleni nawapenda familia yooote 💋💋💋
Mama king
Atakaekua anaweka interview za huyu mama mtanimalizia sana MB zangu lazma nimuangalie
Teeeeeena
Mama king kibaa
Oooh it's OK king ni king tyu........
Mama mzaa chema @king KIBA, bu Ruddoy boy Njb Tz
Up mzee mwenzang
Dah yan uyu mama yupo vzur sana mam wa jirani yule
Mama nimekupenda 😘mzaa chema
Huyu mama nampenda sana japokuwa simjui hanijui ila ni bonge moja la mama mwenye busara zake na ndo maana hata wanae wana nidhamu huwasikii kwenye Mambo ya ajabu kabisa Mungu akuweke mama Kiba ili ulee wajukuu na wao wawe na maadili mema kama wewe bibi yao
Safi
Mashaallah mama wa taifa💕💕💕💕💕💕
Mtangazaji mbea sana, halafu sio mstaarabu anashika chakula bila kunawa.
Haijapendeza
Yaan ingekua ni yule mama wa mwingine pasingetosha kimini suruali mmh! Sijui nivae Nguo gani!
Wajina unauwa 🤣🙈🤦♂️
Mmmh yani acha tu
Watu awanani ndugu yangu.
Ujajua kuna mama wa familiy na mam wa mitandao, ushawah kumwona mama dangote anaenda kuswali?
😁😁😁🤓🤓🤓
very nice mama anajitambuwa sana mzazi hikma
Hongeraaaaaa mama
Daaah bi mkubwa mmemshawish vp maana
Hii ndo redio ambayo anaitumia sana ally kwenye kuongea na wahandishi wa habari uwa anatumia kwenye live kwenye show
Mama mashallah😘😙😙😗😗😗 mama wakitaifa😘😙
Huyo ninama yetu anae jiheshibu,anahofu ya Allah,manshallah mama yetu kipenzi🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Hongera sana mama wewe nimwenye heshima sana nakujisitirii allah akubariki sana
Mama umewongeya vizuri❤️❤️❤️
Mama Alikiba hongera Sana mama unajiheshimu sana
Mtangazi una mapepe sana..unafanya tushindwe kuyajua mengi kutoka kwa hyo mama..Pls rudi darasani
Pengine yy anaona hayo mapepe ndio mwembwembwe za utangazaji
Ana kiherehere sana
Kweli
Beautiful mum ali
Mama wa hekima mama wa taifa
Daaaaaaaaaah saf kaka kiba
MashaAllah mama na heshima zake
Mashaalla naipenda san familia hii mmnimshabiki wa kingi nmpenda san
MashaaAllah tabarak Allah
Mama mwenye eshim yak kwakwel mungu ape maisha maref tofaut na yule mm mwingine kul
Angekua mama Diamond apo mashauzi mengi kama yeye ndio msanii
🤣🤣🤣
Mama wa taifa MashaAllah🥰 ❤️❤️😍💕
Yaaaap mungu ampe maisha malefu
Mama yetu tunakupenda
Mama Ali shikamoo, mtangazaji acha ulafi wa kuonja chabati bila kunawa umeshikashika mike yako unakula hivyo hivyo mama mpatie chapati aliyoikata amalizie
Umeonaeee Amina hatakunawa apewe amalizie
Mama wa Alikina anajielewa sana 💥💥💥🙏🙏
Nimekupenda Sana mama kwa majibu yko yaheshima naunahofu namungu wengine nikuvaa nguo ambazo hazifai kabisa wanapenda warudi utotoni
Daa Mama Alikiba nampendak jmn
Mashalla mama mwenye stara zake ❤️❤️❤️nimempenda bule
Nampenda Sana huyu mama m/mungu akuweke
Minyooshoo mama ninaaaah......Kajenga mzeee
Mashaallah mama
sasa leo ndo nimepata jibu sahihi kuwa alikiba anahekima kwakuwa kalelewa na mama mwenye hekima
True
Kabisa
Daaa cash money daa
Mama Kibaaa
Why didn’t she wash her hands before touching the chapati 🤮
Hello people of GOD please watch this too and see beauty it won't disappoint you th-cam.com/video/sRGN9UTJoB0/w-d-xo.html
Kabisa mamaangemkataza
🤣🤣Umeona eeeh
Hahaha 😂🤣🤣🤣
Nimeshangaa na ameshika viatu pale mlangoni.msichana mchafu
Yebabaa mama alikiba nimwanamuke imara
Yeeeeeeebaba
Masha Allah Mama mzaa chema mola akuwekee wanao in sha Allah
Mama ni mkali ndio sababu vijana wake wakawa na heshima, mama mwenye kujiheshimu hawezi kubali kuletewa wanawake viruka njia na akakubali mama anajiheshimu sana na ameshika dini tofauti na mama wa mastar wengine.
Angekuwa Hataki wanawake viruka Njia wanae wasingezaa nje ya ndoa jiulize kiba ana Watoto wangapi kila.mtoto na mama ake mpaka.wanawake Wanashea heheheheee usilolijua
King upo vzur kwako ndo vzur thaman ionekane ya ustar wako
Nimejifunzo kwamba maixha sio lazima ujitangaze
@@jeremiahbenson9287 umeonae jamaa ajawah hata siku moja sijui wamemshawish vip
La simplicité d'une femme je validé
Tu as totalement raison
Elle mérite d'être appelé maman,une femme simple est soumise💪💪💪 à toi grande dame,❤❤❤
Mama na heshima zake mashaallah
Unabahaat xn wewe mtangazi kumuhoji mama yetu
Yaan sijui nipoje 🤣🤣🤣 nmekimbilia comment kusoma kwanza
Kama mim pia daah😂😂
Wewe mimi kabisaa
Ata mimi
Yan mi ndo ugonjwa wangu dah!!
Tupo wengi 🤣🤣🤣🤣🤣