Denzel Trainer asimulia chanzo cha yeye kukosana na Alikiba! Kajala, Juma Lokole wanahusika!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ส.ค. 2023
  • Denzel Trainer asimulia chanzo cha yeye kukosana na Alikiba! Kajala, Juma Lokole wanahusika!
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 44

  • @iam_sami
    @iam_sami 11 หลายเดือนก่อน +21

    Kama unamkubali alikiba na ukaja kumuangalia danzel gonga like 👍

  • @AloyceMwakatala-si1rs
    @AloyceMwakatala-si1rs 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ulifanya makosa makubwa sana tofauti na unavyofikiria na huwezi kuishi na mzungu maana unaonekana huna msimamo unageuka geuka, maandalizi yalikuwa ya muda mrefu kisha ukataka kuharibu nakusihi kamwombe msamaha kili ulikosea mdogo wangu.

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kumsapoti mtu ni kuingia bure? Ila mademu wa mjini bana😂

  • @user-yn7mt4mh8n
    @user-yn7mt4mh8n 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kwanini kajala alete mtu mwengine Kipindi yeye amepewa card ya bure ? Alafu juma lokole ahache ushoga

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo kajala nimshamba siku zote

  • @user-hn3km9ex5r
    @user-hn3km9ex5r 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio anamla kajala sasaivi 😂😂😂😂😂😂

  • @user-hs8tv5hm1o
    @user-hs8tv5hm1o 11 หลายเดือนก่อน +6

    Jamaa nakuelewa sana

  • @Heismasai
    @Heismasai 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hii safi sana ….maana yake hapa Kajala alileta uswahili

  • @charlesemidy2615
    @charlesemidy2615 7 หลายเดือนก่อน

    Nikawaida sana hawa vijana wakipata pesa kidogo wanataka nakuabudiwa tena,kwaiyo Dogo Denzel songa mbele.

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kajala hamnazo😂😂sasa yy juma anampeleka wapi🤷‍♀️🤷‍♀️😢😢

  • @sayeedfellah4706
    @sayeedfellah4706 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ulijisahau broo wewe uko kwa team lakini ukamakinika n mtu tofauti

  • @nimubonainnocent2183
    @nimubonainnocent2183 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ilo kosa kubwa kabisa ata mimi nawona kosa kubwa

  • @abuumayunga3349
    @abuumayunga3349 11 หลายเดือนก่อน +4

    JAMAA ALIMUINGIZA MTOTO WA KAJALA NDANI AKAONA AONDOKE NA MAMA MTOTO

  • @rosejeremy9484
    @rosejeremy9484 11 หลายเดือนก่อน +4

    Wabongo Wana mambo

  • @thethengomba355
    @thethengomba355 11 หลายเดือนก่อน +6

    Alipewa opportunity na akanza kuitumia vibaya, kuingiza watu katika entourage ya Kiba bila yeye kujua it's not just unprofessional but very dangerous, Kiba should keep him at a distance

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini umpeleke chawa wa Mond kwa King kiukweli unastahili kumuomba msamaha.

  • @JimieWaManchester
    @JimieWaManchester 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kenyan music naiskia chini ya maji 💥

  • @siashayo8676
    @siashayo8676 11 หลายเดือนก่อน

    Kosa kubwa sana hili. Natumaini umejifunza kitu kikubw

  • @dreadlocksspecialist7195
    @dreadlocksspecialist7195 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huo ulikuwa uswahili wa juu very unprofessional

  • @ishaahmed9568
    @ishaahmed9568 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bro...Inategemea na Aina ya protein.... Unachosema height weight, na kila kitu....not all supplements works the same...and ofcourse protein inaendana na meal plan na mazoezi as well...

  • @bobupicha
    @bobupicha 6 หลายเดือนก่อน

    🙄

  • @SangoJuma-sz6dj
    @SangoJuma-sz6dj 11 หลายเดือนก่อน +2

    Denzel ulikosey ila usiludiy bro

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unavyosema nikweli nlipewa protn nkanenepa bara

  • @furahasarakikya3223
    @furahasarakikya3223 11 หลายเดือนก่อน

    Mh, ushamba wa kiwango Cha lami. Kaka ulichosha sijapata kuona

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuikweli ulikosea nihaki yako kuomba msamaha

  • @willaimkirika4407
    @willaimkirika4407 11 หลายเดือนก่อน +2

    kajals mswahili

  • @geofreymdugo3360
    @geofreymdugo3360 10 หลายเดือนก่อน

    Ulikosea kka

  • @iamchusse
    @iamchusse 11 หลายเดือนก่อน

    ww kweli ulizingua

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 11 หลายเดือนก่อน

    Kwani hiki kipindi mna camera moja tu jamani😢.... Media kubwa hii, mjitahidi kufanya kazi kiprofessional ndugu zangu. Naona cameraman anapata tabu kugeuza geuza camera

  • @endruchumbula5943
    @endruchumbula5943 11 หลายเดือนก่อน +1

    uhuuuu

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 11 หลายเดือนก่อน

    Kmb kwel ulizngua kwann ugawe crd yk pia lukole alikua wann mpaka aingie. Pia kwann uliondoka bra cloo yko . ulizngua kinyama yn

  • @keneddaimon2533
    @keneddaimon2533 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kajala mbuzi kweli

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 11 หลายเดือนก่อน

    Ulikosea

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mulitakiwa mumuache amalizie kuzungumzia kuhusu kumukisea alikiba bada ya show ilikuaje

    • @zaynabmwanjovu1002
      @zaynabmwanjovu1002 11 หลายเดือนก่อน

      Yan Hata hatukuelewa kisa mpaka hapo

    • @showejikinjekitile5942
      @showejikinjekitile5942 11 หลายเดือนก่อน

      Kunawakati nao wanazingua yani kama wanakuwa wanajitangazia wenyewe nakusikiliza wenyewe yani aise

  • @ChidAlly
    @ChidAlly 10 หลายเดือนก่อน

    🤔🤔

  • @bakarijuma8697
    @bakarijuma8697 11 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi kaka

  • @MatsonDragon
    @MatsonDragon 11 หลายเดือนก่อน +1

    Qui est invité ne n'invite pas les Autres

  • @marwawilliam3648
    @marwawilliam3648 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuleni protini muwe maboga

  • @rashidyrashidy3923
    @rashidyrashidy3923 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hiv vitu ndio vinatusumbua ngozi ya tako unahalika watatu wawanakuja wa wanne

    • @budhbd5208
      @budhbd5208 11 หลายเดือนก่อน +2

      Eti au wengine wanakuja na watoto huku card imeeleza watoto hawaruhusiwi

    • @maryamudunga1094
      @maryamudunga1094 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@budhbd5208yani sijuwi watu tukoje😂