unapotosha Mkuu...Marijani ndio kaanzisha wimbo "Wanangu..mimi nawakumbusha..mnapopata rafiki muangalie vizuri" na mwishoni ameimba..labda kama huijui sauti ya Marijani. wanasikika wengine pia lakini Jabali kachukua sehemu kubwa.
sielewi ni kwa nini kila nikisikiliza wimbo huu huwa machozi yananitokan ni kwa sababu ya kupoteza mmoja ya wazazi wangu Baba lakini nausikiliza kwa hisia sana
Utunzi wake beresa kakere , hii ni kabla wachache hawajaondoka na na kwenda sikinde Marijani Rajabu - vocals Cosmas Chidumule - Vocals Saleh Beresa Kakere - Vocals Machaku Salum - Trumpet Ibrahim Mwinchande - Trumpet Beto Julius - Trumpet Aruna Awali - tumba Saidi - Drums Michael Enock King - Saxophone Yusuph Bernad - Saxophone Abdallah Gama - Rhythm Joseph Mulenga - Bass Abel Bartazal - Solo
mie nyimbo hizi nakumbuka mbali niko maanzese karibuna tandale!!hata shule sijaanza!!lkn dunia ilikuwa nzuri!!RTD nyimbo zilikuwa ndio hizi!!lkn nilikuwa ktk wakati mgumu kimalezi!!
Said Khamis kk si ww mi huwa natokwa na machozi hadi kichwa kinauma Kama umepoteza wazazi wako wote hautawaona tena dio hizo enzi hazitarudi tena kk MI nasikiriza Margret chozi rinatoka Kama bomba LA dawasa limepasuka kk cc dio turikula raha miaka ya sasa wanakopi tu
🤔🤔🤔 uyu mwamba mkali gonga like kama unamkubari marijani
Ooh! Magreth,!Vibaya hivyo.
Kazi nzuri sana ya Belesa kakele katika safu ya uimbaji, kwa wale msiomfahamu huyu ni kaka wa mwanamuziki Juma kakele
Zamani sio Leo tungo mubashalaah
Hizii nyimbo za Marijani kamwe huwezi kuchoka kuzisikiliza kwani zina mafundisho na meseji nzuri mungu amrehemu mwana muziki huyu..
Kweli kabisa
Utunzi wa Beny petii ni hatar sana mkuu Berresa pumzika kwa Aman
Reminds me way back when I was in nursery school
marijani kaitikia tu kwenye nyimbo hii ..muimbaji halisi ni kakele bakresa
unapotosha Mkuu...Marijani ndio kaanzisha wimbo "Wanangu..mimi nawakumbusha..mnapopata rafiki muangalie vizuri" na mwishoni ameimba..labda kama huijui sauti ya Marijani. wanasikika wengine pia lakini Jabali kachukua sehemu kubwa.
sielewi ni kwa nini kila nikisikiliza wimbo huu huwa machozi yananitokan ni kwa sababu ya kupoteza mmoja ya wazazi wangu Baba lakini nausikiliza kwa hisia sana
jabali la music kizazi cha dhahabu jamani kwanin dunia isirudi kama zamani?
Kwakweli nyimbo za marijan Rajabu ni shule tosha!
Namkubali sana marjani
Haishi utamu ama kweli
Utunzi wake beresa kakere , hii ni kabla wachache hawajaondoka na na kwenda sikinde
Marijani Rajabu - vocals
Cosmas Chidumule - Vocals
Saleh Beresa Kakere - Vocals
Machaku Salum - Trumpet
Ibrahim Mwinchande - Trumpet
Beto Julius - Trumpet
Aruna Awali - tumba
Saidi - Drums
Michael Enock King - Saxophone
Yusuph Bernad - Saxophone
Abdallah Gama - Rhythm
Joseph Mulenga - Bass
Abel Bartazal - Solo
asante mwamba wangu kwa kuchanganua, kumbe hiki ni kipindi kile cha akına gama
Very true hiyo ndiyo safu nzima
hakika hili ni jabar halijawahi kutokea tangu atutoke hata tokea Inshallah marijani lala mahala unapostahili
Power nguzo Mungu akubariki na akuzidishie maisha marefu!!!
Abel Balthazar alipiga gitaa Dar international ulikuwa ndio inaanza
usia Kwa wote PUMZIKA PEMA MWANA WA RAJAB
mie nyimbo hizi nakumbuka mbali niko maanzese karibuna tandale!!hata shule sijaanza!!lkn dunia ilikuwa nzuri!!RTD nyimbo zilikuwa ndio hizi!!lkn nilikuwa ktk wakati mgumu kimalezi!!
Pole sana dada Farida, Tandale ni mitaa ya kwetu huko......
Mimi pia, pale Amsterdam, karibu na makaburi ya uzuri
Ujumbe mzuri,ukichunguza huna hata radhi ya wazazi ohh!
Wimbo umetulia sana
Duuh bonge la ujumbe fantastic
Ngoma imetulia na ushauri mzito
Aisyee
Sax king Michael enock
Yaani leo mara paa nimesikia kuutafuta huu wimbo nipo hapa burudani
marijani katika ubora wake kila nikisikia wimbo huu machoz yanitoka sijui kwa ninin
Said Khamis kk si ww mi huwa natokwa na machozi hadi kichwa kinauma Kama umepoteza wazazi wako wote hautawaona tena dio hizo enzi hazitarudi tena kk MI nasikiriza Margret chozi rinatoka Kama bomba LA dawasa limepasuka kk cc dio turikula raha miaka ya sasa wanakopi tu
Nyote machimvi....
Lead vocals marehem Belesa Saleh Kakere
ni kipaji cha hali ya juuu
Wimbo huu ni kama kio ya jamii
Rhythm guitar imetulia sana
Abdallah Gama
huyu jamaa ninomaaaaah
Sijaisahau sauti ya Juma ubao hapo wakati huo bado kijana sana kabla haimbia urafiki jazz.
❤
Solo la kasim mponda prof de la chance
no marijani hakushiriki kwenye nyimbo hii ..ni kakere bakhresa
Solo Abel bartazar
Marijani alikuwako, ako na atakuwako
Arch.J. K. Kafuna duuu balaaa
Utunzi wake belesa kakere
Utunzi ni wa Benny petii
ujumbe umefika
is true kakele bakresa
Yeah ndiyo mtunzi na muimbishaji ..marijani kaitikia tu
Pete